Martha kwakweli umenigusa nilitukanwa na binti fulani aliniambia maneno machafu sana but nilimuomba mungu nikasema mungu msamee kwasababu hajui atendalo,kwakweli nilinyamaza kimya nikaonekana sifai
Kama sisi maboc wetu wanatutukan mpanka wanatupiga ila tumevumilia mpanka tumefukunzwaa mungu naomba unipatie kazi yoyote. Ilii anione bila yy kuwa nitaishii
Wow Asante sana sis Martha so true unanisadia sana najijua najua I have a bad side so.Mungu nifundishe kunyamaza na nipende watu wote
Asante Dada kwa mafundisho, nakupenda mnoooo huwa nataman hata Nikuome uso kwa uso nizungumze japo na ww. Huwa unanifundisha Sana hasa kwa nyimbo zako
Tunakupenda Wewe sana watu Wa ug 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬Mungu akubariki 🙏🙏🙏
Amen ahsante Sana Martha mafundisho yako yananibariki Sana na yamenipandisha kiwango Cha juu sana.god bless you so much
Asante sana martha kwa hakika mawaitha yako pamoja na nyimbo zako huwa inanitia nguvu barikiwa mtumishi wa mungu.from kenya
Martha kwakweli umenigusa nilitukanwa na binti fulani aliniambia maneno machafu sana but nilimuomba mungu nikasema mungu msamee kwasababu hajui atendalo,kwakweli nilinyamaza kimya nikaonekana sifai
Ameen nakupend huwa na barikiwa sana na nyimbo zako barikiwa Dada Martha
Asanti sana sister Martha hii inanisaidia sana asanti Mungu akubariki i love advice 🥰🥰🥰😍😍😍 my role model
Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwakweli nmepata kitu hapa 🔥🔥🤲🤲 Mungu nfundishe kunyamaza
Wow Sister.Martha Asante mama umenifinza mengi Mungu nifiundize Kunyamaza Roho wa Mungu nifiundize Kunyamaza
Asante dada am in saudi end am blessed
Amen thanks for the message may God bless you my dear sister Martha
Beautiful lady good words blessed songs
Amina Martha Nakupenda Sana Na Nakuombea sawa kwa Kuwa Nyimbo Zako zimekuwa Faraja kwangu na Kusonga Mbele kwa Ushindi❣️🙏
Nimebarikiwa sana. Kwakweli dada nimeskia. Asante kwa shauri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Thnks martha for u advice may. God bless u am vivian from kenya thank u very much i love u
💖much love from kenya Martha💖💖
Amen kwa mafunzo mazuri ubarikiwe nawe pia🙏🙏wlcme from to Kenya martha
Martha nakupenda mam yanguu na mimi natak mungu anifunze kunyamanza
Na Martha ww n mwanamke mwenye hekima🥰🥰🥰
Ameeen..ubarikiwe pia dada martha kwa ujumbe mzuri hapa kenya tunakupenda sana
Depuis Togo asanté dada Martha
Amen and amen sister in Christ Jesus. Powerful message great minds
God bless you all the time
Thank you so much Martha Mwaipaja... you've made me learn something great 👍
Asante Sana DADA Martha,nakubali Sana utendakazi wako,🇰🇪
Natamani kumshirikisha dada yangu katika album yangu japo ata wimbo mmoja; Naomba mwenye namba ya Martha anitumie please
Ameen🙏🙏🙏 mungu akuongoze hatua kwa hatua
Thank u dadangu.....naina kesho.... Barikiwa zana.
Nakupenda sana dada martha, sijuagi ni kwann lakn Nakupenda tu dadangu
Amen be blessed. I say umegonga ndipo mwenye sikio na asikie.
Mungu akupe maisha marefu mama
Wow wow aise ushauri mzuri asante mom kwa ushauri wako barikiwa sana
Haleluyaaa mungu akubaliki Kwa ujumbe huu
Amen mtumishi wamungu
Lovely,god bless you Martha from Zambia.
Martha nakupenda sana
Amen mchungaji ubarikiwe pia, nashukuru sana Mungu azidi kkuinua
Thanks Martha. Am blessed.
Amen nimejifunza kitu dada martha
Thank you sister Martha for a wonderful advice, may God bless you more
Asante kwa mubiri amen👏🇨🇩
Mungu akuinue ufike mbali nakipindi chako auushauri
Amen 🙏🙏 sister martha kwa ushauri wako
Asante mum kwa ujumbe mzuri🙏🙏
Asante kwa kunena nami barikiwa ❤
Ubalikiwe mtumishi wa Mungu
👏👏👏❤️❤️😍👍Asante 🙆♀️👏🇧🇮🧕 Nakupenda sana dada 🇧🇮👏👏😢😢
Ni kweli. Kujizuia Kuna faida zake . Asante Sana mammy
jah bless you martha
good advive indeed
Umenivuza sana Dada yangu barikiwe saidi
Love you... Bentat Kenya
Amina...mama barikiwa..nimepata funzo la hekima..🙏🙏
❤❤ perfect said Martha
Amen 🙏🙏 barikiwa Sana kwa mafunzo
I love you kwa sababu wewe ni mnyenyekevu benta
Amina sana dada nakupenda Mungu azidi kukuinua,
When I look at you I see blessings in abundance,,,, kindly organize you visit me in Kisumu, Kenya🇰🇪
Amina nimejifunza mengi kutoka kwako
Najifynza ku pitia wewe dada hakika mungu anakusudi
Nimejifunza kitu dada ahsante sana
Much welcome mama I love you alot ❤️ each
Ujumbe mzuri Mungu azidi kukubariki
Kama sisi maboc wetu wanatutukan mpanka wanatupiga ila tumevumilia mpanka tumefukunzwaa mungu naomba unipatie kazi yoyote. Ilii anione bila yy kuwa nitaishii
God bless you. God loves you
Ubarikiwe mtumishi Ila naomba uwe unakaa
Amina ubarikiwe mutu wamungu
Amen asante dada nakupnda cana ❤️🇧🇮
🤲🤲🙏🧎♀️
Barikiwa sana Mtu wa MUNGU
Barikiwa sana dada
Lovely dear
Asante, ubarikiwe. Nimeelewa kitu.
Thanks sister for your advice
Nitajifunza kunyamaza 🙏
Nikwel MUNGU akubaliki sana
Wauu after long time ⌛nimeku miss aki ,anyway nashukuru kwasababu ya mafunzo yako ,na ni ukweli kabisa
Barikiwa Sana....
True sister be blessed
True indeed be blessed 🙏
Asante sana Martha
Amen to that point God bless you
Amen thank you mum
Asante Kwa mawaidha yako
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 ❤️
Love you 💕
Amen asante
Much love 🙏🙏🙏
Much love mamaa♥️❤️
Amina mtumishi wa Mungu🔥
It's true, God bless you
Dharau nimbaya sana tujtaidi kuwawanyenyekevu
Ameeen!🙏 Kweli kabisa God bless you 🙏🙏🙏
Amina mtumishi
Ubalikiwe
Is true lakini unafanya vizuri Sana kwa ngoma yako
Ameen, absolutely it's very true dear 🙏🙏
Napenda mafundisho yako sana
Great information
Nakuwomba namba yako dada
Amina mafunzo mazuri
Your a teacher and preacher
Amen❤
Amen love.