Naitwa Moshi Mazoea naishi Msasani Moshi Kilimanjaro likini mzaliwa wa Kimanzichana Mkuranga Pwani. Ukitaka kufahamu mambo muhimu ya nchi+ Ulimwengu basi sikiliza TBC na ukitaka ngonjera basi sikiliza TV au redio nyingine. Hongereni Sana TBC.
Yeah kazi nzuri ila serikali iwe makini wawekezaji wengine SI wazuri wakiharibu kazi tukiwafukuza wanaishia kukamata ndege zetu ili walipwe kwa faida.tuwe makini sana katika msafara wa mamba na kenge wanakuwepo.
Naitwa Moshi Mazoea naishi Msasani Moshi Kilimanjaro likini mzaliwa wa Kimanzichana Mkuranga Pwani.
Ukitaka kufahamu mambo muhimu ya nchi+ Ulimwengu basi sikiliza TBC na ukitaka ngonjera basi sikiliza TV au redio nyingine.
Hongereni Sana TBC.
Hakika ni chombo chetu
Hongela sana nchi yangu tanzania
Hongera sana mama samia
🎉Utaweza sana kuongea dd ubarikiwe
Hongereni sana washirika wote kwa kazi nzuri.
Safi sana samia.
Kwani uzalishaji umeeshaanza?
🤜🤛
Mtu anawekeza halafu majitu toka TRA na TBS, OSHA, NEMC , Polisi, Fire na wengine wanapishana kila siku kuchukua rushwa.., kiwanda kisife kweli?
Aisee umenena ni kweli kabisa Tra,tbs na hao OSHA wapo mahususi Kwa ajili ya kuwarundisha watu nyuma hasa Tra na tbs
🎉
Yeah kazi nzuri ila serikali iwe makini wawekezaji wengine SI wazuri wakiharibu kazi tukiwafukuza wanaishia kukamata ndege zetu ili walipwe kwa faida.tuwe makini sana katika msafara wa mamba na kenge wanakuwepo.
Tuweke standard ya viwanda..,hào wanaeza jengea hata mabua
We Africa countries we need China we support China. China is our saviour. Karibu China Kwan ww huna mambo ya ushoga na usagaji
Jichanganye
Chinese. Ai. Sipendelei hata!
Unaijua china vizuri
@@magorymara5515 hawa watanipea tender?
✨️🇹🇿