MCHUNGAJI PHILIPO AFICHUA MAZITO YA BEATRICE MWAIPAJA NA MARTHA MWAIPAJA // TAZAMA HAPA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @agneslyatuu6349
    @agneslyatuu6349 19 днів тому +52

    Ameeeenii nakubaliana na wewe mia kwa mia., Ushuhuda ulio hai anamlilia dada yake. Siku moja watu watamuelewa Beatrice. ❤

    • @Kikestyles
      @Kikestyles 19 днів тому

      Amen

    • @ShukranMwakyambo
      @ShukranMwakyambo 19 днів тому

      Hakika

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 19 днів тому

      @@agneslyatuu6349 kwanini asililie watoto wake wawili ambao kawaacha kwa baba yao ajui wanaishije huko hivi hao watoto wskikua wakampenda baba kuliko mama mtalaumu ndio haya sasa tafuteni ukweli ujue ni mama yake mzazi au wa kambo na dada yake mkubwa alifariki vip? Tuwaachie wao

    • @MadukaAlphonce-ts5hh
      @MadukaAlphonce-ts5hh 19 днів тому +5

      Kbsa Beatrice yuko sawa huo ushuuda umetolewa hili wengine wakombolewe kuna siku mtamuelewa huyo dada❤

    • @kingdavid8800
      @kingdavid8800 19 днів тому +1

      Kabisaaaa

  • @Rogathe-Rogathe
    @Rogathe-Rogathe 19 днів тому +35

    Beatrice Yesu akuinue kwa viwango vya juu!!!!

  • @LoveAron
    @LoveAron 19 днів тому +9

    Asante mtumishi Filipo nakumbuka historia yk ya huduma ya uchungaji uliitoa kwa Veronica frank,hadinukaja laive,i love this Mungu wa Mbinguni akubari na Beatrice Mwaipaja abarikiwe mnooo na ulinzi wa damunya Yesu kristo ukawe juu yake ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @ElizaMwandu
    @ElizaMwandu 19 днів тому +9

    Amen, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, umeongea maneno yenye hekima na busara ndani yake 🙏

  • @felixBenos
    @felixBenos 19 днів тому +12

    Beatrice Mungu mwema akutunze akupe maisha malefu na akuinue zaidi ktk utumishi wako.

  • @IGANASCOSMAS
    @IGANASCOSMAS 19 днів тому +26

    Waliochukia juu ya Ushuhuda wa Beatrice Mwaipaja ni watu ambao Hawayaelewi vizuri Mambo Ya Kiroho. Bwana Yesu Awafungue Akili zao.Ameen.

    • @stevenstationary
      @stevenstationary 18 днів тому

      We wale ni mashabiki wa watu maarafu wazee wa u team ,hata kama mtu anakosea wanasimama naye

    • @joyceseleyian9312
      @joyceseleyian9312 18 днів тому

      Amina

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 17 днів тому

      Ule ushuhuda hauna kujenga ndani yake ni kubomoa

    • @mamakayla6697
      @mamakayla6697 17 днів тому

      Aminaaa

    • @mamakayla6697
      @mamakayla6697 17 днів тому

      Upo sahihi kaabisa,ushuhuda ule niwa kiroho sanaa,wasiojua mafundisho ya mbinu za ulimwengu wa roho hawataamini,watamuona Bite ni mbaya ila Bite hana shida,Martha anatakiwa asamehe,kwani huu ndo muda wake wa kufunguliwa kwenye kamba za mauti na kuzimu kupitia Joan sasa zinakatika kwa jina la YESU.

  • @MarryBee-f9o
    @MarryBee-f9o 19 днів тому +54

    Jamani watanzania tuusikilize vizuri ule ushuhuda wa Beatrice hakumshutumu dada yake ila alieleze namna ile miungu iliwafunga ndo akamtaja dada yake namna amefunguwa hata hamajali mama yake,na akasema kabisa siyo yeye dada tangu ila ni ile miungu waliyojiungamanisha nao,na mimi nilimelewa kwmba anatamani na dada yake afunguliwe kama yeye alivyofunguliwa, na ndo maana akasema hata yeye kuna muda hakutamani kuwasiliana na mama yake kwa ajili ya hiyo miungu iliyoifunga familia yake..mimi naona kwa ule ushuhudu hapaswi kulaumiwa hata kidogo

    • @kelvinnaftali4331
      @kelvinnaftali4331 19 днів тому +3

      Hongera usikivu wako ni mkubwa sana, ila wengi hawasikilizi kuelewa ndio maana wanamshambulia sana Beatrice.

    • @luciamsani
      @luciamsani 19 днів тому +2

      Ni kweli hata mi nimeelewa hivyo ila watu wanapotosha na wale wameshea baba mama tofauti wote walifungwa ila yeye amewahi kufunguliwa

    • @heliminathahenry2289
      @heliminathahenry2289 19 днів тому +1

      Mungu isimamie Ili swala hawa ndugu wapatane jamani 😢

    • @rithamkude1656
      @rithamkude1656 19 днів тому

      Mmh

    • @edithmwasulama7005
      @edithmwasulama7005 18 днів тому

      Amen mtumishi tusimqme tumtukuze Mungu ushuda una nguvu Mungu amtunze Beatrice
      Hajamshutumu hata kidogo

  • @rebeccawekaya2342
    @rebeccawekaya2342 19 днів тому +3

    Mungu akubariki sana Beatrice Mwaipaja 🇰🇪

  • @EliyaMwangobe
    @EliyaMwangobe 16 днів тому +2

    Watu wanamshambulia sana Betrice kwa sababu wao wanapenda zaidi nyimbo kuliko maisha ya usafi wa.Kikristo.
    Hawa hata ingekuwaje hawako tayari kuona nyimbo zinakosekana kwani wao wanafikiri huduma ni maneno ya mdomoni na wala sio ushuhuda wa mtu

  • @Graceyusuphh
    @Graceyusuphh 19 днів тому +8

    Umenena kweli, BEATRICE yupo humble sana, na aliye rohon anamuelewa bila ukakasi kabisa. martha anahitaj akombolewe

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi 19 днів тому +11

    Beatrice Mwenyezi Mungu azidi kukupigania na amkomboe na dada yako Martha

  • @chany9950
    @chany9950 19 днів тому +15

    Betric Love you🙏🏾🙏🏾

  • @JanetNjobvu-xf4vq
    @JanetNjobvu-xf4vq 19 днів тому +4

    Ameni pastor mungu akubariki sana

  • @Esther-v9s8n
    @Esther-v9s8n 19 днів тому +19

    Nimeona watu wengi wamesimama na Martha lakini nikirudi kwenye Bible... Pale Kijana wa Elisha alipo liona jeshi la adui na akijiangalia WAO wapo wawili tu aka Anza kuogopa... Lakini Mtumishi wa MUNGU.. Elisha akamwambia walio upande wetu ni wengi KULIKO WAO.... Ooohh Beatrice usiogope... MUNGU Yuko upande WAKO atajiziirisha

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 19 днів тому

      Wale ni wenzake yy anapesa kuliko mdogo wake.we unadhan nan atakua na wapambe wengi.ila kama kweli anachokiongea YESU atamshindia huenda ikawa ndio mwanzo wake wa kuinuka yy aachie fasta tumsifu YESU

    • @Powerfulprayer1-x4g
      @Powerfulprayer1-x4g 19 днів тому +1

      Walio simama na Matha wengi wao Hawana Mungu ndani yao.. inahitajika neema ya kuelewa ule ushuhuda sio kitu rahis ila Mungu atajidhihilisha siku had siku

    • @mamakayla6697
      @mamakayla6697 17 днів тому

      Aminaaa

  • @mmangasalum2195
    @mmangasalum2195 19 днів тому +4

    Amen baba, ubarikiwe ni watu ndio hawajamwelewa vizuri ila beatrice yupo vizuri

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 19 днів тому +10

    Dadaangu Beatrice nakuombea Mungu akuzidishie kukutia nguvu sema kila kitu wangu wapone

  • @heliminathahenry2289
    @heliminathahenry2289 19 днів тому +3

    Mungu amtie nguvu Beatrice

  • @LinnaJohn
    @LinnaJohn 19 днів тому +2

    Amen kubwa umeongea kweri hushuuda unatolewa hazalani sema baba tuokoke

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha 18 днів тому +1

    Safi wengi wanahujumu mbila kujua miungu inavyo Halibu family ❤❤❤

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 19 днів тому +69

    Ushuhuda unatolewa hazalani ili uwaponye wengine wapo wengi walio kwenye vifungo bila kujijua

  • @TusajigweMboma780
    @TusajigweMboma780 18 днів тому +2

    Amen baba umeongea kwa hekima sana

  • @NEEMANICHOLAUS-qw1ne
    @NEEMANICHOLAUS-qw1ne 19 днів тому +8

    Kweli kabisa

  • @samweli7985
    @samweli7985 19 днів тому +29

    Matha mwaibaja,, nimtu maarufu, ila bado hajakombolewa, kumkana mama mzazi, nihatari sana

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 19 днів тому

      @@samweli7985 una uhakika ni mama mzazi msione mkaa kimya ni mpumbavu.

    • @MariyimJumanin
      @MariyimJumanin 19 днів тому +1

      Ukute ni Freemason

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 19 днів тому

      @MariyimJumanin nilijua tu shetani anavyojua kuteka akili huyo beatrice muulizeni watoto wake wapo wapi. Je na wao wakikua wakimkataa atawaita freemason.

    • @EricTrillz
      @EricTrillz 18 днів тому

      Acha uongo Beatrice hatumjui tunamjua Martha.Huyo mama anayewapeleka kwa mganga ndio tatizo..

  • @blessedup5786
    @blessedup5786 19 днів тому +5

    Beatrice ni mnyenyekevu sana nimefanya nae kazi za kushoot ni mtu mpole na mnyenyekevu mnooo

  • @deomwesa_JitumeTZOnline
    @deomwesa_JitumeTZOnline 18 днів тому +5

    Ushuhuda ni pale mtu anapoamua kusimulia mambo aliyotendewa na Mungu pasipo kuwasema vibaya watu ama kuwasengenya.

  • @alicejuma9155
    @alicejuma9155 16 днів тому +1

    Amen amen❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @dabostar-yn7gy
    @dabostar-yn7gy 19 днів тому +8

    Mungu mkubwa beatrice Mungu akulinde

  • @SaraM-m1d
    @SaraM-m1d 19 днів тому +4

    Mungu wangu

  • @Gwandumi-r2v
    @Gwandumi-r2v 18 днів тому

    Safi sana mchungaji Philipp, umeukonda sana moyo wangu has ulipo sema ushuhuda hutolewa hazalani hautolewi chumbani

  • @kabulapatrick2765
    @kabulapatrick2765 19 днів тому +2

    Kbx kbx wakati wa Mungu ukifika uwezi jua unChotamka wala haibu utohona kbx kwasababu wakati huo Mungu ndo anajizilisha ndani yako Hongeraaa dada kujawa roho mt.

  • @EneridaKitanga-qo3hr
    @EneridaKitanga-qo3hr 15 днів тому

    Beatrice kapata ujasiri wa kuongea maisha ya familia yake kwa kuwa ana mwamini sana Mungu, Na unapaswa kuelewa kuwa "mficha uchi hazai" pia kwa waliomwelewa kuna kitu ametufunza

  • @PierreBukasa-fu3yx
    @PierreBukasa-fu3yx 18 днів тому +1

    Mtumishi wa mungu umemjibu vizuri huyo mwandishi, ushuda alitaka utolewe chooni au, beatrice mungu amlinde anamlilia dada yake, ndugu ni ndugu, haya mengine kayatangazaza huyo joani, kunbe hana hata undugu na huyo mardha zaidi wanamambo yao,

  • @annndunda3953
    @annndunda3953 19 днів тому +5

    Mpaka nitakapo sikia the other side of story , i can't buy one sided

  • @millekasinga9825
    @millekasinga9825 18 днів тому +1

    Sauti ya Mungu tangy lini Mungu akakosa busara acheni kudhalilisha watu

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 19 днів тому +6

    Sema huyo dada hakujua atapostiwa

    • @Kikestyles
      @Kikestyles 19 днів тому

      Alijua atapostiwa na ndiomaana alisema najua dada utaiona cliphii.kwahiyo alijua kabisa.

  • @MeryMbaga-y4n
    @MeryMbaga-y4n 19 днів тому +1

    ❤❤

  • @ApostleElisha-u2m
    @ApostleElisha-u2m 19 днів тому +4

    PORE SANA DADA ANGU NA MTUMISH MARTHA MWAIPAJA ILA YESU ATAKUFUTA HAYO YOTE YALOSEMWA MTANDAONI, JAPO MI NAAMINI HUWENDA NAWE HAUNA HELA KABISA, MALA NYINGI MUNGU ANATUFUNIKAGA MTU UNAPEWA GARI, NA MAFUTA KWENYE GAR UNAJAZIWA TU, ILA HELA UNAPEWA VISENT TUU ILA NDUGU ZETU WANAVOTUANGALIA NJE TWAONEKANA TUNA HELA IVO TWAONEKANA WACHOYO KUMBE SIO, HATA MI AYOAISHA NMEYAISHO APA APA DAR ,IVO MI SIAMIN KABISAAA AYO MANENO KUWA MARTHA ANAWASAIDIA WENGINE N.K.

  • @lizymwakyusa8798
    @lizymwakyusa8798 19 днів тому

    🎉Ni kweli watu wafuguliwe kuliko kujazana makanisani na vifungo ndio maana watu wanaangaika bila kujuwa vifungo zaidi nipokea tu navifungo juu ndio maana watu awaendi mbele MUNGU atusaidie.

  • @johanesskijungu3799
    @johanesskijungu3799 19 днів тому

    Ktk maojino umetumia ekima sana mungu akubali

  • @michaelwafula2418
    @michaelwafula2418 19 днів тому +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @NeemaJombe
    @NeemaJombe 6 днів тому

    Beatric hajakosea kusema amefanya vizuri ili na wengine tujifunze

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 18 днів тому +2

    Majambazi yote haya yanajificha katika dini

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 19 днів тому +1

    Ila kusema kweri Martha angesameheana na mdogowake wakaridianatu haijarishi Martha Yuko na Joan

  • @JoycePetro-c1r
    @JoycePetro-c1r 19 днів тому +4

    Mungu atabaki kuwa Mungu tu hyo martha alishamuacha Mungu kitambo saaaaaana ni shangingi mmoja tu

    • @nuruanaelisha8731
      @nuruanaelisha8731 16 днів тому

      Wewe ndio uliyemwacha Mungu,unatukanaje kama wewe una Mungu, means hukuelewa ushuhuda ndio maana unatukana , rejea ushuhuda WA bite mwaipaja utaelewa , don't judge siyo KAZI yako hiyo

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 19 днів тому

    Ushuhuda hutolewa hadhalani hilo ni sawa, na kusema historia yake ya imani ni vzr sana, lakini ni pale alipoanza kuongea maisha ya dada ake, mmmmh kwangu sikuafiki, nadhani hata mtumishi wake aliingilia na kumuomba apunguze maongezi kuokoa muda, ni hekima kubwa. Mungu aendelee kumtumia kwa hekima zaidi ya hisia

    • @wuodkokelobingo4855
      @wuodkokelobingo4855 14 днів тому

      Nikumwelewa humwelewi, hataki dadake abaki kule alikotoka

  • @zaitunijuma8710
    @zaitunijuma8710 18 днів тому +1

    Yaan betrice yupo sahuhi kuongea lakij upande wa pili hakupaswa kuongea kwenye mitandao ya kijamii hii ni siri ya familia hucho ndicho kitu ambacho wengi tunamlaumu kwann kafanya hivi japo mda mwingine nafsi inashindwa kuvumilia mpk unajikuta unasema any way tuawaachie wenyewe wana familia watayamaliza tu one day

  • @Naju645
    @Naju645 15 днів тому

    Mbona hakusema kama alilala nashemeji yake

  • @James-sz4ec
    @James-sz4ec 18 днів тому

    Beatrice yuko sahii

  • @EsterBenson-vj8vy
    @EsterBenson-vj8vy 19 днів тому +1

    Kwa nini hajasema wanaume aliotembea nao?

  • @sarahmaro215
    @sarahmaro215 15 днів тому +1

    Nanyi watumishi mitandao ya nini? Kama una ushauri wafuateeee, hatutaki vichefuchefu kutumia mitandao sio kuwasaidia bali ni kuendeleza migogoro

  • @RuiyaPolo
    @RuiyaPolo 19 днів тому

    😢😢😢😢❤❤❤

  • @risperndege8170
    @risperndege8170 19 днів тому

    Napenda hawa dada sana pamoja na nyimbo zoo. But swari langu ni hili. Mbona mnaleta mambo ya kifamilia mitandaoni?
    Mnatumia kipimo gani kupima IMANI ya mtu?
    Langu ni hili. Dunia imeisha na hizi ni dalili. Ktk kenya ni hayo tu

  • @malaikahansen
    @malaikahansen 18 днів тому

    Ushuhuda ungekua wa Beatrice peke yake na kumwinua Mungu ila amemuinua mwanadamu mtumishi ! Angekua mtumishi kweli angekua na busara ya kimungu.

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 19 днів тому

    Kila kilicho kinyume lazima kiwe zahili, niyesu Sasa mfalme Wawa falme anaendelea kujitukuza, huwezi ukamwacha mume wako hafu umtumikie Mungu wakweli haiwezekani, hawa madada kwisha wamurudie MUNGU wakweli yesu.

  • @IGANASCOSMAS
    @IGANASCOSMAS 19 днів тому +1

    Wakristo Msiogope Kutoa Ushuhuda wa Kweli Ya Bwana. Hichi ni kiboko kimempata kisawasawa shetani ndo maana anapiga kelele.

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt 19 днів тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JackieMolle-vm3mo
    @JackieMolle-vm3mo 18 днів тому

    We pastor sikuoni vizuri pia wewe

  • @deborakalinga8544
    @deborakalinga8544 19 днів тому

    Beatrice umekosea sana kwa ushuuda wako

    • @AbiaWilliam-s1s
      @AbiaWilliam-s1s 19 днів тому

      Hakuna makosa hapo yy amempokea yesi ndo maana ameamua kikuwa huru

  • @PriscaNnko-x4i
    @PriscaNnko-x4i 18 днів тому +1

    Pesa nyngne zina masharti kuacha kumsaidia mama siyo jambo dogo,,na mbona martha hajibu kuhusu kutomjali mama yakeeee????

  • @aishaz1
    @aishaz1 18 днів тому

    Huyo tunamjua nimlevi tu wa kawaida familia za watu tusigilie nakusema naona analia uogo nyamaza mama amekata mzizi wa fitina

  • @peteromweno479
    @peteromweno479 19 днів тому

    Nimekataa Nyimbo za huyo Matha na huyo Joan wake dunia kuna mambo siwezi vile nilikuwa Napenda nyimbo zake

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 19 днів тому +1

    Watumishi wa wamchongo

  • @PovertyPeace
    @PovertyPeace 19 днів тому +1

    Beatrice anatafuta kiki tunajua hilo

  • @IreneAnyango-w8i
    @IreneAnyango-w8i 13 днів тому

    yule dada ywaenda dada yake ndomana alitakadadake piaatoke

  • @victorburser1717
    @victorburser1717 19 днів тому +2

    Hatumjui weeeeeengi tu nikiwepo mimi, nimemjua kwenye sakata hili 😂😂 eti hakuna asie mjua

    • @HomeboyTZ19
      @HomeboyTZ19 19 днів тому

      Kwani we nani? wewe ndio humjui peke yako

    • @victorburser1717
      @victorburser1717 19 днів тому

      @HomeboyTZ19 ndio maana nimesema wengi nikiwepo mimi Sasa sijasema wote basi sio mbaya kama wewe wamfahamu.

  • @anastaziamoses4100
    @anastaziamoses4100 19 днів тому

    Nimeshangaa sana kuona watu wanamlaumu Beatrice eti kamlaum dada yake ni uongo hajalaumu ila ameongelea vifungo vilivo kwenye familia yao toka kipindi hiko wadogo sisi ata hatuwajui yeye anajua amesema ushuhuda wake huyu binti Joani anatoa kauli chafu za nini sasa ajibu hoja yeye ni ndugu yao au la ameleta maneno mengi bila sababu aache familia za watu Beatrice ameongea vizuri na lengo lake na dada yake atoke kwenye vifungo wewe Joan achia familia ya watu

  • @AllyKasinde
    @AllyKasinde 19 днів тому

    Shetani kweli yupo kazini

  • @ThecityofRighteousness1
    @ThecityofRighteousness1 19 днів тому

    1.Mdogo lazima ajishushe kwa mkubwa.
    2. Abebe udhaifu wa dada yake kwa kumuombea
    4. Kufunguliwa vifungo si zoezi la siku moja, wasaidiane kwa upendo kuleta nuru kwenye familia yao.
    5. Kusamehe, ni mchakato unaoanzia ndani, na ni neema ambayo hawa ndugu wote wanapaswa waiombe, adui amewashikilia hapo.
    6. Wenye mapenzi mema tuwaombee hawa ndugu hivi ni vita vya kihuduma na kelele za adui, baada ya hili kuna watu watainuliwa.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 19 днів тому

      Nilikuwa naitafuta comment kama hii, Safi Sana, kweli uko kiroho Sana. Hongera

  • @neemamujunangoma7916
    @neemamujunangoma7916 19 днів тому +2

    Siku zote MUNGU BABA halali ambay umepitia utaelew machoz yanasikika ukwel utajulikana tu muda utafika

  • @AnnaMunis-g9m
    @AnnaMunis-g9m 19 днів тому

    MUNGU amuondolee Beatrice ule umaskini anaodhihakiwa nao na Joan

  • @faithmusyoka6439
    @faithmusyoka6439 19 днів тому

    Beatrice alisukumwa na mungu aongee bt watu hawaelewi

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 19 днів тому

      Alisukumwa na hisia zaidi ya Mungu. Ukiwa na Mungu HEKIMA ni muhimu, hata mchungaji wake aliliona hilo, alipoanza kumuongelea dada ake akamwambia akate maongezi.

    • @faithmusyoka6439
      @faithmusyoka6439 19 днів тому

      @MsAggie5 tumuachie mungu.mungu mwenyewe anaenda kuweka kila kitu wazi.ju chochote kifanywacho kwa siri kwa wazi kitatolewa

  • @marietharosemary
    @marietharosemary 19 днів тому

    Hakuna cha sauti ya mungu bari ni kiki kwanini asinge omba mungu amsaidie ili kumukomboa dada yake na sio kumuanika kwanye haza ya yatu kama sio kutafuta umaruf nini siyangeishia nyumban na makanisan kama alifika kwa mchungaji nikwanin hadi kwenye sherehe ana anika matatizo ya familia at sjapenda

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 19 днів тому +3

    JIBUUU MTUJIBU? MNAGOMBANIA NINI HASA? KWANINI MTIANE AIBU NDUGU??? HASWAAA. KAMA SIO WIVUUUU?????

  • @KambunguraKambalova
    @KambunguraKambalova 18 днів тому

    Maneno ya familia musolve uko ingekua pia Martha kila kitu anayatapika mtandaoni angeficha wapi sura yake!!wabongo nyiee😮😮😮

  • @jojotanzan609
    @jojotanzan609 19 днів тому

    Huyo mchungaji nae ameishatoa ushuhuda wake kwa Veronica Simulizi

  • @SylviaAlus
    @SylviaAlus 19 днів тому

    Martha nishawai kumtext kuhusu uimbaji akataja kiwango Cha pesa ila ilikua zamani

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 19 днів тому +3

    Jambo limeenda vile kamtaja Martha, hakuna anae ongelea vipengele vingine vya ushuhuda wake zaidi ya alipo mwongelea dada yake, na zaidi kasema Martha yupo nje, ina maana Martha hamtumikii Mungu wa Kweli.

  • @brendadavid2711
    @brendadavid2711 19 днів тому

    Yani huyu kaka🤣🤣🤣 bwana kumbuka mchungaji hata mimi ni rafiki yako sana ila hapa umenikwaza aki😂 hakuna vitu ambavyo havikupiti umefeli sana

  • @GinaNdegeulaya
    @GinaNdegeulaya 19 днів тому +1

    Kwan matha yeye anasemaje?

  • @malaikahansen
    @malaikahansen 18 днів тому

    Hakukua na nguvu ya Mungu kwenye roho la fitina na uchonganishi. Wanao msupport ni watu waliofurahia udaku tu.

  • @ApostleElisha-u2m
    @ApostleElisha-u2m 19 днів тому

    Mie nasema, ye Mtumish Beatrice pamoja na huyu Mtumish na wengine wanaosapot comments ,wanaishi kenye nyakat za ngumu, ila maadam wameokoka wataenda mbinguni, ila kuusu Martha mwaipaja hayo maneno hayakupaswa yasemwe mtandaoni apo tuu, nami naamini Martha mwaipsja yupo vitani sani

  • @arafaally2895
    @arafaally2895 19 днів тому

    Kwan kiongozi wa wachungaji ni nani si awaite hao kina martha?

  • @WilondjaMahango
    @WilondjaMahango 19 днів тому

    2api ?.

  • @merabKitundu
    @merabKitundu 19 днів тому

    Huyo dada alitoa ushuhunda wake lakini watu wamemshukulia baya

  • @aidancosmas9863
    @aidancosmas9863 19 днів тому +1

    Ushuhuda ata mm naweza kushuhudia lolo nalo jisikia.

    • @tiamo726
      @tiamo726 19 днів тому

      basi haujiheshimu

    • @pendomwaiteleke1636
      @pendomwaiteleke1636 19 днів тому

      Kwakweli utakuwa hujiheshimu na hujielewi na hujitambui

  • @MAGRETHMACHAKU
    @MAGRETHMACHAKU 19 днів тому

    Jamani hebu nendeni mkamuatack na vee mdee mana kuna vitu aliongea watu hawakumuelewa kabisa ila ni hivi

  • @RhodaKabuka-cw3uw
    @RhodaKabuka-cw3uw 19 днів тому

    Mimi ni nani hadi niseme kitu, sijui lolote, ila Mungu aonae sirini anajua yote

  • @JanetteJanette-g5l
    @JanetteJanette-g5l 13 днів тому

    Nule ahukuku ushuhuda alikuwa anawaelezea watu wajue matha amsaidiagi mama basi msipake mafuta kwenye uchafu

  • @marthaayuma7065
    @marthaayuma7065 19 днів тому

    Acheni .kuzungumzia maneno za familia za watu.hatutafaidi chochote.

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 19 днів тому

    Wengine mtawaokoa kama vile kuwatoa kwenye moto! Hii ndio njia ya wokovu wa Martha. Japo itamcost pakubwa.

  • @salamam8721
    @salamam8721 19 днів тому

    Sasa kwanini mna mutetea Martha japo iko na makosa!! Juu mtumishi wa Mungu lazima atakua na huruma??!!

  • @Asamtz360
    @Asamtz360 19 днів тому

    Wewe bitris hajulikani na watu wote wengi tumemjua baada ya hizi muvi zenu

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 19 днів тому +1

    Tunzeni wazazi wenu acheni marumbano

  • @mwaminindayishimiye3149
    @mwaminindayishimiye3149 19 днів тому

    Hata mimi machozi yamenitoka sana ila Mungu hamsaidiye

  • @zephaniamalale9523
    @zephaniamalale9523 17 днів тому

    ua-cam.com/video/eMvyaKz8Kuo/v-deo.htmlsi=s9nkF7YttUR8P21x
    Tazama hii

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 19 днів тому

    alikuwa hanijui ,simjui na hatujuani

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 19 днів тому

    Tuko pamoja mpk mwisho wa kufedheheshana

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 19 днів тому

    Hata kama ni kweli kwa nini aongee hizo shida za familia mbele ya halaki,ule haukuwa ushuhuda bali ni kuchafuana, ushuhuda gani kutaja madhaifu ya dada yako na kuwataja watu wengine kama akina Joan,inaonesha anaona Joan anafaid sana,kifupi ule si ushuhuda bali ni kumchafua dada yake

    • @AbiaWilliam-s1s
      @AbiaWilliam-s1s 19 днів тому

      Utaelewa ad yakukute kwenye familia yako unaelewa maana ya ku

  • @GeorgeMkoba-v6c
    @GeorgeMkoba-v6c 19 днів тому

    Toa ya kwako ya mwingine yanakuhusu nini????yote kwa yote tumedi kuhangaika mno na makanisa ndomana tunadhalilishana mitandaoni wa matha yanakuhusu nini wewe mpaka uyatolee ushuhuda toa yakwako siyo ya mtu mwingine huo ndo ushuhuda.

  • @cosmustunje4604
    @cosmustunje4604 14 днів тому

    BURE KABISA!