MSALABA: NGUVU YA MUNGU INAYOUTESA ULIMWENGU WA KIISLAMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 76

  • @tteantoinette5379
    @tteantoinette5379 4 місяці тому +1

    Jina la bwana wetu YESU KRISTO na libarikiwe sana Amen amen.
    Na wewe pia Mwalimu ubarikiwe sana❤ . 1:06:28 1:06:28

  • @georgealoyce4452
    @georgealoyce4452 4 місяці тому +1

    MUNGU akubariki mwalimu danieli mwnjilistii unaetakaa wakristo twendee mbinguni YESU akakubariki na kukuongezea sikuu na miakaa AMEEN

  • @AkonkwaProductions
    @AkonkwaProductions 4 місяці тому +1

    Salamu kwako mwalimu,
    Mungu akubariki Sana kwa somo hili nzuri.
    Niko darasani toka Congo Bukavu

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 4 місяці тому +1

    Asante kwa maandiko mwalimu Mungu akutunze

  • @Seb_Oti
    @Seb_Oti 4 місяці тому +2

    Salamu njema ndugu. Niko kenya

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman 4 місяці тому

    Mbona aya uyasemi, mwenyezi mungu ana sema natuma manabii na waonyaji kwenu wengine mtawauwa na wengine kuwasubisha hiyo damu mlio imwaga mtailipa!

  • @shukurubaruwani
    @shukurubaruwani 3 місяці тому

    Aleluya

  • @BoscoYeri
    @BoscoYeri 4 місяці тому +3

    Nakupata vyema mwalimu Toka Kenya mombasa

  • @BarakaZabron-py2fz
    @BarakaZabron-py2fz 4 місяці тому +2

    Hakuna chochote ikiwa bado unaamini katika utatu na kupinga Amri za Mungu

  • @ntahomvukiyejaphet
    @ntahomvukiyejaphet 4 місяці тому +1

    Ogera sana tunapenda somo lako

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 4 місяці тому

    Hongera kwa upotoshaji!. pamoja na hasira,hamaki,chuki na uongo mwingi juu ya uislaam bado uislaam upo palepale, uliwashinda wakati akiwa mtume peke yake mtauweza leo wenyewe ni mamilion? lkn nitakunibu nukta zako kwa awamu.

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 4 місяці тому

    Hongera kwa upotoshaji!. pamoja na hasira,hamaki,chuki na uongo mwingi juu ya uislaam bado uislaam upo palepale, uliwashinda wakati akiwa mtume peke yake mtauweza leo wenyewe ni mamilion?

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 4 місяці тому

    Chanzo cha kifo siompango wamungu yohana 11-43-50 mungu ajasema lolote wala hajui

  • @saeedisa9798
    @saeedisa9798 4 місяці тому

    Danieli, haja gani kupoteza watu baada ya kujua ukweli?

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 4 місяці тому

    Msalaba ulikuwepo kabla ya Yesu na ulitumika katika adhabu ya Kifo. Yesu alitundikwa msalabani kama adhabu ya kifo toka kwa Akina Pilato na Herode kwa makosa ya kusimgiziwa sasa hiyo kafa ili akomboe watu nadhani ni ya kutunga..Sababu ya kutundikwa msabani ni kusingiziwa makosa na si ili awakomboe watu

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 4 місяці тому

    "...ulipo ni ua ulikua mlinzi juu ya. Daniel anawapotosha wakrsto wenzake, eti ni kifo cha msalabani! uo ni uongo, upotoshaji. Aya iyo na ya juu yake na zinazofata hadi mwisho wa sura hiyo zinazungumzia hali itavyokuwa siku ya kiama na kwamba ataulizwa Yesu.., Je wewe uliwaambia watu nifanyeni Mungu mimi na Mamaangu? hapo Yesu atajibu: "sikuwaambia ila lile uloniamrisha; ....Aya hiyo haina mausiano na khabari za kutengenezwa na watu za uzushi za kifo cha msalabani.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  4 місяці тому +1

      Waambie wewe watu alifishwa kwa njia gani tofauti na kifo cha msalaba?

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 місяці тому

      Kwa hiyo hilo swali atakaolulizwa Yesu la " je uliwaambia watu nifanyeni Mungu mimi na mama yangu?" Kwa hiyo mpaka sasa Yesu yupo mbinguni na hajaulizwa hilo swali ila anasubiri siku ya kiama ndio aulizwe dah 😂, waislamu sijui wanafikiria kwa kutumia nini aise

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 4 місяці тому

      ​@@mobutu3884Siku ya qiyama ndio siku ya hukumu, watapo kusanwa watu wote. na kila mtume alotumwa kwa watu fulani ataulizwa, je ulifikisha ujumbe? na watu wake nao wataulizwa, je aliwafikishia ujumbe? Kwa kuwa Yesu naye alitumwa kwa wana wa esraeli tu, na wakamuita Mungu, basi ataulizwa mbele zao na atajitetea. sasa na wewe kama wamuita Yesu Mungu andaa majibu.

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 4 місяці тому

      ​@@BAYYINATDMTVMungu anasema hawakumuua wala hawakumsulubu. bali ALIMUINUA KWAKE.Mungu hainui Mati. kuwa makini unaposoma qurani. Usichanganye aya za matukio tafauti, utajichanganya. kauli yako ya kusema Mungu ndiye aliye muua na (kumsulubu?) si ya kweli, haingii akilini wala aya aziashirii hilo si kwa mbali wala kwa karibu.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 4 місяці тому +2

    Tangu Karne ya 7 mpaka sasa Karne ya 21 lengo la Uislam halijatimia. Hii ni dhahiri kwamba dini yao ni ya Uongo

    • @yohana1242
      @yohana1242 4 місяці тому

      Uislam unasonga mbele kila kukicha ww jifariji tu😂

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 4 місяці тому

      Kama ulivyokua muongo wewe na libibilia lako lisilo na muelekeo. Mnadanganyana na mtakiona mlichokichuma Dunia fyuuuuuu

    • @yohana1242
      @yohana1242 4 місяці тому

      @@daudimichael7338 kila kukicha munasilimu usijifanye huoni

  • @zakayomoleli
    @zakayomoleli 4 місяці тому

    Waislam mtang'ang'ania uwongo Hadi lini ? Na ukweli mmeufahamu wazi,mnaenda jehanum mchana kweupe

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 4 місяці тому +1

    Ili jambo la yesu kusulubiwa ningeomba wakristo mlifikirie kwa makini sana Mungu wakweli hawezi kumtoa mtume wake afe msalabani kwa kuchukua dhambi za watu ambao wamefanya zinaa wanakula nguruwe kama simba alafu mnajidanganya yesu kachukua dhambi Mungu hawezi kumuuwa mtume wake kwa ajili ya kuchukua dhambi zamtu hacheni imani potofu nendeni mkaabudu hacheni ujinga

    • @MiziziMti
      @MiziziMti 4 місяці тому

      Wewe ni wa kuhurumiwa tu hakuna unalo lijua

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 місяці тому

      Yani kula nguruwe mnaona ni dhambi kubwa kuliko hata kuzini hapo ndio utaona akili zenu zilivyo ndogo😂, Hebu jiulize kwa nini quran iliwaambia mle nguruwe kiasi endapo hakuna chakula kabisa? Na haijasema mzini kidogo endapo mkibanwa na hisia? Cha ajabu mnaogopa kula nguruwe kuliko zinaa 😂😂

    • @rashidmexes3629
      @rashidmexes3629 4 місяці тому

      Maandiko yaliyosema hivo , tuyaweke wapi

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 місяці тому

      @@rashidmexes3629 yatafakarini sana msifanye kama fimbo ya kuchapia watu huku mnayoyafanya ni mabaya zaidi ya kula nguruwe, bora hata nguruwe ana option

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 4 місяці тому

      ​@@MiziziMtiBali wewe ni wa kuhurumiwa zaidi, kwa sababu umejua kinyume na inavyotakiwa.

  • @yohana1242
    @yohana1242 4 місяці тому +1

    Msalaba ni nembo ya shetani

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 4 місяці тому

    Mungu wenu basi ni shetani mpaka anywe damu ya mtu ndiyo asamehe dhambi mpaka mtu atolewe kafara ndiyo dhambi zieshe hacheni kujidanganya yesu hajasulubiwa

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 4 місяці тому

      😂😂😂😂Pole sana

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 місяці тому +2

      Unaongea maneno kama hayo na juzi tu mlikuwa na sikukuu ya kuchinja, ulishauliza maana yake ni nini 😂

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 4 місяці тому

      ​@@mobutu3884 Ulisikia kachinjwa mtu? Kuchinja kwa wanaomuabudu Mungu ni jambo la kiibada, na ndio maana hata Yesu maisha yake ya mwisho hapa Duniani aliyamalizia na kuchinja(Pasaka). Baadae wakapatikana wajanja wakuchakachua maandiko wakawatowa na kuwaambia ilo ni agano la kale na sheria zake hazimsaidii mwanaadam na kwamba Damu ya yesu imetosheleza kuchinja chinja kila mwaka. Sawa. Sisi tuacheni tuchinje kila mwaka. nyinyi mlisha mchinja Mungu wenu hamna haja ya kuchinja tena.

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 4 місяці тому

    Kkkk mnashekesha kweli mungu kalaani msalaba ss mtaheshimu vp kitu kimelaaniwa?

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 4 місяці тому

    Nukta ya kwanza. Maana ya uislaam kuzishinda dini zote. Inaonekana hata historia ya mashariki ya kati kabla ya uislaam na hata wakati wa uislaam uijui. Na lau waijua ungejua kwamba uislaam umezishinda dini zote. Na ushahidi mkubwa ni kutimia kwa nguzo ya tano Hijja. Washirikina wa Maka walifanya kila njia wamuue Mtume akiwa bado yupo maka ili kuumaliza uislaam wakashindwa. Mtume alipoamia Madina Mayahudi nao wakiungana na Washirikina wa Maka wakajaribu kila mbinu wamuue Mtume wakashindwa, na hadi Allah akaitimiza dini yake. Kwa hiyo uislaam ulishashinda tangu wakati huo, hakuna nguvu yoyote illnyanyuka kujaribu kuuzima illa ilishindwa.

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 місяці тому +1

      Stori zenu bwana 😂

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 4 місяці тому

      ​@@mobutu3884Ni nzuri sana

  • @mohamedmillanzi9070
    @mohamedmillanzi9070 4 місяці тому

    Kanisa lilianzishwa Antiokia

  • @odoyo2553
    @odoyo2553 4 місяці тому

    Nan kakuambia mzizi wa kiarabu la neno linalo tengeneza msalaba lina maana kuweka mtu juu ya mti?, Neno la kiarabu sa-la-ba halileti neno la kiswahili msalaba, kamusi za mwanzo za kiarabu kama lisan al-arab ya ibn mandhur linaweka wazi maana yake, na inatoa mifano ya maatumizi yake, na pia Quran imetoa maana ya neno sa-la-ba ndani yake.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  4 місяці тому

      Yaani nukuu zote ninazozitoa huzisikii? Mbona unanukuu tu vitabu bila kueleza yaliyomo kama nilivyonukukuu mimi?

    • @nsokolomwanamshabi2244
      @nsokolomwanamshabi2244 3 місяці тому

      Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu aliye HAI!!!!

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 4 місяці тому

    Msalaba Silaha ilio andaliwa na binadam tena makafiri alafu iwe nguvu yamungu acheni dhambi ingelikua nimpango wa mungu yesu angesema

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 місяці тому +2

      Sasa kama Biblia iliandaliwa na binadamu tena makafiri, sasa ilikuaje Mohamad akapewa wahyi uliokwisha kuandikwa na makafiri? Au hujui kila kilichopo kwenye quran kipo kwenye Biblia? Au hujui quran mnayoiamini ilikuta hayo maandiko yaliyopo ndani ya Biblia 😂, mbona huhitaji elimu kuligundua hili, wewe uliona wapi mtu anapewa maono yaliyopo tayari kwenye vitabu na kila mtu alishavisoma? Hamuoni hiyo ni copy and paste?😂😂 tumieni akili kugundua vitu fanyeni uchunguzi wa kina msiwe wafia dini, ndio maana huwa nasema siku mkisoma kwa umakini na kuelewa quran na hadith mtahama uislamu.

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 4 місяці тому

      ​​@@mobutu3884Asante sana wewe unaufahamu kiasi, bali unahitaji kufunguliwa zaidi. Ni kweli mengi yaliyomo ndani ya qurani yamo pia ndani ya bibilia. Sijui wasema hivyo kwa kuwa umeisoma quran au umemsikia mchungaji wako akisema? Kama wewe ni miongoni mwa wanaomtukana Mtume Muhammad kwamba eti ni mbumbu, ungejiuliza; haya ya kwenye bibilia Muhammad kayajuaje, ilhali alikuwa mbumbumbu? Lkn ngoja nikuzindue: Ndani ya Bibilia kuna historia inayowahusu wana wa esrael, kuanzia wapo utumwani misri hadi alipokuja Nabii Musa akawakomboa, Na historia kama hiyo pia imo ndani ya quran. Sualala la kukuuliza ni hili:- unasadiqisha kuwa wana wa Esrael wangeshindwa kuijua na kuindika historia yao ya mambo waliyo ya fanya siku hadi siku? Ivi Nabii Musa amewaletea wana wa esrael kitabu kutoka kwa Mungu, mara kitabu hicho kinazungumzia maisha ya huyo Musa tangu kuzaliwa kwake hadi kukimbilia madyana na kurudi tena Miri akiwa Mtume au kinazungumzia maisha yao ya siku hadi siku. Kwani haya kabla ya kuwa ufunuo toka kwa Mungu hawakuwa wakiyajua? unataka kuniambia, wana wa esrael hawakuwa na uwezo wa kuyaandika kama yalivyo?Mimi sijapata wa kunishawishi-labda ujaribu wewe- hadi ni kubakli kuwa hayo yametoka kwa Mungu. Ninachookiona ni kuwa ni historia iliandikwa na watu tu(imma wana wa esraeli au wana historia wengine). Ama sheria na maamrisho na Makatazo na maelekezo mbalimbali mimi naamini yalitoka kwa Mungu pamoja na kuwa si kwa matamshi yaliyoandikiwa, na naamini kuwa Musa aliteremshiwa taurati, wakaisoma hata kama hawakuinakili. Kwa upande mwengine, historia ya wana wa esrael ndani ya quran imesimuliwa na Allah. Allah anamsimulia Mtume wake pamoja na waislaamu wote historia- si tu ya wana wa esrael, bali Ummah zote zilitotumiliziwa mitume-ili wajifunze kutokana na historia hiyo. waige mazuri yao na wajiepusha na mabaya yao. Kuhusu Sheria, maamrisho, maagizo na Makatazo mengi ni yale yale yalyoteremshwa kwa Musa.Na hii ni kwasababu Dini ya Mwenye ezi Mungu ni ileile kutoka Adamu hadi Muhammad.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 4 місяці тому

      ​@@mobutu3884 hujui chochote. Kur ani iko katika kitabu kitakaufu cha masahaf. Masahaf ina Kor ani Injili Zaburi ma Taurat. Hapo hakuna biblia iliyokopiwa. Biblia ziko za Warumi na Protestanti hata wayahudi wanayo yao.Biblia kuna zenye vitabu 66 na 78 na ya wayahudi haina agano jipya. Biblia nazo zina zaburi taurati na injili na mavitabu mengine yakiwemo vya uongo

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 4 місяці тому

      Msalaba ni kitu cha kawaida na kilikuwepo siku nyingi kwa wayahidi ullitumika kuulia wahalifu wa aina zote. Msalaba haukuanza kwa Yesu. Dhambi kila mtu atabeba mzigo wake na si Yesu kwa hivi kutubu ni muhimu kwa kila mtu. Na dhambi ya asili Mungu alishahukumu kwa kuwalaanj nyoka. Hawa na Adam na sisi tunatekeleza hizo adhabu. Huo ukombozi ni ukombozi gani?

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 4 місяці тому

    Walie tengeneza hio kamusi ni walewale watapindisha vp maneno

  • @peterkioko2443
    @peterkioko2443 3 місяці тому

    Ni vyema kuweka msalaba Kwa nyumba yako

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 4 місяці тому

    Msalaba unawahusu nyie makiristo sisi unatuhusu nini? Nguvu hiyo ni yenu wenyewe. M'mungu haimuhusu wala sisi waislam haituhusu hilo ni balaa lenu wenyewe.

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 4 місяці тому

    Hawakumuua wala hawakumsulubu.....,bali amemuinua...Daniel unafasiri quran kwa matashi ya nafsi yako, jiandalie Moto wa jehannam. Unashindwa hata kutumia akili ndogo kujua kwamba tafasiri yako ni ya upuzi mtupu, kwani achilia mbali kuwa hayo ni maneno ya Allah, hata ingekuwa ya mtu wa kwaida, ivi huoni mgongano wa kiutendaji unaosababishwa ni hiyo tafasiri yako? Eti Mungu ndie alie muua....! na alie msulubu? Acha uongo. Chuki isikupelekee kusema uongo.kwani uongo unabaki kwenye kumbukumbu za watu daima.

    • @amedesamki425
      @amedesamki425 4 місяці тому

      Mwinjisti mwAkemwa naomba ufahamu kwamba wakristo na waislamu hawaabudu Mungu mmoja na Yesu wa biblia siyo issa wa kurani kuna uongo mkubwa wa kishetani . Katika bomu liloshushwa duniani ili kuharibu dunia ni kurani ni msiba mkubwa sana kwa nyakati zote.

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 місяці тому

      Ukiisoma quran na hadith kwa imakini na ukavielewa utajua tu kama Yesu alikufa na kufufuka ila kwa sasa umekaririshwa huwezi elewa 😂

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 4 місяці тому

      ​@@amedesamki425 Naamini wewe ni msomi usiehukumu kwa kutegemea mawazo ya mtu mwengine. Kama bibilia umeweza kuisoma mwanzo hadi mwisho ni vizuri ungeisma na qurani nayo, mwanzo hadi mwisho, ili ukihukumu unahukumu kwa uhakuka.

  • @badruseif1318
    @badruseif1318 4 місяці тому

    Babu Taratibu umeanza kuielewa Quran kilichabaki Ni chuki zako tu juu ya uislamu lakini Hilo halitushangazi mana hata wakati wa mtume watu kama nyinyi mlikuweko

  • @mohamedmillanzi9070
    @mohamedmillanzi9070 4 місяці тому

    Uislamu ndio dini inayokua kwa kasi ulimwenguni.fastest growing religion in the world. Chuki dhidi ya Uislamu unazionesha waziwazi kiasi kwamba unakua hueleweki unakusudia nini ktk mada zako.

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 місяці тому

      Uislamu ni dini iliyokuwa kwa upanga ndio maana mpka sasa ukihama uislamu unatakiwa uuliwe soma vitabu vyenu uelewe, mbinu iliyotumika ili uislamu ukue ni kuoa wake wengi na kuzaa sana so usijisifu kukua kwa uislamu bali mjisifu kwa kuzaa sana 😂

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 4 місяці тому

      ​@@mobutu3884Uislaam umekuwa kwa hujja zilizo wazi.Upanga ni kwa ajili ya kupambana na madhalimu wasiokubali haqqi. Waulize umoja wa Mataifa iwapo wanapo kwenda kusimamia amani mahala fulani, je wana peleka Bibilia na Wachungaji?