SIMULIZI YA GEREZA LA SIRI 3 I SIMULIZI YA KUSISIMUA I
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Kwa simulizi zaidi subscribe channel hii Ya MwambaFix Ili Kupata Simulizi Za Kusisimua
#mwambafix #simulizi #simulizizamaisha #simulizizamapenzi #simuliziyakusikitisha
Wow simuliz nzur sanah hii nimefatilia mwanzo mwsho upo vzr mwambafx
🔥🔥🔥
Waaah story tamu ya khsisimua 😢😢😢 nimepata tab polen
❤❤❤
Wa kwanza hapa jamani
Broo mimi naomba nikushauri kitu naomba uwe unatoa story back to back na ikiwezekana ziwe hata tatu tofauti Kwa siku Kwa style hii itafanya account yako kuwa kubwa na itakua chap Kwa sababu ya kipaji chako kikubwa bigup sana broo unajua sana na sisi wengine tuendelee kushare utakuja kunishukuru baadae
fanyeni kushare na siyo atoe story bac to back , mbona mnajiangalia nyinyi tu na siyo kupush kazi za mwambafix
@@NeemaAnthony-pm4glYuko sahihi, sisi tuendelee ku share na yeye atoe story back to back, hii itafanya account ichangamke na ikue.
❤
❤love so much Mung akubarik😊
Ndio maana unaitwa mwamba❤
Asante kwa simulizi nzuri
Story kaliiii
Kweli ukiamini kila kitu kinawezekana🙏🏻
❤❤🙏👏👏
Shukari kwa Burdani na mafundisho mashallh
Waaaaao
👏👏
Kaz mzur
Hii simulizi kwani inakuja kila baada ya mdaa gani maana tamu kweli
Hii ni moto 🔥
Wow! What a superb story...my good friend
kaka unajua sana kak
fanyeni kushare hizi kazi na siyo kuraumu tu
Nakukubali sana kaka
Asante sanaa ❤❤❤❤❤❤😂😂 from 🇮🇹🇮🇹🇹🇿🇹🇿
Shukran sana
Waooooh be blessed brother
Mnusuru siri mwambaa😢
Mbona sielew
Anza mwanzo utaelewa
🎉🎉🎉🎉🎉
Napenda sana simulizi yako najifunza mambo mengi
Big up san bro umetisha kinoma nom Ungekuw na acount ya Tiggo pesa au M pesa ningekutumiy ata Shiling 50000 Waching from 🇿🇦
Kiukweli najifunza mambo mengi kupitiya simulizi Zako ninapo sikiliza hata nikiwa na stress inakwisha
🫡🫡🫡
Nina sikiliza kila simulizu kutoka USA tuma nambar nikupe soda kabla ya mwako please +1
🔥🔥🔥