𝗛𝗜𝗚𝗛𝗟𝗜𝗚𝗛𝗧𝗦: YANGA 1 - 0 SIMBA/ BALAA LA MAX NA PACOME ALIVYOITEKA SHOO NZIMA YA DERBY.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 163

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 2 місяці тому +14

    Yanga ni DUBWANA KUBWA SANA saivi.
    Yaani kufa lazime tu ufe ila kuna kila aina ya vifo.. #YANGA

  • @misambo7539
    @misambo7539 2 місяці тому +18

    Kwa kweli hata kama hatujui sheria za mpira lakini hakuna offside za namna hiyo 😢😢😢

    • @gililwise
      @gililwise 2 місяці тому +2

      Siyo off side maana amechukua mpira miguuni pa mlinzi wa simba miguuni

  • @JacksonMakalanga-hs8xy
    @JacksonMakalanga-hs8xy 2 місяці тому +20

    Bila refa kuwa na ujinga ujinga goal zilikuwa ni nne kabisa 💚🙌🇹🇿🇹🇿

  • @khantv3331
    @khantv3331 2 місяці тому +18

    Yanga's big fun's✊
    Just like here👍

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 2 місяці тому +31

    Pacome mchezaji hatar sana

  • @speciallvoice8091
    @speciallvoice8091 2 місяці тому +17

    Sema lefa kaizingua sana asitair kuchezesha mech zalig kuu afai ata kidogo

  • @rajabukamis9411
    @rajabukamis9411 2 місяці тому +8

    Ongera saana Yanga 🔰💚💛

  • @MauBonde
    @MauBonde 2 місяці тому +7

    Nimependa touch za maauzi ya haraka wachezaji wote big up niongezeeni umakini nawaona mbali kimataifa tukiendelea na mwendo huu.

  • @JacksonMakalanga-hs8xy
    @JacksonMakalanga-hs8xy 2 місяці тому +8

    Hawa waamuzi Jamani kwanini tusiwe tunachukua marefa nje ya nchi maana huku ni kuchoshana yanga bingwa

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 2 місяці тому +66

    JAMANI HIVI HIZI NI OFFSIDE GANI JAMANI AU MM NDO NAONA VBAYA AU SIJUI MPIRA DUH! HAYA BWANA TUTA KUTANA TENA KWENYE LIGI NA UYO REFA WENU MAKOLO

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 2 місяці тому +7

      Amna offside refa na linesman ni makolo awajataka. Kuona timu yao inapigwa 4

    • @ZuuMussajamanitnzania
      @ZuuMussajamanitnzania 2 місяці тому +1

      Refa alibeti

    • @Lakalhamdu
      @Lakalhamdu 2 місяці тому

      Hebu tizama katika clip hii ilipo fika 10:13 na tizama mkono wa azizi k na mpira ulikotoka, utagundua kuna kiungo kilikuwa offside

    • @Lakalhamdu
      @Lakalhamdu 2 місяці тому

      Na pakome wakati anatoa pass ya kwanza yule aliyeipokea hakuwa off side, lkn wakati pakome anaipokea tena alikuwa ashaingia offside, hebu tizama labda mmi ndo sioni vizur

    • @simonlukiko2850
      @simonlukiko2850 2 місяці тому +4

      @@Lakalhamdu KWA SHERIA ZA FIFA. MKONO AUESABIKI KAMA OFFSIDE KWA SABABU MTU AWEZI KUFUNGA KWA KUTUMIA MKONO TAFUTA GOOGLE UTAONA

  • @lubuvahussein5556
    @lubuvahussein5556 2 місяці тому +2

    Yan naangalia marudio mpk roho inaniuma Hawa waamuz sio kabisa!💛💚Daima mbeleeeeeeee

  • @flavianajohn5250
    @flavianajohn5250 2 місяці тому +9

    Kama umesikia mpenja akisema yanga ni mabingwa ngao ya jamii tujuane😂😂🤣🤣

  • @ramadhanitawaqal8958
    @ramadhanitawaqal8958 2 місяці тому +6

    Simba wanajifia Tu lkn wasimsahau refa amewaokoa Sana kiukweli walikuwa wapigwe 5

  • @oldtech8221
    @oldtech8221 4 дні тому

    Yanga team nzuri,Simba tunahitaji kujijenga sana ili kuweza kuwashinda

  • @AllyAmanzi-y8i
    @AllyAmanzi-y8i 2 місяці тому +3

    kolo amebebwa kosa refa Eheeeeee Tungeziona Zileeeeeeee❤

  • @GabrielKimamala
    @GabrielKimamala 2 місяці тому +4

    Mungu ibariki yanga yetu ❤😂🎉

  • @JoshuaEmmanuel-h3r
    @JoshuaEmmanuel-h3r 2 місяці тому +1

    I love you yanga

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 2 місяці тому +1

    Hongera sana wachezaji wetu💚🖤💛✅

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 місяці тому +2

    Hivi simba bado mnajisifia kwa kutofungwa 8 mlizidiwa zengeli ni hatari younger Africa should win Africa Cup championship

  • @pierretembele8129
    @pierretembele8129 2 місяці тому

    Simba❤

  • @jamhuricity
    @jamhuricity 2 місяці тому

    No offside, Yanga denied two clear goals. VAR would help in such situations. Overall very entertaining match and kudos to our Tanzanians brothers for a well organized event. Love from Nairobi ❤

    • @TeamCoseaAfrika
      @TeamCoseaAfrika 2 місяці тому

      Ebu tafsiri sasa😂😂

    • @HalidiHello
      @HalidiHello 2 місяці тому

      You tripping, if that wasn't offside, guess what, you know nothing about football - Young FC fan 💯

  • @MobileMobigo2
    @MobileMobigo2 2 місяці тому +2

    Yanga

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 2 місяці тому +4

    Ila kuna sehemu max alilazimisha kufunga ambapo alitakiwa kutoa pasi jamani wachezaji tusiwe wabinafsi sometime youote akifunga ni ushindi wa wote

  • @trice_yanga
    @trice_yanga 2 місяці тому +2

    Max sio kila sehemu uforce kufunga kuna sehemu ilitakiwa atoe pasi ye akaforce

  • @ChristopherKisarika
    @ChristopherKisarika 2 місяці тому +1

    Mungu ni mwema sana
    Tunakushukuru

  • @shomari_msumi
    @shomari_msumi 2 місяці тому +1

    Heshima kwenu wapiga picha wote💚💚

  • @MuniraMtoro
    @MuniraMtoro 2 місяці тому +1

    💛💛💛💛

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 2 місяці тому +2

    Allaah Akbar

  • @AbubakariAbas
    @AbubakariAbas 2 місяці тому +2

    Hatali sana

  • @Stevekapugi
    @Stevekapugi 2 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉gemu ilikuwa ngumu sana

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 місяці тому +1

    Kazi Iendelee. Mapambano bado

  • @IzooLaizer
    @IzooLaizer 2 місяці тому

    Yanga nakubali sana😅😅😅😮🎉

  • @DanijamsonMheni
    @DanijamsonMheni 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 2 місяці тому +4

    Haya, twambieni na leo nani kauza mechi!!?, Tena mshukuru refarii ni wenu!😂

    • @mrsabdul-mz8hh
      @mrsabdul-mz8hh 2 місяці тому

      😂😂😂😂
      Mwijaku😅😅😅

  • @juliasmaick
    @juliasmaick 2 місяці тому +1

    1❤

  • @Halima-xc6og
    @Halima-xc6og 2 місяці тому

    kitu yanga tu ❤❤❤ jamanii yangu ni rahaaa sn

  • @alexoswald1725
    @alexoswald1725 2 місяці тому +3

    Pacome fundi jamani dah!

  • @MichaelKamsini
    @MichaelKamsini Місяць тому

    💚💚

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 2 місяці тому

    😂😂😂 SIMBA WAMSHUKURU SANA REFA

  • @lazaronaata2249
    @lazaronaata2249 2 місяці тому

    Ngoma hatari❤🎉🎉🎉

  • @mozzymbise2871
    @mozzymbise2871 2 місяці тому +4

    😀😀na refa katunyima ma 3

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 2 місяці тому +5

    🔥🔥🔥💛💛💛💚💚💚🔰

  • @ZefaniaJohn
    @ZefaniaJohn 2 місяці тому +2

    10:42 Nilichokgundua marefalii hawakutaka simba wafungwe goli nying

  • @EmmanuelJoseph-r1e
    @EmmanuelJoseph-r1e 2 місяці тому +2

    Mimi nimeona jengo tu la Simba 😂😂😂

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 2 місяці тому +1

    Waamuzi wa mpira wa Tanzania ndivyo walivyo kwa mechi hiyo yanga ilikuwa na magoli mengi.Refer kaibeba simba sana.Kuhusu ubora timu zote ziko vizr ila maarifa watazidiana uwanjani.

  • @upgo6112
    @upgo6112 2 місяці тому +2

    Naona refa amewahurumia sana ubwera

  • @MakuoeJafary
    @MakuoeJafary 2 місяці тому +2

    Ali sasii ni beki mzuri WA Simba anajua kukaba kapunguza magoli

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 2 місяці тому +2

    Kapombe hakuonekana kama alikuwa offside, lakini Aziz Ki alikuwa offside
    Hawa marefa sijui wanasomea wapi!

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 місяці тому

      Maelekezo toka tff.. simba/toto pendwa alitakiwa ashinde ila habebeki

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 2 місяці тому +2

    Huyu #Pacome doh..... Mtu na nusu

  • @JosephCharles-b8b
    @JosephCharles-b8b 2 місяці тому +1

    Hii inaitwa shirikisho piteni kule wa kimataifa tukutane fainali 😢😊

  • @emanuelakaro1423
    @emanuelakaro1423 2 місяці тому +2

    Yanga kanyimwa penalty ya Dube na Aziz Ki na goal zilizotafsiriwa ni offside

  • @Ba63828
    @Ba63828 2 місяці тому +1

    Ni busara uongozi wetu wa YANGA should register solid protest about poor referring that unjustly denied more goals to the death battalion.

  • @salumkihuwi5495
    @salumkihuwi5495 2 місяці тому +1

    Ooooh waooo😅😅

  • @ReachOut3004
    @ReachOut3004 2 місяці тому +1

    Kuna siku tutaamua, tutakua na utaratibu wa kwenda kusalimia majumbani kwao marefa kama hawa baada ya mechi kuwakumbusha kitu kuhusu sheria za mpira.

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 2 місяці тому +2

    Naona Refa kaamua kuwapunguzieni Aibu ya Magoli lengo tuwafunge chache Mimi binafsi nahesabu mmekula chuma4 timu Bovu Ubaya Ubwege

    • @davidassey6121
      @davidassey6121 2 місяці тому

      hamna lolote nyie utopolo mnapenda sana mteremko

  • @MysarahMohamed
    @MysarahMohamed 2 місяці тому +4

    Tuliosikia Yanga ni mabingwa wa Ngao ya jamii tulike hapa😊😅😅😅

    • @trice_yanga
      @trice_yanga 2 місяці тому +1

      Mpenja alivurugwa baada ya timu yake kula chuma😂😂

  • @Shadia544
    @Shadia544 2 місяці тому +1

    Yaani leo mdomo shwaaaaa hongera timu yangu tunainjoi tuuu 😂😂😂😂makolo mnalia 😂

  • @JoshuaMeshili
    @JoshuaMeshili 2 місяці тому +2

    Haikuwa offside

  • @lilianchambua5839
    @lilianchambua5839 2 місяці тому +1

    Ferdinand nataka nikuambie Yanga imeshindikana hiii usivuje jasho lako bure

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 місяці тому +2

    Mwamuzi hafai

  • @HalidiHello
    @HalidiHello 2 місяці тому

    The goals that were disallowed by the referee were due to offside infractions. The referee has made a fair decision in this regard, despite potentially being incorrect in some instances, congrats YOUNG FC

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 місяці тому +2

    Kwa upuuzi huu wa refa VAR ije tu

  • @martinlema4192
    @martinlema4192 2 місяці тому +1

    Dube angeacha ujinga wa kushangilia afu kuachia mpira tungefunga mapema sana.

  • @JoeSalumu
    @JoeSalumu 2 місяці тому +1

    et wakula bomba

  • @HusseinAhmedy-g3j
    @HusseinAhmedy-g3j 2 місяці тому +1

    Ila dube ule mpira angeusindikiza angewe za funga sema alikua kajiamnisha

  • @ThabitiKamila
    @ThabitiKamila 2 місяці тому

    Refa kazingua ngua pale kweny penalty tu ya simba kwa yanga gori la pacome dube alikuwa offside na azizi alizidi mkono, kwa penalty ya zizi ki beki alikosa mpira pia alimkosa Aziz aliruka alitua vibaya kaanguka . Refa alibalance tu mchezo🎉🎉

  • @philemonmachange1853
    @philemonmachange1853 2 місяці тому

    Makolo yameteswaa😅

  • @devotabashome1090
    @devotabashome1090 Місяць тому

    Yani yanga wamedhurumiwa hapa

  • @TimotheoNoel-bd2dh
    @TimotheoNoel-bd2dh 2 місяці тому +3

    Boka hatali medei

  • @mwajayhaxxan5507
    @mwajayhaxxan5507 2 місяці тому

    Sema hizi nguruwe tumezikosa saaana wallah

  • @bestseme532
    @bestseme532 2 місяці тому

    Waamuzi wa hovyo kabisa .Huyu muamuzi na wenzake wajitafakari kabisa wa hovyo sana MTAIBEBA SIMBA HADI LINI

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 2 місяці тому

    Kweli yanga ni dubwasha kubwa.

  • @SairasJohny-fd6zm
    @SairasJohny-fd6zm 2 місяці тому

    🎉

  • @greatleadermpjfrank1275
    @greatleadermpjfrank1275 2 місяці тому +1

    TUNAOMBA EXTENDED HIGHLIGHTS PLEASE MAANA VITU VINGINE HAVIPO

  • @khamisisuedi1056
    @khamisisuedi1056 2 місяці тому

    Hawa Simba wamshukuru Refa wangefungwa matano

  • @NaamanKihenya
    @NaamanKihenya 2 місяці тому

    Si offside bali ni uzalindo wa refa

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba 2 місяці тому

    Maamuzi ya nani acheze anaya kocha wezetu walioendelea kimpila wanafanya mabadiliko hadi dakika ya tisini

  • @Faridagongo
    @Faridagongo 2 місяці тому

    Kuna marefa wanalazimisha tim furani kushinda hawajui wanauwa soka letu mtu akifungwa afungwe ajifunze awe na maswali ya kujiuliza kwann nilifungwa na cyo kumbeba mtu kila cku kulia na marefa tu na hawajifunzi hata akifungiwa anajua atafunguliwa tu.

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 місяці тому +1

    Nyie MAKOLO mkarabati jengo lenu linatia aibu, halifanani

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 2 місяці тому

    Filimbi ya mwamuz ilimfanya beki wa simba asizuie mpira uliopgwa na aziz ki ambao ni offside ila alikua na uwezo wa kuuokoa na lisiwe goli, hapa pia wachezaji wajifunze moments kama hizi okoa kwanza hata kama filimbi imelia kuashilia mtu ameotea au faulo maana kama kungekua na VAR hili lingehesabiwa kua ni goli

  • @KibunjaOliver
    @KibunjaOliver 2 місяці тому

    Huyu referee alikua na mpango Simba ishinde

  • @CharlesSeleli-to2un
    @CharlesSeleli-to2un 2 місяці тому

    Ila hawa marefa walikua na maelekezo aisee haiwezekani waweke offside za bila mashiko

  • @maulidiisihaka852
    @maulidiisihaka852 2 місяці тому +4

    Jeshi 🔰

  • @user-qe2lb9ns8h
    @user-qe2lb9ns8h 2 місяці тому

    Wachezaji wasimb walikuwa wanacheza kwapresh sana ukichangia na kelele zamashabiki wao ndokabisa wanachanganyikiwa ata wakipata mpira hawatulii lakin hawakujua yanga izo presha wamezizoea

    • @paulinazacharia8474
      @paulinazacharia8474 2 місяці тому

      Wachezaji was simba kinachowaponzaga n pressure za mashabiki plus wanasahau walichofundshwa wakafanye muda wao 80% wanatumia kuwazuia yanga 😅 sikuona mechi ila kwa video hzi tutawapiga nyingi tuu msimu unaoanza 😅

  • @nickomdete7232
    @nickomdete7232 2 місяці тому

    Ukitaka ujue angslia hii ya kampombe na fananisha Ile ya azik k mpaka kufunga goli kama pana utofauti🎉

  • @sarahzubery8404
    @sarahzubery8404 2 місяці тому

    Hakuna offside hapo basi refa kaamua kuwabeba

  • @Salmamikidadi-c9u
    @Salmamikidadi-c9u 2 місяці тому

    Nani kaona dakika ya 37 kipa wa simba kadakia ndani

  • @adreckmgombela1541
    @adreckmgombela1541 2 місяці тому

    Hamsemei penati aliyo nyimwa Simba

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 місяці тому

      Sasa penalt na magoli mawili yepi yanauzito?

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 місяці тому

      Yanga nao walinyimwa penalties 2 na magoli 2

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 місяці тому

    Simba wamebebwa adi wamebemendwa

  • @DCVOICE-b9q
    @DCVOICE-b9q 2 місяці тому

    Ubaya ubwelaaa

  • @Dissadissa-4
    @Dissadissa-4 2 місяці тому

    Huyu reffa hajui kuchezesh mpla

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 місяці тому

    Huyu mwamuzi hafai hata kwenye mashinfano ya kujamba,mjinga mno

  • @RevocatusKalomo
    @RevocatusKalomo 2 місяці тому

    Kapombe ameuza mechi

  • @ernestjophreymalaba3374
    @ernestjophreymalaba3374 2 місяці тому

    Refa na washika vibendera wake walikula rushwa

  • @mercyroy6396
    @mercyroy6396 2 місяці тому

    Huyu refa asituchezeshe tena

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 2 місяці тому

    Ma refa walikataa magoli yetu mawili bila sababu kabisa

  • @ZuhuraNhumbi
    @ZuhuraNhumbi 2 місяці тому

    Refa msenge tuu

  • @immaabukuku7180
    @immaabukuku7180 2 місяці тому

    Offside za heri sasi hizo

  • @RajabuBojo-j2l
    @RajabuBojo-j2l 2 місяці тому

    Makolo wamecheza mpira wa maagizo rkn tumewafunga

  • @Halima-xc6og
    @Halima-xc6og 2 місяці тому

    simba haina ishuu imechokaa sn