Wanawake tuna mitego yetu tunatembea nayo😅ila kijana kanitoa ishani kabsa alikua mzur to cjui kwa nn kashawishika na hiki ktu katkat ya mapaja😢😢mm ckitak tena😅😅nan nimpeeeeeeeee😂😂😂 shukran sana simulizi mix 🎉🎉
Eeeeeeewatu Mila umu ongeya D'Oen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Inchi Max anayiuzisha kwa kitumbuwa wanaume munakwama wapi nimutihani tuomuombe Allah uuuuuiiiiiii Ila mutashinda Max Max pubafu zako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Max kufungua akili uko na cobra kwa nyumba kwann hufungui macho jaman Bilal siku xote ako makini kama makini yenyewe nasidhani kama anamwanamkee lkn ww genye zimekutawala huexi zibiti hisia zako hujui nimtegoo huo waaaa 😂😂😂
hana cha gundua chochote naona safari hii tumempata mpiganaji wa hovyo sana yani hana hata upeo wa kuchanganua mambo yupo hovyo sana huyu max anafanya niichukie hii simulizi aisee
Tupo macho na jiji la kamari❤❤❤🎉
Wouw niko kama kawa
Wa tatu leo😂😂🎉🎉maua yako kwa kaka D'oen
🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Wanawake tuna mitego yetu tunatembea nayo😅ila kijana kanitoa ishani kabsa alikua mzur to cjui kwa nn kashawishika na hiki ktu katkat ya mapaja😢😢mm ckitak tena😅😅nan nimpeeeeeeeee😂😂😂 shukran sana simulizi mix 🎉🎉
🔥🔥
Pamoja sn❤❤❤
💃💃💃 Max jamani kitumbua kina kusalitisha ww😢
Eeeeeeewatu Mila umu ongeya D'Oen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Inchi Max anayiuzisha kwa kitumbuwa wanaume munakwama wapi nimutihani tuomuombe Allah uuuuuiiiiiii Ila mutashinda Max Max pubafu zako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwa jnc alvyoanza kuongea bla kutafakar huwez amin kama Co kwel 😢😢😢
🔥🔥🔥🔥🔥🔥👮
❤❤❤❤
Ila Brandina 😢😢😢
Waziri kama umeamua kusema ukweli mbele ya Rais bas tutashinda🤝
Asante sana wote
Inauma na kuskitisha kuona wanaume mnaweza fanya mambo ya ovyo Sana kwa ajili ya kitumbua. Ndio maana wengine mnasahau hata wazazi wenu
Brandina ulaniwe Birali unamupa Siri uyo muropokaji EMUNGU unamubeba Birali kwamutowa bitumbuwa tunakwisha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Maaanenaaaa iki kitumbua sijui kimewekwa sukari ya aina gani wallah maana mijanaume inaropoka tu😂😂😂😂
Hapa max anatumaliza 😢
Tunazidi kusonga mbele Jiji la kamari
𝑷𝒊𝒂 𝒏𝒎𝒆𝒇𝒊𝒌𝒂❤❤❤🎉🎉
Tukeepo
Max kufungua akili uko na cobra kwa nyumba kwann hufungui macho jaman Bilal siku xote ako makini kama makini yenyewe nasidhani kama anamwanamkee lkn ww genye zimekutawala huexi zibiti hisia zako hujui nimtegoo huo waaaa 😂😂😂
Brandina mutuwagucomwa utupu wake unareta bara ebu Max shituka basi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nna mashaqa na wazir mquu jmn mbona qm anacheza na aqili ya rais
max mjinga sana wewe mbwa wewe uchi umekuponza mjinga kabisa wewe

Typo pamoja