Amen . Nafurahi kuskia hvyo. Nimejifunza sana kutoka kwako hata kwa nyimbo zako namkumbuka wakati sina kitu naamka asubui naweka nyimbo zako nikiskiza ... Na sahii mahali nimefika hakika Mungu ni mwema hakuna aliye mtumaini akamwacha
Your ministry has uplifted my soul. Am going thru a situation that your songs are speaking to me. Nay God bless you and Grant you more wisdom n messages to sing.
Wow Martha Mimi nakupenda na roho yangu yote umenisaidia Sana Martha nimewatch nyimbo zako tangu utoto nagrow up nawewe na umebaki kuwa mtu mwema I wanna be like u Aki ata nyanya yangu nilimuonyesha nyimbo zako nikamwambia story yako anakupenda Sana Sana tunakupenda Martha unanisiadia Sana. Mungu akubariki Niko Boston America utakuja hapa siku moja utuimbie nakupenda Sana kasichana na mama mwema wa Mungu proud of u Mimi ni muimbaji lakini just on cd am new love u Martha
Asante sana kwa somo ya kulinda moyo,umetujenga sana katika imazetu,usishoke kututayarishia n'a somo zigine Mungu akubari sana ,kwangu binafsi umeni basiriki sana,Baraka yangu nimepata pâle uliceme acha viote lakini usimuache Mungu.
asanti saana dada mungu akubariki na akupiganiye kwa injili unayo tangaza kwa kumuimbiya mungu na mimi nakupenda saana dada ubarikiwe saaaana tena sana 🙌💕💞💖💗🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Amina, asiye jua mipaka dada Martha akuzidishie neema na hekima hambazu zisizokuwa na mipaka. Yani akupe hekima mpya kila itapwo Leo. Nimependezwa sana na ushauri wako dada. Mungu akueke miaka na miaka na akubaliki. Aminaaaaa.....
Pole sana mtoto wangu usiogope usiye pitiya jaribu hauja itwa mwana wamungu usijali mambo yawanadamu tumikiya mungu wako wanadamu tumechoka namambozenu kwakuongeleya watu wamungu mumekosa vyakufanya?
Receive much love from Kenya, Nakupenda sana mum.love your voice and songs. May our good lord continue to protect and be with you always. Thanx for your encouraging words I'm blessed. I will always stand with God.
God bless Marth Mwaipaja continue with the work of the Lord, may the God 🙏🙏 continue to fight for you , God bless you and keep you thank you for good encouragement, I like you I love you and I love your songs 🙏🙏
Amen sister thanks for your advice of encouragement and inspiration , since i knew you by your songs I see my life has changed alot I thanks God for that , listening your songs Everytime ,they are my favourite be blessed sister you are such a wonderful person on earth a seed of God gift and ablessings from God nakupenda sana all the way from kenya
Shukuran dada mungu akibariki sana yan tuliopitia nyakati ngumu tunaelewa sana dada bila mungu hadi leo sijui ningekuwa wapi assnte mungu kwa mapito yote 😭😭😭🙏🙏nakupenda dada😘😘😘😘😘mungu akubariki sana sana akujalie afya njema kipenz 😘😘🙏
Am really empowered by the spiritual songs and powerful encouragement from the servant of God,,,may the lord keep you for the fulfilment of eternal will unto the people of His chosen
Dada Martha Mwaipaja Mimi nianze kusema Magyars nyumbani zako japo siyo kila siku ila katika nyimbo zako unanibariki sana Kama amenitengeza . Jaribu hizi ni tumbo nazipenda sana Na huzicheza sana . Lakini usiku wa Leo Mimi nimekuota hakika Mungu upo ndani yako naishi America natamani siku ni fika afrika niweze kuongea nawe ndoto nilio iota nimeona tulikitana nikakuaribisha nyumbani mwangu japo mambo yalikuwa meng lakini leo Naamka nakuja Na ujumbe huu sijui Mungu anataka kusema nini? Pengine utanisaidia maana ya hii ndota
Amen ,amen and amen! Wow, what an inspiring word of God. Thanks a lot dear sister Martha for sharing this great word with us. Truly as humans we undergo a lot of challenges in this world, but through thy word of encouragement, I've found hope to smile, to believe in God and to take care of my heart. Thanks again and stay blessed. Amen!
Umeongea point kabisa dada angu.lakin katika ujumbe huu kuna watu wagum mioyo yao hawaelewi.ila tunaopita tukiw na huyu mungu tunaelewa kabis.ubarikiwe sana
Amen . Nafurahi kuskia hvyo. Nimejifunza sana kutoka kwako hata kwa nyimbo zako namkumbuka wakati sina kitu naamka asubui naweka nyimbo zako nikiskiza ... Na sahii mahali nimefika hakika Mungu ni mwema hakuna aliye mtumaini akamwacha
Your ministry has uplifted my soul. Am going thru a situation that your songs are speaking to me. Nay God bless you and Grant you more wisdom n messages to sing.
Aksanti saana Dada matha Mungu akubariki sana, utanibariki na nyimbo Zako na shauri Zako ubarikiwe milele
I WILL NOT STOP LISTENING TO YOUR MUSIC MY SISTER.GOD BLESS YOU AMEN.SITAACHA KUSIKILIZA MUZIKI WAKO DADA YANGU.MUNGU AKUBARIKI AMEN.
Thank you Martha ,kila unenalo lanigusa your a blessing to me, dadaa penda wewe saana Na Nina Imani siku moja tutakutana blessed blessed
Amen amen Nimeona Mungu Iko anaruhusu pitie mambo mazito na mangumu mukusundi ilupate mafundisho
Ambayo utafundisha Dunia zaindi makanisa
God bless you nakupenda bure dada martha mwaipaja mungu aendelee kukusimamia Katka kazi zako mtumishi
Ameeeen mamaaaaa...nakupenda sana🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Wow Martha Mimi nakupenda na roho yangu yote umenisaidia Sana Martha nimewatch nyimbo zako tangu utoto nagrow up nawewe na umebaki kuwa mtu mwema I wanna be like u Aki ata nyanya yangu nilimuonyesha nyimbo zako nikamwambia story yako anakupenda Sana Sana tunakupenda Martha unanisiadia Sana. Mungu akubariki Niko Boston America utakuja hapa siku moja utuimbie nakupenda Sana kasichana na mama mwema wa Mungu proud of u Mimi ni muimbaji lakini just on cd am new love u Martha
Asante sana kwa somo ya kulinda moyo,umetujenga sana katika imazetu,usishoke kututayarishia n'a somo zigine Mungu akubari sana ,kwangu binafsi umeni basiriki sana,Baraka yangu nimepata pâle uliceme acha viote lakini usimuache Mungu.
asanti saana dada mungu akubariki na akupiganiye kwa injili unayo tangaza kwa kumuimbiya mungu na mimi nakupenda saana dada ubarikiwe saaaana tena sana 🙌💕💞💖💗🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nakupenda sana Martha.. Asante sanaaa nyimbo zako za injili zinanituliza moyo sana..Mungu azidi kukubariki..
Amen and Amen nakupenda bure kwa mawaidha Mazuri na mafunzo Mazuri Mungu azidi kukubariki .Ruth from Kenya .
Amina, asiye jua mipaka dada Martha akuzidishie neema na hekima hambazu zisizokuwa na mipaka.
Yani akupe hekima mpya kila itapwo Leo.
Nimependezwa sana na ushauri wako dada.
Mungu akueke miaka na miaka na akubaliki.
Aminaaaaa.....
Amina dadaang umenibariki xan
Shukran Dada yangu nilikupenda kuanzia album yako ya kwanza inasema usikatee tamaa na ubarikiwe
Thank you Jesus for restoration of our sister Martha and using her for your own purpose and will.
Pole sana mtoto wangu usiogope usiye pitiya jaribu hauja itwa mwana wamungu usijali mambo yawanadamu tumikiya mungu wako wanadamu tumechoka namambozenu kwakuongeleya watu wamungu mumekosa vyakufanya?
Wewe ni mfano kwa wengi, hakika nyimbo zako za nibariki saana tangu 2012 . Nilianza kukufuatilia nyimbo zako. Barikiw asana dada. 🇰🇪
Nimebarikiwa sana.😓 Mungu akulinde nakupenda pia🥰 love from Kenya 🇰🇪
Receive much love from Kenya, Nakupenda sana mum.love your voice and songs. May our good lord continue to protect and be with you always. Thanx for your encouraging words I'm blessed. I will always stand with God.
Mungu akubariki.hongera kwakuhacha nywele zako.hongera sana.kumbuka usisahishe Mungu kwa rangi aliyokuumba nayo.
God bless Marth Mwaipaja continue with the work of the Lord, may the God 🙏🙏 continue to fight for you , God bless you and keep you thank you for good encouragement, I like you I love you and I love your songs 🙏🙏
Amen sister thanks for your advice of encouragement and inspiration , since i knew you by your songs I see my life has changed alot I thanks God for that , listening your songs Everytime ,they are my favourite be blessed sister you are such a wonderful person on earth a seed of God gift and ablessings from God nakupenda sana all the way from kenya
Ameen...Ubarikiwe zaidi Dada yangu...Mungu akuinue kwa uimbaji na kwa ushauri zaidi..Ameen
Love you mum Martha ...your songs whenever I listen to ..Mimi hutabasamu more grace ...God bless you...more and more...
Mungu akubariki dada nyimbo zako na chauri zako zinanisaidiyaka sana na kunitiya nguvu
Amen nakupenda bure mtumishi wa Mungu aliye hai na Mungu azidi kukuinua viwango vya juu dada Martha
i really like you song miss martha your songs is so good for really
i will like you to come in austraila to sing for us
Asante sana Martha mwapaja mungu akubariki na akupiganiye katika ma isha yako yote.
Martha Asante unanitia nguvu ya kuishi licha ya yote nimepitie kwa maisha yangu, mungu akupe nguvu a ubarikiwe sana
Amen wa jina wangu. Moyo wangu umepona kwa neno ukilofundisha.
Ubarikiwe na wewe
Asante dadangu kwa mafundisho mazuri mungu akubariki
Kiukweli umenena vyema mtumishi na umegusa Sana moyo wangu Mungu wetu ni mwema azidi kukupa maarifa hayo maana unagusa maisha ya watu wengi
Amen kubwa Dada Martha Barikiwa kwa ujumbe mzr nazidi kupata upenye wa kufanikiwa kupitia jumbe zako
Shukuran dada mungu akibariki sana yan tuliopitia nyakati ngumu tunaelewa sana dada bila mungu hadi leo sijui ningekuwa wapi assnte mungu kwa mapito yote 😭😭😭🙏🙏nakupenda dada😘😘😘😘😘mungu akubariki sana sana akujalie afya njema kipenz 😘😘🙏
Amen,Amen,Amen.❤🙏🙏🙏be blessed sister neema izindi kukubeba tu
Am really empowered by the spiritual songs and powerful encouragement from the servant of God,,,may the lord keep you for the fulfilment of eternal will unto the people of His chosen
Amina
Linda mwoyo wako kuliko byote
Ulindavyo wow
Be blessed dear Martha.
Martha,Mimi kama Mimi nimebarikiwa na hii injili yako,mungu aendelee kukaa nawe na utunyweshe huu upako
I keep looking out for more of your songs. Keep soaring. Your Kenyan fan
Mungu wa mbinguni akuongezee kwa mahitaji yako ,ninakupenda ninaishi nchini Rwanda niombee Mungu anisaidie kwa kiroho
Mungu akubariki Martha, mtumishi wa Mungu aliye hai. Napenda namna unavyotumika mbele za Mungu.
Asante sanaaa Dada mungu akubariki aendelee kukufunulia mambo makubwa amina
I love this lady 💗,a chosen one of God
Ni kweli🙋ameeen
Hallelujah, you're my role model sister in Christ.
Mungu wa Ajabu sana,Mungu mwaminifu jamani,Good advice Martha,Amen Amen
Amen. Asante mtumishi, Mungu akubariki na neema ikutoshe
Ubarikiwe sana Dada angu, uishi miaka mingi sanaaaaaaaaa
Amen, si gentle descent and lovely, God will continue to enlarge your coast
Kwanza unapendeza Sana, maneno mazuri dada, twakupenda huku kenya
Dada Martha Mwaipaja Mimi nianze kusema Magyars nyumbani zako japo siyo kila siku ila katika nyimbo zako unanibariki sana Kama amenitengeza . Jaribu hizi ni tumbo nazipenda sana Na huzicheza sana . Lakini usiku wa Leo Mimi nimekuota hakika Mungu upo ndani yako naishi America natamani siku ni fika afrika niweze kuongea nawe ndoto nilio iota nimeona tulikitana nikakuaribisha nyumbani mwangu japo mambo yalikuwa meng lakini leo Naamka nakuja Na ujumbe huu sijui Mungu anataka kusema nini? Pengine utanisaidia maana ya hii ndota
Martha Ndugu Yangu 😭😭Mbona Umenipa Jibu la Maswali Yangu Barikiwa Sana
Martha huu ujumbe ni wangu na umenifikia kwa wakati mzuri .barikiwa
Amen ubarikiwe dada nakupenda Sana nyimbo zako huwa zinanifariji sana
Dada matha ubarikiwe sana na Mungu.kwakweli unasema ni vema
Amina Amina kututia moyo.Mungu ni saidie kulinda moyo
Amen,be blessed dear I love your messages
Amen Mungu bariki mama marth kwa neno la kutia moyo
Am really blessed Martha for ur encouragement... Poteza yote lakini paki na mungu very true
Thanks sister love you too,,,mungu akuinue Zaid message nzur sana
Amen.Blessed lady may God continue to bless you dear
Mungu ameruhusu upitie hayo ili uwe ushuhuda mzuri ambao tunajifunza kwako.....Mungu azidi kukupa kibali na kukutunza dada😘
Kabisa
Asantee sana dada Martha kwa kututia moyo kwa maneno mazurii
MUNGU wa mbinguni akubariki sana sio rahisi kusema hayo Kama sio huna uhakika na unachosema songs mbele
Amen mamii...may God bless you more as you continue with his ministry...am blessed
My supper start ug we are calling you great work woman with God ,God is word is what we need hear from God for you will leave.
Amen dada Mungu anisaidie nakaweze kuutunza moyo wangu
I love you mamaa , your songs keeps me going
May God continue using you spiritually, Asante kwa mafunzo iam blessed.
Amina
NINAAMIN NITASHINDA THROUGH JESUS CHRIST! KESHO YANGU IPO YENYE BALAKA TELE!! KUANZIA SASA NASONGA MBELE SINTAANGALIA NINAYO PITIA TENA!!
My Role model ,nakuoenda bure dada Matha ,Mungu azidi kuinua hufuma yako
Amen ,amen and amen! Wow, what an inspiring word of God. Thanks a lot dear sister Martha for sharing this great word with us. Truly as humans we undergo a lot of challenges in this world, but through thy word of encouragement, I've found hope to smile, to believe in God and to take care of my heart. Thanks again and stay blessed. Amen!
Amen am blessed with your encourament it's true sio wote watakupenda ata ufanye nini
Nakupenda sana dada, kila wakati narudia maneno yako,
Amen , Amen maneno ya hekima, nifunze bwana kubaki nawe wakati wote 🙏💕
You are such a blessed soul... keep going woman of God...
Nashukuru zaidi nikweli 🙌🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Umeongea point kabisa dada angu.lakin katika ujumbe huu kuna watu wagum mioyo yao hawaelewi.ila tunaopita tukiw na huyu mungu tunaelewa kabis.ubarikiwe sana
Mungu akubalik sana muimbaji 🙏kuna mahari umenitoa napengine umenifikisha
da martha barikiwa naomba uwe na kipindi cha kutufundisha neno maana ya dunia ni mengi.
Be blessed madam martha for the encouraging word❤❤
Amen my dear sister in Christ MUNGU akubariki sana 🙏💕
Amen.thankyou mum.from Kenya
Amen hallelujah Asante sana wonderful advice 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Thank you so much my Sister God bless you good to see you talking to night love you!! From USA🌷🌺🌹🌸❤️😘
Umenitia nguvu dada said na zaid,barikiwa saudi na said,Amina.
Ameen ,,,n kweli ctajieleza kwa wanadamu tena.asante mama ctajieleza tena
I'm encouraged my dear mens may not understand the language for speaking but am speaking one language with you, spiritually,
Mungu q Neno lakutia moyo,, love you Mammy 🙏🙏🙏💝💝
Thanks dear sister for the powerful message. God bless you.
Be blessed madam Martha you always make feel like am in heaven
Dada ubalikiwe sana
Mungu akubariki sana dada hili ni jambo nlikuwa nataka kuskia leo😓😓ubarikiwe sana
Aminaaa 🙏🙏
Amen nimejifunza kitu2 hapa ubalikiwe sana mungu akubaliki
Amen Dada Mungu Aku bariki Sana 🙏🙏
Asante🙏 dada Martha ubarikiwe .
Loving your songs always
Amen Martha, nimebarikiwa sana
Twakupenda pia mum, tutembelee kenya
God bless U Mtumishi wa Mungu
Amen
Blessed words be blessed MARTHA
Asante ! Ubarikiwe sana kwa ujumbe huu🙏🏻
Leo watakusifu ,kesho hawatakusifu ,lakini katika yote mungu habandiliki kamwe