Amen dada watu wamekua wahukumu,mwengine aliniambia kwanini haukufi wengine wanakufa ukibaki kwanini😂😂 nikaanza kujiuliza kwani yeye ni mungu,sababu mungu ndio peke yake hakufi
Ubarikiwe sana dada nakupenda sana na nakuombea mema na ninafuatilia Nyimbo zako zote. Mungu akuifadhi katika huduma..na kwa maono mazuri..na neno la kutia Moyo..God anoint You more ♥ Have a blessed 🙌 day.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu ulipopungza Mungu apajalze zaidi na zaidi mimi na barikiwaaa tu🔥🔥🔥
Mungu akubariki mutumishi wa Mungu kwa neno nzuri la faraja, kweli inajenga moyo wangu vraiment Mungu akuongeze mafuta 🙏
Mungu akubariki dadaangu Martha kwa onyo kubwa unayo tupa kwa nyimbo kila siku ubarikiwe Daima,Adam Bin Smith kutoka mjini drc congo beni tawn.
Message to someone~~Just breathe and know it's going to be well 👍 usihukumu wala kumdharau mwingine msubiri mwenyezi Mungu Amen 🙏 God bless you Martha
Mungu nisamehe kwa kuhukumu wenzangu.!?🙏 Thank you God bless you 🙏
Amen mummy nashukuru Mungu sana kwa ajili ya mafundisho mema ubarikiwe🙏🙏 love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Mungu,nimwema
Amen dada watu wamekua wahukumu,mwengine aliniambia kwanini haukufi wengine wanakufa ukibaki kwanini😂😂 nikaanza kujiuliza kwani yeye ni mungu,sababu mungu ndio peke yake hakufi
Wimbo na mafunzo yako hunibariki sana,kwa wema wa Mungu azidi kukubariki sana,amen
Amen ....iyo tabia nimekuwa nayo lkn kuwanzia leo naiwacha naanza ukurasa mupyaa.
Mungu akubariki palipo toka hayo paongezeke zaidi na zaidi 🙏🙏🕊💕💕🔥
Yah.be blessed man of God umenibariki sana dada angu 🙏🙏
Ubarikiwe sana dada nakupenda sana na nakuombea mema na ninafuatilia Nyimbo zako zote. Mungu akuifadhi katika huduma..na kwa maono mazuri..na neno la kutia Moyo..God anoint You more ♥ Have a blessed 🙌 day.
Amen Kenya twakupenda sana nyimbo zako huni bariki na kunipa tumaini sana
Amen nice message love songs 🙏🙏🙏 God bless more and more
My mummy mungu akukubuke na wwe Asante kwa neno my sweet mum
Asante basi mungu ahongeze tena , power message
Ameeen.!?🙏🙏 Ahsante Mungu akubariki.!!🙏🙏🙏
Amen! true indeed Mungu wetu ainuliwe juu sana, Asante mama Kwa ushauri mzuri ubalikiwe sana dada
Amen,,,,thanks again for reminding me that ishould not judge anybody
"Kila maisha ya mwanadamu yako mikononi mwa MUNGU"".Dada hujakosea Barikiwa sana
🙏🙏🙏
Amen
Asante kwa kunikumbusha; Mungu akutunze matha
Amen mum, umenibariki sana 🇨🇩🇨🇩
Amen my mum umenigusa kwa huu ujumbe
Amen ,,,,amen mtumish barikiwa sanaa
Kweli dada umesema ukweli barikiwa sana kwa huduma ya mungu
Amina dada nakuelew sana dada yang Mungu azid kukuongz
Kabisa,Dada umesema ukweli kwa sababu haujui ya kesho.
Amen Martha, nazipenda Ujumbe wako
Ameen mum mungu akubariki sana
She's my favourite artists. God bless
Ndagha dada Mungu akubariki
Amen momah ,, binafsi nmejifunzaa
Amen and amen hiyonikweli kbsa
Amena Dada angu kipenzi ❤️
wapendao hukumu dawa hapa, ubarikiwe dada
Asante sana Mama Martha 💃🇨🇩
Dada mungu ametumia kutupa ujembe.
Mungu anakutumia kutupa ujumbe
I love your music 🎶 GOD bless you my celeb
Amen thanks for this so informative
Lesson learned ,God bless you
Barikiwa Mtumushi
Thank you for information may the word of God be glorified always
Waelezee tena.
Amen
Amen God bless you with this message
Balikiwa dada angu martha
Amen thanks for the greatest message 🙏
Amina mutumishi ubarikiwe
Amen sana mtumishi
Hallelujah hallelujah nimefunguliwa
Ni kweli usemavyo ila wanadamu tunafanya vitu ambavyo atujui mwisho wetu utakuwaje akuna asietenda dhambi kwaiy tusiukumu
Hallelujah! Powerful message
Ukweli mtupu.
Ni kweli kabisa mwanangu
Nikweli kabisa, asante sana
👂, wise words
Be bless sana for good song
Amen dada
Amen
Mambo
🙏🥰🥰🥰💝
Amina
Ni kweli Martha .... Mungu akuzidishie.
Ameeen
❤
Hallelujah
Mungu akubariki mutumishi wa Mungu kwa neno nzuri, kweli mimi inajenga moyo wangu vraiment Mungu akuongoze mafuta na upako🙏
Amen dada
Amen
Hallelujah
Mungu akubariki mutumishi wa Mungu kwa neno nzuri, kweli mimi inajenga moyo wangu vraiment Mungu akuongoze mafuta na upako🙏
Amen
Amen
Amen
Amen