Ufisadi wa Zanzibar ni ujambazi, mtu mmoja tu amekwapua bilioni 10 - OMO | GUMZO LA LEO
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema ana ushahidi wa kutosha kwamba kuna mtu mmoja amekwapua shilingi bilioni kumi kwa njia za kifisadi Zanzibar na kwamba kuna siku ataweka majalada yake yote hadharani.
Maendeleo ni WATU ❤
Huyu jamaa nampenda mana anajua mpaka anapitiliza mungu ampe umri mrefu
OMO kiboko ya uchafu. Ahsante Wa-Kenya kwa 'brand'.
❤❤❤❤❤❤❤❤omo inshallah 2025
2025 - 2530 MWAKA WA KUINUSURU ZANZIBAR IPATE MAMLAKA YAKE KAMILI. NCHI KWANZA YENYE MAMLAKA KAMILI 🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿❤.
Tukupe mjii muheshimiwa sheria imelala,changamoto za kazi ulopitia na maneno yako makali sana na yana maana, salamu ni deni,mapofu tupo wengi ndo watoto wa mjini
Makufuli ( magu) wa Zanzibar huyo anaitafuta ikulu, oh dear God bless 🙌 🙏 this mr OTHMAN OMAR OTHMAN sharif ,be president of Zanzibar ❤
Unaweza kumuona mtu flani ni mwema kumbe ndo mbaya nafsi na unawez kumuona flan ni mbaya wa nafsi kumbe ndo mwema .... Allah anajua yaliyomo ndani ya nafsi zetu
Ningefurahi zaidi ingekuwa hapokei mshahara wa majambazi na marupurupu na majumba yao
Unaloliongea unalijua ww?
Nani anaetoa mshahara?
Na nani aliekua na Majumba?
Ww mzimaa upo lkn???
Hutuba imekwenda shule 100%
Ukwel mtupu
Vipi jamani mbona hatuonyeshwi uwanjani tunamuona mh. tu kulikoni ama watu hawapo hebu onyesheni uwanjani tutathimini basii
Wasi wasi wako nini???
Allah awamiminie nguvu siha na uadilifu mzidi kufuzu katika hilo la mamlaka Kamili
Kisoko cha Jumbi kimejengwa kwa bill 43 sijui materio gani yaliotumika.
@@AllyHamran ndo huyajui ayo materials sasa .... Bora pamejengwa na kuonekana ....
Unasahau huku kuna mpaka wamasai na wachaga wanvyo vitambulisho
Kwani kosa kisheria ??
Kosa kubwa