Mimi chidi nampenda sana lakini namuomba a ache tabia zakulealea akuna kufanikiwa kwa tabia zile chionde chionde muambieni achengi maicha na tabia zake. Kufanikiwa lupo tu.
Mjomba weyee hjakaa na wavuta unga,Tatiz cyo kupewa pesa ujue,Mie naamin Benz ata apewe Billion100,Bado hazitamsaidia,Huyu anatakiw apelekwe Soba House,akapat Methadone&counselling za kutosha,ili hakili yake ikae vizuri
@Chidbenz chonde usisikilize ya watu maana wewe wakubwa nahisi wana agenda nyingi na mbovu dhidi yako, chamsingi ishi unachokiona hudumia watoto wako bado wanakuhitaji. Hata udhamini wanaweza kukupatia ila ndo hivo wanaangalia unayopitia wanakuona kama petro wa Yesu anayewindwa asulubiwe na petro hayuko tayari kusulubiwa pamoja naye eti kisa anampenda sana Yesu.
Uyo chiddy yeye nani....mpaka analia lia...kama unga yeye ndo aliyeuvamia....kuna wasanii wangapi mateja ambao bongo freva wameifanyia makubwa ila leo uwaoni wanalia lia...kuna wale Dazi Manunda Ferooz na Daz baba hata siku moja uwaoni mitandaoni kulia lia ovyo au kuwaona watu wabaya..wanapambana tu na hari yao...kwa iyo yeye kawa nani kila siku lawama zake tu..mteja abebeki
NDUGU ZANGU .. KAMA CHIDI HATAACHA UTEJA KABISA KABISA..MAENDELEO YAPO.NA YUKO VIZURI KTK MUZIKI.ILA KAMA MTEJA BADO MTAKUWA MNATWANGA MAJI KTK KINU.ACHA KKUVUTA MADAYAWA
Brother Tunda hiyo point sana ongea na chid Asante kitu
Tunda apa ameongea like a million men 🎉
Very true
umetisha
Brother unachokiongea upo sahihi brother nimekubali jibu lako
Washabiki wa tunda gongeni like hapa
Jigonge mwenyewe matako like zinakupa nnn
Anamfira mamaako
😂😂watu tumevulugwa
Good idea Tunda for him.
Hongeraaa broh
hahaha Tunda your so funny
Afanye kenya tunampenda sanaaa chid ...aka 🔥🔥🔥
Content
Tundaman naomba umtungie wimbo Chidi benz alafu wewe uanze kuimba ala Chidi aingie baada ya chorls hii ingekua sapoti yako kwa brother
real one
Sure
Kweli kweli kabisa afanye sho tu, child Benz festival
Umetisha aka Chidd Tour
Tunda kaongea point sana chid andae tamasha tu
Brother tunda umeongea kitu cha msingi sana tumpige tafu chid
Tunda man 🔥🔥
Safiii
Daah kweli kabisa %
Inasikitisha sana,ujue Benz ckuiz yupo wenge sana,Cocaine cyo mchezo,Bora apelekwe soba
Chid asaiv haitaji msaad wa pesa vo,huyu anatakiw apate uagalizi maalum,Madaw ya kulevya cyo mchezo,Bora usikie2
Fact
Usimpe mtu samaki bali mpe mbinu zakuvua samaki,tunda man umeongea facts
😂😂😂hapo alipokosea watu hatujashtukia had leo
Apo ume sema tunda brother 🎉
Sahihi
Tunda nimekuelewa ila fitina ya babu tale na fela
Mimi chidi nampenda sana lakini namuomba a ache tabia zakulealea akuna kufanikiwa kwa tabia zile chionde chionde muambieni achengi maicha na tabia zake. Kufanikiwa lupo tu.
Naielewa hiyo situation mtu unaporudi kuanza 0!!! Hiyo comfidence ya kukutana hata nahao watu ningum sana!! Tofauti nakulibeba mtu kama mtu jambo lake
🙏🙏🙏
Bonge la point
Ila kuusu yeye kuandaa Tamasha lake sio mbaya yeye kuandaa Ila Kwanini nyinyi wasanii msiungane na mwandilieni hilo tamasha
Andaeni tamasha maalumu kwa ajili ya Chidi na kutokee na mwaliko wa wasanii mbali mbali, hizo hela zitakazopatikana mpatieni itawasaidia sana
Mjomba weyee hjakaa na wavuta unga,Tatiz cyo kupewa pesa ujue,Mie naamin Benz ata apewe Billion100,Bado hazitamsaidia,Huyu anatakiw apelekwe Soba House,akapat Methadone&counselling za kutosha,ili hakili yake ikae vizuri
He is already adicted by Drug abuse,Ni hatari mno😢😢😢
Umeongea kitu chamaana sana tunda man
Mnaotoa comment wengi wenu n wanafiki hamsikilizi wala hamfikirii mnaandika tu ovyo ovyo
Myafutie show husky kwetu Kenya moja Tu na kiingilio iwe ni,2000 za kikenya kwa kila mtu
Nayeye apigiwe chorus
Bonge la ushauri
Umeongea vizulisana dogo
😂😂😂😂
Sawihi
@Chidbenz chonde usisikilize ya watu maana wewe wakubwa nahisi wana agenda nyingi na mbovu dhidi yako, chamsingi ishi unachokiona hudumia watoto wako bado wanakuhitaji. Hata udhamini wanaweza kukupatia ila ndo hivo wanaangalia unayopitia wanakuona kama petro wa Yesu anayewindwa asulubiwe na petro hayuko tayari kusulubiwa pamoja naye eti kisa anampenda sana Yesu.
Uyo chiddy yeye nani....mpaka analia lia...kama unga yeye ndo aliyeuvamia....kuna wasanii wangapi mateja ambao bongo freva wameifanyia makubwa ila leo uwaoni wanalia lia...kuna wale Dazi Manunda Ferooz na Daz baba hata siku moja uwaoni mitandaoni kulia lia ovyo au kuwaona watu wabaya..wanapambana tu na hari yao...kwa iyo yeye kawa nani kila siku lawama zake tu..mteja abebeki
Ahahaha nacheka ijue umesema kweli
NDUGU ZANGU ..
KAMA CHIDI HATAACHA UTEJA KABISA KABISA..MAENDELEO YAPO.NA YUKO VIZURI KTK MUZIKI.ILA KAMA MTEJA BADO MTAKUWA MNATWANGA MAJI KTK KINU.ACHA KKUVUTA MADAYAWA
HUO SIO MSAADA HAYO NI MAUWAJI YANI CHID AKIPATA MILLION MIA MOJA YA PAMOJA KESHO TUNAOKOTA MWILI WAKE MTARONI AMEJIDUNGA AMEJIFIA
Nani ameona kofia ya tundaman ilivyo liwa na panya kwa mbele
Style mkuu hyo😂
Acha ushambaa mzee
😂😂😂😅😅
Acha zako ww😂
we umeona ya tunda tu yamtangazaji aaahh
Bonge la ushauri man
Huyu tunamuona anaakil kumbe mpumbavu
We yanga ww
Nawewe Tunakuona Mwana Kumbe Mwanajuma😮
Upumbavu wake nn
@@nchimbuke7261Ni mwanahamisi
Ona huyu msengelema