CHRISTINA SHUSHO AVUNJA UKIMYA, KUHUSU KUMUACHA MUMEWE, ASEMA HAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 58

  • @GloireOkito
    @GloireOkito 8 місяців тому +5

    Dada Christina ungali tengeneza kwanza nyumba Yako,unawezaje kumutumikiya mungu ijapokuwa unashindwa Ku ijenga nyumba yako

  • @MargaretKivaro
    @MargaretKivaro 8 місяців тому

    nilipenda sana nyimbo zako nilipoona hizi habari sikuani Kuna Ile wimbo uliimba inaitwa ndoa I can't believe my dear rudia mume wako ndio utaendelea poa na Mungu ataendelea kukubariki

  • @ELISHDeus
    @ELISHDeus 8 місяців тому +1

    Ukwel tunaumia sana tunapo utasikia haya

  • @JosephLoy-k2g
    @JosephLoy-k2g 8 місяців тому +2

    Acha umalaya dadaa,

  • @isacklyanga5835
    @isacklyanga5835 8 місяців тому +1

    Mimi kwangu hata nyimbo zake sitazisikiliza anamwita mpagani Nasibu PR.

  • @GeorginaMkumbwa
    @GeorginaMkumbwa 8 місяців тому

    Nyimbo za kristina shusho ni nzuri mno na hazichoshi anasauti nzuri na nyimbo zake hazichuji kwa hilo tukio tunalo sikia inaonesha hamtaki huyo mme wake.lnaonesha aliishi naye alivyokuwa na shida lakini kwasasa anajiona kashafanikiwa
    Kashamdharau mume wake.umuhimu wa hiyo mwanaume ataujua baadhi ya changamoto zikianza kumsumbua .

  • @elizabethmziray2461
    @elizabethmziray2461 8 місяців тому +1

    Wanaume wanachangamoto zao,lakini Christina hana hekima kabisa kama mke

  • @HenryNyakundi-u4t
    @HenryNyakundi-u4t 4 місяці тому

    WACHA MCHEZO.....WEWE MAMA.....

  • @helenmwelu2680
    @helenmwelu2680 8 місяців тому

    Mungu akusaidie jamani...sikupenda kwake tumuombee bado mpakwa mafuta usimnyoshee kidole.

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 8 місяців тому

    Mimi sijaherewa ivi mwanamke ukitaka kumtumikia mungu unahachana na mume wako sasa dini si inatunganisha

  • @holinessgathering
    @holinessgathering 8 місяців тому +1

    Ukishajiunganisha na NASEEBO ABDUL, huwezitoka salama

  • @drgeraldcubwa481
    @drgeraldcubwa481 8 місяців тому +1

    Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake,
    bali mpumbavu huibomoa nyumba yake
    kwa mikono yake mwenyewe

  • @amaniupendo1078
    @amaniupendo1078 8 місяців тому

    Naipenda hiyi video yako !!

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 8 місяців тому

    Utakuja kujuta wakati huwezi kutengeneza .jaribu kutulia na usiongeee ongeee wala usijitetee ,maana hakuna anayeweza kukuelewa kwa wakati huu ,ni bora ukakaa kimya tu. Weka akiba hata kama kuna makosa yalishatokea. Yalikwisha tokea tayari na huyasahihishi kwa kuweka hisia zako kwa mitandao bali kama ulivyosema Mungu alikupa wito basi acha authibitishe mwenyewe . Utajiharibia sehemu ambayo haikupaswa kuharibika kwa kuongea kwako . Chukua hata kabusara cha Bahati Bukuku

  • @IbrahimMollel-bq9qf
    @IbrahimMollel-bq9qf 8 місяців тому +1

    Kisa ni nini mpka dada unamuacha mume wako au Dunia ndoo unataka kuitumikia na kumwacha Mungu

  • @bundalamisalaba252
    @bundalamisalaba252 8 місяців тому +1

    Mbona wewe nimwanamke mzuri sana lazima wakihisi nastaa wa nguli wa music Diamond

  • @saimonluoga5100
    @saimonluoga5100 8 місяців тому

    Uhuru wa imani aende hata kuimba kaswida

  • @thepatriot-hbk5255
    @thepatriot-hbk5255 8 місяців тому

    I feel so baaad. Ati aache ndoa yake ili amtumikie Mungu eeeh hapana

  • @christinaadriano9817
    @christinaadriano9817 8 місяців тому

    😭😭😭

  • @frolachales1023
    @frolachales1023 8 місяців тому +1

    Sitaki kuamini kama umeshikwa na shetani kiasi kikubwa hivi ikiwa unaelewa

  • @MeemOman-p2l
    @MeemOman-p2l 8 місяців тому

    KUMBE UTOTO. UNAKUSUMBUA. MWAKA ULIOZALIWA.

  • @julesngama2508
    @julesngama2508 8 місяців тому +2

    Kweli dada uyu niwa kumwachiye Mungu. Mfalme Sauli ame angukaka . Daudi akuwahi kumu hukumu . Tuwe makini sana kwa mutu wote aliye okowa watu kwa nyimbo , kwa mahubiri . Niku waombea tu

    • @JushuaBugali
      @JushuaBugali 8 місяців тому

      Wewe Dada ukweri ndoohuo huwezi kuacha ndoa kwajili ya utumishi labda kama lipo lingine tuu

    • @oliviarusizoka3496
      @oliviarusizoka3496 8 місяців тому

      Christina Shusho Why can't you just keep quiet.....Big mouth. Hutakaa ukae uwe kama ulivyokuwa..Just keep quiet..keep quiet.. Muombe Mungu akusaidie kukaa kimya

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani 8 місяців тому

      Amos 5: 23

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani 8 місяців тому

      ​@@oliviarusizoka3496Amos5: 23

    • @ndetiefredielmushi9978
      @ndetiefredielmushi9978 8 місяців тому

      Christina tubu unajua Mungu anachukia kuachana

  • @amanimargaret.1576
    @amanimargaret.1576 8 місяців тому +1

    Uuuuuuuui mama etu Kathy kiuna ukimuacha bishop kiuna 😭😭😭😭😭😭😭

  • @EmmanuelAlberto-f3g
    @EmmanuelAlberto-f3g 8 місяців тому +2

    Mungu.gani.huyo.mtumishi.waahetani

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 8 місяців тому +4

    Christina wewe ni Mswahili mwenzetu jaribu kuwa unaongea Kiswahili kilichokamilika na si Kiswanglish. Unapochanganya lugha ya kiswahili na kingereza waliowengi wanashindwa kukuelewa ipasavyo. Ni sisi wachache tu tunaojua lugha zote 2 tutakaokuelewa. Hiyo haikuondolei usomi wako. Au ukipenda tiririka basi kingereza kitupu halafu sisi tutatafasiri. Kuchanganya sana lugha hizo 2 ni dalili ya majivuno. Lakini kwahili la kumwacha mume wako na kwenda kuanzisha huduma yako unaweza kutuelekeza ni wapi katika Neno la Mungu pamekuruhusu kufanya hivyo? Neno linasema Mwanamke atamwacha Baba yake na Mama yake atasmbatana na Mumewe na wawili hao watakuwa mwili mmoja na kitakachowatenganisha ni kifo tu. Iweje mwenzetu umefanya kitu hicho cha kipekee kabisa cha kumwacha Mumeo na kwenda kuanzisha huduma nyingine ukidai ni wito. Wito huo ni wa Mungu kweli? Mungu atajipinga mwenyewe? Umeyakanyaka. Lakini Neema ingalipo ukigeuka nyuma na kutubu ukarudiana na Mumeo Malaika wote Mbinguni watashangilia.

    • @MohdKimbe
      @MohdKimbe 8 місяців тому

      Wanawake ni mama zetu ila duh! Changamoto kweli kweli usipokuwa na MUNGU moyoni roho na mwili vinaweza tengana ghafla

    • @priscaalex503
      @priscaalex503 8 місяців тому

      Watanzania wenzangu huyo dada amevaaa Roho nyingine maana maaana maandiko yanasema hupaswi kuongeza kitu Wala kupunguza kitu lakini yeye kaongeza maneno yaye yakusema ameambiwa na mungu amuache mumewe akaifanye kazi ya mungu ila hatushangai maana miungu ipo mingi labda huyo ni mungu wa ekroni inasikitisha Sana😢😢😢😢😢😢

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 8 місяців тому

    Kuh christna na ndoa yake cc (haituhusu) maana chanzo chao cha kutengana wamekiweka (sirini) cc tunagaika tu hawawezi kujiweka wazi maana hawana wana watoto hawezi kujiweka adhalani ni aibu mm nimewasifu sana kwa kulinda hilo

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 7 місяців тому

    Dada futa kesi hiyo

  • @brazilsanga7978
    @brazilsanga7978 8 місяців тому +1

    Mungu anaona....

  • @KisholiMj
    @KisholiMj 8 місяців тому +1

    Umalaya utakuuwa, tatizo hilo umbo linakuchanganya akili jinga wew😂😂😂😂

  • @samsonnjugunanjoroge
    @samsonnjugunanjoroge 8 місяців тому

    mama ume amua ku washushia nyavu mama wana ume hawarithiki

  • @fitinajustine7801
    @fitinajustine7801 8 місяців тому

    Wamuache Christiana wanamuandaa sana jamani

  • @winnijames7330
    @winnijames7330 8 місяців тому

    yani makanisa ya kuzimu

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 8 місяців тому

    Ilajambo nilake nadaimondi siola watanzania 😢

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 8 місяців тому

    Huyu Christian a in mjinga hawezi Muita Diamond Mchungaji na huku Diamond ni watu wa giza

  • @hudumablack9339
    @hudumablack9339 8 місяців тому

    Kuvunja ndoa eti unaendamtumikia Mungu? Hapo ndipo alipoharibu kila kitu. Vunja ndoa kivyako acha kumwingiza Mungu katika ushetani wako. Hata mimi ndoa yangu iko hatarini na kama nitashindwa na kufanya maamuzi mazito, sina sababu ya kumuhusisha Mungu katika ushetani wangu. Nikiulizwa nitajibu tu kwamba nilishindwa ! Basi inatosha.

  • @aimerkahindo9289
    @aimerkahindo9289 8 місяців тому

    /Christina shoushu haiko tena mutumishi wa Mungu ,ata akifariki Anaenda jehanamu ,waimbaji mingi wa Tanzania shetani amewaiba zamu kujuwa kama Mungu ni mwenzao ila Mungu atawapiga sana tena zaidi ,hawa waimbaji wengii watanzania siyo watumisshi wamumgu ,hawaimbiye Mungu wanaimba ili wapate pesa ,hamuwezi iga mufano ya waimbaji ya congo waimbaji wa. Mungu wa congomani hakuna mulimaji moja mwenye ameacha mume wake ,nyinyi waimbaji ya Tanzania murudiliye Mungu kwani mungu atawapiga sana ,Ile jina ya yesu munaibbeba kama mukopo ili iwatajiridhe kwakutimiza tamaa zenu na matendo ya yesu kristu sindani yenu,hakuna divorce mbele za Mungu ,juwa kwanza nyinyi niwamalaya ndani ya jina LA yesu tena ndiyo maana yesu atawapiga sana ,mawakati muko munimba hamumwange tena baraka katikati ya watu ,ila Ile demon ya divorce ndiyo munagawiya watu ,kila muimbaji wote ameacha mume wake musikubali tena nyimbo zake haiko tena muimbaji kwaajili ya Mungu ila anaimba kwaajili ya tamaa yake mwenye we,nyinyi waimbaji mungu atawapiga kama uyo lusifero mungu alikimbiza mbinguni nakundi. Lake kama hamutakubali kurudilia Mungu ,musimuzoye mungu siyo mwennzenu ,kwa Mungu hakuna divorce

  • @drgeraldcubwa481
    @drgeraldcubwa481 8 місяців тому

    Huyu ameingiza tamaa ya fedha na kwake Mbingu haiwezi kuiona.Mwanamke mwenye hakima lazima avumilie mengi kwa ajiri ya kristo na watoto wake.unawafundisha nini wanawake wenzio?

  • @GodwinBuberwa
    @GodwinBuberwa 8 місяців тому

    Daymond hatakuponza Dada yangu wewe uko madhabau ipi?

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 8 місяців тому

    Saizi atumutaki atausipo ongea saiziatuangaiki nayeye mwAnadamu anatabia ya kusaau katukela

  • @winnijames7330
    @winnijames7330 8 місяців тому +1

    chakura ya Diamond platinam
    mnauchafua ukristo Kira mtu anafungua kanisa kama grosar

  • @FredMunyao-y5s
    @FredMunyao-y5s 3 місяці тому

    Kiza na nuru, you leave your husband and you go ahead and collaborate with Diamond, you share same stage.

  • @upendohalisi80
    @upendohalisi80 8 місяців тому

    Weweee rudi kwa mume wako hakuna huduma ya hivyo sema uemeanguka unaona aibu tubu bana najua aliyeumba anasema hapendi kuachana kabisa alichokiunganisha yeye uzinzi hauwezi kukutenganisha, tatizo hamjui kuitofautisha sauti ya muumba na shetani. Wito wa kipepo huo sio aliyekuumba ndo kaivunja.

  • @NeemaGabriel-r6s
    @NeemaGabriel-r6s 8 місяців тому

    Huyu ni mjumbe wa shetani na ni kahaba tu!

  • @BonaventuraJonathan
    @BonaventuraJonathan 8 місяців тому

    Ongea kiswahili kinachoeleweka Malaya wewe.

  • @KopiscoIsaya
    @KopiscoIsaya 4 місяці тому

    Christina don't play with God.please return back to you're Husband

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 8 місяців тому

    Malayaaaaaaaaaaaaaaaaa