Tunda Man & Spack X Asala - Maisha Safari (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Watch now Music Video "Maisha Safari" Collaboration By Tunda Man & Spack and Asala,The Music Video was shot in Dar es salaam Tanzania, Directed by Pablo and Audio Produced by Debee (Mixing and Mastering By Manecky).
    Follow Asala on:
    / officialasala
    / asala.kipengele
    Follow Tunda Man on:
    / tundamantz
    #TundaMan #Spack #Asala

КОМЕНТАРІ • 978

  • @jumakikalango4531
    @jumakikalango4531 3 роки тому +9

    Dah!!! Hii ngoma Kali Kali Sana spack vs tunda camputen hawajawah kukosea kwenye ngoma nipen like jaman

  • @SuleymaniallyAbdallah
    @SuleymaniallyAbdallah 6 місяців тому +1

    Huu wimbo kiukweli umenigusa sana maisha ninayopitia ni sawa kinachoelezwa kwenye hii nyimbo ila kama nguvu ninazo sikati tamaa

  • @sanurahamis6856
    @sanurahamis6856 4 роки тому +81

    Tulikosa hizi sauti kitambo spack tunda 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AbuuKiumwa
    @AbuuKiumwa День тому

    Dahhh mamaee hii Ngoma nakubalii kinyamaaa Kam na wewe unanikubali like bss apo ata moja

  • @abubakariynassoro9018
    @abubakariynassoro9018 4 роки тому +15

    Wajubha tulio rudia zaidi ya mara3 tuguse like 👍 kwaapo FYADE🎶

  • @benjaminsteven2212
    @benjaminsteven2212 4 роки тому +2

    jaman tunda ajua kama unakubali like jaman namileo nifurah

  • @madyjr2249
    @madyjr2249 4 роки тому +41

    Mamaake iyoo Ngoma imenifanyaa Nikaee kwakutulia Mwananguu Asala ,,Spark Tundaa asantee kwakumrudisha Spark

  • @bidamwandu2306
    @bidamwandu2306 4 роки тому +1

    Daaah hawajamaaa sio poa....cjui wap walikwama

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 4 роки тому +14

    Nifikishieni salamu kwa spark nampendaaa😭😭😭😭❤️❤️

  • @jumannewamburaa4145
    @jumannewamburaa4145 3 роки тому +1

    Wawe ela kwene shutingi tu miziki ya kuimba wamekaa sikuizi aipo jamaa wanaweza sana

  • @lazarodaudi1689
    @lazarodaudi1689 4 роки тому +13

    Poleni sana Tunda & Spack mmeimba kwa hisia sana

  • @bonheurkadima5232
    @bonheurkadima5232 5 місяців тому +1

    Msani wangu kupenzi✌️✌️✌️

  • @januarimwaringa2145
    @januarimwaringa2145 4 роки тому +69

    mkono juuu kwa combination kali ..tunda tumemiss hii version ya track

    • @omaryhamadi6659
      @omaryhamadi6659 4 роки тому +1

      nimeeiskizaa marambili ngomaaa imekaapoaaa baba

    • @kipajifilamu4718
      @kipajifilamu4718 4 роки тому

      Habari samahan kwa usumbufu naomba support yako kwa ku-subscribe account, pia ukiwa mdau wa bongo fleva unaweza kuusikiza wimbo wangu ni mzuri sana naamini utaupenda ua-cam.com/video/warvygzMyt8/v-deo.html

    • @moshiamisi1335
      @moshiamisi1335 4 роки тому

      Rudi kwenye game spack tumekumbuka kazi zako

  • @nicolauslupa7309
    @nicolauslupa7309 4 роки тому

    Machozi yananitoka ukimsikiliza vzr spark duu haya maisha yanaumiza Sana kweli binadamu ndo tulimfundisha Simba kula nyama

  • @omarially1499
    @omarially1499 4 роки тому +85

    Daaaaah inaumiza sana,walichoongea ni zaidi ya wimbo,ujumbe umefka

  • @moseslekirapiti1201
    @moseslekirapiti1201 Рік тому +1

    Kali sana jamaa🔥🔥

  • @mojamojarecord
    @mojamojarecord 4 роки тому +97

    Nilimiss sana Muziki huu aiseeh hii ni kubwa sana kaka Zangu ngoma fulani inaweza kukutoa machozi

  • @bakarchitanda7311
    @bakarchitanda7311 4 роки тому +1

    Spark namkubali sanaa anajuwa anacho kifanya akiwa na wamanzesee

  • @toastysn
    @toastysn 4 роки тому +15

    Nipo hapa kwa ajili ya spack 🔥🔥

  • @magangawamakamo335
    @magangawamakamo335 4 роки тому +4

    Please please please tafadhal rudini na muendelee kupiga kaza spack& tunda kama anapenda spack na tunda wawe pamoja gonga like

  • @zawadhaidary6332
    @zawadhaidary6332 4 роки тому +5

    Nazijuaaa shida zakoo spackiiiiiii Mimi mwenyeweeee mguuu nje mguu ndan,siunamkumbukaa abdu bonge wazaman chifu kiumbeee karudiiiiiiiiiiiiiiii mzki autakiiiii

  • @boyclassic8077
    @boyclassic8077 4 роки тому

    Daaaaah Kwanzaa nimefrahi tena kuwaona pamoja safi sanaaaa kikbwa kpambanaaa

  • @mosesnyamhanga449
    @mosesnyamhanga449 4 роки тому +6

    bado mko sawa kukosea sio kosa kosa kurudia kosa....bado bongo fleva mnayo nafasi....

  • @AlainMvuyekure
    @AlainMvuyekure Місяць тому

    Tunawataka tena mu gem Nyimbo nzuri utuntunzi mzuri na kuelimisha Jamii

  • @godlovephilemon5626
    @godlovephilemon5626 4 роки тому +3

    Goma Kali sana!!!!!
    Hatimaye spack karudi tena @
    Wapi likes zao???????@

  • @mariumsaid9270
    @mariumsaid9270 4 роки тому +1

    Dah! Mmejua kunitoa machozi wallah

  • @sadathahmada9066
    @sadathahmada9066 4 роки тому +5

    Daaah hii ndiyo ngoma sasa. Nadhani ni muda muafaka wa hawa jamaa kurudi kuliteka soko la mziki

  • @SuleimanKibwana-o7b
    @SuleimanKibwana-o7b 2 місяці тому

    Dah kwel alie juu ndotumuombe binadam hawana jema❤❤❤

  • @swaleheismail46
    @swaleheismail46 4 роки тому +79

    Nimefurah sana kumwona kwa nyingine spark ,like hata moja tu jamaniii

  • @FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI
    @FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI 11 місяців тому

    Daaaaaaah

  • @nicomatasa2604
    @nicomatasa2604 4 роки тому +28

    Big hit here in kenya,,,wellcome back bro spak,,,tunda yu always kill may God bless yu

  • @hillarynjoroge7155
    @hillarynjoroge7155 4 роки тому

    Vipaji bila kulazimisha ...... Diamond alikuja kuua sanaa

  • @sirialemmy37
    @sirialemmy37 4 роки тому +3

    Dudubaya my brother, sauti yako ninaiona kwenye huu wimbo. Wewe ni mwanaharakati imara

  • @AhmedSalah-ri3es
    @AhmedSalah-ri3es 4 роки тому +1

    Nimekumbuka mbali sanaa tena munavipaji jamaa mwaeza kurudi spack tunda mumetoka mbali

  • @manigamzawa
    @manigamzawa 4 роки тому +26

    Sana, spack ft tundamani mnawezana

  • @eddyndege3347
    @eddyndege3347 4 роки тому +1

    Nawakubali sana nimemiss san ladha hii

  • @majamvisaidy6487
    @majamvisaidy6487 4 роки тому +11

    🙏 tunda man mola akuzidishie zaid yahapo ulipo fika 🙏🤝🔥🔥🔥

  • @hassancharles4395
    @hassancharles4395 4 роки тому

    Jamaa tunda respect sanaa unajua kwenda na kiii za mziki yaan unaendana sanaa unatambua unacho fanya

  • @classicwasafi8132
    @classicwasafi8132 4 роки тому +13

    bonge la nyimbo anae kubali like nione tupo wangapi tunao wakubali

  • @sharifujaha1094
    @sharifujaha1094 3 роки тому

    Mnajua wazee.hii Ngoma mliua💯💯💯💯

  • @kaizarsalum530
    @kaizarsalum530 4 роки тому +40

    Wazee wa kulialia wamekutana! Hatari sanaa

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 роки тому +1

      Nkwambia balaaa mpka nomaaa ndio mna huwa nmskiliza p mawenge au Nick mbishi mambo ya uzuni sitaki sikia

    • @izack9191
      @izack9191 4 роки тому

      Aaaah mungu anakuona wewe

    • @jimmymeshack9338
      @jimmymeshack9338 4 роки тому

      @@LeeUfudu hahahaa haha

    • @salimmohamed694
      @salimmohamed694 4 роки тому

      Hhhh

    • @evansokoth9925
      @evansokoth9925 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @halimhakim1408
    @halimhakim1408 4 роки тому +1

    Kaz Kaz riziki bado ipo na mungu bado yupo

  • @maugosr.8245
    @maugosr.8245 2 роки тому +7

    I don't think anyone can match Spack's tone in Tz. What a voice!

  • @othumanmzee3900
    @othumanmzee3900 4 роки тому +1

    Waooooooooooooo kumbe bado ngoma zipo bola mulivo rudi tulikua hatusikilizi mziki bali makelele sasa mumerud inapendeza sana 🎤🎤🎤🎤

  • @sisterttrouble4331
    @sisterttrouble4331 4 роки тому +3

    Daaah ongeza like bonge la ngoma

  • @fatemaligalawa1918
    @fatemaligalawa1918 3 роки тому

    Hizi ndizinyimbo zakusikiliza hata mbeleya watoto inapendeza 🔥🔥🔥🔥

  • @alexselias9420
    @alexselias9420 4 роки тому +55

    Wamekuta mafundi kwa mara nyingne tena asee Spack fundi ila sema tu now mziki pesa

  • @abduulangia8535
    @abduulangia8535 4 роки тому

    Hongereni wanangu mmerudi tena kazin spack nakukubali sana usipotee tena bro kwenye gemu

  • @juxjemc5768
    @juxjemc5768 4 роки тому +78

    Kama unakubal hawa jamaa wana sauti kushinda masha love wa kibao kata nipe like

  • @esnathnkwama4783
    @esnathnkwama4783 4 роки тому

    Daah. Vichwa hivi kwamda vilitutenga amahakika nivichwa.kaziiiii. sio tumeachiwa kunavigagula wanatutesa namziki wakihunitu

  • @arunakayombo8024
    @arunakayombo8024 4 роки тому +19

    Congo Kinshasa napenda tanzania lakini swahile kidogo sana

  • @sephaniaayubu1877
    @sephaniaayubu1877 4 роки тому +1

    Kweli wazee mziki ni kisasa ukizubaa umeixhaaa

  • @swedisson6097
    @swedisson6097 4 роки тому +8

    Karibu tena Spack 🚶🚶🚶

  • @manigamzawa
    @manigamzawa 4 роки тому

    Spack back gain mkali wa melodies,,,,, safiii mkikutana hamuhalibu,,,,,, ASALA USIWATUPE WASHIKE MKONO MSONGE MBELE

  • @sumahtanzania4991
    @sumahtanzania4991 4 роки тому +3

    💘❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤penda sana tunda na spaki

  • @boubacrsammar1468
    @boubacrsammar1468 2 роки тому

    Bonge la ngoma tunda& spark vipaji halisi fanyeni kazi tuko pamoja

  • @kenfahidh852
    @kenfahidh852 4 роки тому +9

    I love this music, I wish Tunda, Madee and Spark would once again come together to give us more..... I remember them in Tip Top Connection.

  • @mouddybilishi6192
    @mouddybilishi6192 4 роки тому

    Daaah saf saan tulimic saaan mziki wenu nice brothers

  • @twaha1091
    @twaha1091 4 роки тому +6

    Tnao amin spark bado hajachuja tuache like zake hapa 😋😋😋😋😋😋

    • @pascalmsigwa6322
      @pascalmsigwa6322 4 роки тому

      safi sana nimependa sana kuona hawa jamaa wameludi tena kuwa pamoja walikua wanafanya kazi nzuri sana na wameludi na sauti zao ziko vilevile

    • @fortunatusnyombi4653
      @fortunatusnyombi4653 4 роки тому

      hatari

  • @bahatevagre933
    @bahatevagre933 4 роки тому

    Asaaaaaanteeeeeeee yaaaan mmetiiishaaaaa

  • @chrisbrownbrown8182
    @chrisbrownbrown8182 4 роки тому +176

    Nani amerudia kusikiza hii goma zaidi ya mara 6tujuwane kwa Like hapo chini nime misss nyumbani kwentu tz jemeni frmo use

  • @lupandesimukindje8170
    @lupandesimukindje8170 4 роки тому

    Nakubali. Rudini tip top bado mnaweza fanya vizuri

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 роки тому +3

    Ngoma kali mno yani naludia mala mbili mbili mungu abarik music wenu

  • @swaghiruabrahman2584
    @swaghiruabrahman2584 4 роки тому

    kaliiiii,imetisha zaid ya kutishaaa

  • @sheilaabasi6625
    @sheilaabasi6625 4 роки тому +7

    Mmetisha ngoma tamu kinoma

  • @mzazig9095
    @mzazig9095 4 роки тому

    Waaaaa haki umeenda haki tundaman kumrudishe spack

  • @Berchiche14
    @Berchiche14 4 роки тому +11

    My guy *SPACK* is back again in the game....Welcome back my bro.

  • @petrosamike420
    @petrosamike420 8 місяців тому

    Nimeogopa sana haya maisha sio ya kulingia

  • @nel_hamconsultancy9406
    @nel_hamconsultancy9406 4 роки тому +5

    spack game bado lakuhitaji, nafasi yako bado ipo kaka, come back strong

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 роки тому

    Aisee nimekubali uwezo ni uwezo tuu ngoma kali vipaji hatali tunda spak asala mmeutendea haki mziki ujumbe umejaa ngomaa kali saana

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 4 роки тому +7

    Spack na tunda. Love sana💕❤❤❤❤❤❤❤

  • @jonathanmichembo5999
    @jonathanmichembo5999 4 роки тому

    Bado tunda unaweza tunakuitaji spark big up sana bro

  • @mweusipains6435
    @mweusipains6435 4 роки тому +11

    Khalid mwanao huyo spack mmekuja sana mombasa home nikikumbuka pamoja daaah mmetoka mbali rudini kwenye game pamoja mtoke kimtindo wenu mnatisha wana

  • @khamisubamboubambo4096
    @khamisubamboubambo4096 4 роки тому

    Tunda kuweni pamoja na spack wazanzibar tuna wakubali

  • @jozzsimbatv1199
    @jozzsimbatv1199 4 роки тому +4

    Alieirudia zaidi ya mara mbili like

  • @mamambuyu4795
    @mamambuyu4795 4 роки тому

    Namkumbukaaaaaa abdu bonge jamaaaaaaan pole sana tunda man hakika mkubwa bonge kaondoka na tip top organization yake

  • @bravosenior475
    @bravosenior475 4 роки тому +20

    Tunda nakuelewa sana mshike mkono spack kajikwaa

  • @futurejr5031
    @futurejr5031 4 роки тому +1

    Siwapingi wanangu sanah #Tunda_Man #Spark pamoja na #Asala mme uwa song iii

  • @flinchclassic1726
    @flinchclassic1726 4 роки тому +6

    Welcome back spark like zenu

  • @fundimamaaisha9287
    @fundimamaaisha9287 3 роки тому

    Wawoooo spack and tunda nawakubali Sanaa spack Yan mi ndio nilikua naumia Sana kutokuwepo kwako Yani nyinyi mukiwa pamoja nawapendaga kwanza munaweza nilikua nakukumbuka Sana du mungu yu pamoja nanyi musijali washabiki wenu bado tupo na tunawapenda Yani nipoisikia nyimbo du nimefurai mno na nimefurai kuwaona Tena mpo pamoja na ndio kitu nikichotaka mshabiki wenu .nipo lipot .bado inang'aa kwangu ndio Kama imetoka Jana na Sasa maisha safari mambo mi fire bado nasubili mambo mazur Tena kutoka kwenu da Sasa moyo wangu hautaumia Tena moyo tulia wapenzi wako wamerejea mungu azidi kuwapa wepes

  • @chrispinejulius368
    @chrispinejulius368 4 роки тому +8

    You guys deserves more ,
    Happy seeing you together again we are hoping for more !!!

  • @meshack2559
    @meshack2559 3 роки тому

    Daaah mmeua aise , Kali kinoma

  • @raphaellyfrank4932
    @raphaellyfrank4932 4 роки тому +236

    Spark in the game so plz like zenu jaman

    • @doricemtei2521
      @doricemtei2521 4 роки тому +4

      Waoooo nimefurahi sana kwa kuwaona pamoja mungu nimwema

    • @kipajifilamu4718
      @kipajifilamu4718 4 роки тому

      Habari samahan kwa usumbufu naomba support yako kwa ku-subscribe account, pia ukiwa ni mdau wa bongo fleva unaweza kuusikiza wimbo wangu ni mzuri sana ua-cam.com/video/warvygzMyt8/v-deo.html

    • @lumierembilizi966
      @lumierembilizi966 4 роки тому

      Spark ndo nani tena?

    • @elardmadeez3382
      @elardmadeez3382 4 роки тому +5

      @@lumierembilizi966 wewe mtoto wa magufuli MRUDISHIE MWENYE simu simu yake unaangalia na kukoment vilivyo nje ya UMRI wako HUMJUI spack afu UNAJIITA Shabiki wa MUSIC

    • @eliageneral6919
      @eliageneral6919 4 роки тому

      vipi

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava 4 роки тому

    Hii miziku tulishaanza kuisahsu ndio tunayo ipenda safi sana mumerudi spark daaah

  • @gasperngairo7681
    @gasperngairo7681 4 роки тому +16

    Spack welcome back your collaboration always bears fruit but you need to be up to date with on going generation ili kuendana na mashabiki but i much more appreciate on you.

  • @shirucrever9696
    @shirucrever9696 4 роки тому

    Duuu spark jamani inauma Sana ya watu sio mara niteja kumbe mzima kabisa kaza bro mungu anakuona

  • @dj26number2
    @dj26number2 4 роки тому +48

    #spackisback gonga like kama ulimmisi ❣❣❣❣❣🇹🇿

  • @mayungantugwa6092
    @mayungantugwa6092 4 роки тому

    Big up sana sana tu, mnanikumbusha tiptop

  • @maulidikitengekitenge5693
    @maulidikitengekitenge5693 4 роки тому +6

    nawapenda sanaa mashaili yenu daa!pakinational

  • @khabirmgweno45
    @khabirmgweno45 4 роки тому +1

    Iko safi ,karibuni tena tunawakubari sana msizingue ss

  • @mustafakubri9276
    @mustafakubri9276 4 роки тому +3

    Halaf chukulia halo ingeingia vocal la madee,ingekuwa fire ile

  • @Spartake254
    @Spartake254 4 роки тому

    Kweli hii wimbo kanigusa kwele....asala na tunda nmewashukuru kwakumleta spack back tenah.....spack nataka nikukutane

  • @dennisonkunta1267
    @dennisonkunta1267 4 роки тому +3

    I had miss that voice of Tunda man and spack🔥🔥🔥

  • @seyugajii1978
    @seyugajii1978 4 роки тому +3

    Hexhima kwenu wakubwa goma kalii saaan🔥🔥🔥🔥🇹🇿👏👏

  • @danielicosmas137
    @danielicosmas137 4 роки тому +5

    Anae mkubali tunda mani tujuwane jmn like

  • @johnmaguchi7880
    @johnmaguchi7880 4 роки тому +1

    Spak njoo kwenye gem kaka daaah uko vzr sana nilikuwa napenda Kuku ita wa kulialia uko vzr broo

  • @charlesignas6667
    @charlesignas6667 4 роки тому +5

    Dogo Asala sijui Unaferi wap ww Aslay c jamaa ako mbona kimya sana ujioni unamerod kali sana

  • @fundimamaaisha9287
    @fundimamaaisha9287 3 роки тому

    Asala nawe uko vizur apo ni mbele kwa mbele hakuna kuludia nyuma Tena nawapenda bureee mko vizuri Sanaa jamani tuongee ukweli ulio moyon kwa kumuogopa mungu jamani wanawezaaa

  • @ryansawee3952
    @ryansawee3952 4 роки тому +3

    madee $ spark in the game!!!!!! like zenu jmn

  • @vandozdez7793
    @vandozdez7793 4 роки тому +2

    Nakukumbuka vyema sana tunda big up ma bro