Mbarikiwa Amuwakia Christina Shusho "Huo Ni Umalaya...."

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 716

  • @kentz186
    @kentz186  7 місяців тому +17

    Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @tanfredmichael1777
    @tanfredmichael1777 5 місяців тому +1

    Asante kwa ujumbe mzuri mtumishi wa Mungu, Mbarikiwa. Hakika uovu haupaswi kunyamaziwa..." Mtu yeyote akigathirika katika jambo lolote, ninyi mlio wa Roho mrejesheni kwa upole".

  • @mpekojr.3120
    @mpekojr.3120 7 місяців тому +14

    "...Nakuagiza mbele za Mungu, na mbele za Kristo Yesu, atakayewahukumu walio hai na waliokufa; kwa kufunuliwa kwake na kwa ufalme wake; lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho."

    • @thomaschagula3508
      @thomaschagula3508 6 місяців тому

      Amina nashukuru kuna hata watu wanaoelewa.

    • @FelicianiShine
      @FelicianiShine 6 місяців тому

      Huyu dada Tina kashapotea mbali Tena sana, mmmmh Hawa manabii wanaharibuu sana, et anataka nguvu kwa nabii mkuu? Mmmh kashajazwa mapepo huyo anajifanya anaongea kwa ujasiri wa kijinga

    • @marymbane210
      @marymbane210 6 місяців тому +1

      Kukemea na kutukana ni vitu 2 tofauti.

    • @thomaschagula3508
      @thomaschagula3508 6 місяців тому

      @@marymbane210 kabisa yani hapo uyo anayejiita mchungaji anatukana tena mbele madhabahu ya Bwana

    • @magrethmwakifuna9792
      @magrethmwakifuna9792 6 місяців тому

      Kikosi kazi naomba kuongea na mmoja wenu Nina shida na m hungaji mbarikiwa ila naomba nipite kwa watenda kazi wake kwanza

  • @salvinahassan8778
    @salvinahassan8778 7 місяців тому +10

    Bela kombo, Angel Bernard, Matha Mwaipaja, Christina Shusho, tubuni mkarudi kwenye ndoa zenu mnalitesa kanisa

    • @stanleybuberwa232
      @stanleybuberwa232 7 місяців тому +1

      Umemsahau Flaora Mbasha

    • @GraciousMichelleFrancen
      @GraciousMichelleFrancen 7 місяців тому

      weh mpk angel bernad na yy na bella

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

    • @victorpaulmalatu5036
      @victorpaulmalatu5036 7 місяців тому

      martha mwaipaja aliweka wazi kuhusiana na ndoa yake pia yeye ana talaka tayari tatizo ni hao wengine

  • @pastorannneema
    @pastorannneema 7 місяців тому +9

    Umefanya vyema kabisa mchungaji. Tulipoona njia Christina ameenda tulishangaa sana sisi wakenya na tukashindwa nani atamrekebisha. Mungu amekutumia bila kuogopa wala kwenda kando kando. Ubarikiwe.

    • @victorpaulmalatu5036
      @victorpaulmalatu5036 7 місяців тому

      Mwakipesile kapasua penyewe kabisa, lakini kwa mtazamo wangu naona dada yetu christina amekuwa mbali sana na uwepo wa mungu kwasasa anatumiwa kama agent wa shetani/kuzimu ili kufanikisha lengo la ibilisi kuvuruga nguvu ya roho mtakatifu itendayo kazi ndani ya kanisa. hivyo basi wachungaji wazidi sana kufundisha watu juu ya siku za mwisho pia wasichoke kuwakemea hawa maagent wa kuzimu wanaoingia makanisani kwa jina la bwana huku siyo wafuasi wa injili ya kweli.

    • @PhinaEdmund
      @PhinaEdmund 6 місяців тому

      Mtumishi.. Wa mungu.. Yesu amekupa. Hekima endelea.. Kukemea.. Kukaripia injili ya Kristo.. Tuone baba mchungaji.. Yesu akutunze.. Ameeen

    • @PhinaEdmund
      @PhinaEdmund 6 місяців тому

      Hakika mungu anapotumia Ktk karama yako aliyeweka ndani yako.. Watu wanapona

  • @tanfredmichael1777
    @tanfredmichael1777 5 місяців тому

    Yeyote aliyekwisha kushika jembe tayari kulima kisha akageuka nyuma hafai katika ufamle wa Mungu..." Mimi ndiye mzabibu na baba yangu ni mkulima, tawi lolote lisilo zaa hukatwa na kutupwa bali linalozaa huwekewa maji na samadi liendelee kustawi ili litoe mazao mengi" Hongera sana mchungaji Shusho, mkumbuke Mungu kila hatua unayo kanyaga ... Barikiwa

  • @AgapeSMatosha
    @AgapeSMatosha 7 місяців тому +11

    Mimi Mch. Agape Wa kibaha Nasema Ubarikiwe Jembe La Yesu. Nashukuru kwa Ujasiri Wako Wa kuhubiri Injiri Isiyo na Kigugumizi. Wewe kama Jembe La Yesu Lima Kwanguvu kubwa Bila Kuogopa Mizizi Mikubwa ya Uovu. Sema Ili Dada yetu Apone na Wengine Wapone Wanaowindwa kama Yeye.

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @hanagango6922
    @hanagango6922 7 місяців тому +3

    Amina pastor...Bora umesema ukwel ili ausikie ukweli roho imuhukumu ajitafakar Mara mbili kabla hajahukumiwa na mungu

  • @MongiAron-zm1xr
    @MongiAron-zm1xr 5 місяців тому

    Ubarikiwe sana mchungaji wito wa Mungu sio wa matengano nakufanya umalaya waku kumbwa na dunia.

  • @DeborahJaphethLaiser-is2ps
    @DeborahJaphethLaiser-is2ps 7 місяців тому +17

    Jamani ukisha geuka ukamwacha Mungu wa kweli.. lazima uache kila kitu Cha kweli Cha Mungu... Tangu lini Nuru na Giza zinakaa pamoja jaman... Freemason hawataki uwe na mume ama mke wa kuishi naye... Kama hauelewi angalia watu watumishi wooote walioacha wake zao je wapo salama? Wahesabu mwenyewe alafu wafuatilie maisha Yao..

    • @BlackphilosophyMarto-sp9bn
      @BlackphilosophyMarto-sp9bn 7 місяців тому

      Kabisa

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

    • @EsterbernardoVumo-kn2xv
      @EsterbernardoVumo-kn2xv 7 місяців тому

      Ni Kweli Ni Umalaya Tu.Mchungaji Ubarikiwe Sana.

  • @emoalembe4790
    @emoalembe4790 7 місяців тому +10

    Sema mtumishi . Tunao sema ukweli hatupendwi . Sema !!

  • @Dj-Khester-254
    @Dj-Khester-254 7 місяців тому +5

    Tanzanian Version Of Andrew Kibe.. Bitter Truth.. Real Gospel 👏👏

  • @stephaniakanka8178
    @stephaniakanka8178 7 місяців тому +2

    Amen Amen Amen baba yangu hubarikiwe sana kwa neno 🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @RoidaRoida-s4u
    @RoidaRoida-s4u 5 місяців тому +2

    Jamani unahubiria watu au unamuhuviria Christina hii siyo sawa mtumishi

  • @esterlema8255
    @esterlema8255 6 місяців тому +4

    Ni wito wa kipepo huo,Mungu hayupo hapo kbsaaa tena asimchanganye Mungu na mwemko wake mbovu.Asante kwa kukemea,kuonya,kuelekeza na kufundisha ukweli ni upi.

    • @janemumbua7353
      @janemumbua7353 6 місяців тому

      Ukweli gani....bona anamtukana,SI maadiko unasema mtu akikosa muregeshe Kwa upole.....pastor wako ana hukumu na hukumu niwa mungu......watanzania munapigana vita watumishi WA mungu Bure, SI walifanyia muhado mataga akiwa hosi Kenya...let your pastors preach Christ sio watu......hakuna aliye kamilika.

    • @janemumbua7353
      @janemumbua7353 6 місяців тому

      Yesu kaletewa mwanamke kahaba,na akaadika chini asiye na hatia vachukue mawe amgoge......pastor chukua mawe umgoge kama huna kosa

  • @thomaschagula3508
    @thomaschagula3508 6 місяців тому +4

    Kwahiyo hii ibada iligeuka na kuwa kumsengenya Mama @christinashusho
    Haya ni matumizi mabaya ya madhabahu ya Bwana.

    • @munalook4477
      @munalook4477 6 місяців тому +1

      Mm ndio nimeulisa hata huyu pastor alijitoa na kujua ni kwa nn kihini ya Christina na mume wake kuachana ,yy ako na time ya kumchamba kwenye madhabau ,hii hiko kinyume basi

    • @thomaschagula3508
      @thomaschagula3508 6 місяців тому +1

      @@munalook4477 Haswa bora kuna wakuniunga mkono kwa kweli. Hii haiko sawa.

    • @philipngure7045
      @philipngure7045 6 місяців тому

      The man used the altar to advertise himself that he will be bringing other talks similar to the one he had just delivered on Christina Shusho. He believed that everybody will consider him a hero. Let the pastor pray for Christina and for himself. Honestly, I will pray for both.

    • @thomaschagula3508
      @thomaschagula3508 6 місяців тому

      @@philipngure7045 For sure it just suprises me, such a speech on the altar. God forbid

    • @oscarmbilinyi6719
      @oscarmbilinyi6719 6 місяців тому +1

      Kwahiyo unaunga mkonon upumbavu Christina shusho

  • @williamkadote305
    @williamkadote305 7 місяців тому +9

    Huwezi ukamkemeye mwanamke asie kuwa Na busara ,
    East Africa nzima , Na ulimwengu Mzima , tumesha mujuwa Christina shusho Na tabia zake mbaya

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

    • @Monica-254
      @Monica-254 7 місяців тому

      Okay deputy Jesus Mr perfect

    • @jmat82012
      @jmat82012 6 місяців тому

      Christina Shusho has brought more souls to Christ than you will ever dream of bringing.

  • @heriel2002
    @heriel2002 7 місяців тому +30

    Shusho hovyo kabisa!
    Hata kama alikuwa na tofauti na mumewe njia aliyotokea sio sahihi.

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 7 місяців тому +1

      Acheni kutetea unyanyasaji

    • @owenomwanawayesu6961
      @owenomwanawayesu6961 6 місяців тому

      @@darajalakidatukilomgi2362Hakuna unyanyasaji hapo.

  • @EmmanuelLaurent-n4k
    @EmmanuelLaurent-n4k 7 місяців тому +15

    Amina baba mchungaji nimekukubali ,wanawake waimbaji wa injili wanakuwa makahaba kwajili ya pesa 😢

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

    • @noaskidtv71
      @noaskidtv71 7 місяців тому

      Hakika mtmiuniukwe baba​@@kentz186

    • @thomaschagula3508
      @thomaschagula3508 6 місяців тому +1

      Hapana. Mungu wangu ni mtumishi wa Mungu huyo unadiriki kuongea upuuzi huu??

  • @sarahmwasyoge1830
    @sarahmwasyoge1830 6 місяців тому

    Hekima nyingi sana..asante kwa kunyoosha mapito ya Bwana kwa utumishi wako baba najiona nipo salama sana

  • @DavidMatata
    @DavidMatata 7 місяців тому +5

    Umeongea vizuri mtumishi!Ubarikiwe kwa jina la Yesu!Mimi nimemnunia hata hizo nyimbo zake sitaki kusikiliza.

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

    • @MerlickEduard
      @MerlickEduard 7 місяців тому

      Tatizo watu wazur kama Hawa Huwa hawadumu

    • @DavidMatata
      @DavidMatata 7 місяців тому

      @@MerlickEduard Ni kabisa ndugu yangu.

  • @UwimanaAntoinette-hd9ox
    @UwimanaAntoinette-hd9ox 6 місяців тому +2

    Yes umalaya tu,ana ahibisha wa mama wa ki kristo.ahibu tutasema nini mbere ya wa mama waki Muslim 🙇🙇🙇

  • @MaryAmaiza-th2fo
    @MaryAmaiza-th2fo 7 місяців тому +2

    Hallelujah, Amen na huu ndio ukweli mtupu,barikiwa sana mtumishi 🙏.

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 7 місяців тому +6

    Hakika ni malaya unamsumbua tena anakera sana .shushu sasaivi

  • @musamalaba6401
    @musamalaba6401 7 місяців тому +8

    Mungu amekutumia sanaa mtumishi wa Mungu,

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @DeviMalila
    @DeviMalila 7 місяців тому +5

    Du jamani dada yangu kristina uspende watu watoe hukumu rudi mbele za Mungu utubu yaliyo fanyika sio ya kimungu Mungu akufunulie.kuijua dhambi yako

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @Raymtumishi
    @Raymtumishi 7 місяців тому +1

    Mbarikiwa mwakipesile mm sina cha kusema baba Mungu tu akuzidishie siku za kuishi ww ni mtumishi wa kweli kabisa wanaokupiga vita washindwe kabisa kwa jina la yesu kristo

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @Charlesbett-vf8jb
    @Charlesbett-vf8jb 7 місяців тому +1

    powerful message to every women in the world. I knew from the time i came to know christian shusho that she was out on a business and fame. It wasn't all about message God.

  • @OtavinaBenitho
    @OtavinaBenitho 6 місяців тому

    Amina sana mbalikiwa mungu akupe maisha malefu Amina sana baba etu

  • @patrickmmary
    @patrickmmary 7 місяців тому +4

    Mungu akubariki mtumishi huyo dada NYIMBO zake nimeamua kuzifuta hyu ana mapepo amejikita kwa majini

  • @catherinekamau9176
    @catherinekamau9176 5 місяців тому

    We cannot die there.Wachana na mtu usikalie kiti cha mwenyezi Mungu.Shughulika na ya kwako

  • @sampulifred
    @sampulifred 7 місяців тому +15

    Hapa umenena mtumishi hakika mafundisho ya shusho ni ya kuvunja ndoa za watu wa Mungu.

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @Marjeby
    @Marjeby 7 місяців тому +11

    Mbarikiwa leo tangu nikujue leo umegusa sana moyo wangu aiseee umepiga kwenye mshono

    • @FIDELISMfugale
      @FIDELISMfugale 7 місяців тому

      😂😂😂

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @selemanimlingi9853
    @selemanimlingi9853 7 місяців тому +1

    Wewe ni mtumishi wa mungu wa kweli, wengine hawasimamii haki na kweli Ila wewe ni jasiri Kama Simba wa yuda hongera Sana mtumishi, usitishwi yesu hatokuacha mugu wetu wetu hutupambania, mungu wa wengine watu humpambania mungu wao.

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

    • @jmat82012
      @jmat82012 6 місяців тому

      Do you have a mother? Do you have a sister? Do you have a daughter? Hating women is not loving God. Christina Shusho is now a devil because her marriage wouldn’t work? God help us all.

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 6 місяців тому

    Ameeeen. Upo sahihi kabisa. YESU KRISTO haawezi kutenganiaha , mke na mme

  • @AzulyMwanbagi
    @AzulyMwanbagi 7 місяців тому +4

    Ubarikiwe kwa kumwambia ukweli,Mungu akutane nae ili ajue amekosea

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @damarisanekeya3354
    @damarisanekeya3354 7 місяців тому +1

    ujumbe huuu uwafikie wanawake wote wanao imba nyimbo za ijili wanatuchanganya 😢😢

  • @stephaniakanka8178
    @stephaniakanka8178 7 місяців тому

    Amen Amen Amen baba yangu hubarikiwe sana kwa mafundisho yako baba 🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉

  • @jeremiailogwe3091
    @jeremiailogwe3091 7 місяців тому

    Daaaah mchungaji maneno yako yanatufundisha ubarikiwe sana mungu akupe maisha marefu❤

  • @muganyiziluharara9668
    @muganyiziluharara9668 7 місяців тому +6

    Mbalikiwa Mungu akutunze ukweli huo ndounaotakiwa

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 6 місяців тому +1

    Yesu alisema mimi sikujakupatanisha bali kutenganisha! Maanayake yeye ameleta neno la kweli na uzima na alijuwa ya kuwa wengiwetu ni watenda zambi waovu wakumbatia mila mbovu wachawi walawiti mataperi wazandiki hivyo ukimfuata yesu huwezi kupendwa watakupigavita watakuzushia waovu watakuangamiza watakusingizia! Mungu atende haki

  • @IpyanaPaul
    @IpyanaPaul 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU Alie hai Mimi nimekuelewa Kama watumishi wangekuwa Wana kemea uovu Kama wewe basi tungepona wote

  • @josephine753
    @josephine753 7 місяців тому +1

    Ubarikiwe Baba niumalaya tu

  • @EddorboysimbaNabigambo-rr9ue
    @EddorboysimbaNabigambo-rr9ue 7 місяців тому +1

    ❤ Mbarikiwa nakupa maua yangu wewe ni mchungaji wa kweri

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @DismasKizito
    @DismasKizito 7 місяців тому

    Asante mtumishi ubarikiwe mno kwakuwa mkweli huyu dada ame potoka shetan amesha fanya makao ndani yake tuombe toba Kwa ajili yake.

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @CollinsKiprotich-d2o
    @CollinsKiprotich-d2o 4 місяці тому

    Mchungaji umezungumza vizuri lakini haufai kuhukumu mtu yeyote,usifanye KAZI ya Mungu...Fanya KAZI uliyoitiwa...kama ni wito aliloitiwa Shusho,ni mpango WA Mungu...jua ya kwamba nguvu za mwanga haziendi na za Giza...kwa hiyo Shusho anafanya KAZI ya Mungu ndiyo maana aliitwa.

  • @nasimiyujustine
    @nasimiyujustine 7 місяців тому +1

    Mungu atusaidie wee inaniuma sana😭😭😭

  • @EsterVictor-b9i
    @EsterVictor-b9i 7 місяців тому +2

    Injili ikihubiriwa hivi, tusipofika mbinguni ni usembe wetu, sema mchungaji maukweli mungu akutie nguvu

  • @AntonnyRitte
    @AntonnyRitte 7 місяців тому +12

    Shusho nilikupenda katika imani kumbe ni bonge la malaya na ushetani wako nyoo

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 7 місяців тому

      Kwani kafanya nini? Amefumaniwa? Kuachana sio umalaya. Pastor Christ aliachana na mkewe sijasikia wakimuita malaya.

    • @DevothaSanga-d3d
      @DevothaSanga-d3d 7 місяців тому +2

      Kama mchungaji kaachana na mke wake washirika wake atawashauri nini? Wote hao ni MALAYA TUUUU.

    • @DevothaSanga-d3d
      @DevothaSanga-d3d 7 місяців тому

      @@MsAggie5 Sasa hilo kanisa lake atawashauri nini wanawake wenzake ili ndoa zao ziwe za mfano? Au atawaambia waachane kama yeye ili wazifikie ndoto zao? KWA WAIMBAJI WOTE WALIOACHANA NA WAUME ZAO KINACHOWASUMBUA NI UMALAYA TUUU HUO NDIO UKWELI.

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 7 місяців тому +1

    Uko sawa mbarikiwa watu wa Mungu mnakazi kubwa halo ka mama hata kakiimba utakaona ni umalaya tu kaacheni mtakaona mwenyezi Mungu hawacheleweshi hao ataumbuka hivi karibuni igeni Kwa IBRAHIM NA SARAH jamani

  • @rosebaraka8406
    @rosebaraka8406 7 місяців тому

    Anaweza kuwa amekosea . Kama ndivyo moyo wa Mungu unauma pia kazi yetu SI kuhukumu tulione hili kama shambulizi. Wengine tuwaokoe kama kwa moto.

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 7 місяців тому +5

    Jamaa limeongea point tupu!!!

  • @MuvangoReloaded
    @MuvangoReloaded 7 місяців тому +4

    Hio kiburi uko nayo sio ya ki ungu pia. Umeharibu very precious moment ungehubiri Yesu na uwape watu tumaini. Kushtumu Shusho haijajenga yeyote.

  • @JeremiahMwakanyamale
    @JeremiahMwakanyamale 6 місяців тому

    nakukubali sana mzeee!!! piga kazi watu waokolewe ,,huyo kampitia shetani.

  • @adelinaswai794
    @adelinaswai794 7 місяців тому +3

    Pamoja na kusema alimtoa matongotongo,wanadamu wanabadilika,Mungu pekee ndiye habadiliki

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 5 місяців тому

    Amina mtumishi
    Maua 🎉

  • @thomaschagula3508
    @thomaschagula3508 6 місяців тому

    Bado nitaendelea kusimama na mtumishi wa Mungu mama @christinashusho hata kama muongee mnavyotaka kwakuwa hakuna uhalisia ndani yake. Mungu awasamehe.

  • @sautiyamunguduniani4620
    @sautiyamunguduniani4620 7 місяців тому

    Kamanda, jitu la ufalme jasusi la mbinguni ☝️
    Hakika we ni mtumishi kweli nikisikia injili yako hakika inanigusa kuwa injili siyo starehe bali ni vita Mungu wa mbinguni naakubaliki sana🙏

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @KenedyMboma-zb4cq
    @KenedyMboma-zb4cq 7 місяців тому +14

    Lazima watumishi waongee kwasababu anachafua kanisa la kristo

  • @gloryenock9473
    @gloryenock9473 7 місяців тому +2

    Ni umalaya kweli kabisa waimbaji wa kike wanatutia aibu sana kanisa la Mungu hata ninyi wanaume msipende wanawake wanaowazidi oeni wanawake mnaoendana

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 7 місяців тому

      Mumewe alimuoa toka kijijini kwao akiwa hana mbele wala nyuma

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @JamesSichimata-w1u
    @JamesSichimata-w1u 7 місяців тому +1

    Namshukuru Yesu anokoa hata malaya, lakini walimwengu ni hukumu tu.

  • @godsonmngoya7264
    @godsonmngoya7264 7 місяців тому

    Father nimekupenda sana Kwa ujumbe huu na nukuu ya huyu mdada ambaye aliyeamua kulitukanisha jina la Bwana Yesu

  • @StanleyMgasi-v1g
    @StanleyMgasi-v1g 7 місяців тому +2

    Mchungaji umeongea Mungu Akuongoze Kwa Utetez Huu

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @BboossBILLY
    @BboossBILLY 5 місяців тому

    Amen baba uko sahihi

  • @zuhurarashid958
    @zuhurarashid958 7 місяців тому

    Mhh pastor jiheshim sio vizur watukan live

  • @exaveryalfonsi8050
    @exaveryalfonsi8050 7 місяців тому +1

    Mh mtumishi umepigaje hapo!!!!

  • @PromieJosam
    @PromieJosam 7 місяців тому

    Ameeeeeeeen sema baba makahaba wote kama Christina shusho wapone

  • @LiveliusIsrael-xu8ve
    @LiveliusIsrael-xu8ve 7 місяців тому

    Balikiwa sana mtu wa mungu

  • @williamkadote305
    @williamkadote305 7 місяців тому +1

    Tangazeni injili ya Yesu, Na muachane Na Mambo ya walio anguka

    • @AlfeusMalkiadi
      @AlfeusMalkiadi 7 місяців тому

      Injili ni pamoja na kukemea uovu na kuwarejesha waliopotea njia kwa yesu

  • @VenasiaEmmanuel
    @VenasiaEmmanuel 7 місяців тому +1

    Ubarikiwe pastor hata mimi inaniuma sana

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 7 місяців тому

    Mbarikiwa hata wenginge hawasemi sema ila Mungu akutie nguvu hata ulipokua jela mimi niliumia sana ila Mungu anakutumia kuturekebisha Naomba Mungu akupe maisha marefu na afya njema tuendelee kupona

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 7 місяців тому +1

    Ustawi wa jamii kila mwezi ndoa mia tatu zinavunjika, sababu ya uasherati, ukatili wa kijinsia, wanaume kutaka mapenzi kinyume cha maumbile. Wanandoa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Hivyo ukuona mtu kaondoka wewe mtakie kheri sababu hujuwi ya ndani.

    • @margarethkamugisha6430
      @margarethkamugisha6430 6 місяців тому

      Hawata ku support.
      Ila Ukristo hauna ubaguzi. Ubaguzi ndiyo umefikisha watu hapa. Wanaume wanaoa na kuacha wake zao. Wanawake wanalia. Lakini hakuna anayesema. Wanaume wanafikiri mwanamke haumii. Kama wewe mkristo - kwanini uumize mwenzako? Ukweli wanawake wameumia muda mrefu. Muda mrefu. Muda mrefu. Wanatakiwa kujua wanawake wanaumia pia. Na wanaotakiwa kujua hili ni wazungumzaji mbele za watu ie Wachungaji, wahubiri (kwa upande wa kanisani) Mafundisho yasipo balance matatizo ndiyo kama hayo .. Leo alichofanya Christina (anacholaumiwa kwacho) ni 'kumgusa mwanamume' Je wanawake wakiletwa hapa wakasema maumivu waliyopitia hili la Christina linafika hata 25% ya hayo. Hivyo dawa ya matatizo mahali popote ni ku-balance fundisho. Haki! Haki ikitendeka hautasikia yote haya (au yatapungua kabisa! ) Ijulikane wanawake, wanaume wote ni watu! Hakuna asiyesikia maumivu

  • @David-uhayi
    @David-uhayi 6 місяців тому +1

    Acha hayo yawafikiye,maana Mungu alisema utakula kwajasho namwingine azaee kwa uchungu, sasa ukimuacha mwanamuke atafute riski ohooooooooooo,ataliwa kwa uchungu

  • @AnnickMukeriwabo
    @AnnickMukeriwabo 6 місяців тому

    Bora mtumishi wa mungu uwongea ukweli wote ameishagaza Dunia hakiya mungu labda anataka divorce awolewe na mwanaume mwegine anaemutaka yeye 😢😢😢😢

  • @jmat82012
    @jmat82012 6 місяців тому

    May the blood of Jesus speak. May the blood that was shed on the cross cry out for the victims of hate. May God protect every woman who has faced and continues to face hate in Tanzania and the whole Universe in Jesus name.

    • @abasovalfred6266
      @abasovalfred6266 6 місяців тому

      You are writting this in the name of the Devil. You are an satan Agent

  • @DicksonPaul-nf2el
    @DicksonPaul-nf2el 6 місяців тому

    Baba duniani hii sjaona mchungaj kama wew mungu akulinde, unijaze uwepo wako baba

  • @RehemaJonas-yj7ed
    @RehemaJonas-yj7ed 6 місяців тому

    Christina zumaridi😊😊😊😊

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 7 місяців тому +4

    Umemaliza mtumishi 🎉🎉

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @priscamlope
    @priscamlope 6 місяців тому

    Christina shusho anatudharirisha sisi wa Kristo. Mbarikiwa yuko sahihi sana!!!!!

  • @EverythingGodly-iv5uc
    @EverythingGodly-iv5uc 7 місяців тому

    Me niliachaga kumsikiliza zamani 😢 ukiwa unaongozwa na Roho Mtakatifu kuna nyimbo na mahubiri huwezi sikiliza kwasababu roho yako ya ndani inakosa amani 😊 Mungu atuongoze vyema maana tunapotea vibaya mno na ndo kwanza vita imeanza

    • @MikeMozy-s3w
      @MikeMozy-s3w 7 місяців тому

      Wengine bado awaja zaliwa mara ya pili hata ange imba nyimbo na sauti nzuru

    • @victorpaulmalatu5036
      @victorpaulmalatu5036 7 місяців тому

      nuru na giza huwa havichangamani, pia biblia inasema watu wawili hawawezi kwenda njia moja pasipo na mapatano christina alipata ujasiri gani wa kuchangamana na wasanii wa mziki wa kidunia? i.e diamond na wengine pia eti wanafanya kongamano la pamoja hapo ndo tujue dhahir kuwa christina hana uwepo wa roho mtakatifu ndani ila anaongozwa na nguvu ya kuzimu itendayo kazi ndani yake

    • @KelvinJulius-m4n
      @KelvinJulius-m4n 6 місяців тому

      Hapo umeongea

  • @Sharifa-e7y
    @Sharifa-e7y 5 місяців тому

    Sio anamhubiri noo! Bali inauma sana coz anamuelewa na nimkristo mwenzie naistoshe nimtu maarufu sana tina pia nikioo katika jamii na taifa kwaujumla lazima akemewee

  • @JohnsonShakizanga
    @JohnsonShakizanga 7 місяців тому

    Mbarikiwa,mbarikiwa,aina ya ujasiri ,ndani yake ni moto,uzungukao huduma Tano teule,siku tulizonazo ni adimu.

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @leonardjamson-tb4jj
    @leonardjamson-tb4jj 7 місяців тому

    Hakika umenena mtumishi umeangalia mbali sana ni mungu amesema na ww hakika

  • @shemkaiglory6982
    @shemkaiglory6982 7 місяців тому +1

    Sasa Dunia tu inakushangaa je Mungu😢 rudi kwa mume wako dada ...mshinde shetani dada

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 7 місяців тому +3

    Nilikuwa ckuwai kufatilia mafundisho yako lkn kwa hiki ulichokiongea hakika Mungu akuinue kwa viwango vya juu maana iyo ndiyo injili iliyo nyooka

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @arrapaulo
    @arrapaulo 7 місяців тому +1

    Katika kilajambo Kuna hitajika Hekima ya Mwenyezi Mungu Kuliko kupayuka kwa hisia Binafsi kilajambo Lina hitaji Jambo Binafsi

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @lawicizungu
    @lawicizungu 7 місяців тому +1

    Mujakazi Shusho thé grâce is Still available for you, Repent Shusho i dont want you to finish in the Hell after blesing us With songs Wakuabudiwa, Naona Pendo kubwa, Bwana nichunguze

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @StanslausZakaria
    @StanslausZakaria 7 місяців тому

    Mbarikiwa anaongea sahihi kabisa hakurupukagi namfahamu wachane kamanda wa YESU

  • @christinamsoka
    @christinamsoka 4 місяці тому

    Mchungaji hajui maana halisi ya madhabahu. Huwezi kusema maisha ya mtu na kutukana madhabahuni.utamwitaje mke wa mtu Malaya,? pengine wamekoseana tu baade neema ije warudiane? Zungumzia mke wako na ndugu zako, achana na wake za watu. Ushauri wangu jifunze online kitabu Cha Ufunuo ktk chuo Cha Sayuni, utapata elimu kubwa kuhusu Mungu, Bado hujui kabisa

  • @ernestkaji9640
    @ernestkaji9640 7 місяців тому

    Ni kweli aisee,nilishashuhudia wengi,ni umalaya tu,wanazidiwa na akina dada wa bongo fleva

  • @valenceignatus4769
    @valenceignatus4769 6 місяців тому

    Baba Mbarikiwa Mungu awe pamoja na ww

  • @FelicianiShine
    @FelicianiShine 6 місяців тому +1

    Akapigwe na dunia mara kumi, tena shetani hanaga huruma,

  • @godyfashion7125
    @godyfashion7125 7 місяців тому

    Tunatakaa watumishii wa namnaa hii ambaoo hawana hofuuu ... wasema kweliii, wanaoitajaa dhambiii direct🫴🫴 bilaa kuogopa

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @SubiraNkwavu
    @SubiraNkwavu 7 місяців тому +7

    Uishi miaka mingi mtumishi wa mungu ❤❤❤

    • @kentz186
      @kentz186  7 місяців тому

      Ahsante kwa maoni mazuri. Ahsante kwa kutembelea chanel yangu.Naitwa Dr. Ken. Hivi karibuni nitaanza kuweka Mafundisho mazuri mno ya kijamii, kiafya na neno la Mungu. Nakuomba ubonyeze kitufe cha SUBSCRIBE ili usipitwe. Ahsante!

  • @josephineusui1114
    @josephineusui1114 7 місяців тому +2

    Wacha kuubiri watu.hubiri MNeno la Mungu.

    • @kchewere8916
      @kchewere8916 7 місяців тому

      Nina kubaliana na wewe. Bibilia ina sema kwamba asiye na dhambi awe wa Kwanza kurusha jiwe

  • @MarryMushi-jf7lq
    @MarryMushi-jf7lq 7 місяців тому

    Nimekuelewa baba yangu mungu anipe sehemu kubwa ya hekima uliyo nayo

  • @samsontwanga7316
    @samsontwanga7316 7 місяців тому

    Oooohh which is the best option

  • @ElizabethLaizer-b6m
    @ElizabethLaizer-b6m 7 місяців тому

    Mbarikiwa azidi kubarikiwa kwani umeongea Kwa HEKIMA zaidi

  • @bwingamilingita5964
    @bwingamilingita5964 7 місяців тому +1

    Christina Shusho akuna asiye mfahamu kama ni yeye ni limalaya tu.
    Ukweli mtupu anaongea huyu Baba... God bless 🎉🎉

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 місяців тому +23

    Kirisitina hapa kwa Mbarikiwa umelikoroga.

    • @CosmasSilwamba-i6j
      @CosmasSilwamba-i6j 7 місяців тому +1

      😂😂😂 Nikweli ameyakologa

    • @SeifSalim-x5k
      @SeifSalim-x5k 7 місяців тому +1

      😂😂😂😂kweli kabisa

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 7 місяців тому +1

      Kwani kafanya nini hebu nijuzeni jamani please sipo Tanzanian

    • @priscailomo9149
      @priscailomo9149 7 місяців тому +1

      mam mamaaaa😢

    • @DevothaSanga-d3d
      @DevothaSanga-d3d 7 місяців тому +2

      Kalikoroga kweli kweli. JASUSI LA MBINGUNI LIMETUMWA KWA KAZI HIYO SAUTI YA MTU ALIAE NYIKANI ITENGENEZENI NJIA YA BWANA YANYOSHENI MAPITO YAKE.............; MZEE WA NYEUPE NI NYEUPE NA NYEUSI NI NYEUSI.