Tena sana na anajibu bila woga wowote hata kama amekukuta na hiyo kazi yako lakini alitakiwa abadilike kwa kuwa sasa ni mke wa mtu kama wale madada poa wanapopata mtu wa kutulia nae utulia kama sio wao, na huyo ajua radhi mume
Hana mwingine tatizo mashoga wanaharibu hizo pesa unazo tuzwa ukikosa hao mashoga watakupenda chezea ndoa japo hizo ndoa zenu zipo nyingi tofauti na zetu kupata ndoa hadi uingie kwenye maombi 😢
Wewe umeshakua mkubwa kwake uyo bonti awez kukuelewa maisha labda aamue mwenyew kutulia la sivyo utaita media zote mashekhe wote duniani na awez kuluelwa labda aamue mwenyewe kutulia
Mm nlikua n tabia ykuchza chura ila sio sna kivile lkn sijaolewa ila nko n mpenzi wngu alikua akichekwa n wtu ananuna n kunikemea mpka huwalia n kusma namuibisha mna lkua akiniapiza ivi niwambiavyo ata kusimma chandaruani kuchza naona haya wallah n nikiona wenzngu naona kma niupumbv Asante kw mume wngu mtarajiwa kw kunibdlsha uyu dda hjampnda uyu mume angempnda angejitahidi mpka akaacha nisme Asante mungu kwkuniltea mtu wkunibadili😢
😮! unampenda Lakini unaenda kuwafunulia chupi wapiga Ngoma yani kama kweli hayo unayoyazungumza ni kweli na huwo uzuri wako mpenzi mtihani bora iwe kiki
Mimi naushauri kaka wacha kuendesha bodaboda anza kupiga ngoma ndani atatulia asaule mpaka akusaule na wewe mwenyewe kama utakuwa huna ngoma ndani itakula kwako wenzio nje wanasaulana huko maana mauno yale lazima wapiga ngoma wanadindisha wakimaliza ngoma wanasaulana😢
ASALAM ALEY KUM KAKA KIUKELI MWENYE MACHO HAAMBIWA TAZAMA MKE HUYU SIO HALALI YAKO ANGALIA ANAVYOJIBU MBELE YAKO MUACHE HUYO AENDE KWA MASHOGA ZAKE KAKA KWANZA NI MUISILAMU HALAFU ANAKAIDI AMRI YAKO MBELE YA MTANGAZAJI KWELI HANA ADABU HUYU DADA ACHANA NAYE AMESHAKWAMBIA HAWEZI KUACHA NA WEWE HUTAKI USILAZIMIAHE MAPENZI.HESHIMA NIKUACHA KUFANYA KILE AMBACHO WEWE HUKITAKI HAKUESHIMU KAKA YANGU .AMESHAKUONA WEWE NI MZAIFU YAANI HAOGPI ETI MM SIACHI.
Funza zinamzunguka kwenye ubongo lakini na heshima haipo mwanamke mshupavu..Hana ata haya macho makavu hajui ata umuhimu wa mume. .mtovu wa nidhamu jeuri hapo namzabua kibao kimoja..mjinga Sana huyu mwanamke ..kaka muache aende kwenye hivyo vikundu vyake anavyoona muhimu.kaka muache akafunzwe na ulimwengu.huyo C mke ni JINI MAHEPE.
Jamani watu tunataka kupata wanaume wa kuishi nao ili tutengeneze maisha hatupati halafu ninyi mnachezea ndoa naba mke huna jipange mbona huchanganui mambo kaka
Pole bro! Kaka Kumbuka umeunganishwa naye ili umbadilishe. Mungu hawezi kukupa mwenza mkamilifu. Mimi mwanaume na najua lazima tukimbizane na hawa viumbe katika udhaifu wao.
Mku pole uyo mwanamke ni pasu kichwa,Tena uyo ni jini,Tena inabidi ukoo wako waandamane,Tena umezeshwe dawa ya kumsahau uyu,-Ila mwombe mungu akupe mke Mwema,Ila atakukumbuka,Kwamaana umli unaenda na kunakuchoka,Na mbaya zaidi emejidhalilisha watu wengi awatamweshimu Tena,Kwaiyo atabinuka mpaka uzeeni,
Huyo mwanamke aliingia .kwenye ndoa ili achume tu.wala hajui kabisa ndoa Nini? Huyo kashaota masikio ya mbuzi. Hata kuonyeka hawezi kuonyeka. Huyo ni malayatu. Pole sana kaka
Huy mwanamke ni mpumbavu t kweli mwanamke huvunja ndoa Kwa mikono yako mwenyew hat mshipa wa aibu huna, duuh puuuh nimekuzarau hata Kwa kurumagia hufai.
Hii dunia nayo cjui inaelekea wapi jaman sasa mambo ya ndoa nayo niyakupeleka Kwa wandishi wahabar jaman🙌🙌🙌🙌aiseee mm naona uyo dada ana anavojibu jeur yupo sawa2 atakama n mm nimekosea ndo unipeleke Kwa wandishi wahabar😂😂😂😂😂aiseee
Aisee huyo sio mke hata mke gani hajui maana ya heshima kwa mume wake yani anaongea anajiamini mh kuowa niwachie kwanza 2000 imenishida kam d 2 unazo Usha nielewa like ap
Mungu naomba uwape wanangu wake wenye hofu ya Mungu
Duuh mtihani
Wakina Amina sisi jmniiii mhmmm
AMEEN 🙏🙏
Subhana Allah
Wee dada mwogope Mola wako na mweshimu mume wako ..Huna haya kabisa Astaghafirullah
Yani kaka upewe mauwa yako katika watu wanao ongea ukweli na wanao eleweka niwewe kaka munguakupe wepesi katika ndoa yako
Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa kwa mikono yake 😊
Mkaka wa watu mpole, Daah! Mungu akuongoze
Huyu dada hana akili. Hivi huyu mwanamke akiachwa atapata mume kama huyu.
Ana hamu akutwe ni shida itakua hazijawahi kumkuta izo shida kwaio anataka zimkute
Tena sana na anajibu bila woga wowote hata kama amekukuta na hiyo kazi yako lakini alitakiwa abadilike kwa kuwa sasa ni mke wa mtu kama wale madada poa wanapopata mtu wa kutulia nae utulia kama sio wao, na huyo ajua radhi mume
Mtihani kwakweli huyu Binti Hana akili
Hampati......
Hajielew
Mtihani mkubwa,pole bro
Dah!!! 😮
Aisee mungu amsaidie huyu kaka mungu akujalie make mwema dadaangu hapo inaonekana kapata mwingine
Hana mwingine tatizo mashoga wanaharibu hizo pesa unazo tuzwa ukikosa hao mashoga watakupenda chezea ndoa japo hizo ndoa zenu zipo nyingi tofauti na zetu kupata ndoa hadi uingie kwenye maombi 😢
Wewe umeshakua mkubwa kwake uyo bonti awez kukuelewa maisha labda aamue mwenyew kutulia la sivyo utaita media zote mashekhe wote duniani na awez kuluelwa labda aamue mwenyewe kutulia
Mm nlikua n tabia ykuchza chura ila sio sna kivile lkn sijaolewa ila nko n mpenzi wngu alikua akichekwa n wtu ananuna n kunikemea mpka huwalia n kusma namuibisha mna lkua akiniapiza ivi niwambiavyo ata kusimma chandaruani kuchza naona haya wallah n nikiona wenzngu naona kma niupumbv Asante kw mume wngu mtarajiwa kw kunibdlsha uyu dda hjampnda uyu mume angempnda angejitahidi mpka akaacha nisme Asante mungu kwkuniltea mtu wkunibadili😢
Nna zawad yako
Analitia aibu kabila la kizaramo
@@TrustnoLife nipee 😁😁😁
@@dab8859 njoo nbox Dab
@@dab8859
Hizo ngoma wachezeeni waume zenu wari wangu huku ikiwa taa inawaka mapenzi yatakuwa bree
Kwenye hiko kichwa Cha mwanamke hakuna kitu kabisaaaa! 😂😂😂😂
Kabs kabs😂😂😂😂😂
O@@ndayisengaamissi6102
Kichwa box😂😂😂😂
Huyo mdada yuko vizuri mimi sioni nene hapo enjoy life while you are still young. Angelikua yuafanya mambo hayo huzeeni ndio vibaya
Tuwe tunaangalia watu wakuoa, dar ukijichanganya kuangalia suratuu utajikuta unaoa mwajuma ndalandefu wa mtaa
Hahahaaa jaman umenifanya nicheke ndug yang
😂😂😂😂🎉🎉🎉
😂😂😂😂
Unanichekesha
😂😂😂😂
Sio mwanamke huyo achananae ..alivyo mzuri tabia mbaya sana sijapenda kama mama
Kabisa mshenzi mungu atakupa mwanamke mwenye heri na wewe, huyo hata akipewa mali ataenda kusaulia uko,
Ww dada maisha sio hivyo msikirize mmeo
Apo hamna kitu kichwani akishakutwa na shida atajua kilichomtoa kanga manyoya
Hii interview nimeipenda sana mtangazaji uko makini hongeraaaa
😮! unampenda Lakini unaenda kuwafunulia chupi wapiga Ngoma yani kama kweli hayo unayoyazungumza ni kweli na huwo uzuri wako mpenzi mtihani bora iwe kiki
Huyo jamaa ana wakati mgumu Sana itabidi ajielewe
Utazunguka na hizo ngoma mpaka utajutaa dada kuwa mstarabu hicho kiuno cha mumeo ndani tu utajuta dada.kweli dada kichwa chako kibovu
Qq
Mie nasoma comment tu...😂😂😂 sina la kusema, nisije nikaharibu ndoa ya watu.....😂😅😅
Hahahaaaaaaa
@@HappyMwaigwisya hahahahahahahaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂
Msilaumu jaamaa mapenzi upofu mwalimu wake kiziwi
Mimi naushauri kaka wacha kuendesha bodaboda anza kupiga ngoma ndani atatulia asaule mpaka akusaule na wewe mwenyewe kama utakuwa huna ngoma ndani itakula kwako wenzio nje wanasaulana huko maana mauno yale lazima wapiga ngoma wanadindisha wakimaliza ngoma wanasaulana😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
@@FatimaAli-of4gh 😁😁😁😁
@@SATZ-news
Munanicheka kwa kuwa ushauri wangu mbovu au🤣🤣🤣
@@SATZ-news
Watu wanataka wasauliwe yy kutwa anatafuta abiria akirudi nyumbani hata nguvu za kusaula hana
Mmmh 🙄🙄 kaka pole sana...kwa kweli huyu mwanamke ni mtihan sana... hana hofu ya Mungu hata kdg .. Subhana Allah 😭😭😭
Mwanamke Mpumbavu sana.Ila kifo chake kitakuwa kibaya.
Hapo akishaachwa maisha yakimpiga ndo atamkumbuka mume wake
mke mzuri wa sura kapata mme mzuri tu lkn Basi,pole kaka
Uzuri n kinembe sura n bahati
Wadada wapole hatupati wanaume kama hao ila vicheche mungu anavipatia eeh mungu nipe mume kama uyo jamani
Si mm hpa
Amen
Duuu pol
Kweli kabisa sijui tumemkosea Nini mungu
Utapata Mume Ishaalah acha kukata tamaa
Umeowa ibilisi umeweka dani kaka pole
😂😂😂
Pumbavu kuanzia mume mke simbiliz na huyo muandishi uchwara
HUYU MWANAMKE HAFAI ILA MUNGU AMUONGOE NAONA YUKO MBALI
Laana tullah
kitu kidogo tu dada utengeneze ndoa yako unashindwa,ila Duniani duara bahati haiji mara mbili
Hawa ndo wale mkiwa Bado hamjaoana anajifanya anakupenda baada ya kumweka ndani anaanza ugomvi Ili mwaachane akaendelee kuuza kuma
aenderee kuuza kuma daaa
😂😂😂😂😂😂 bwana e umenivunja mbavu huko kwenu tz kuna mambo
sema huyu mume nae duh kama hana rirote nikama uwa anakanyagwa
@@ntakirutimanaetienne592 hana maamuzi yakueleweka inaonekana Bado anampenda sana mke wake ila mke wake hana mpango nae ndo tatizo linaanzia hapo
Mule mule mwanangu usenge huo blood tuwachape tu waende
Yesu watu wanajuwa owa chiziaachecheza kitu nafanyakwetu sifanyekwamume❤😢
Wanapendezana mashaallah Allah awaongoe kwenye ndoa yao!
Afu wanaendana kweri hata mim nimeona
Amiin
Sema akivunja hii ndoa atapata tabu sana
Dah kuwa uyaone somagorofa niuwo upuuzi subhanallah
Babu mwanamke hamna hapo utakufa presha bure mke hamna hapo,😂😂😂😂😂babuu hamna kituuuu.
Amina amuogope Allah kwanz mtoto w kislamu unacheza chura huna akili wew mjinga sana wew
Kaka hapo mke Huna tafuta mwingne kaka😢😢
Kaka anatia huruma maskini Allah akupe mke mwema mwenyew hekima kama ww😢😢😢
Huyu kaka naona anangangania maradhi kuletewa ndani mm na shauri achane
ushazoea wapi bwege wewe
VINGUNGUTI😂😂😂😂😂
Aiseee huko mpaka vi Bibi vinadanga
Mitaaaa naijua vizuri mnooo
Wengi Shule hamna,Mdada kichwani kuna Shida kubwa mnooo tena mnooo
Mwanaume yuko vzr, ila huyu mwanamke ni shida anafundisha nini sasa kwa jamii
Poleni sana kwa ndoa hiyo.
Mwachiye Mungu tu.
Nyieee kumbe wanaume wa hivi wapooo😂😂😂😂 khaaaaaa mimi ngekua shampigaaaaaa memjeruhiiiii sio kwa majibu hayaaa
😂huyo ana moyo waaina yake
Mithali 19 mstari 14 Nyumba na Mali niurithi mtuhupata kwa babaye ila Mkemwenye busara mtu hupewa na MUNGU rudi kwa Mungu brother
Katafute mke kaka. Umejaa hekima lakini mke kikopo huyoo.
ASALAM ALEY KUM KAKA KIUKELI MWENYE MACHO HAAMBIWA TAZAMA MKE HUYU SIO HALALI YAKO ANGALIA ANAVYOJIBU MBELE YAKO MUACHE HUYO AENDE KWA MASHOGA ZAKE KAKA KWANZA NI MUISILAMU HALAFU ANAKAIDI AMRI YAKO MBELE YA MTANGAZAJI KWELI HANA ADABU HUYU DADA ACHANA NAYE AMESHAKWAMBIA HAWEZI KUACHA NA WEWE HUTAKI USILAZIMIAHE MAPENZI.HESHIMA NIKUACHA KUFANYA KILE AMBACHO WEWE HUKITAKI HAKUESHIMU KAKA YANGU .AMESHAKUONA WEWE NI MZAIFU YAANI HAOGPI ETI MM SIACHI.
NAMUONEA HURUMA HUYU DADA MASKINI PUMZI INAMDANGANYA AKILALA KITANDANI NDIO ATAJUA YAANI HAOGOPI KABISA. ILA MUONGO DADA ETI NAMPENDA KUMTII HATAKI .
Hawezi kumwacha yeye huyo, anachezewa chura huko ndani,
Duuuh kuna wengine tunatamani wanaume ambaye hata anaacha pesa ya matumizi hatupati wewe unachezea hiyo bahat😢😢😢 duuh mtihani
HUYO BODA BODA AMEROGWA, YAANI JICHANGU DOA LINAMPELEKESHA KAMA MSUKULE👁️👁️🤣🤣!
Sijui kabila gani hili kaka halijitambui
Kweli😅😅
Amna mapenz ayo yashawah kunikuta uko ila nilimuacha badaye 😂😂
Wazaramo
My dear sister good advice forget about the stay in your marriage🇿🇦🇧🇮
kaka mke ni tabia si urembo
Brother...achananae uyo atakupa shidaa tu 😢 cha muhimu muombe mungu upate mke mwengine wanawake wapo wengi mno
Funza zinamzunguka kwenye ubongo lakini na heshima haipo mwanamke mshupavu..Hana ata haya macho makavu hajui ata umuhimu wa mume. .mtovu wa nidhamu jeuri hapo namzabua kibao kimoja..mjinga Sana huyu mwanamke ..kaka muache aende kwenye hivyo vikundu vyake anavyoona muhimu.kaka muache akafunzwe na ulimwengu.huyo C mke ni JINI MAHEPE.
Kuna kitu anampa hawezi kumuacha
Aibu nimewona mimi jaman wanawake subhanallah nimtihan
Atakuja kujuta huyu badae 😢
We mwanaume fala tu wewe unampeleka kwenye vyombo vya habari ulitegemea nini
Njoo kaka nakupenda ❤ niko kenya 🇰🇪 natamani kua na mwanaume mwenye subira kama wwe😢
Acha usenge ww kidume unatudhalilisha piga chini haraka zuzu wee😂😂😂😂😂
Huo mtihani wallah mwanamke anajibu kwa kujiamini sana ila kaka pole hapo bado
Jamani watu tunataka kupata wanaume wa kuishi nao ili tutengeneze maisha hatupati halafu ninyi mnachezea ndoa naba mke huna jipange mbona huchanganui mambo kaka
Huyo bint Bado mdogo akili haijatulia Bado....akikua ndio atamkumbuka huyo mwanaume
Mungu atakupaa mwanaume dear..mambo yataenda sawaaa
Mungu amuongoze huyu dada 🤲
Kaka muache uyo kaka siyo mwanamke utapiga utauwa utaingia jela nausimpe chochote mshenz uyo
Pole bro!
Kaka Kumbuka umeunganishwa naye ili umbadilishe. Mungu hawezi kukupa mwenza mkamilifu. Mimi mwanaume na najua lazima tukimbizane na hawa viumbe katika udhaifu wao.
Wanawake wa shughuli si wanawake wa kuoa... Ehee
Huu ni msiba' mkubwa sana'
Kwel
duuuh kaz hii
Utaoaje janamuke kama Hilo la kusaura?😂😂 Kwani tambiko lako?? achana nalo wewe usjekuugua sukari bure,litakuuua hili halina akili timamu
@@Niika870 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Huna mke kaka innallillah wainnallillah rajuun 😭😭😭😭llaana tunllah mke hakupendi hana tafuta mke mwengine
Duh bro hapo hamna mke kuna matatizo😂
Mku pole uyo mwanamke ni pasu kichwa,Tena uyo ni jini,Tena inabidi ukoo wako waandamane,Tena umezeshwe dawa ya kumsahau uyu,-Ila mwombe mungu akupe mke Mwema,Ila atakukumbuka,Kwamaana umli unaenda na kunakuchoka,Na mbaya zaidi emejidhalilisha watu wengi awatamweshimu Tena,Kwaiyo atabinuka mpaka uzeeni,
Hata asikutie pressure huyu kakangu
lahaulaa😮😮😮😮hutapendwa ukiw kwa mmeo
toka nje madanga yte kwa mpalangeee😂😂😂😂
Kaka umekalia chuma cha chapati kilicho pata moto pole weeee😂😂
😅😅😅❤❤❤
Hahahaha 🤣 mme ingiza vizuri sana kama mke na mume kweli 🎉
Kuna watu wavumilivu jaman yaani hapo ningehojiwa napingu miguu na mikono huku napigwa niseme ilikuwaje nikaua😮
Nimecheka sana eti pingu😂😂😂
Nataman angekuwa karibu nimpige vibao viwili tu..aamke huko alipo lala😢😢😢
Nimechekaa km mazuri hapo mwisho 😂😂
@Dulla makabila hajakosea kuimba haoi mpaka ajue kabila😂😂😂Mzaramo na vigodorooooo😂😂😂😂
Kwani ukienda shuulini paka ukose adabu, mi mwenyewe sipendi uwa naona aibu mmi, muache akafunzwe na ulimwengu..
Mzalamo uyo bro🤣🤣🤣🎉🎉make una bro🌹🌹🌹sema unamoyo km wachuma duu salute 🤔🤫
Kaka umekaliwa chapati 👌👌
Duh pole kaka angalia ustarabu mwingine tu hmna mke hpo
Bro mpandishe cheo owa mke wa pili
Pole brother atakupa tabu sana huyo hana woga na wewe hata kidogo
Huyu dem akili yake inapelekwa na rimoti ya meli😂😂😂loooh akili ya mtu iyo inasema ivo😅
Wajina ikoje hiyo remot ya meli waja mna mambo waja mna mamboooo 😅😅😅
😂😂😂😂
Jamani uyu kaka anaonekana mpole ila mke ni mtihani 😢
Uyu Dada anamatatizo sio Bure
Huyo mwanamke aliingia .kwenye ndoa ili achume tu.wala hajui kabisa ndoa Nini? Huyo kashaota masikio ya mbuzi. Hata kuonyeka hawezi kuonyeka. Huyo ni malayatu. Pole sana kaka
kaka pole sana Allah akufanyie wepesi lkn ni unamtihn sio mdogo
Mungu amsaidie huyu kaka apate mwanamke anaejielewa, pole sana kaka una malezi na akili timamu ila mkeo ana shida ya akili
Wewe dada jiangalia. Ama una ukando ukando?
Huyu binti ni mkorofi huyu kijana hatomuweza anahofia
Marafiki kuliko mume... kajinga kweli haka kadada
Mwanamke hampendi huyo jamaa ila jamaa ndio amezimika kinona haambiwi kitu hapo😅😅
😂😂😂😂 si uongo
Kwenye miti hakuna wajenzi
Aendee tuu utapata mwenza mwenye Heshima anae jua thamani ya mume na Ndoa
Huy mwanamke ni mpumbavu t kweli mwanamke huvunja ndoa Kwa mikono yako mwenyew hat mshipa wa aibu huna, duuh puuuh nimekuzarau hata Kwa kurumagia hufai.
Hii dunia nayo cjui inaelekea wapi jaman sasa mambo ya ndoa nayo niyakupeleka Kwa wandishi wahabar jaman🙌🙌🙌🙌aiseee mm naona uyo dada ana anavojibu jeur yupo sawa2 atakama n mm nimekosea ndo unipeleke Kwa wandishi wahabar😂😂😂😂😂aiseee
Huyu msichana hana ubongo ana matope haaaaa 😮😮
Kaka yupo sawa sanaaa anampenda mke wake pamoja na kwamba anayo madhaifu ..ongea nae taratibu atabadilika tuu mwanamke kiumbe dhaifu
Dada " Msikilize mumeo ".
Ahaaa Eheee heee.Mke wa chura tena 😂😂😂😂
Huyu Dada Aombewe na Apigwe Nyunguu
😂😂😂😂😂
😂😂😂 chura mzuri sana 😂😂😂 kazi unayo kaka
"Mbele ntaacha" jee ukifa na hiyo hali??
Duh! Huyu mwanamke nimtihani kwakweli dada usiangalie leo2 iyangalie nakesho yakopia.😢
Mpe mimba za mfululizo hadi azeeke kabla hajafika miaka 30😂😂😂ataacha vigodoro
@@ZulekhaAbdallah-e1r atatoa
Km mimba haiwez kuingia je???
😂😂😂
Aisee huyo sio mke hata mke gani hajui maana ya heshima kwa mume wake yani anaongea anajiamini mh kuowa niwachie kwanza 2000 imenishida kam d 2 unazo Usha nielewa like ap
Hiii ndo Kaz ya kuowa watt wa 2000
Pole sana brother sisi wanaume tunapitia mengi sana