@@mwambafix5252 hata wew una kipaji kikubwa sana ,tena naona kuliko hao niliwasikia wa saa 3 na nusu,unamudu jukwaa lako vizur sana saaana,na kaz zako hakuna anayeweza hata kuchakachua
wuuuewee mm ndio uyooo,,from 🇰🇪, but it means Azuu is also an hermaphrodite(Huntha),,bt to be an hermaphrodite is not a joke,,infact the body will be active in an organ that you didn't expect to be active in your body.....
We jamaa unajua sana!! Ila watu wako awakusupport wanakusifu tu na kukulaumu kuwa unachelewa kutoa episod lakini awakusupport hata kwa kushare
Makubwaaa 😮
@@EvaAden-n9x 😂😂😂
Mashaallah nimewai wa tatu
Wakwanza
I'm the first one in this story mpyaaa kunthaa karbun tuenjoy❤❤❤❤🎉🎉🎉
🎉😂🎉🎉sawa
Mwamba umetisha!!!
Wow 10/10
Pole sana mwamba fix
Daaaaah,simulizi hatar sana
To be continued
Duuu jamaa anaenda kubikiriwa 😅😅
😂😂😂
Wakwanza leoNipeni like zangu tano tu zinanitosha❤❤
Good sana mwamb
Hongera kwa kuwa wa kwanza kuskiliza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@@FrankMville asanteee sana
Mapema leo 🥰❤❤❤
Mmmh htriii
Saaana
Mashaalaa nimepata wa 6
unajua sana kaka ur the best mwamba kama jina lako wewe nimwamba
Kaz zake ni imara kama mwamba,hazifai hata kuiga
Asante sana mwamba fixstory iko very intresting God bkess u mwamba fix
Hatar na nusu ndani ya khuntha by mwambafix
Mhh!! Mwamba hii kitu ni best yan kama hujatupa part 2 bas umetukatili sana big up bro
Jamani cjachelewa sana ❤❤❤
Kazi nzuri sana,kazi za mwamba zote nilizosikia si za kitoto bhana
💯
Daaah hii Kari kuliko wazeeee
Kaka hii co poa katk zote nilizo ckiliza hii no 1
Mimi naenjoy jmn your voice
Ni nzur sana mwamba ongeza muda angalao kila epsod iwe na saa 3 na nusu
Hahaha hiyo kitu haiwezekani wanaofanya hizo saa tatu nawasifu vipaji vyao ni vikubwa sana saa tatu
@@mwambafix5252 hata wew una kipaji kikubwa sana ,tena naona kuliko hao niliwasikia wa saa 3 na nusu,unamudu jukwaa lako vizur sana saaana,na kaz zako hakuna anayeweza hata kuchakachua
iko vzr mkuu
Umetisha
💐💐
wuuuewee mm ndio uyooo,,from 🇰🇪, but it means Azuu is also an hermaphrodite(Huntha),,bt to be an hermaphrodite is not a joke,,infact the body will be active in an organ that you didn't expect to be active in your body.....
Wooow😘😘😘🥰
We jamaa unajua mpka unakera
Mwamba tunasubiri wiki nzima unatu kill kimya kimya 😢😢😢 sio sawa hii😢😢😢
very interested
Ni zur san
Week Moja na nusu mbn mbal sana mwambafix 😢
😂😂😅
Hii imekaa poah leta mwndelezo brooh
Mwamba n noma❤❤❤🎉
Me bora tu ni like inatosha😂😂
😂😂😂swa pokea zangu
Tayar ushacoment
@@RahelIbrahim-id2li ndy maana kuna watu wanalala humu kila siku wakwanz wao tu mpak tumechok😂😂😂
@@Michaelimichaeli 😂😆😁wasema kulala wenzio wanakesha balaa😂😆😁😁🤗
@@cleophaxgeremy2148 kukesha tena mhhh😂😂😂😂😂 kweri mwamba fix
Mmmmh we baba ni kiboko 🙋
Tupopamoja mwambafix ❤
Uwiiih wiki na nusu daaah! Moyo wangu upate uvumilivu, niendelee na Chumba namba 47
😅😅😅
Aisee kali ya mwaka
Nmejitaidi kufka mapema
Ewaaaaaa🎉 anan6anduliwa mtu kesho kutwa😂😂😂😂😂
Nyumb namba 47 ya 13 bado eh😊mwamba n mwamba tu👊🏻
Wow, nzuri
Asante sana mwamba 😊
Nice one Mwambia
Kumekuuuucha uku jamani njoeni
Boss wng unauuaa vibe maswala ya siku tumekubal unaleta week oyaaa weee tuskerane rekebsha taratbu zkoo aff tuheshimianeee bro
😊😮😮
❤❤❤😊
❤❤❤❤
Mb zitaisha mpaka siku ukiacha kusimulia maaha hadithi zako kila neno lazima utamani neno linalo fata
Bro unabalaa
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Yani haya maisha yana siri sanaa 😢
Siri kubwa sana
Leo mwamba ujaimaliza vzr je akipata ujauzito jamii itawachukuliaje?😂😂
Sasa siku Chube akija kubeba mimba ya Azuu itakuwaje kwa jamii jmani mbona mtihani huu😢😢
Na kwani hao madaktari hawawezi kuchukua ya Azuu aweke kwa Chibe na ya Chibe iwekwe kwa Azuu😢😢
Story ni ya kusisimua saaana Sasa mda wa kujifungua Mr chube cjui itakuwaje?
❤❤