Pamoja na kuwa Hadithi nzuri sana! Ila Kipaji chako kinachangia kuifanya Hadithi hii kuwa ya pekee sana! Ni uzoefu fulani ambao unawapata Watu katika safari ya Maisha. I wish kila msomaji apate somo la kujifunza maishani. Mungu akubariki sana!
Poleni sana napia musiamini watu kiolelaolela vijana musikue na tamaa musilishiriki sana tumbo vifunze shida usijifunze raha wala usipende raha zadunia tafuta haki yako hata km ni kwashida iko siku mungua atakuokoa napia jifunze kumuomba mungu na pia moyo wa kusubiri subira uvuta kheri
Asante sana Anko J kwa hii simulizi nzuri yenye mafunzo tele, at the same time napenda kumpongeza kijan Adam kwa ujasiri wake,angekua muoga hawangetoboa. So God bls u so much n keep on keeping on🤗
Asante sana anko jay , , huwa nafarijika sana hasa ninaposikiliza simulizi kutoka kwako , , kwenye haya maisha tunaitajika kuwa wavumilivu sana hususan kwa ndugu wetu wakaribu, , , Adui sio mtu kando bali ni watu wetu wa karibu
Mtihan mzito sana shukran sana msimuliaji Anko Jay na Simulizi Mix yote kwa ujumla waandishi pia hongereni sana kwa kutuelimisha kujifunza na kuenjoy Kweli baada ya dhiki ni faraja AlhamduliLLah
Maisha ni magumu sana Njee lakini tumejifunza sote kwenye simulizi fupi hili. Basi ni bora kuliko kubakiya nyumbani na kuanza kujifunza WIZI, maunga na UJAMBAZI.. Tujifunze...na tusiwe na TAMAA..
Wale wa kuchelewa kuangalia huku tukisoma comment tujuane Kwa like ili tuende sawa.... Asante sana ankoJay Kwa simulizi tamu ya kusisimua ubarikiwe sana much love from 🇶🇦🇹🇿♥️♥️
Kwakweli ila funzo ni kuto kata tamaa alitoka ndomana akapata ila pia kutoka huku mmmh tuwe makini tunapo enda pia dunia ime isha hii matapeli ni wengi sana siyo kuwa ulaya ndo kuna maisha mazuri ila tupambane❤❤❤❤ nime lia ila mwisho nimefurahi
Asante sana kwa simulizi nzuri yakusisimua Ngoja niseme kitu uyu mkaka alitamani aje kwa joe Biden 🇺🇸🇺🇸 alishikwa natamaa kidogo afe kisa marekani hata na mimi Niko marekani naona dunia nimoja tuu duniani kwote nishida
Kiukweri vijana wengi au watu wengi tunatamani maisha ya mbele hakuna mtu asiye penda maisha ya majuuu 😂ila sasa tunaenda kwa njia gani 😢daaha hata mimi natamani niishi ughaibuni maisha ya tz 🇹🇿 ya kiwaki sana 😅
Jmn me mpaka nimelia😭😭😭 juu ya mkasa huu akiamungu umenigunza xana tena xn pia umenipa nguvu na moyo wa kupambana na kujua kuwa mafanikio yapo na huja kwa wakat ambao Mungu amekupangia
Yan unaweza ukamuona .anatembea kumbe moyon kabeba mengi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Pamoja na kuwa Hadithi nzuri sana! Ila Kipaji chako kinachangia kuifanya Hadithi hii kuwa ya pekee sana! Ni uzoefu fulani ambao unawapata Watu katika safari ya Maisha. I wish kila msomaji apate somo la kujifunza maishani.
Mungu akubariki sana!
2:48:58
@@calebmaduhu4901😅😅ó
Poleni sana napia musiamini watu kiolelaolela vijana musikue na tamaa musilishiriki sana tumbo vifunze shida usijifunze raha wala usipende raha zadunia tafuta haki yako hata km ni kwashida iko siku mungua atakuokoa napia jifunze kumuomba mungu na pia moyo wa kusubiri subira uvuta kheri
Lkn pamoja n hayo yote yame kutengenezea njia zuri n kuwa n maisha mema badaye n katika maisha haya lzm tupite njia zingine ndio tufie baraka zetu
Whaaah!...Ama kwa kweli ni story ya huzuni sana ila nimejifunza ya kuwa umoja wa kushirikiana ni jambo muhimu sana na pamoja na uvumilivu...😢😢😢😮❤
Anko jay kwema napenda sana hadithi zako nzuri nifanyeje niwe napata hadiht zako tamu
For sure nimeenjoy ,pakulianimelia 😭🇹🇿🇴🇲pakucheka nimecheka ila yote kwa yote nimejifunza Mengi sanaa hakika Dunia Duara.Asante sana simulizi mix
Hata mie hapa ila nimejipatia funzo kubwa kupitia hii simulizi .❤❤❤
Kila penye uzito na wepesi unakuja Mola akupe ujasiri na imani pia ila simulizi yk ni bombaaaaa👌❤
😂😂😂😂😂😂😂 huyu ndo voice actor hajawai kukosea mahari much love 🥰🥰🥰🥰
Eeee kweli ni yakusisimua Daah
Asante sana Anko J kwa hii simulizi nzuri yenye mafunzo tele, at the same time napenda kumpongeza kijan Adam kwa ujasiri wake,angekua muoga hawangetoboa. So God bls u so much n keep on keeping on🤗
Jay I will all ways take my time for you
I’m Congolese from USA
North calorina Charlotte Queen City
One love Samuel.. Much appriciating time you spend listening our stories..
Ffhg for gaDẞzxxbvvszxzbzxzvxcvzcxxxzZvzXcsczcCxczxxzxadXzdzgcdddsZfccdhszsaadzvvbbbbcbbbxdvxzvvzgfzfsßxffdßZhvsx FS cxzAD1WWWQSDSSR@@SIMULIZIFUPI
Asante sana storry inamafunzo
Maisha. Safari ndefu kuna muda nawaza hata kufa. Kuliko mateso haya ya Duniani. 😢😢
Kufa ukaone Cha mtema kuni kwa Sir god😂😂
Kufa ukaone Cha mtema kuni kwa Sir god
Kweli mwenzang
Kwa kwel nu nzur❤❤❤
Simulizi safi sana yenye elimu kwa wote ..asanteni sana
Asante sana anko jay , , huwa nafarijika sana hasa ninaposikiliza simulizi kutoka kwako , , kwenye haya maisha tunaitajika kuwa wavumilivu sana hususan kwa ndugu wetu wakaribu, , , Adui sio mtu kando bali ni watu wetu wa karibu
Story nzur saaaana inamafunzo, kila mafanikio lazima yawe na story ya misukosuko yuma, 😍😍👍🙏
Ahsante ANKO JAY
Hongera saaana AANKO JAY
Asante sana ASHA.. Burudani iendelee
Anko jei simulizi ni mzuri sana harafu icho kipaji chako cha usimuliaj yaani sijui ata nikisifie vp
Mchumia juwan ulia kvulin nipen like zangu
Pole kwa safari ya matatizo
Daaaah anko j hiii simulizi nimeitafuta xana
Hii hapa kaka... Enjoy
Nxuriiii nimejifunza
Waaa story nzuri yenye mafunzo walai nimekumbuka mpenzi wangu nilie mpoteza katika mazingira kama haya aki it's too pain😥😥
Pouleee kipenz. 😢😢😢
Ok nimepata jibu😊
Good story my brother, ''k''
Tam sana. hii.asante. anko j
Mtihan mzito sana shukran sana msimuliaji Anko Jay na Simulizi Mix yote kwa ujumla waandishi pia hongereni sana kwa kutuelimisha kujifunza na kuenjoy
Kweli baada ya dhiki ni faraja AlhamduliLLah
Nikweli na mm nimejifunza kitu sanna.
Napenda sana simulizi km hizi za kujifunza .
😄😄 anko jay nakukubal mnoo, unajua san, simulizi bhna ukisimulia wew Anko jay Huwa naenjoy mnoo
Kweli kwenye maisha unatakiwa uwe na subira ndio kitu nilichojifunza asante sana Anko j umenipa somo Mjomba sitokurupuka tena🙏🙏
mtunzi anajua
Asante kwa simulizi nzur 🙏🙏nimajifunza kitu tushuku kwa kipato tunachokipata maana mungu ndie mwenye kutupa riziki tuwacheni tamaa.
Amen
Asante kwa simlizi yenye mafundisho
Pole sana kaka mwenyezi mung akutie nguvu
Asante sana kaka matatizo haya kimbiwi tupambane tukimuamini mungu usichoke kutupa elimu
Nimejirunza mengi kwakweli asante saana Anko jey one ♥ 👌
Mungu yup na ww .nijalibu lako umelipita
Simulizi nzuri yenye mafuzo kweli matatizo hayakimbiwi
Daaah Hii simulizi imenilaza san Macho inahuzunisha san Mwenyezimungu ni mwingi wa rehema mwenye kurehemu daaah❤❤❤
Asante kwa simulizi nzuri Anko J imeniiiza na kunichekesha
Asante mr anko jay
Kwasimulizi nzuri na yenye mafunzo chem chem
Pole sana mungu yupo ety
Cimliz nzuri
Kwahiyo unamtt na delira Adam hongera
😭😭😭Tupambane na matatizo yetu na sio kuyakimbia nimejifunza🔥♥️
Maisha ni magumu sana Njee lakini tumejifunza sote kwenye simulizi fupi hili. Basi ni bora kuliko kubakiya nyumbani na kuanza kujifunza WIZI, maunga na UJAMBAZI.. Tujifunze...na tusiwe na TAMAA..
@@awatifalghanim1106 nikweli
Kabisa
Yani iyi simulizi nimejifunza kabisa 🙏🥰🥰 from 🇧🇮🏥
Mmmmmh!Anko jay hunafarija nikiskia simuliz kutoka kwako🥰🥰🥰🥰🥰
Hii simulizi ni nzuri sana na yenye kufundisha
Anko ni mmoja tu ambay ni Ankojay a.k.a Anko pesa 😘
Hm Misha haya shida sanaaa
Duh pole sana Adam na hongera Sana,🔥😍😍
Kak we mkaliii sanaa
Lífe😢😢😢
Delila jamani ❤❤🎉
Hakika inafunzo kubwa lkn nilichojifunza mungu akupi mtihan pasipo na sababu hiyo ndio ilikuwa njia yk ya kutoka kimaisha asante anko j
Wale wa kuchelewa kuangalia huku tukisoma comment tujuane Kwa like ili tuende sawa.... Asante sana ankoJay Kwa simulizi tamu ya kusisimua ubarikiwe sana much love from 🇶🇦🇹🇿♥️♥️
Dah iko poa sana asee
Kwa kweli simulizi zako Zinafundisha
Daaah umetisha xaan anko simuliz nzurii mnoooo daah mung azid kukibariki kipaji chake🙏🙏🥰🥰🔥🔥✌️✌️
Asante Sana kwa simulizi nzuri 🙏
So sad lkn nimejifunza san simuliz nzuri san saf sana ancle J
Pole Adam kwel umepitia mengi 😪😪but mungu hajawai kukuacha🙏🙏🙏🙏
Asante sana Anko j barikiwa umenikumbusha kuto kata tamaa kwenye maisha nitazidi kupambana na si kukimbia 👌💪💪
Ongera sana broo
Jamani simulizi nzuri .. sema na falling asleep haraka kila nikisikiliza then narudia tena..
Mke anaeish na anko j ana raha una sauti tamu ya nyege🥰🥰🥰🥰😊😊
Astaghafir llah
Kuwa mke wake ndio utajua haujui
@@ZamZam-mk4xu😅😅 kwakweli
😂😂😂😂😂 weee sikurahisiii😅
@@ZamZam-mk4xu aje tu🤣🤣🤣
Good man and strong man
Nimejifunza ki2
Listening to this while at work and also On my way back home! First time on your channel!! Love it! All way from USA kwa Trump 💪🏼 🇺🇸
Dah! Hv kweli unaweza kupita bila comment kwa story hii hapa! kwa kweli story zako ziko vizur sana dah! imeniumiza lkn imenifunza thanks
Amakweli ndunia nichugu unapo ifanya chugu lakini ndunia mwalimu mungu akikutaka utapitia yote lakini siku baada ya siku utaagukia mikononi mwa mungu
Kwakweli ila funzo ni kuto kata tamaa alitoka ndomana akapata ila pia kutoka huku mmmh tuwe makini tunapo enda pia dunia ime isha hii matapeli ni wengi sana siyo kuwa ulaya ndo kuna maisha mazuri ila tupambane❤❤❤❤ nime lia ila mwisho nimefurahi
This story is very educative. I like it. 🇰🇪
Dah stor nzuri Sana kaka mungu aku bless Sana kaka
Sema hawa huwa hawakosei
Hii stiry ni nzuri sana
Imenifungua sana
Aaaa mwanzo nimeumia nimelia lkn mwisho nimefarijika
Asante sana kwa simulizi nzuri yakusisimua
Ngoja niseme kitu uyu mkaka alitamani aje kwa joe Biden 🇺🇸🇺🇸 alishikwa natamaa kidogo afe kisa marekani hata na mimi Niko marekani naona dunia nimoja tuu duniani kwote nishida
Huduma za kijamii kama matibabu ni nzuri kuliko bongo marekani ni marekan mm mwenyewe natamani nije hata canada huku kazi hakunaaa watu wamesoma
Tena wengine hata mbuzi wanashindwa kununuwa taabu tupu.
Asante sana ank j nimejifunza sana😭😭
Super
Yan Mungu mukubwa kabisa
Wish 🤞 ndugu zetu wange jua life enje ya Tanzania. Nishida too better back home motherland. Yote hii ni shida tupu.
Thank you uncle Jay 🙏🏽
Simuliiz, mzur
Jjji
dah hongera sana uncle j Simulizi nzuri inafundisha
Inafundisha pia inauzun sana bc mungu atupe mwisho mwema
Asante Kwa Simulizi Tamu Kabisaaaa Kwa Umeipatia Haswaaaaaaà
Kweli matatizo hayakimbiii lkn kukimbia pia kumemsaidia pia ingawa amepitia changamoto nying sn🙏🙏😭😭🤣🤣 nice story 🙏 asntee uncle j
Shukran sana Anko kwa simulizi nzuri yenye mafunzo na kusisimua
Mafudisho makali sana hiyi kweli
Asante sana kwa simulizi nzuli kama hii
Daah imenigusa😭😭😭
iko poa sana anko j
Ama kweli mchumi juani
hulia kivulini.❤❤❤
Kiukweri vijana wengi au watu wengi tunatamani maisha ya mbele hakuna mtu asiye penda maisha ya majuuu 😂ila sasa tunaenda kwa njia gani 😢daaha hata mimi natamani niishi ughaibuni maisha ya tz 🇹🇿 ya kiwaki sana 😅
Acha tamaa ohoooo 😂😂 haijalishi njia
Hongera sana simulizi nzuri , brother unaye simulia pia unakipaji sana barikiwa tupo pamoja
Simulizi tamu jay
Asante Sanaa.. ❤️❤️❤️
Asante kwa simulizur nimejifunza kitu
Jmn me mpaka nimelia😭😭😭 juu ya mkasa huu akiamungu umenigunza xana tena xn pia umenipa nguvu na moyo wa kupambana na kujua kuwa mafanikio yapo na huja kwa wakat ambao Mungu amekupangia
This story its so amazing but other side it's sad again all in all !we have learned something
Nimejifunza sana
Everything is possible Adam
Duuuh pole ndugu yangu ndo maisha
Bonge la simulizi aisee❤❤❤❤