RAP BATLE | MTU KACHANWA HADI KAOMBA MSAMAHA - BIG SUNDAY LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 219

  • @tonnymkoya8790
    @tonnymkoya8790 2 роки тому +32

    Hawa vijana wote ni wakali .wa kwanza nampa aslimia 98% na wa pili 96%.upendo mwingi kutoka Kenya

  • @elisamehecharles5432
    @elisamehecharles5432 2 роки тому +5

    Ogaaah! Binafsi sijaona anayeweza freestyle hapa

  • @stevesanke8767
    @stevesanke8767 2 роки тому +5

    Sema kitukuu anajua japo round mbili kapoteza

  • @kadmc9124
    @kadmc9124 2 роки тому +16

    Huyu Michael 🔥🔥🔥🔥 sana!!! Hapa mpka toxic Hawa vitukuu badoo

  • @johnhaule6258
    @johnhaule6258 2 роки тому +1

    Ha a a a Michael michano ni noma hii video nimeitazama zaid ya mara 10

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz 2 роки тому +15

    Kitukuu ni mzuri wa flows na swagg, michael michano n mzuri kwa hip hop bum bap na freestyle.... kitukuuu is a good rapper pia hasa kwa industry ya sasa

  • @kelvinpaul2464
    @kelvinpaul2464 2 роки тому +21

    Alie vaa pama ana moyo mgumu huyo hata ukimupiga nyundo ya kichwa sizani kama anaweza kufa Hanashabiki hata mmoja ila yumo 😂😂😂

  • @omaradam8234
    @omaradam8234 2 роки тому +23

    Audience ina Hype uyo boyz amevaa black sweater 😂😂 kitoko ako juu anaSpit Yaani atemaa size ya noma 🔥🔥👊🏿

  • @shaoeffects8638
    @shaoeffects8638 2 роки тому +9

    😂😂 Michael kaua sana sema nimependa kitukuu alivyokubr uo ndo uwanaume

  • @ahmadsaid4878
    @ahmadsaid4878 2 роки тому +6

    Kitukuu ni mandonga aliechangamka😀😀😀

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 Рік тому +1

    Michael michano umechinja sanaaaaaa.. dah ningependa kukuona against Toxic fuvu au Chim flow au Cado tuone kiwango Chako halisi

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper 2 роки тому +3

    BADO SANA HAWA VIJANA WAKAZE SANA HAWAGUSI HATA KIDOGO UWEZO WA KINA STAN RHYMES, BLACK MC, KADO KITENGO NA MTEGANDA

  • @teophilletus8969
    @teophilletus8969 2 роки тому +2

    Mnashangaza free styre af Mt anachan mistar ilo andaliwa jamn mbn sierew rest in peace mangwear babu was hip hop hakun km ww watak wastake

  • @mathewschikondi9940
    @mathewschikondi9940 2 роки тому +2

    I stay in zambia can I be allowed to that rapping battle?
    Michael is the best

  • @alwyjaro701
    @alwyjaro701 2 роки тому +6

    Kitukuu na mkali lakini huyo Mwingine nikama anajulikana na hao mashabiki🧐

  • @saidmkinga5140
    @saidmkinga5140 2 роки тому +2

    Hilo jamaa la pama linazingua tu

  • @Wizzymp
    @Wizzymp 4 місяці тому

    Michael michanooo💥💥💥

  • @MiaTheLathini
    @MiaTheLathini 2 роки тому +3

    😂😂😂😂 story iko dakika ya 11:50

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 роки тому +22

    Freestyle Gani, ...sema wanaimba nyimbo zao...!.. freestyle huwa zinatafutwa..!

    • @gbrowngbatz7867
      @gbrowngbatz7867 9 місяців тому +1

      😂😂😂Kuna Aina tatu za freestyle

  • @aswanmusic
    @aswanmusic 2 роки тому

    Asanteni sana kwa kukuza vipaji na hizo nyota kali

  • @SaidiZaera
    @SaidiZaera 19 днів тому

    Sikuzote asie kubali kushindwa sio mshindani 😢😢😢

  • @cassykakobe5485
    @cassykakobe5485 2 роки тому +1

    Sensaaa ya wasafiii labda

  • @omanmwajabumbeguoman8642
    @omanmwajabumbeguoman8642 2 роки тому +1

    Mnaweza 💥💥💥💥akuna kukata tamaa

  • @bazigar1
    @bazigar1 2 роки тому +1

    Daah free style kazi sana 😃😃😀😀

  • @christophergeorge5490
    @christophergeorge5490 2 роки тому +6

    Tunataka something special ila hawa wote ni wa kawaida sana tena sanaaa hawawezi ku freestyle labda Wastick kwenye kuandika ila ku battle ni 0 kabisa wenye uwezo wa kawaida ni wengi mtaani tena wanaeza wazidi hawa

    • @ebramaarifa203
      @ebramaarifa203 2 роки тому

      Freestyle hamn shuhuli hapo

    • @neponova8988
      @neponova8988 2 роки тому

      Kwenye uandishi..kitukuu yupo vizuri

    • @christophergeorge5490
      @christophergeorge5490 2 роки тому

      @@neponova8988 yes nilimsikia hata dakika 10 za maangamizi ni mwandishi mzuri

  • @BarakaKatana-n7f
    @BarakaKatana-n7f Місяць тому

    Buy more mike for the talented guys who rap .....

  • @maufijose2294
    @maufijose2294 Рік тому

    😁😁 freestyle n kipaji Wazee

  • @okazakijr8136
    @okazakijr8136 2 роки тому +6

    Michael michano mbona anaimba mistari yangu mazee na hamnipi taarifa 😂

  • @emmanuelkhisa8453
    @emmanuelkhisa8453 2 роки тому +1

    Pitia frm 254💥💥

  • @Godfreykaimenyi
    @Godfreykaimenyi Рік тому +1

    Weee senser

  • @WiseSanga
    @WiseSanga Місяць тому

    Michael michano💯💯💯

  • @seifsaidysamata2267
    @seifsaidysamata2267 2 роки тому +1

    hapo mkiweka na maua kwa niaba ya mshindi mkitangaz mshind tu maua yanamwagikaaa

  • @Kamerussi-qj5vp
    @Kamerussi-qj5vp Рік тому

    Nomaaa saaaaaan🤭🤭🤭

  • @jeshimungiki5793
    @jeshimungiki5793 2 роки тому +1

    Wameshangilia bit ya fid Q hao manyumbu round ya kwanza

  • @RobertKenga-oy1ju
    @RobertKenga-oy1ju 9 місяців тому

    Zone lakini hii ndio kali sna

  • @Sandra39823
    @Sandra39823 2 роки тому

    Wa black ako sawa kabisa

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 2 роки тому +2

    Utuku tuko naww hata keakukulia. Stejin

    • @martinjosephat4694
      @martinjosephat4694 2 роки тому +2

      Kitukuu tuko na ww hata wakikuchania kanzu

    • @deboraedson1134
      @deboraedson1134 2 роки тому

      Even me naona kabisa hawa audience wa mchongo lakini kitukuu yupo juuu

  • @naligiatomaso5006
    @naligiatomaso5006 2 роки тому

    Dogo anaweza sharapaa

  • @flockivar4894
    @flockivar4894 2 роки тому +2

    Mikel michano sio mtu mzuri

  • @AlexBekam-qf7ek
    @AlexBekam-qf7ek Рік тому

    Oy brooo hatariiiii!

  • @sankawila2689
    @sankawila2689 2 роки тому +4

    Dah mnatuacha WAKALI mnaweka waki kama kitukuu

  • @SAMWELMwafwalo-u7y
    @SAMWELMwafwalo-u7y 3 місяці тому

    Hi Ni nom can nation

  • @izzo_boy
    @izzo_boy 2 роки тому +8

    Naombeni nafasi ya rapper bettl ase mi nayo Ni hatari

  • @njoroboihustla125
    @njoroboihustla125 2 роки тому +3

    Nasikia tuuu ,,,SENSAA🤤🤤🤤🤤😉🦁

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 2 роки тому +14

    Mshindi kapatikana round ya pili maana kashinda zote hiyo ya tatu ilikuwa Haina haja ni km kitukuu msindikizaji Mana round mbili za mwanzo kakalishwa. Pia jamaa sio wazuri kwenye Freestyle Bora wangesema ukweli wapewe time ya kuchana mistari yao. Ila huyo nanii michano raound ya tatu kafunguka kinyama

  • @burhanzahran1408
    @burhanzahran1408 14 днів тому

    Sensa sensa sensaaaaaaa yaan walikosa mistari ya kuongelea

  • @abernegoshaloon9429
    @abernegoshaloon9429 2 роки тому

    Niko pisi kwawakubwa na wadogo, misidisi naogopa kipigo. Sina tamaa fisi. Niuze in ibaki Figo. Maendeleo yangu Kasi, wee gari mbovu Kaa juu ya kigogo .

  • @danielwilfred2609
    @danielwilfred2609 2 роки тому

    Alieomba msamaha akafanye tu mzk mwngne in hiphop we ndo acknowledge kwa namna io angempa ata tano mfn uyo jmaa ni wacky mcee kbsaa yan

  • @mchinatz6009
    @mchinatz6009 2 роки тому +2

    Huyo maiko Michano hatariii

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 роки тому +6

    Kitukuu ni Mandonga

  • @bhuzahope2746
    @bhuzahope2746 2 роки тому +1

    Mmh huyo dogo wa kahama bhana

  • @sanywizzy-4329
    @sanywizzy-4329 Рік тому

    Mayco michano 💯💯💯🔥🔥🔥👊

  • @mr._Dielj
    @mr._Dielj 2 роки тому +1

    Good 🇳🇬🙏🏻🙏🏻💪

  • @issahharuni1649
    @issahharuni1649 2 роки тому +5

    Wasenge wote 😂😂sensa ,sensa kama wasenge

  • @paulmkai2043
    @paulmkai2043 2 роки тому +1

    Michael michano..🙌🔥🔥🔥

  • @humphreynjelekela9575
    @humphreynjelekela9575 2 роки тому

    Big up canaah

  • @michaelmlewa2346
    @michaelmlewa2346 Рік тому

    Ni kelele tu SENSAAAA😂

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 2 роки тому

    Imeisha hyo🎧🎤😜😆😆😆😆😂

  • @officialrockrhymes1858
    @officialrockrhymes1858 2 роки тому +6

    Mawaki wote hapo hamna rapper

  • @kosammtokoma3321
    @kosammtokoma3321 2 роки тому

    Kumbe hatamimi ni rapa mzuri tu dadeki

  • @preciouswachack7332
    @preciouswachack7332 Рік тому

    Naomba Walete na wanawake

  • @samybaro3428
    @samybaro3428 2 роки тому

    Jamaa mbna anapresha uyooo? Mwamba MAIKO kauwa ban

  • @samybaro3428
    @samybaro3428 2 роки тому

    Hahahahahahha Duuh Broh kapinda goti

  • @stentatv
    @stentatv 2 роки тому +7

    Nilimiss sana Rap battle😂

    • @spaceonedigital254
      @spaceonedigital254 2 роки тому

      Ep03: OnMic 🎤🎧 Street 🔥❤️ Rap Battle - Keshweezy VS Lagodo
      👇👇👇
      ua-cam.com/video/45xrCdgjOeE/v-deo.html

    • @patrickalimasi6461
      @patrickalimasi6461 Рік тому

      akuna free style hapo hata dimakey kawa shinda ao dogo

  • @sudymaulid6204
    @sudymaulid6204 2 роки тому

    Hawa waimbaji wengine wanaenda tu kuimba hamna kitu

  • @salimsamadanga6722
    @salimsamadanga6722 Рік тому

    Michael alimuua vizuri kitukuu

  • @officialbenben9148
    @officialbenben9148 2 роки тому

    Hapa kwenye sensa hamna rappers

  • @goodluckmchopa6015
    @goodluckmchopa6015 2 роки тому +1

    Michael ni 🔥🔥

  • @hotstoriestv4692
    @hotstoriestv4692 2 роки тому

    Hakuna wasanii apo wote wazembe

  • @SelemanMkumbo-l5n
    @SelemanMkumbo-l5n Місяць тому

    Sema % kwa maiko michano

  • @khalidkabakakabakakhalid3411
    @khalidkabakakabakakhalid3411 2 роки тому

    Michael Michano salut

  • @sanrickboy7603
    @sanrickboy7603 2 роки тому

    Fresh san

  • @mokitaa8750
    @mokitaa8750 2 роки тому

    Mnazingua mnapo leta wasiojua wanapozesha

  • @infoplasimedia
    @infoplasimedia 2 роки тому +2

    Artilist Michael Michano 🖐

  • @danta7718
    @danta7718 2 роки тому

    Ni ushindi wa TKO

  • @thelastking5180
    @thelastking5180 2 роки тому +1

    2:25 anaye jua jina la wimbo wa beat iliyopigwa apo plz

  • @iconicvaldo
    @iconicvaldo 2 роки тому +1

    Kimara Mojaaaa Michano 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @kelvinkizingi9215
    @kelvinkizingi9215 2 роки тому +1

    Hushangai me ni simba nae kula fisi😂

  • @wagerezanin2k896
    @wagerezanin2k896 2 роки тому

    Jamaani mi naweza ku freestyle Zaid ya ao jamaa ila nipo mbali nipo mkoani songwe

  • @ramsootz
    @ramsootz 2 роки тому +7

    Sema jamaa kama ana mcopy TOXIC hivi au maskio yangu

  • @dariuskasitu5594
    @dariuskasitu5594 2 роки тому

    Black angalau ila huyo mwingine hamna kitu kabisa

  • @Ankooo.churi36
    @Ankooo.churi36 2 роки тому

    Mbona sensa kibao kibao mazee hakuna maana,hebu nipeni chance niwaoneshe

  • @coastsudy8165
    @coastsudy8165 6 місяців тому

    Michael said saana

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 роки тому +4

    KELELEE TUUU NONSENSE

  • @bhuzahope2746
    @bhuzahope2746 2 роки тому +2

    Kitukuuu wa kahama huyo

  • @RahimMatambala-w7r
    @RahimMatambala-w7r 9 місяців тому

    Michael michano adondoke na yededee

  • @lewiskombole2917
    @lewiskombole2917 2 роки тому

    Freestyling mmmh hamna kitu, that boi mwenye virasta na kireflectoe cha kijan alikuaga mnomaaa

  • @EyazMusic
    @EyazMusic 2 роки тому

    Mwotoooo 🔥🔥🔥🔥

  • @wizzymp2599
    @wizzymp2599 Рік тому

    Wnajua ila hawatixhi kikubwa juhud

  • @PrincePhotographer-q5z
    @PrincePhotographer-q5z 3 місяці тому

    Singer raza

  • @AllyMbegu-bs7ii
    @AllyMbegu-bs7ii Рік тому +1

    Na mpam wake ka muuza vitunguu maiko umenichekesha hatr kunyw Pepsi bard bili yngu maiko meiksam noooooooo

  • @IzoBray
    @IzoBray Рік тому

    Oog,,,!!!!???😮😮😮😮

  • @youngfella1008
    @youngfella1008 2 роки тому

    Sjui mnatumia vigezo gani kuwapata au MTU akija2 mnapa mic

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 Рік тому

    wote wakali

  • @cassykakobe5485
    @cassykakobe5485 2 роки тому +1

    Sensaaa ya nyokooo

  • @ibrahimsadick6137
    @ibrahimsadick6137 2 роки тому +1

    Round ya 3 jamaa mwenye nyeusi kauaaaa sanaa

  • @paulokiwango21
    @paulokiwango21 2 роки тому

    Dah mambo ya rap

  • @ochujunior5247
    @ochujunior5247 2 роки тому +1

    Unyama

  • @purechuse
    @purechuse 2 роки тому

    kuimba sio mchezo alafu nyinyi wasafi miyayusho tuu

  • @alfacharless8812
    @alfacharless8812 2 роки тому

    Nili miss sana hii kitu