Allah amfanyie wepesi ampe subra wenye uwezo wajitahidi wamuone na tumsaidie ki hali na maji hivi kwa mfano kila alieona clip hii akamchangia walau elf 2000 tunadhani nikiasi gani atakipata nawenye uwezo wafanye kadri ya uwezo wao Allah ndie mlipaji
اللهم رب الناس مذهب البأس اشف انت الشافي وعاف انت المعافي لا شفاء الا شفائك شفاء لا يغادر سقما ولا الما ياوافي ياكافي ياحميد يامجيد ارفع عنها وعن جميع المسلمين كل تعب شديد والمرض الشديد
Time ni mwanangu namjua mpaka chumba chake. Anakaa Muwambe kwa Mgogo ama Kwaumbaju ukitoka Ukichomao,Kijiwambo kisha ndio unaingia mtaa anaoishi yeye Bi Time.
Allah amfanyie wepesi ampe subra
wenye uwezo wajitahidi wamuone na tumsaidie ki hali na maji hivi kwa mfano kila alieona clip hii akamchangia walau elf 2000 tunadhani nikiasi gani atakipata nawenye uwezo wafanye kadri ya uwezo wao Allah ndie mlipaji
pole sana, Allah akupe subra kwa huo mitihan uliyokupata
Mungu aendelee kukupa subra mama etu naakuponye kwa rehma zake
Allah amuafu na wagonjwa wote jamia... amin
Inaskitisha sana lkn yote ni mipango ya M. Mungu na pia kuna kheir ndani yk.
M. Mungu ampe shifaa yk Amiin
Allah akuponye ponyo LA haraka Kwa uwezo wake na utukufu wake.
Yaa Rabbi mnyanyue na irudi Afya yake
Allah amfanyiye shifaa
Subhanallah mtihani Allah atamfanyia wepesi hakuna kubwa kwa Allah atainuka in Shaa Allah tumshukuru Allah kwa neema ya uzima Alhamdulillah
Allah atampa shifaa Kwa haraka
Allah akupe Shifaa InshaAllah
Allah akupe shifaa dada, amiin.
YAA ALLAH MJAALIE SHIFAA YAA RABBI AAMIN
Alhmdulillah...kweli binadamu ni wakushukuru kwa kila halii 😢 Hatujuwii ataa sekunde yetu
Ya rabbi Mwenyewezimungu ni mtosha wa kukuponya, ln Shaa Alwah vuta subra.
Allah atampa shifaa kwa rehma zake mtumbatu mwenzangu wa muambe ila muambe jmn hakuendelei kwa mmbo ya uswahil
Allah yashfee ya rubb
Subira ndio jiwe la ibada mola atakuponya inshallah
اللهم رب الناس مذهب البأس اشف انت الشافي وعاف انت المعافي لا شفاء الا شفائك شفاء لا يغادر سقما ولا الما ياوافي ياكافي ياحميد يامجيد ارفع عنها وعن جميع المسلمين كل تعب شديد والمرض الشديد
Allah akufanyie wepesi ndugu yetu. Upowe na usimame.
Mola ampe afia amuinue atembee kama wenzake
Aamiin
Aamin Yaarabbil Aalamin
Tunamuomba Allah ampe afya njema pamoja na sisi.
Allah ampe shifaa ilio Kamil na ampatoe matibabu maskini
kaka mimi nakutakia kila la kheri katika maisha yako allah akuhifadhi nimepata elmu kubwa kutia mafunzo yako
allah amhifadhi bi time ishallah
Mungu akufanyie wepesi
ما شاء الله
Allah ashfik yarabii
عجلها الله بالشفاء والعافية
اللهم اشفها شفاء لا يغادر سقما ولا الما
Ewe mola wa mbingu na aridhi mpe e shufaa dada yetu time kwa uwezo wako na kudurazako
Ameen ya rabby
Allah yuko pamoj na wewe dada Atakufanyia wepec utapona
Ameen ya rabby
Time ni mwanangu namjua mpaka chumba chake. Anakaa Muwambe kwa Mgogo ama Kwaumbaju ukitoka Ukichomao,Kijiwambo kisha ndio unaingia mtaa anaoishi yeye Bi Time.
Serikali msaidie pia
Hakika ameniliza Bi. Time
Kweli anaumwa binafsi nshafika kumuona maana mm ni mshairi na yy pia ni mshair
Ypo muambe sehem nami nikamuone insha allah
Allahu mustard´aanu
Uswahili huo
Allah muafu mja wako huyu
Huo ni uswahili
Wewe msenge sana. Ni vile hayajakupata ndo maana unasema ni Uswahili. Lakini kama ungekuwa wewe au dada yako au mkeo ndo ana hali hii usingedharau.
Uswahili huo