NIKIPANDA LAZIMA NISHIKWE KIUNO - MALKIA KAREN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 чер 2022
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 59

  • @crershawmafia1009
    @crershawmafia1009 2 роки тому +1

    Endelea kula hela za wahuni wahuni kwanza ukifikia muda muafaka utaacha ujinga na kufanya kinachotakiwa kwenye ndoa.

  • @nuraansuhail2578
    @nuraansuhail2578 2 роки тому +1

    Kutokuamini ktk ndoa ni kuamini ktk Zinaaa,, mwisho Mungu ataonesha kuwa Superior

  • @hapapetu7018
    @hapapetu7018 2 роки тому +7

    Ndoa nijambo moja jepesi sana ila nizito sana pindi ukiikosea sasa inakuaje umkumbatie mwanaume wakati upo kwenye ndoa ikiwa mahusiano basi unavyo penda maana hamujaoana mupo kwenye mahusiano tuu lakini kiisilam ukishaolewa nikwamba umekubali kua na muumewako sio waume wako jitambueni nyie madada zetu hii dunia nisawa na bofu tuu ukilitia upepo mwingi utasikia puuu

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 роки тому

      Nongwa tu. Mke wa Joti naye asemeje? Ni kuelewa situation ya mtu na kuacha maisha yaendelee!

    • @vinnahjasson5546
      @vinnahjasson5546 2 роки тому

      @@TamuzaKale nimependa jibu lako, ulimpenda hivohivo na Kaz yake, iweje uanze kujaji

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 роки тому +1

      @@vinnahjasson5546 Wanaume tunapenda sana mamlaka. Nimesema hivi, mara vile. Wanawake ni waelewa sana. Hata wakitufumania, wanatusamehe. Tendo hilo liwe kinyume chake, utasubiri kudura ya jalali. Tuna wivu wa kijinga kupita kiasi. Mfano mdogo ni huo, mke wa Joti. Anavumilia yote. Ingekuwa mambo anayofanya Joti yanafanywa na mwanamke, wanaume wachache wenye kuelewa situation za wake zao, watakubali. Wengi wao wangeingia ubia na wivu na mwishowe ndoa kufa au kuuana. Tumeyaona! Heshimu kazi ya mwenzako!

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +5

    Daaaah diva jmn ilo wigi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!!!!!!

  • @jwakoofficial1560
    @jwakoofficial1560 2 роки тому +2

    Ukuerewa sanakaren

  • @obrigadoofficial1506
    @obrigadoofficial1506 2 роки тому

    Basi Sasa mume umepata sifa Zote unazo 👏👏👏❤️

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥

  • @dineshog8575
    @dineshog8575 2 роки тому

    Huyu hana hit song hata moja af nashangaa et ni celeb

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 2 роки тому +3

    Kwa iyo na ww mwenzio ukikuta kashikwa kiuno na mwanamke mwenzio utafurahi?

  • @kwazulu5240
    @kwazulu5240 2 роки тому

    Aliyemwambia kapendeza na Hilo Wig Mungu ana muona.

  • @leticiafabian4450
    @leticiafabian4450 2 роки тому +1

    anaconect had sm ukipigiwa anajua

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 2 роки тому +1

    Wewe usidanganyeeee

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 2 роки тому

    Uyuu mswailii

  • @qudratv9169
    @qudratv9169 2 роки тому +1

    unavalishwa viat kushikwa paja kunatokea wapi tenaaa

  • @sadickbudoda4361
    @sadickbudoda4361 2 роки тому +1

    Nyinyi ndio mnafanya mahusiano kuwa magum kwa sababu ya matokeo yenu wenyewe kwa wanaume, akili timam, mwanamke kiongoz wake mwanaume analokwambia fuata ukilikosa hili jua kwenye uanamke unamapungufu, hii ni matokeo yakurith mira mbaya zisizokua zetu, akili timam ni dini

  • @merlinmugisho9765
    @merlinmugisho9765 2 роки тому +1

    Takupata wapi

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 2 роки тому +1

    Shida ya watu maarufu au ma star tunawaona ni kujiondoa akili kua ndoa inaongozwa na u star! Ni wachace sana wanaojitambua kwenye mahusiano yao sababu misingi na kanuni ni kwamba hata ungekua star kiasi gani bado hutakiwi kua juu ya sheria ya mahusiano

  • @suzmaryhenry1920
    @suzmaryhenry1920 2 роки тому +2

    Mzur sana karen

  • @peterrobert8905
    @peterrobert8905 2 роки тому

    Huo ni usenge we hufai endelea kudanga hamna mwanaume mwenye moyo huo

  • @miriamdavis3893
    @miriamdavis3893 2 роки тому +1

    Your beautiful caren kubali uishi maisha mazuri

  • @seifabraham5836
    @seifabraham5836 2 роки тому

    Kumbe huyu Dada akili Hana

  • @jovithajames5962
    @jovithajames5962 2 роки тому +5

    Diva kwani hujui kutengeneza wigs zako vizur unavaa wigs zimechakaa namna iyo khaaaaaaaaa. Peleka saloon wigs zako zitengenezwe yani wig haionekani kaman ni closure au frontal .

    • @sellove6220
      @sellove6220 2 роки тому +3

      Adi anaonekana Mchafu kichwani

    • @jovithajames5962
      @jovithajames5962 2 роки тому +2

      Ndio ... Kila siku wigs zake haziekeweki afu anajitamba anapesa pride nyingi mtu hajui hata kujitacare mmmm

    • @annamduma4009
      @annamduma4009 2 роки тому +2

      Huyu ni mchafu mvivu hadi kwa mwil wake hukuona kunakipnd alihojiwagwa nyumba yake yan chumba kichafu akichukua nywele hachani anavaa tu

  • @hugomtete1461
    @hugomtete1461 2 роки тому

    Aisee nipe namba mm nikupende hyo mahba ndo nhtaj

  • @ntamwanatv4737
    @ntamwanatv4737 2 роки тому

    Ndo maana nasemaga mtafute wa saiz yako yan ushikwe paja halafu nakuonaaa wweeeeh

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 2 роки тому +1

    Kushikwa paja tena😂😂kwani kiatu hakifaliki bila ya kushikwa paja

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 роки тому

    PESA UKO NAZO MIMI NIJE?

  • @manjaruu1575
    @manjaruu1575 2 роки тому

    Umalaya tu

  • @thomaskeya5488
    @thomaskeya5488 2 роки тому

    ilaFainal uzeni utaishi mwenye km kahaba

  • @zakiahfaustin8087
    @zakiahfaustin8087 2 роки тому

    😂😂😂malaya tuu kwaann ushikweo

  • @leonardemmanuel9249
    @leonardemmanuel9249 2 роки тому

    Kaachwa hana lolote

  • @rashidhusain2958
    @rashidhusain2958 2 роки тому

    Kiatu kinavaliwa mguuni, at least ushikwe goti mkono pajani wapi kwa wapi na kiatu. Ni paja au ni haja inayotafutwa pajani?

  • @kiumbeonlinetv4688
    @kiumbeonlinetv4688 2 роки тому

    Hmn lolote hpa

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 2 роки тому

    danga hilo😂😂😂 , hivyo vingine visingizio tu😂.....we sema ukimaliza kazi ya kujiuza ndio utaanza kuwaza kuolewa😅

  • @paulmteki8196
    @paulmteki8196 2 роки тому

    Bado ujafikia atua ya kuwa mke kuna level yakuwa mke. Tafuta malaya mwenzio Mdate ila si mume

  • @calvinmeela7563
    @calvinmeela7563 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🙌🙌

  • @olarivolariv1313
    @olarivolariv1313 2 роки тому

    Acha kuona wanaume ni wajinga,,,hakuna uhusiano kati ya paja na kiatu.🏌️🏌️

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому

    Ukipendwa penda utakuja penda na husipendwe utalia wewe

  • @moseskisingi7696
    @moseskisingi7696 2 роки тому

    Nonsense.

  • @rafikingango
    @rafikingango 2 роки тому +1

    Hii ni Baraka sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👉🏼👉🏼👉🏼ua-cam.com/video/cgb-mXBbADk/v-deo.html

    • @hamisibakali9271
      @hamisibakali9271 2 роки тому

      Ushikwe paja kawaida ushikwe kiuno kawaida kha👀

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 2 роки тому +2

    Kwani uwezi kuvaa kiatu lazima ushikwq paja? Au shikweshikwe?
    Vitu unavyotqka vinaitwa Tania mbaya.
    Ata hao wazungu wanajiheshimu wanapokuwa katika mahusiano.
    Subiri uzeeke ndio utashtuka

    • @hafsamsangi597
      @hafsamsangi597 2 роки тому

      Hapo bado time yakuwa mke vyote hivyo hutofanya na utatulia akuna mwanaume wahivyo kuona kawaida kisa we star

    • @toneylulinda9320
      @toneylulinda9320 2 роки тому

      Mwanaume gani anaelubali huo ujinga

  • @stevenkapugi4209
    @stevenkapugi4209 2 роки тому +1

    Duu sema karembo sanaa yaan kananikosha sana