Style aliyoitumia Makongoro Nyerere kuomba kura za ubunge

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • April 4, 2017 ulifanyika uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki ambapo Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifanya uchaguzi huo Bungeni mjini Dodoma.
    Mmoja wa wagombea alikuwa ni Makongoro Nyerere ambaye style yake ya kuomba kura ilisababisha wabunge wengi kuanza kucheza kila muda alivyokuwa akiongea

КОМЕНТАРІ • 227