Kweli kabisa maana shetani atabadili MAWAZO yetu tusikilize hizi habari bila kutengeneza mabadiliko mioyoni mwetu, MUNGU atusaidie sana tubadilike WAPENDWA YESU KRISTO anatupenda sana,
Kuna utata sana kuhusu rangi ya ngoz ya yesu christo wengne wanasema alikua ana ngoz nyeus nawengne wanasema mzungu sasa kwann huyo mtu alietoa ushuhuda kua namuona yesu kwann hawakumuuliza mwonekano wa yesu????kitu kingne alimjuaje kua uyo mtu ni yesu maana yule alieigiza picha ya yesu Brian deacon wa marekan aliiigiza tu movie lakin sio yesu na ile sura sio ya yesu
Ndg yangu issue ya utata wa rangi wa Yesu unakujaje wakati asili ya Yesu ipo wazi kwamba ni Myaudi..Hivyo sio mzungu wala mwafrika. Lkn asili yake na DNA ipo wazi kwamba ni ya Kiunga sbb alizaliwa na Mama aliyepata ujauzito kupitia Roho Mtakatifu
Hakika Mungu ni mwaminifu sana wapendwa tusiwe waskilizaji bali tubadilishe mienendo yetu leo
Amina Mungu atusaidie
Kweli kabisa maana shetani atabadili MAWAZO yetu tusikilize hizi habari bila kutengeneza mabadiliko mioyoni mwetu, MUNGU atusaidie sana tubadilike WAPENDWA YESU KRISTO anatupenda sana,
Unafanya kazi nzuri sana MUNGU akubariki
Ubarikiwe kwa kutuletea shuhuda
Asante Sana kaka mungu akubariki kwa ushuhuda wa kutia moyo.
Ubarikiwe sana kwa kazi hii
Asante kwa ushuhuda, Mungu tunaomba tusaidie wanawake tuachane na hivyo vitu vya duniani
Asante kwa kutuletea hushuuda mtumishi wa Mungu ubarkiwe
Mungu akubariki saaana
Amen jina la BWANA LIBALIKIWE
Asante sana mtumishi Mungu akubariki
Barikiwa Sana kwa kunijenga
Mungu aniajaliye mwisho mwema
Ubarikiwe mpendwa ninasubria part 3 ya Dada Linda maana nlkuwa na share to my status
Amina
Mungu ni mwemaa kila wakati
Part 2 plz
ameniii
Thankyou for creativity..
Mungu abadilishe mufumo wa maisha yangu
Lusiana Kyando kabisa
Amina,TUOMBE masamaha na kuomba neema yakushinda dhambi na kumpenda sana YESU KRISTO 🙏
Weka part 2
Sasa mtu akiwa na swali anamuuliza nani wewe msafiri au huyo mwenye ushuhuda?lakin ubarikiwe sanababa
EEE BWANA YESU TUSAIDIE TUSIKWAME YESU WANGU YESU WANGU
AMINAAAA 🙏
Hi.
Is the original story in a novel? If so please advice the name.
Regards Lynn.
It's not a novel a true testimony you can get in English to peniel ngonde
Or you can search brother Richard antwi testimony and see brother Richard speaking
Daa kupitia ushuhuda huu kweli nitabadilik
Sehemu ya pili plz
Barikiwa sanaaaaaaaa
Amen 🙏
Nimejifunza kupiga hatua
eeew MUNGU niwezeshe
Ndg zangu mnaoendaga mbinguni nauliza mbingu zipo ngapi? Mbona mnatofautiana kwa mnayoyaona huko? Wengine waliona pande 2 kuzimu na mbinguni, wengine vyumba 351 huyu kamba tujue lipi?
Hapa haya makundi ni watu waliokufa tayari au hata hivyo wanaweza kutubu?
Tumia peniel ngonde ni UA-cam channel ututafsirie yaliyopo
Kuna utata sana kuhusu rangi ya ngoz ya yesu christo wengne wanasema alikua ana ngoz nyeus nawengne wanasema mzungu sasa kwann huyo mtu alietoa ushuhuda kua namuona yesu kwann hawakumuuliza mwonekano wa yesu????kitu kingne alimjuaje kua uyo mtu ni yesu maana yule alieigiza picha ya yesu Brian deacon wa marekan aliiigiza tu movie lakin sio yesu na ile sura sio ya yesu
Ndg yangu issue ya utata wa rangi wa Yesu unakujaje wakati asili ya Yesu ipo wazi kwamba ni Myaudi..Hivyo sio mzungu wala mwafrika. Lkn asili yake na DNA ipo wazi kwamba ni ya Kiunga sbb alizaliwa na Mama aliyepata ujauzito kupitia Roho Mtakatifu
Mtazame Yesu aliekuja ktk njia ya Neno huyo Decon ni muigizaji tu Wa uingereza lakini Yesu unampokea kwa njia ya Roho
Mmmm
@@godfreylyimo4177 Ni dhambi huwezi taja rangi ya yesu ndio maana wachungaji wengi hawawezi kutaja rangi
Rangi ya yesu sio big dili ila yesu ni mweusi ila walio muua ni wayaudi picha za yesu ipo vatikani na ni mweusi kabisa
Asante kwa kutuletea hushuuda mtumishi wa Mungu ubarkiwe
Amina