Msiongee sana mana yakale haya achi kunukia... kwanza Sarah mzuri na pia anaheshima zake... kufikia hatua Nasibu kumuita on the stage... Alikua ana Maanisha... kwaiyo ata wakirudiana chaAjabu hakuna.....kama ilivyo...mtalaka hatongozwi...
Jameni😂😂mniachie like ndio nikamtembelee dada yangu zuhura naskia amebeba mabegi kuenda kwao 😂😂lazma naseebu amrudie uyu ata kama ni mechi Moja ya kistaarabu
Najiuliza umri huo hadi usiku wa saa 3 ni kubadiri wiwanja….😮😮wazazi wao walikuwa wapole…. Mimi kuingia kwetu saa 3 sikuwahi labda nilipokuwa chuo ndio niliweza kuwa free
aaaaa kumbe salama rafiki ako namjua kwa sasa sijui yukwap alikuwa anasuka nywele Mwenge walikuwa wanasuka na dada angu bisha tuone kama salama sio msusi
Wtz walivowanafik saivi waatasema sara mzuri sara vile...😂sasa subiri aanze kudate tena na daimond ataumbuliwa huyo mpk aone dunia ipo juu chini..kiukweli sishabikii uzinifu sijamuona mwanammke wa maana mpka sasa kuwa na nasib wote wazinifu tu wasiojielewa.
Nilidhani ni mimi peke angu nimegundua hilo😂😂😂halafu ukipiga mahesabu diamond alikuwa mdogo sana miaka 17 kuishi kinyumba na mwanamke? bado story yake haimake sense. Anavyozidi kufanya interview ndio anavyozidi kujichanganya
Coz Sara km linah sanga kwa mbaliiiiii km unakubaliana ma mm gonga like
Huyu sister ni mzuri wa sura,ana sauti nzuri, anajua kujielezea ,mstaarabu na inaonekanwa anapendwa sana na watu
Ushasema
🤣🤣 eeh
Ila uyu mdada n mzuri n pia Ako n busara snaa ❤❤
Mzuri wp
KUNA MTU ALISEMA DIDA HAWEZ KUMUACHA SARA APITE....KESHO INTVW😊
Sarah Mtoto mzuR kumbe ivoo Sema napenda unavo Muhita Chibu Nasibu 💪🔥💯Shem LETUUUU
Umerudi kuangalia wimbo wa Nenda kamwambie vile umekuwa Pushed again 😂
sara u look so beautiful
Mliokuja hapa baada ya dida kufa nipeni like zenu
Katika wanawake wa mondi wotw huyu ndo anamwita jina lake halisi na analitamka vizuri sana saraa
Sarah♥️😆😆💔
Sara ashakua star😂😂😂
Wifi sara❤❤❤❤❤
😁😁
Wifi wa saa ngapi na lini
Nimeipenda hii story ❤❤❤❤❤❤❤❤
Uyo mark dah kama namuona akifanya yake 😂😂
Daaah hatimae sara kawa star,aiseee nyie raha kinoma
Saraphina❤❤❤❤
NAMFANANISHA NA MWANAMZIKI MBILIABEL WA CONGO SJUI NI MIDOMO❤❤❤❤
Wakenya
Ex wa taifa amefika😂😂😂😂😂😂
Leo sara kapendeza tofaut na juzi kaisha kua staa anaanza kupendeza 😅😅😅😅
Mimi nimependaz amefaa vizuri
😂
WAKWANZA MIMIAPA LEO NIPENI LIKE ZANGU
Unazipeleka wapi!!
😅😅
Unataka uzile au😢
Ndo maana diamond ataki kuoa anampenda uyu dada sana
She is so pretty
Msiongee sana mana yakale haya achi kunukia... kwanza Sarah mzuri na pia anaheshima zake... kufikia hatua Nasibu kumuita on the stage... Alikua ana Maanisha... kwaiyo ata wakirudiana chaAjabu hakuna.....kama ilivyo...mtalaka hatongozwi...
Nimzuri kabisa
Bure ww
😂😂😂bonge moja la Kiki
Ni mm Apa mack nauza uwono pangan🥺.
Hapa kikubwa kilichoongelewa UHUNI , UZINZI kwenda mbele. yaani ZINAA tuu
Umesema kweli kabisa
😅😅😅😂😂😂 uwii
I love Sarah ❤
Dah yaaani kama Chioma Wa Davido Diamond Fanya Jambo bwana
Sarah mama wa taifa
Sasa diamond awalete ma x wote tunataka kuwajua
Presenters mnazingua mnaongea sana afu kwa pa1 bila ht wenyew kusikilizana mnamfanya hadi anashindwa kueleza vzur
Jaman kwn watangazaji mna nn mbn mnakata vibe aseee 🤨🤨
Kila anaepita na mondi au aliyepita lazima awe 🌟
Jameni😂😂mniachie like ndio nikamtembelee dada yangu zuhura naskia amebeba mabegi kuenda kwao 😂😂lazma naseebu amrudie uyu ata kama ni mechi Moja ya kistaarabu
🤭
Haya tuangalie kama mwisho yatafikia au laa😮
Nimejisikia kulia Leo 😭😭😭🙏😔
Akiwa mjanja atatengeneza pesa apa tyar ashatengenezewa ustaa kama hajui
Watz mna balaaa 😂😂ashakuwa staa tayari 😂😂
Itabidi Mark atafutwe atupee story
Nacheka kama mazur sarahwangu nimekumbuka mbali 😂😂
Dar zamani sana mungu akupe maisha marefu dada
Diàmond kama sara hajaolewa muoe, ni mzr
Kwahivyo miaka 18 left 😮
Mbona kama Queen Darleen😂
Af kweli
True
Ndio maana bi dada kanuna😂 yeye alijipeleka😢
Najiuliza umri huo hadi usiku wa saa 3 ni kubadiri wiwanja….😮😮wazazi wao walikuwa wapole…. Mimi kuingia kwetu saa 3 sikuwahi labda nilipokuwa chuo ndio niliweza kuwa free
aaaaa kumbe salama rafiki ako namjua kwa sasa sijui yukwap alikuwa anasuka nywele Mwenge walikuwa wanasuka na dada angu bisha tuone kama salama sio msusi
Jamanii dida udaku nao watanafasi😂😂😂😂
Hawa kina diamond walikua nahasira na mademu kumbe kitambo dagh kumbe sio wakushangaa hawa kina diamond wanayo ya fanya
Mmmmh kila muda😅😅😅😅
I'm looking for this mark naona ni type yangu 😂
😂😂
Diamond tunaomba tuletee mark bana Ili story iendelee
Hahaha
😂😂😂😂 kweli
😂😂😅
😂😂😂
😂😂😂😂 ila wewe khaaa
Diamond nae kaanza mizagamuo zamani jamani.miaka hiyo tena kanauza Pete ya mama yake kanaenda kuhongea.😂😂
Gonga like kama bado unafatilia mahojiano ya Sara na bado unampenda zuchu
🔥🔥🔥🔥🔥
MAC huyo. I WANTED 😅😅😅
😂
Hongera sana kaka yangu yaan wewe ni mwanaume mwe upendo my ukujificha ficha isiazako..!!
Sarah bwana ❤
Wanawake hukua haraka
Manzethe😊
😂😂😂😂😂
❤❤❤❤
Watangazaji tulieni bass mtu aongee pumbavu shinziii
😂😂😂😂
😂
😂😂😂😂😂
😂
Asa mbn shemeji yu2 anapua kama ya babalevo
Hhhhhhhhhhhhh😂😂😂😂😂
Mleteni Mack ajibu haya
Daah Juma🤲🤣🤣
Yaan kusikiliza interview ya wasaf wanakuw wanamakelele halaf wanaongea sn
Please someone to explain what she's trying to say in English please 😢😢
Hiv Zuchu atakua amesumbua kama alivyo sumbua SARAH??😂😂😂
haya tuleteeni huyu mark
X wa taifa tz bwana
Tuleteeni mwamba mark tumsikie na yy
Zuchu typing deletee😂😂😂😂
Usjar zuchu kutesa kwa zam
KA ulvompora Aaliyaah nawe subir labda uwahi kumroga dai😂😂😂😂 Yan simba ni mpiraaaa
Diamond ni mimi kabisa alooo nikimwelewa manzi napambania ya hela ote
NASSIBU TULETEE MAC NEA TUMUONE
Wtz walivowanafik saivi waatasema sara mzuri sara vile...😂sasa subiri aanze kudate tena na daimond ataumbuliwa huyo mpk aone dunia ipo juu chini..kiukweli sishabikii uzinifu sijamuona mwanammke wa maana mpka sasa kuwa na nasib wote wazinifu tu wasiojielewa.
Ukipenda Mara ya kwanza,ndo imetoka hivyo.kama hii story imekufanya usikilize tena wimbo wa kamwambie, twende party 2
Watu mnapenda umbea
Zuchu uko atakuwa anachoma picha tu mnazd kumvuruga na uyo sara😂😂😂
Hivi Zuchu kawakosea nn Hawa watangazaji maana ?
Hiyo sidiria vip
Hzo ni kiki, Diamond anasema ulimkataa, ww unasema ulimkubalia
Si mwazo alimkataaa
❤❤❤😮😮😊😊
Yani huyu sarah na ninna msani kisura kimbali nawafanaanisha hadi lips
Mmh
Diamond plz amusaidiye kbs ten huyu sarah bi wife material
Media ya familia
Sarah muongo mbona kwenye show alisema walipendana na diamond kuanzia 2006 hadi 2009😂😂😂😂😂inakua tena 2007 ndo mlikutana mara ya kwanza😂😂😂
Nilidhani ni mimi peke angu nimegundua hilo😂😂😂halafu ukipiga mahesabu diamond alikuwa mdogo sana miaka 17 kuishi kinyumba na mwanamke? bado story yake haimake sense. Anavyozidi kufanya interview ndio anavyozidi kujichanganya
@@Bravo-or8oy anajichanganya saana🤣😂
Kumbe umalaya diamond kauanza kitambo sana,itakuwa inasugu sasa😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂wanichekeshaa
Na wewe ulianza umalaya wako lini....si kwa ubanya lkn
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaahni Sarah na nasib wankitan Mimi nipo darasa pili😂😂❤❤
Astaghafrullah msisahau mauti tu
Shukran kwa ujumbe Allah akulipe
Uko sahihi
Jamani mbona leo camera 📷 giza? Ddd mko juu🎉
Hapo Sasa mind alikuwa na umri gan jaman
Tanzania tinapenda umbea jmn
Marck ni mcheshi tu alikuwa hatongozi kumaanisha
Watanania watanzani kweli content ndio hamna daa yani vitu vya kitambo mumekita mizizi kweli hamna kazii
Sasa leo umevaa mawig haupendezi
Unatafuta kiki mda wote ulikuwa wap wasenge nyie
Hamna lolote zuchu ubasi amezeeeeka nasib bado mdogo sana yeye na zuchu wanaendana
Atali
Mack ni mkuu
Mi napenda macho yake sasa kafunika jamn
Anaona aibu