ALIECHUKULIWA MSUKULE MIAKA 11 ARUDI/MAMA ALINIZIKA AKIJUA NIMEKUFA/TAJIRI WA MABASI ALININUNUA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 69

  • @petermwaibofu3260
    @petermwaibofu3260 Рік тому +5

    Nguvu ya KRISTO YESU kwa mara nyingine tena! Haya wale wa kuchukia, poleni

    • @othmanmulendelwa9622
      @othmanmulendelwa9622 Рік тому

      Yesu sio kristo yesu ni muislam acheni kumpakazia yesu ali ingia kanisani lini

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 Рік тому +1

      @@othmanmulendelwa9622 We mtete Allha na Muhammad achana na Yesu wetu, Waislam mnampinga Yesu alafu hapa mmnasema Yesu ni Muislam tbubutuuu nyie Mnamjua Issa bun Mariam sio Yesu

    • @petermwaibofu3260
      @petermwaibofu3260 Рік тому

      @@othmanmulendelwa9622 Tuachie KRISTO YESU wetu, huyo wa kwenu nenda ukanywe naye chai

    • @othmanmulendelwa9622
      @othmanmulendelwa9622 Рік тому

      Yesu xio wakwenu yesu niwa wa islamu yesu ajawai kufundisha dini kanisani

    • @kelvin_Songea2023
      @kelvin_Songea2023 Рік тому

      Kama YESU KRISTO ni muislamu sasa mbona hammuamini, mbona hammtumikii, mbona hamfuati mafundisho yake

  • @petermwaibofu3260
    @petermwaibofu3260 Рік тому +5

    ile kuambiwa "hao samaki hautawala" maandalizi ya kukuchukua wewe yalishafanyika siku nyingi huko nyuma, ile siku ya kuambiwa hivyo ilikuwa ni kuhitimisha tu kukuchukua!

  • @janeongala6684
    @janeongala6684 Рік тому +4

    Kaka unajua kuadithia vizur pole sana

  • @reisezone4574
    @reisezone4574 Рік тому +4

    Davista naomba umuulize swali hili ili swali huwa haliulizwi ni hivi muulize kule wanakaa misukule je wanakuwa wanaenda haja yaani chooni kama kawaida yaani kama kunya na kukojoa, na kama wanaenda je ivyo vyoo vinakuwa vipo wapi

  • @charlesmbena9121
    @charlesmbena9121 Рік тому

    Asante kwa ushuhuda za namna hii zinasaidia jamii ya waaminio sana kutoka mahali kwenda mahali lakn ndugu zangu wakristo yeyote mwenye Mungu wa kweli hana hofu ya wakuu wa dunia hii tumjue sana Yesu ili tuwe na amani kubwa sana

  • @iandavid4878
    @iandavid4878 Рік тому +4

    Maswali yako leo ni ya muhimu sana Davista na yana maana sana nimeyapenda sana

  • @petermwaibofu3260
    @petermwaibofu3260 Рік тому +3

    Davistar matta, hilo kaburi na mchungaji waje hapa tafadhali ili kujenga ushuhuda juu ya hilo!

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 Рік тому +2

    Davistar hawa wanaokutukana eti unaulizau iliza maswali achana nao kwani lazima wasikilize!! Si wapotezee tu. Ulishafafanua kuwa unauliza maswali kwa niaba yetu. Binafsi nafurahi unavyouliza maana unauliza kwa niaba yetu, Kuna wakati najiuliza hapa imekuwaje nakuta unauliza, nakuwa naelewa vizuri.
    Nakukubali Davistar, piga kazi mtu wa Mungu, mwenye haraka ya kusikiliza afowad mbele😄

  • @germainndayishimiye8684
    @germainndayishimiye8684 3 місяці тому

    Pole sana

  • @Jaanburhan448
    @Jaanburhan448 Рік тому

    Davister pamoja sana kwa kutoa hizi simulizi ili watu wajifunze vitu fulani, Niko na wewe katika hizi story zangu since day 1, Unafanya vyema sana..
    Jamaa anatoa maelezo ambayo ilishawahi kumtokea maheremu kaka yangu,Soon nitakuja kusimulia katika kipindi chako

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 Рік тому

    Duh!!
    Pole sana Kaka. Mungu atusaidie sanaa watu wake

  • @plastidiacasmiry2234
    @plastidiacasmiry2234 24 дні тому

    Lakini mbona anasura ya msukule?
    Mungu azivunje nguvu za giza zilizo baki juu yake

  • @germainndayishimiye8684
    @germainndayishimiye8684 3 місяці тому

    Wa chawi walaaniwe kabisa kwa jina la yesu christo

  • @semwandambaza2184
    @semwandambaza2184 Рік тому +1

    Asipouliza mnalalamika,,,akiuliza mnalalamika👐....Mwacheni kaka Davista banaaa! Davistar nakuficha kwenye Damu ya YESU KRISTO aliehai 🙏😘

  • @Waziri77
    @Waziri77 11 місяців тому

    swali nzuri sana Davi

  • @anastaziaclement1034
    @anastaziaclement1034 Рік тому

    Wasikilizaji ndio tunapenda ushuda na kupitia huu tunabarikiwa Ila kaka yangu jaribu maswali yako yawe yaendane na anakusimulia story 🙏🙏🙏🙏🙏🇿🇦

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 Рік тому

    Noma Sana broo

  • @user-pm4ig8fi3m
    @user-pm4ig8fi3m 9 місяців тому

    Poleh jmn

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Рік тому +1

    Watu wengine wapumbavu sana wanapenda kupuzia mambo ndio maana wanapata shida sana... hapana wapo wenye kuona kuwa si mtu lakini unyamaza kwasabu shughuli yakumrudisha mtu si kazi lahisi kwani ni vita kubwa

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 Рік тому

    Waislam Wachawi sana mambo gani haya yakurogana sasa, nasema Waislam kwasababu kitabu chao cha Quran ndio wanatumia kusomea Albadiri kurogea watu sijui wanapata faida gani kuumiza watu, Yesu wanyooshe hawa watu mkome hiyo tabia

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 Рік тому +1

    Piga kazi mtu wa Mungu, lete part two💃

    • @othmanmulendelwa9622
      @othmanmulendelwa9622 Рік тому

      Kwani wewe ni mtu wa shetani

    • @othmanmulendelwa9622
      @othmanmulendelwa9622 Рік тому

      @Sylvia Ngunya sio umependa kazi davistar inata kiwa tumuunge mkono kwa kujiunga kwenye group ulipendalo

  • @adamaldo5375
    @adamaldo5375 Рік тому

    Jaman haya yapo tuombe Mungu jaman

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 Рік тому

    Safi Sana broo

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Рік тому +1

    Wanaweza kukuroga na kukuponya wenyewe inawezekana na ndio maana kuna waganga wakichawi na kazi yao ni hiyo

  • @annkim2690
    @annkim2690 Рік тому

    Macho ya kiroho sio kila mtu anayo jamani ipo siku bishop wangu aliona ubwa Kwa jeneza akasema tuombe badae walipata mtu nyuma ya mlango

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 Рік тому

    1

  • @anastaziaclement1034
    @anastaziaclement1034 Рік тому

    Divet maswali yako siyaelewangi muda mwingine unauliza swali huyo sio mgaga au nichawi alichukuliwa msukule na sio anajua madawa sikiliza kwanza story alafu muulize maswali na kuendana na vitu anavyojiereza

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 Рік тому

    Maswali ni mazuri sema kuna watu wanata story tuuuu bila kujua mambo kwa kina. Asante Davistar kwa kuniulizia maswali mengi niliyohitaji kujua.

  • @pascalbalex5142
    @pascalbalex5142 3 місяці тому

    Acha ufara maswali gani hayani kichwa wala miguu

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 Рік тому

    Nakumbuka yohana katika ushuhuda wake alisema ukiona mtu amekupania akakwambia utaona nitakachokufanya usiipuuze ,,Sasa Hapa pia nimeona hii kauli ya huyu mzee alipomwambia tuone Kama samaki hao utawala'' kumbe ukiona mtu kakupania usiipuuze Kuna kitu anajua Ni mshilika huyo,

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 Рік тому

    Hao wazazi wako ni wazembe sana, Wanawezaje kumzika mtoto wao kirahisi hivyo! Kwanza siwezi kuamini kifo cha hivo wakati mtoto wangu kanambia alivyoambiwa na mchawi! Ndo maana mie huwa spuuzi maneno ya mtoto wangu, Yani we ukimwambia neno la hatari hivyo afu akanambia! Una kazi wewe!

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 Рік тому

    Natamani maswali yajikite kwenye testimony ya mgeni kuliko maswali ya nje ya testimony ya mgeni, kuuliza kwa nini wachawi hawana hiki na hiki ni ufhaifu wa Huyu mwandishi

  • @farajomar2902
    @farajomar2902 Рік тому +1

    Mambo vp nauliza msukule kwa kiengereza anaitwaje

  • @eddyjunior2881
    @eddyjunior2881 Рік тому

    Mi Niko SUMBAWANGA huyo tajiri atakuwa SUMRI

  • @Mazoea
    @Mazoea Рік тому

    Mmmm akuna kitu apo

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 Рік тому

    BONA MTU AKICHUKULIWA MSUKULE UWEKWA NYUMBA YA MLANGO, KUNA SIRI GANI HAPO NYUMBA YA MLANGO, MTUMISHI EBU TUELIMISHE, KWA MAANA HIO HAO WATU WANAFANYANGA ACROBATICS NI NGUVU ZA GIZA WANATUMIAGA🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @shimii3662
    @shimii3662 Рік тому

    Story nzuri ila maswali mengii duuh

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Рік тому +1

    Too much unnecessary questions 🚮🚮

  • @xcaliber8300
    @xcaliber8300 Рік тому

    Nishamjua huyo tajiri na bado kafulia vilevile

  • @godelivamuswahili2988
    @godelivamuswahili2988 Рік тому

    ✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Рік тому

    Davista wacha mtu atiririke

  • @noeldaudi590
    @noeldaudi590 Рік тому

    Davista hacha ujinga kwanini unatumia muda wa stori Kwa maswali
    Kwani huwezi hadisiwa pembeni
    Ili mtu akianza kaanza

  • @noeldaudi590
    @noeldaudi590 Рік тому

    Kwa hiyo Kila analosema wewe unauliza huoni unaharibu muelekeo wa stori
    Wew kusema kweli unamambo ya Kisenge
    Usikilizi comment
    Huoni ukiwa nashida hakuna ataye kusaidia maana stori zako zishakua za kishamba hazieleweki inaanzia wapi inaishia wapi

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Рік тому +1

      Kwajinsi yaulizaji wake mimi naona sio tatizo

  • @josephinekisuna4290
    @josephinekisuna4290 Рік тому

    Ajabu

  • @noeldaudi590
    @noeldaudi590 Рік тому

    We davista kumbe wewe ni makusudi lakini sisi makusudi haitusaidi, sisi tunatumia mb
    Maswali mengi yanamaliza mda
    Kama hupi basi hadisiwa peke yako

    • @Yusufu940
      @Yusufu940 Рік тому

      Amejibu sivyo jb kwa nizamu tadhali

  • @hamisihassan2620
    @hamisihassan2620 Рік тому

    🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮😇😇😇😇😇😇😇😇

  • @sbctvswahilibaptistchurcht3548

    hata MARECANI kuna uchawi bana cheki👉ua-cam.com/video/EWtCiMAdMkk/v-deo.html