USHUHUDA WA MAKANISA YA NGUVU ZA GIZA | Part 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 81

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 Рік тому

    Ashukuriwe Mungu wa Abrahamu, isaaka na Yakobo.

  • @millyaketchmkenya2009
    @millyaketchmkenya2009 4 роки тому +4

    Napendaga sana simulizi zako jactan msafiri uzidi kubarikiwa,napia usii badilishe uwoo wimbo wako,iyoo tune uwaa yanikumbusha mbali,BARAKA

  • @georgetune.2818
    @georgetune.2818 Рік тому +1

    Mwili na Urembo hudanganya Lakini Mungu Yahweh habadiliki.

  • @Mfunzo
    @Mfunzo 4 роки тому +2

    Kaka unaitua mioyo ya watu wengi sana kwa kiwango cha juu Bwana akupe kushinda katika mapambano yako ya kazi yako

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 5 років тому +4

    Mmmmmn hakika mbinguni kuingia ni kazi c lelemama

  • @omaryshafii50
    @omaryshafii50 5 років тому +7

    Duh! Hatareee

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 років тому +3

    Pole sana.01.04.19.

  • @jaysonmwangi6571
    @jaysonmwangi6571 3 роки тому +1

    Mung u akubariki kwa mafunzo yako ya kutufungua macho

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому +2

    Pole sana,23.02.20.

  • @anneafrica939
    @anneafrica939 3 роки тому +2

    Bado nahusikiliza huu hushuhuda

  • @shemowino2843
    @shemowino2843 5 років тому +4

    Bibilia inasema wazi kua nyakati ya mwisho watu watakua na sikio na hawataona watakua na sikio hawatasikia,GOD blues you all Jesus is coming back!!

  • @jasminlwande811
    @jasminlwande811 5 років тому +1

    Hivi ni kweli kabisa.miezi miwili iliyopita Mungu ametuma watumishi kutoka nje ya nchi kulio nya kanisa la Tz na hasa wachungaji.na Mungu ameahidi kuwaadhibu vikali kuanzia mwakani

  • @salomeanganisye9793
    @salomeanganisye9793 2 роки тому +1

    Madhabahu uliyoenda Ni ya mashetani

  • @sisisisilia4898
    @sisisisilia4898 6 років тому +2

    Daaa ushuhuda mzuri sana pia tunaomba usichelewe muendelezo

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому

    Mungu atusaidie

  • @jasminlwande811
    @jasminlwande811 5 років тому +4

    mambo haya ni kweli kabisa yanaendelea makanisani

  • @lidyamangowi1340
    @lidyamangowi1340 3 роки тому +1

    Dah wachugaji acheni hayo mambo

  • @elisantekwayu9167
    @elisantekwayu9167 4 роки тому

    Mungu mueza wayote

  • @lucymrembolucy2294
    @lucymrembolucy2294 5 років тому +5

    Sio wote wengine huingia upadri kwa maslahi yao wakifika kule wanakuta mpaka uhitimu ili upate upadrisho mitigani unayopitishwa wengi wanakwama njiani na wanaaacha upadri kufuzu sio mchezo dadaa huyo siopadri pole uliza wenye familia za mapadri og au masister og upate ukweli .

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому

    Wazazi wazuri Sana walirudisha mali

  • @susynjambi
    @susynjambi 5 років тому +6

    Hizo shuhuda sinanijenga sana kiiroho

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 роки тому +1

    Jesus you are good all the time

  • @sarahyvonne4580
    @sarahyvonne4580 4 роки тому

    I need u GOD

  • @leminakasindi9232
    @leminakasindi9232 5 років тому +9

    Jmn wa Kristo wakatoliki kwanza mapendo najua mkatoliki anajua kwann kanisa katoliki linapingwa vita na mathehebu mengine cha msingi simamia imani yako kama katka sala ya nasadiki na wakatoliki hatupigani ss bal Mungu anapigana nao hao imani ipo katka kanisa katoliki msitikisike tusome Neno tulijue Neno makanisa hayakupeleki mbinguni

    • @edigamwalongo1913
      @edigamwalongo1913 5 років тому

      Lemina Kasindi s

    • @calvinleka4728
      @calvinleka4728 4 роки тому

      Hata mm nilikuwa kama ww lkn leo hii tiar nimeokoka baada ya kuitambua kweli

    • @vailethmtemekele1347
      @vailethmtemekele1347 4 роки тому

      Daimaa

    • @jakelema6325
      @jakelema6325 3 роки тому

      Nikuambie tu ndugu ukatoliki haukufikishi mbinguni wala dini yeyote ile,,,,bali ni wokovu wa kweli tu yaani kuokoka ktk kweli,,karibu kanisa la Yesu ni Bwana na Mwokozi wa mataifa yote utafundishwa bure bila ubaguzi asante

    • @neemamatemba7954
      @neemamatemba7954 2 роки тому

      @@jakelema6325 Amen

  • @levinaabela6983
    @levinaabela6983 6 років тому +4

    Aisee, nzuri ila usicheleweshe sana

  • @sarahsarah4919
    @sarahsarah4919 6 років тому +3

    Ndah. Tunaobeni. Mwendelezo

    • @leopoldtibyehabwa1566
      @leopoldtibyehabwa1566 5 років тому

      Siangalii tena! Hiki kitu, ninachukia sana shuhuda za kitapeli, wengine mnakuwa na matatizo ya Familia zenu genetic hamtaki kukubali. Hata mikosi huwa inarithiwa kizazi na kizazi. Pia Padre huwa hawaoi, usituchabganyie mafaili.

    • @cathyjb4339
      @cathyjb4339 5 років тому

      +Leopold Tibyehabwa si umeambiwa ameacha u-padre usichoelewa kipi?

  • @fei3668
    @fei3668 6 років тому +5

    Jaman nzur usichelewe tafadhari ku upload nyingine

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  6 років тому +2

      Frida Mbilinyi Sawa.tafadhali Subscrib

  • @hassanrashid8182
    @hassanrashid8182 Рік тому

    Watumishi ambao wanavaa mikufu kacha makacha mapete ya ajabu huwa siwaamini

  • @rosemabaua7964
    @rosemabaua7964 5 років тому +5

    nothing

  • @el-gibbortv5564
    @el-gibbortv5564 5 років тому +2

    Wewe acha!!!

  • @neemahamis8160
    @neemahamis8160 5 років тому

    Mmmh

    • @halimamgas6402
      @halimamgas6402 5 років тому

      Nyie ajalazimisha kusikiliza yawezekana na nyiye nimawakala washetani mua che ashudiye alicho kiona

  • @nemangowi1418
    @nemangowi1418 5 років тому +2

    Sio padre bhana Huyo alikuwa na mambo yake ndo maana hata upadre ulimshinda

  • @aliceaudax8606
    @aliceaudax8606 5 років тому +3

    Thank jesus cause you know how i love you waache waafiki waendelee kuponda lkn siwezi kukuacha najua uliponitoa leo hii nisingekuwa hai lkn ni hai na nguvu tele

  • @josephattryphord9269
    @josephattryphord9269 5 років тому +2

    swali hili ni kwa watumish.anaeleza alikuwa anaoneshwa na roho mtakatifu /Mungu,ni katika huduma gan alifanyiwA maombi ya ujazo wa roho mtakatifu

  • @paschalpaul5022
    @paschalpaul5022 5 років тому +1

    du!

  • @gospalflavour7304
    @gospalflavour7304 5 років тому +8

    niupumbavu wa hali yajuu kuhusisha anguko la dhambi ya mtu na anisa.komaeni akili.hata mashehe wanafanya mambo yaajabu tu tena wanafanyia sehem za msikiti.
    dhambi yamtu binafsi isichafue sehem ambazo watu wanaabudu mtalaaniwa msipokuwa makini.
    wala sitétei kanisa hilo la katoliki lakini naaribu kuwarekebisha

    • @jakelema6325
      @jakelema6325 3 роки тому +1

      Kama hujui makanisa mengi sasa yamechacha,,,na mengine si ya Mungu kabisa,,,karibu kanisa la Yesu ni Bwana na Mwokozi wa mataifa yote

  • @sarahsarah4919
    @sarahsarah4919 6 років тому +4

    Asate. Kwakutuletea. Ushuhunda. Huoo

  • @josiahkabirigi4463
    @josiahkabirigi4463 6 років тому +3

    Bible reference

  • @godfreymollel1593
    @godfreymollel1593 4 роки тому

    Ukweli.ni.kwamba.tuache.mzaha.na.wokovu.nyakati.hizi.ni.za.hatari.wakristo.tuwe.makini

  • @josephattryphord9269
    @josephattryphord9269 5 років тому +5

    huyo roho aliyekuwa anamwonesha alimpokea wap na nan alimfanyia ujazo wa roho mtakatifu?iwen macho wateule unaweza ukajua unamsikiliza roho kumbe adui hayumo yesu humu ndan kwa hakika kabisa.ujumbe haujashiba neno moja,pil mtu huyu ni mchanga kiroho ukimsikiliza kwa makin hajui vitu vingi ndio maana anapwaya hana neno.tatu kashindwa kuzipambanua roho ,hakika yangu Yehova aishie hajamwonesha mambo haya .pole na kwa watumish walomsikiliza wakajua ni Yesu kasema .kuna mahala Yesu anapatikana si kila mahal mbona .alisema na roho ni madhabahu ipi alimpokea huyo roho.imeandikwa malaika wa giza hujigeuza na kujifanya malaika wa nuru .ukitazama kwa mbal ushuhuda huu utaona kama ni nuru ila si nuru kamili iwaangaziao watu.mwulizen mungu atawafundisha amen

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  5 років тому +3

      Kwani roho mtakatifu huwa anapatikana wapi mpendwa!?maana unaeleza kanakwamba kuna mahali maalum pa kumpata

    • @neemamatemba7954
      @neemamatemba7954 2 роки тому

      @@PromovertvTz bado hata mimi namshangaa na pia najiuliza kwani Mungu anamipaka ktk kufanya kazi yake Mungu anaweza akakufunulia jambo (akaruhusu jambo litikeee ulifahamu) Ili uweze kupata kujua mambo flani ambayo yatakusaidia au yatafanya Mungu atukuzwe pale tuu utakapoyaeleza kwa watu;
      Mungu yeye hana mipaka kama ya wanadamu yeye kama aliweza kumshika kuzimu na kumnyang'anya funguo za mamlaka anashindwaje na mwanadamu anawezaje kuweka mipaka juu ya utendaji wake Mungu??

  • @graceshayo5763
    @graceshayo5763 5 років тому

    Ee Mungu wetu tusaidie watoto wako peke yetu hatuwez kbx dunian inamakubwa

  • @bwelelejohnjohn2696
    @bwelelejohnjohn2696 5 років тому +5

    Huyo siyo padri alikuwa mwanafunzi wa upadri

  • @chegebuchege3230
    @chegebuchege3230 5 років тому

    N

  • @revelianalphonce8115
    @revelianalphonce8115 5 років тому +3

    huyo alikuwa siyo padri

  • @sodamohammed5135
    @sodamohammed5135 5 років тому +3

    Hawa wakristo hawataki kuamin sababu washazoea kudanganywa kuabudu masanam n binadam

    • @lutufyodixon9997
      @lutufyodixon9997 5 років тому

      Kwahiyo wewe Ndiye uaminiye vitu vya ukweli?
      Tangu lini uislam una ukweli ndani yake?

    • @fetrishakaza1473
      @fetrishakaza1473 5 років тому

      ww unayo muabudu jini amina

    • @sarahogama9540
      @sarahogama9540 4 роки тому

      Ww ulivyomuamini mohhammed jambazi mbakaji wa vitoto tuliza domo na ufuate ya kwako huko misikitini hapa sio kwa waislamu ,,,ala!!!

    • @jescalaurent6242
      @jescalaurent6242 2 роки тому

      Pole usilo lijua sawasawa na usiku wa giza upo gizani wewe

  • @husenimareja1907
    @husenimareja1907 5 років тому +4

    Huezi kuokoka dunian

    • @amosichacha5675
      @amosichacha5675 5 років тому +3

      Huseni Mareja wewe wasema, kuokoka ni hapahapa duniani, baada ya kufa ni hukumu. Wapo watu kama wewe walisema hakuna kuokoka hapa duniani. Walipokufa wakajikuta hawana nafasi tena ya kuokoka walishachelewa. Walikuta walichokikataa duniani kwamba hakuna kuokoka ndvyo kilivyo. Wakabaki wanajuta kilio na kusaga meno, wanatamani warudi tena duniani waokoke nafasi hiyo haipo tena!

    • @gracerahma9775
      @gracerahma9775 5 років тому +1

      Hongera kwani hujui ulinenalo vizuri utaokoka peponi hongeraaa

    • @adelaromanus3050
      @adelaromanus3050 5 років тому +1

      wewe weee usidanganye wenzio haya wataokoka wap ebu tuambie

    • @lutufyodixon9997
      @lutufyodixon9997 5 років тому

      Wewe unamsubiria Al Jasasa akuokoe?

    • @angelsimon1960
      @angelsimon1960 5 років тому

      Kwa hiyo utamkiri Yesu ukiwa mfu