Shemegi yangu Ustadh Juma ameuliwa bila ya kosa lolote lile Mungu amrahamu kaka yangu huyu pamoja na wote walioliwa kwa dhilma na Mungu awalipe wote walioshiriki wakuingozwa na Kafiri Mkapa, Mahita, Khalid Iddi Nuizan aliekuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar mda huo na askari wote walioshiriki. Aamiin
Huyo Bi Fathiya Nijirani yetu Nikomandoo huyo hajakuambia jambo moja ambalo alilolifanya siku ya Machafuko alili daka Bomu la Machozi Nakuwa Rudishia hao walio lirusha hao Fidi force 😷
Hawa watu hawa aamini kuwepo kwa mungu wala hawaamini kiama lugha ya vitendo ni fasaha zaidi kuliko maneno halafu watu hawa utawaona mbele msikitini siku ya ijumaa na makanzu yao ya kuburutika .
Mm sikuwa najua siasa wala nani ana haki nani hana lkn wakati nafuata kundi linalotoka Amani kwenda mjini alipigwa risasi kijana mmoja akafa pale Mikunguni nakumbuka hiyu kijana akiuza duka Amani Fresh .
ccm ni chama wakala wa kanisa kama alivyo kiasisi nyerere.lengo la ccm si utawala ni kuuwa islamu. ccm na bakwata haina tofauti. Huwa najiuliza ivi wanaoiunga mkono ccm wanakaakiri?
Tawala za dhulma malipo ya maovu yenu mtayakuta kwa ALLAH, hilo halina shaka, kama quran imesema kila nafsi itaonja mauti na tunaona kila siku watu wanakufa, basi kailivyokuwa hakuna shaka ktk mauti basi mwisho wa dunia upo na malipo yapo hilo halina shaka waliodhulumiwa watalipwa na waliodhulumu watalipwa na mlipaji huyo hafi, hasinzii, halali, hasahau ni mfalme wa wafalme ni hakimu wa mahakimu, malipo ya uovu yapo na malipo ya wema yapo hiyo siku haina shaka watawala waovu mtayakuta matendo yenu hakuna shaka
CCM NI CHAMA CHA KIDHALIMU MAUWAJI HAKIWEZI KWENDA BILA DAMU ZA WATU NI UTUMWA WA HALI YA JUU MIMI KURA YANGU KUITILIA CCM NI HARAMU NAMPENDA SANA RAISI WANGU ILA JIKIFIKIRIA CCM HAPANA WACHA NIMUOMBEE DUA TU ALLAH AMLIPE UJIRA MWEMA ILA KWA KURA NA CCM ANISAMEHE SIWEZI KUUNGA MKONO HICHI CHAMA NA MIMI NIKAFUFULIWA NAO NA MRENO IPO SIKU HARAISHIA BARABARANI TU KUPIGA MIBUNGO ATAKUFA AKALIPE ROHO ZA WATU
Zanzibari ni ndogo hivi haya munayasikia. Muliambiwa yajayo yanafulahisha. Lakini mimi niliumia sana kusikia hivyo. Na kilichotokea ni kuhudhunisha . Kifo cha maalimu seffu. Hiyo ndio ccm tuikatae ccmu ni chama cha wauwaji
Naitwa omar Suleiman juma naikubuka siku hiyo nilikuwa natoka skuli ya darajani kusoma mida hiyo nilikuwa narudi kwetu kutoka skuli naelekea kwetu kwa haji tumbo
Ebu wew ukijifanya mwarabu ndio utakuwa mwarabu zaidi utaenda kuhulizwa mbere yamwenyezimngu kwanin uliukana uafrica wako yani Ubuntu naukaupenderea sn uwarabu hambao kiakika sio asili yako kk gasani
Alieuwa anajua kwann anaua maana ulkua n mpango wa makusudi na hiyo ndio sababu ya kuuliwa dr. Omar Ali Juma kwa kua alisema ukweli kua mauaji ya 2001 ni mpango uliandaliwa ili wauliwe Wazanzibari ikiwa ni sehemu ya kuwatia adabu
Bila shaka siku ya hukumu ikifika, ndio itakua hivyo, aliyeuwa ataulizwa sababu za kumuuwa mwenziwe, asipate jibu, na aliye uawa naye aulizwe, sababu za uhai wake kukatishwa, naye asipate jibu, kisha Allah apitishe hukumu yake ya uwadilifu juu yao.

Allahumma ameen
allahumma aamim
Allahumma Aamiin Yaarab 🤲
Aamiin Yaarab 🤲 Bi Fathiya Salim AlLah akujaalie Afya njema na Uzima Aamiin Yaarab 🤲
Huyo Bi Fathiya Nijirani yetu Nikomandoo huyo hajakuambia jambo moja ambalo alilolifanya siku ya Machafuko alili daka Bomu la Machozi Nakuwa Rudishia hao walio lirusha hao Fidi force 😷
Allah atawalipa na atawapa dhiki maisha yao.
Wallah AlLah kakusimamia kwa Ujasiri wako wa Jihad ulioipigania AlhamdulilLah
Majibu mazuri kabisaa 💯👍 well done 👍
Allah awaangamize vifo vua kidhaili
Mw.mungu atujaliye kila la kheri iwe salama asije akapoteza maisha mtu yoyote kipindi cha uchaguzi kwa ajili za siasa Mw.mungu atujaliye salama❤
Ameen
Mungu atawalipa kilammojo haki zao hana sifa ya zulma hakika ya uhakika amini hivyo.
Subhaanallah km ulilotenda utalipwa kiama kuna mambo tunayoyajua na tusioyajua daah binadamu unabadilika unakua mnyama
B fathiya mm jecha c muombei Aman mungu amuadhib kwa alicho 2fanyia wazanzibar
Aamiin amlipe huko alipo na mabaya yake alioyafanya
Somo napenda sana kukufuatiria somo. Ila inauma sana. Hatuwezi lalamika bila kuchukua hatua
Yaani nihuzuni kubwa kwakweli hawa ni washenzi sana yaani mungu atawalipa kwa kweli
Fir-auna aliuwatu sana kiachakwamba Allah alitumia yudhambihu yaa aliuwawengisanaaa,akihofia kuporomoka madaraka,kwahyo muuwaji hanamwishomwema hapadunia na akhera atapa udhalilifumkubwa.kila alopata kudhulumiwa wawe nasubra Allah anayaonayoote napia yanamwishowake
Hawa watu hawa aamini kuwepo kwa mungu wala hawaamini kiama lugha ya vitendo ni fasaha zaidi kuliko maneno halafu watu hawa utawaona mbele msikitini siku ya ijumaa na makanzu yao ya kuburutika .
Mama fatia allah kulipe malipo makubwa kwa kwamadhara uliyopata
Ndio maana wanasema Mapinduzi daima hao lkn Biidhni lilLah WataalLah wana Mwisho Wao haikua Israel Wameshindwa na hila na zao!
Mm sikuwa najua siasa wala nani ana haki nani hana lkn wakati nafuata kundi linalotoka Amani kwenda mjini alipigwa risasi kijana mmoja akafa pale Mikunguni nakumbuka hiyu kijana akiuza duka Amani Fresh .
Naikumbuka siku hiyo SubhanaAllah 😢
Mashaallah maneno mazito mama umeongea
Askari wa znz niwatu wasio na imani nnachukia sana..Allah atawahukumu hapahapa duniani na akhera ndio maana hawana mwisho mzuri
Naona Bora isiwepo uchaguzi chama 1 tu kiwe
ccm ni chama wakala wa kanisa kama alivyo kiasisi nyerere.lengo la ccm si utawala ni kuuwa islamu. ccm na bakwata haina tofauti. Huwa najiuliza ivi wanaoiunga mkono ccm wanakaakiri?
Tawala za dhulma malipo ya maovu yenu mtayakuta kwa ALLAH, hilo halina shaka, kama quran imesema kila nafsi itaonja mauti na tunaona kila siku watu wanakufa, basi kailivyokuwa hakuna shaka ktk mauti basi mwisho wa dunia upo na malipo yapo hilo halina shaka waliodhulumiwa watalipwa na waliodhulumu watalipwa na mlipaji huyo hafi, hasinzii, halali, hasahau ni mfalme wa wafalme ni hakimu wa mahakimu, malipo ya uovu yapo na malipo ya wema yapo hiyo siku haina shaka watawala waovu mtayakuta matendo yenu hakuna shaka
CCM NI CHAMA CHA KIDHALIMU MAUWAJI HAKIWEZI KWENDA BILA DAMU ZA WATU NI UTUMWA WA HALI YA JUU MIMI KURA YANGU KUITILIA CCM NI HARAMU NAMPENDA SANA RAISI WANGU ILA JIKIFIKIRIA CCM HAPANA WACHA NIMUOMBEE DUA TU ALLAH AMLIPE UJIRA MWEMA ILA KWA KURA NA CCM ANISAMEHE SIWEZI KUUNGA MKONO HICHI CHAMA NA MIMI NIKAFUFULIWA NAO NA MRENO IPO SIKU HARAISHIA BARABARANI TU KUPIGA MIBUNGO ATAKUFA AKALIPE ROHO ZA WATU
Yuko hakimu wa Mahakimu ( Allah) marejeo yetu ni Kwake yeye. Wallah thumma wallah hayo yote tutayakuta. Kila aliedhulumiwa atapata haki yake
Zanzibar wameshachoka hayamambo Namuomba kwaheshma kubwa rais samia aangalie hili kwajicholakumi wazanzibar washadhalilikasanaaaaaaaaaaa
Ina Lilahi wa Ina I layhi Rajioun ni Shahid
Zanzibari ni ndogo hivi haya munayasikia. Muliambiwa yajayo yanafulahisha. Lakini mimi niliumia sana kusikia hivyo. Na kilichotokea ni kuhudhunisha . Kifo cha maalimu seffu. Hiyo ndio ccm tuikatae ccmu ni chama cha wauwaji
Jecha lanatul ALLAH Na Wotee wanao husik na mauwajii yotee INSHA ALLAH
Hatuutakiiii Zanzibar kwanza❤
Dah mtihan kwa kweli inahuzunish
Allaahu akbar
Yaani huyu Mama kama chama hakitamuangalia na vile ni mtu mzima sasa. Mtakua mumefanya kosa kubwa. Mama
Kwann watu wanaua kizembe hv nawatu hawaulizwi kitu. Jmn
HAYA HADI LONIIIIII😢😢😢😢
Hawa mi CCM
ADHABUHUM NAAR WA SAIRA MASIRA
DUNIA INAWADANGANYA
Naitwa omar Suleiman juma naikubuka siku hiyo nilikuwa natoka skuli ya darajani kusoma mida hiyo nilikuwa narudi kwetu kutoka skuli naelekea kwetu kwa haji tumbo
Ya zamani hii huyu bi Fathiya alifariki naona
Bi Fathiya yupo nahiyo siyo ya zamani nijuzit amehojiwa jinc watu walivyouliwa mwaka 2001
Ina maana huyo.ni maiti anaeongea? Sikiliza maelezo vizuri
Allah umeweke na ampe afya njema hio ni ya juzi Tuu tarehe 26jan 2025 juzi tuu Allah amuhifadhii huyu mama yetu jasiri
@omaryndumo8005 ni kweli alokufa ni yule bi khadija alokuwa mbunge
@@salumnassor6555Aamiin Yaarab 🤲
Wew gasi unapata nini au unapewa kitu gani kuwapenderea watawara walio tutawara vibaya sn Tena waritunyanyasa zaidi yamiaka 300 mfurulizo
Si jambo zuri kufukua makaburi. Kuyaleta Yale yaliyokwisha pita. Unless uwe na lengo lako ulilokusudia ambalo kuchochea uhasama uliokwisha pita.
Ungekua wewe ungesema hivyo?
Ungelikua una Moyo wa ubinadamu kiukweli usingelisema hayo usitake kuuficha Ukweli kwa kisingio cha kusema kufukua makaburi unaonekana ni mmoja Wao! 💯
Kwa nn yazungumzwe kipindi cha uchaguz lengo ni nn
Ebu wew ukijifanya mwarabu ndio utakuwa mwarabu zaidi utaenda kuhulizwa mbere yamwenyezimngu kwanin uliukana uafrica wako yani Ubuntu naukaupenderea sn uwarabu hambao kiakika sio asili yako kk gasani
Tuliawewe kafiri Matako kunuka Mmbwaa wewe😷
alieuliwa hajui kauliwa kwasababu gani na aliye uwa hajui kwann kaua...MUNGU TUEPUSHE NA DHULMA HII
Alieuwa anajua kwann anaua maana ulkua n mpango wa makusudi na hiyo ndio sababu ya kuuliwa dr. Omar Ali Juma kwa kua alisema ukweli kua mauaji ya 2001 ni mpango uliandaliwa ili wauliwe Wazanzibari ikiwa ni sehemu ya kuwatia adabu
Bila shaka siku ya hukumu ikifika, ndio itakua hivyo, aliyeuwa ataulizwa sababu za kumuuwa mwenziwe, asipate jibu, na aliye uawa naye aulizwe, sababu za uhai wake kukatishwa, naye asipate jibu, kisha Allah apitishe hukumu yake ya uwadilifu juu yao.
Hio ni dalili ya kiama pia tayarii Time imekaribia