Vaileth Mwaisumo ft Martha mwaipaja- Naomba Usinyamaze (Official Video) SKIZA CODES -7639624

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024
  • Wimbo huu ni wimbo wa kumsihi MUNGU asimame atende sawa sawa na Yer 33:3. Tumemuita MUNGU akutane na kila hitaji gumu na hakika sikio lake si zito atatenda.
    #VailethMwaisumo#MarthaMwaipaja#Usinyamaze.

КОМЕНТАРІ • 1,9 тис.

  • @BratherBenarnd
    @BratherBenarnd 23 дні тому +3

    Naomba huu mwaka uwe wangu Baba yangu unitoe niliko unipeleke pengine ❤❤❤ I admire my wife and my child in my house ABBA FATHER

  • @benardkivunja
    @benardkivunja Рік тому +12

    Baba wa mbinguni usinyamaze vile tulivyo kuomba sikia Baba jibu tu kwa neema na rehema zako tu

  • @Doreen-k1s
    @Doreen-k1s Місяць тому +1

    Mungu kweli usinyamaze hatuwajui wote wanaotupiga vita

  • @kikwayajoseph5740
    @kikwayajoseph5740 14 днів тому +1

    Bwàna mwenyezi Mungu Bwana Yesu Kristof mwokozi weyu kwa jumla n'a mwokozi wa jamaa letu'' kikwaya''binafsi akuongezee karama Siku kwa siku.tumsifu kumuabudu zaidi.yeye mwema atupenda

  • @gabrielmakomere1022
    @gabrielmakomere1022 Рік тому +19

    Kwa kweli tuko na maadui wengi katika familia zetu ni Hali mungu naomba usinyamaze nipaginie baba hasanteni kwa wimbo huu

  • @user-qe2yl9cn4q
    @user-qe2yl9cn4q Місяць тому +1

    Nimechoka kuwa chini , nimechoka kusononeka naonmba usininyamazie

  • @mamabinti7115
    @mamabinti7115 Рік тому +12

    Napenda unvyoimba nyimbo za kutia moyo ubarikiwe zaidi dadangu

  • @BrenderLelei
    @BrenderLelei 9 днів тому +1

    Naomba usinyamaze Mungu wangu tenda Jambo

  • @neftedymakukulu6561
    @neftedymakukulu6561 Рік тому +7

    Sitaki tena kuugua maana nikiuguwa wengine wanafrahi Asante yesu

  • @BizabishakaDominique
    @BizabishakaDominique Місяць тому +1

    Naomba usinyamaze mimi niko namyaka 51 sina bibi sina atamutoto naomba usinyamanze.

  • @lydiashisia2169
    @lydiashisia2169 3 роки тому +157

    "Vita ni vikali, naomba usinyamaze maadui wafurahie.sitaki tena kuugua".Asanteni sana watumishi wa Mungu.kama tunakubaliana na hawa watumishi wa Mungu gongeni likes hapa.

  • @wkjshsxbbsbs6392
    @wkjshsxbbsbs6392 2 роки тому +1

    Ooooh.mungu usinyamaze maana jeshi ni kubwa LA kudai kiniangamiza naomba usiruhusu nianguke mikononi mwao

  • @esthernyaboke7479
    @esthernyaboke7479 Рік тому +7

    Amina,ii Mwaka naomba usinyamaze maadui wangu wafurahi,Nibariki,nifungulie njia na uniinu akwa sifa na utukufu wa jina lako.AMINA

  • @ricardolavie7679
    @ricardolavie7679 Рік тому +1

    Asante mubarikiwe sana Jéhovah inaomba atambulike katikati ya muungu kweli Mutakatifu nani kama wewe

  • @adisaayuma9522
    @adisaayuma9522 4 роки тому +115

    Like za wakenya ziko wapi,, Mungu wetu usinyamaze...

  • @user-wb1fg1fk8o
    @user-wb1fg1fk8o Рік тому +1

    Wap ilatu ahatishi
    Kwasabbu anaye dushindia ananguv kuliko wawo ubalikie Tena dada wetu kipenzi

  • @maryammohammad4828
    @maryammohammad4828 3 роки тому +13

    Time kujiamini like zenu hapa, tunapo omba mungu wetu, asinyamaze katikati yamapito yetu

  • @naomimatayo2456
    @naomimatayo2456 Рік тому +1

    Naomba usinyamaze Jehova nitazame stk tena kuugua;;;;;;;; mbarikiwe sana watumish wa Mungu ;;;;; Mungu awatumie kwa viwango vya juu sana

  • @maggymshay7666
    @maggymshay7666 4 роки тому +75

    Nikiona Jina Martha mwaipaja siezi pita huo wimbo bila kusikiza❤️❤️

  • @danielkalori5373
    @danielkalori5373 Рік тому +1

    Jamani wapendwa wa TZ MUNGU huwatumia kwa njia ya uimbaji ooh endeleni kua baraka ketu from Kenya

  • @leopodinadominic4391
    @leopodinadominic4391 Рік тому +6

    Nimechoka kulia, sitaki tena kuwa chini!
    Mwenyezi uwe nasi daima! Usinyamaze ninakuomba 😢

  • @tabithachepngeno8388
    @tabithachepngeno8388 Місяць тому +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Usinyamaze Mungu Wangu watanichekelea,,Usinyamaze aki

  • @EstheryAtieno-sw8sc
    @EstheryAtieno-sw8sc 3 місяці тому +2

    Mungu wangu usinyamaze kwa ndoa yangu tenda jambo

  • @Jonathanlemphis
    @Jonathanlemphis 12 днів тому +1

    Ndiyo asinyamaze huyo mungu, ❤❤❤

  • @samuelkibusu-sh9hu
    @samuelkibusu-sh9hu Рік тому +7

    Mungu asinyamaze maadui wafurahie,,,,,,,mungu atete na wso wanaoteta NAMI,apigane na wanaopigana nami.thnks sana watumishi wa mungu kwa wimbo huu

  • @AidahMwank
    @AidahMwank Місяць тому +1

    Naomba usinyamaze mungu wangu maishan mwang
    ❤❤❤🎉🎉

  • @patriciaVincent_lifestyle
    @patriciaVincent_lifestyle Рік тому +4

    Ooh nimebarikiwa🙏🙏🙏

  • @neemashabani8431
    @neemashabani8431 3 роки тому +1

    Elf 5 kwa Leo kwakusikiliza unachokiimba Dada Martha na sitojutia kamwe salio langu nakupenda pia Dada vailet mwaisumo mmekua wafariji nataman siku moja niwaone

  • @K....ing006
    @K....ing006 3 роки тому +5

    Naomba usinyamaze Mungu wa Daniel usinyamaze wanangoja niabike naomba usinyamaze wakafanya sherehe kwaajili ya anguko langu nitazame Mungu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nimechoka kulia mm jmn sitaki tena kuwa chini

  • @user-ii6uw1wk2x
    @user-ii6uw1wk2x 7 місяців тому +1

    mungu awainuwe watumishi siku baada ya nyingine maana mumekuwa baraka kwangu sana

  • @dafrosanassoro5055
    @dafrosanassoro5055 3 роки тому +12

    Naomba usinyamaze ninamwaka sasa nimelala kitandani siwezi hata kusimama Baba naomba usinyamaze niinue na Mimi 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 machozi yamekuwa divai yangu yesu naomba usinyamaze ubarikiwe dd wimbo umenifariji sana mbarikiwe

  • @michaelmuasya976
    @michaelmuasya976 Рік тому +1

    Aky naomba usinyamaze pekeyangu siwezi .kuja karibu jeohova

  • @isaackariuki197
    @isaackariuki197 Рік тому +4

    Usinyamaze Bwana...nimechoka kuugua moyoni mwangu..nipiganie

  • @lilianongoro3249
    @lilianongoro3249 Місяць тому +1

    Mungu nijibu pia usinyamaze watafutahia

  • @jaxonmwanasiasa8852
    @jaxonmwanasiasa8852 Рік тому +4

    Baba naomba usinyamaze kwa maisha yañgu na ya yeyote anayeuskiza wimbo huu maana tumechoka kusononeka

  • @user-iq1hm8mo8s
    @user-iq1hm8mo8s 7 місяців тому +1

    Mwimbaji huo Mungu aendeleye kumuchunga

  • @KuiMunyiri-nn8op
    @KuiMunyiri-nn8op Рік тому +3

    Usinyamaze mungu wangu
    Usiache maadui zangu wafurahie matezo yangu baba

  • @veronicajevance4573
    @veronicajevance4573 Рік тому +1

    Vita nivikal mungu hasa wakat huu mungu angalia wates wanavyonifuatilia

  • @ruthnelima6181
    @ruthnelima6181 Рік тому +3

    Mungu usinyamaze
    Nimechoka kulia sitaki kuwa chini🙏🙏🙏🙏

  • @natashaissa1266
    @natashaissa1266 3 роки тому +1

    Naomba usinyamaze baba wakafurah nibariki waone ukuu wako ee baba sikia baba nitazame mwanao niinuee

  • @Saramutinda673
    @Saramutinda673 8 місяців тому +3

    Bado naucheza huu wimbo🙏
    Naomba usinyamaze baba yangu🙏🙏
    Neema itoshe sana

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому +1

    MAADUI NI WENGI SANAÀ. MUNGU USITUNYAZIE TUNAKUOMBA.

  • @clintonlmakanga
    @clintonlmakanga Рік тому +3

    Mungu kwa kweli maadui n wengii naomba usiniachilie usinyamaze mungu fight 4 me battles l can't fight

  • @TelesiaSanga
    @TelesiaSanga Рік тому

    Naomba usinyamaze kwangu mungu wa Ibrahim isaka na yakobo, adui zangu wafurahi, halelujahhhh

  • @mwakipundahenry5235
    @mwakipundahenry5235 4 роки тому +35

    "Naomba usinyamaze, adui ni wengi, vita vikali peke yangu siwezi, niliowaita wamenyamaza, MUNGU wa Daniel, ........" Mmejua kunibariki nyie wadada. Ujumbe konki, Rangi konki, Location konki, Chemistry konki, Ndaga mwimbile mwe bhana umwee.

  • @neemashirima6121
    @neemashirima6121 2 роки тому +1

    Hakika Mungu anaweza. usinyamaze juu ya familia ya shirima na watoto wake maaana vita nikali tunapitia.

  • @enocktweve3900
    @enocktweve3900 Рік тому +3

    Naungana nawewe mungu wetu nimsikivu

  • @achiengachieng1508
    @achiengachieng1508 3 місяці тому +1

    Kwa macho ijulikane niko na wewe man of war

  • @imeldambilinyi6335
    @imeldambilinyi6335 4 роки тому +5

    Hii nayo pili pili nyingine kwa shetan,,,,usinyamaze imekuja kitofauti hongera mtumishi

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 3 роки тому +1

    Baba wa mimi uko wap
    Naomba usininyamazie
    Mbarikiwe watumishi Wimbo
    Unatubarik mno

  • @albertwilsonalbert01
    @albertwilsonalbert01 3 роки тому +6

    Hata kwangu Usinyamaze, Vita ni vikali.
    Bila msaada wako Eee Yesu siwezi. Usininyamazie

  • @MariamSenyagwa-zc8bw
    @MariamSenyagwa-zc8bw Рік тому +1

    Mungu ucinyamaze katika huduma yangu Mimi mariam

  • @ezekielikashi9791
    @ezekielikashi9791 Рік тому +5

    Hiii NI moja ya nyimbo zako ninazozipenda sana. Na kazi zako zimejaaa ujumbe mzuri. Mungu akubariki Sana. Hakika Mungu asinyamaze kwangu

  • @user-bd9uu8li9x
    @user-bd9uu8li9x 6 місяців тому +1

    Mungu Wang usinyamanze kwamaisha yang

  • @visrerssusan
    @visrerssusan Рік тому +3

    Amen Amen, maadui ni wengi lakini sitanyamaza kamwe ntazidi kumuita Mungu 🙏🏻

  • @AnnKipsang
    @AnnKipsang 2 місяці тому +1

    Usinyamaze baba adui wasije wakafuraĥi ❤❤❤

  • @Resudahexiaomianbao
    @Resudahexiaomianbao 2 роки тому +5

    Amen. Mungu wangu naomba usinyamazee katika maisha yangu madui wengi sana

  • @loicedzidza4386
    @loicedzidza4386 Рік тому +1

    Naomba usinyamaze maana nikitesa watu wanafurahi nitaka uheshimiwe katikati ya dharau

  • @siwemamsesa520
    @siwemamsesa520 Рік тому +4

    Nawapenda sana Dada zangu, Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu

  • @lucyedgar4869
    @lucyedgar4869 3 роки тому +1

    Nilio waita niwengi baba wamenyamaza naomba usinyamaze baba yangu nitateseka bila wewe siwezi nimelia sana

  • @jacquelinemassengo5466
    @jacquelinemassengo5466 3 роки тому +4

    Amen, USINYAMAZE babangu, ADUI NI WENGI VITA VIKALi, PEKE YANGU SIWEZI

  • @marthamashinji6830
    @marthamashinji6830 3 роки тому +1

    Wimbo mzuri barikiwa sana karibu kwenye akaunti yangu ya martha mashinji

  • @shebahkemm-Nyabuto
    @shebahkemm-Nyabuto 3 роки тому +40

    Bwana usinyamanze such amazing song it really touches me team kenya🇰🇪🇰🇪 viewers zifike a million in Jesus name

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  3 роки тому +2

      Amen thanks Shebah

    • @margretyego4647
      @margretyego4647 3 роки тому

      Ubarikiwe dada

    • @shebahkemm-Nyabuto
      @shebahkemm-Nyabuto 3 роки тому +1

      @@vailethmwaisumo see God now we are almost and it will happen in Jesus🇰🇪🇰🇪

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  3 роки тому

      @@shebahkemm-Nyabuto Amen GOD is Soo good

    • @shebahkemm-Nyabuto
      @shebahkemm-Nyabuto 3 роки тому

      And finally we have made it,keep blessing us with such songs,God bless you sister

  • @everlineeverlinewamalwa243
    @everlineeverlinewamalwa243 10 місяців тому +2

    Mungu hatanyamaza kamwe, yupo nasi site🙏🙏

  • @faithchemtai2800
    @faithchemtai2800 2 роки тому +5

    Ata sijui ni how many times naangalia huu wimbo,,for real is a good song 'naomba usinyamaze mungu' keep up watumishi wa wangu

  • @peterheritage5694
    @peterheritage5694 2 роки тому +2

    Mtoe ingine kama hiyo naomba msinyamaze

  • @onsarigoemily2644
    @onsarigoemily2644 Рік тому +7

    So touching ,God am tired crying day and night do a new thing to my life to wipe my tears,don't let my enemies to throw stones at me and defeat me

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  Рік тому

      Amen

    • @florencemokua8905
      @florencemokua8905 7 місяців тому

      Kindly Mungu usininyamazie,nipee hatua nyingine,Kwa macho waone nko nawewe Mola,wewe ni kila kitu,Jitukuze Mimi mwanao Mola😊

  • @lucykanzaa6049
    @lucykanzaa6049 Рік тому +1

    Usinyamaze Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏 Vita vikali pekeangu siwezi nisaidie baba (I need your breakthrough in my business God)🙏🙏🙏🙏🙏

  • @SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE
    @SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE Рік тому +3

    Naombo uzinyimanze Kwa madui zangu mungu🙏🙏

  • @esthermaloba8589
    @esthermaloba8589 3 роки тому +1

    Manyimbo zako martha hua zinanitia nguvu. Especially wakati Nilikua na majaribu ya magonjwa, mapito mengi nimepitia na bado napitia hua natulia moyo yani nikama waniimba mimi

  • @angelmwikah
    @angelmwikah 2 роки тому +9

    Naomba usinyamaze bwana huu mwaka nishuhudie ukuu wako nyamazisha adui jehovah .whenever i listen to this song i feel like God will never abandon me nimechoka kuugua na kuteseka .Be blessed @vaileth $ martha

  • @BonnaceObita
    @BonnaceObita 4 місяці тому +1

    Naomba,mungu wangu utende qwangu

  • @oshimamsungu3294
    @oshimamsungu3294 4 роки тому +5

    usinyamaze, usinyamaze Baba, mubarikiwe sana watumishi wa Mungu

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  4 роки тому

      Amina Mtumishi wa MUNGU barikiwa sana

    • @jescarmauwa920
      @jescarmauwa920 3 роки тому +1

      Mungu akuzidishie martha nakupenda Sana mama yangu👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @TabuSaid-tm4xm
    @TabuSaid-tm4xm Рік тому

    Kweli dada angu maaduwi ni wengi kuliko wema kweli mungu usinyamanze yesu

  • @godwinmercy5918
    @godwinmercy5918 3 роки тому +3

    Wow kweli Dada zangu huu wimbo wenu umenibariki sana wakati nikiwa mwishow wa shida zangu 🙏🙏🙏
    Barikiwa sana ❤❤❤ tunawapenda sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪humu Kenya🇰🇪❤🙏🙏💃💃

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  3 роки тому +1

      Shukrani sana mpendwa wangu barikiwa sana

    • @godwinmercy5918
      @godwinmercy5918 3 роки тому

      @@vailethmwaisumo Amina🙏🙏nawe pia Dada❤💃💃

  • @everlinedemesi6225
    @everlinedemesi6225 10 місяців тому +2

    Mungu usinyamaze Kwa maisha yangu maana maadui n wengi 😂😂love the song

  • @graceomedokhatenje5551
    @graceomedokhatenje5551 3 роки тому +4

    Madui n wengi wengi,,vita vikali peke yangu cwezi..Mungu usininyamazie wakafanya sherehe....Lord you know what my heart demands,iam tired of crying ohh Lord .please Daddy change my destiny 😰😰😰😰

  • @paulchurchill7984
    @paulchurchill7984 2 роки тому +1

    Huyu dada Vaileth anapatikanaje? Aje kansan kwetu Moshi,kikimannaro

  • @janetamaala7611
    @janetamaala7611 3 роки тому +4

    Niliambiwa na jirani yangu aty nitakufa masikini nimepata job outside the country wanasema aty ati mm nafanya umalaya nikifanya maendeleyo but I believe thru this song am blessed staliaya tena

  • @paulinajohn5911
    @paulinajohn5911 3 роки тому +1

    Usinyamaze Baba,Dada Martha hujawahi kosea.Mungu atakuvisha taji.songa mbele

  • @joycenyakx6133
    @joycenyakx6133 4 місяці тому +4

    Likes za April 2024🙏❤️

  • @catherinerugano3465
    @catherinerugano3465 2 роки тому +1

    🙏😭 usinyamanze baba tupiganie usinyamenze Yesu tutaibika baba
    😭😭

  • @leahmbugua2966
    @leahmbugua2966 Рік тому +4

    These wowen of God are my favourite from Tz.Nyimbo zenyu hua zina ni bariki sana🙏.Mungu Aendelee kuwa bless tu saaana🙏.l thank God for you,you are such a blessing 💕🙏

  • @vivianaumah2181
    @vivianaumah2181 3 роки тому +1

    Ooh mungu wangu Kwa Mara nyingine naomba usinyamaze nakuhitaji baba......

  • @joselinetibera7794
    @joselinetibera7794 2 роки тому +4

    Nice songs.Mbarikiwe na Mungu azidi kuwainua

  • @alicewanjiku4502
    @alicewanjiku4502 4 місяці тому +1

    Katika hali yangu tafadhali usinyamaze

  • @rahemachirundo8120
    @rahemachirundo8120 Рік тому +3

    Huu wimbo umenbariki Sana mungu awatie nguvu hawa aimbaji

  • @rozzytatiana2545
    @rozzytatiana2545 2 роки тому +1

    Napitia wakati mugu Sana Sai Sina amani naomba hata Mimi mungu asinyamaze

  • @rebbecamgana6059
    @rebbecamgana6059 3 роки тому +3

    Ee! Mungu wangu usinyamaze juu yangu nakupenda Mungu usinyamaze Yesu Amen.wabari hawa watumishi wako Baba.kweli usinyamaze kuu yao

  • @neemamsigwa382
    @neemamsigwa382 2 роки тому +1

    Kweli baba ukinyamaza peke yetu hatuweza

  • @annasizya4529
    @annasizya4529 Рік тому +3

    Wimbo unatia moyo Dada na unatukumbusha mungu atatena na watesi wetu

  • @frenziaodongo8542
    @frenziaodongo8542 Рік тому +1

    Vita ni vingi vita vikali peke yangu siwexi I feel bless in Jesus name

  • @mathiasjoely7183
    @mathiasjoely7183 4 роки тому +7

    Ameen! Naomba usinyamaze Baba maadui zangu ni wengi sana

  • @LILIANOMONDI-pr8lq
    @LILIANOMONDI-pr8lq 2 місяці тому +1

    Hiyo wimbo inanikumbusha mbali sana

  • @vailethmagwisha4071
    @vailethmagwisha4071 2 роки тому +3

    Kaz nzuuur watumishi MUNGU awaweke viwango vya juu zaidi,, nabarkiwa na nyimbo zenu😍😍😍🙏🙏

  • @sundayngenzi1848
    @sundayngenzi1848 Рік тому +1

    Teacher naelewa unacho kifanya upo serious stay blessed.

  • @josephinemwambe3385
    @josephinemwambe3385 3 роки тому +7

    Huu wimbo waniguza Sana... Barikiweni Sana dada zangu... Wacha mungu wa Daniel na David asinyamaze🙏🙏🙏🙏🇰🇪

  • @zakiawarey6874
    @zakiawarey6874 Рік тому +1

    Kwa kweli vita nivikali usinyamaze mungu

  • @philispouline-wb7yl
    @philispouline-wb7yl Рік тому +8

    This song is just a blessing to me , Isaiah 41 :10 haleluhya

  • @WaidaSalim-p4m
    @WaidaSalim-p4m 25 днів тому +1

    Mungu nikila kitu kweli😂😂