Eeeh Mungu wangu 🙏nataka kukujua zaidi na zaidi 🤲nataku kuendanisha na wewe .unajua uthaifu wangu na wamuoyo wangu niepushe na tamaa.Nifanye kiumbe kipya nifanye mtu wako wa karibu na unitumie mimi mwanao kama ulivyo mtumia Ibrahim 🙏
Hakuna uongo hapo wachungaji mashekhe hizi familia mmh dunia ina siri kubwa makanisa yana siri nyumba zina siri watu wana pia matatizo ww kama huhawahi fikwa shukuru mzimu ipo pia uchawi upo
Mchungaji hata mm nashangaa etii kijana ninabii yani mchungaji amefichaa makucha yake nabii wauongoo huo kumbe ninduguu sasa mnafanyaa miujiza yanguvu zagiza
Mwandishi unajisahau..mwanzo ulisema kuwa familia ya Daniel ni ya kikristo, kanisani kila jumapili wakati wanataka kuoa...sasa unasema Daniel hakua mtu wa kwenda kanisani..kipi ni kipi?

Amen 🤲🤲
Amen and Amen
@@stellajohn5647 amini kwa sote🤲🤲
V
Aminah
Woow! I'm no.1 thanks simulizi mix 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇧🇪🇧🇪🇧🇪
Mungu atuepushe nahaya maisha yaajabu duu kulalla na maiti
Wou mungu wangu tusaidie Ili tuwese kufahamu saidi away watumixi waukweli
Anko jj 🙏🏻 san kwa simuliz hii nzur
Daaah kumtegemea Mungu kuna faida sana jamani kuna mila zinatesa watu jamani
Ndio maana siku hizi manabii wengi kumbe wengi ni wachawitu.
Hao wazazi wanasiri kali sana yani tendo landoa mpka mpate ridhaa kwao??mana yakwaza walichukuwa towel zenu sijui wamezifanyia nn,unabaka mwenga wako kweli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Amejiua mana hiyoo aibuu angepitia nayoo wapi
Dunia ina mengi hii mtihan mung atusalim salam na kizazi chetu inshaallah
Qwenye maisha kilamtu ana istoria yake ilahii inasikitisha namafunzo meng
Duu ulale namaitii mbona mnaitesaa maiti ushirikina sio dili jamani
Mmadanganya dini kwamasilahi yenu binafsi ya ushirikina??Mungu anawaona
Kweri mbaya Sana ...duuh
..binti wawatu mbna kaonewa
Jamn mungu atusaidie
Hakuna uongo hapo wachungaji mashekhe hizi familia mmh dunia ina siri kubwa makanisa yana siri nyumba zina siri watu wana pia matatizo ww kama huhawahi fikwa shukuru mzimu ipo pia uchawi upo
😜😜😜😜😜😜😜😜yale yale ya mtoto waajabu wakimbia nyumba unalala guest asubuhii wajikuta kwaroom yako
Simulizi nzuri
E
Mmmmmh kiukweli huyu mchungaji ameniacha hoi mwenzenu 😂😂😂wachugaji kama hawa wapo kweli?
Ndio tena wengi tu 😂😂
Tunaomba part 2 ya jini mahabaa
Asante kwa simulizi tamuuu anko jay
🎉🎉🎉🎉
Ndio maana MUNGU ana2ambia 2cjdhulu wala kudhulu wengne il 2cfke huku 😭
Kazi ipo
Kuna nyumba zina siri hizi nyumba nyie. Mmmh
Nzuri
Simlizi ya uwongo mtupu
Vya uwongo ivyo vyote 😅
Sumi
Mchungaji hata mm nashangaa etii kijana ninabii yani mchungaji amefichaa makucha yake nabii wauongoo huo kumbe ninduguu sasa mnafanyaa miujiza yanguvu zagiza
❤❤❤👌
🙏🙏🙏
To be continued
Anko J tuletee simulizi ya Taxi ya mauwaji
Mbona iko mda miezi tatu ila mm sijaangalia nitaangalia tuu
@@nurafedrick378 season 2 hakuna
@@paulinemutheu8165 yes hamna mybe atatuletea
Mwandishi unajisahau..mwanzo ulisema kuwa familia ya Daniel ni ya kikristo, kanisani kila jumapili wakati wanataka kuoa...sasa unasema Daniel hakua mtu wa kwenda kanisani..kipi ni kipi?
Ushasema ni family yao so maybe ni wazazi lkn co danyo
Kwa hiyo kuna wachungaji kama hao
Nzuri