Hakika MUNGU ni wa ajabu,, ni neema kuu na ajabu kubwa ambayo MUNGU ametupa kua hai leo na kushuhudia maajabu yake, kama unaamini ni ajabu wewe kuwepo leo nipe👍tubarikiwe pamoja🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😭😭😭😭😭this song makes me cry not coz am hurt 😭but coz of what God has done to me , he removed all shame from my life🙏🙏chris may God bless the work of your hands❤❤❤❤❤
Jamani yeye ni wa ajabu.... Nashukuru ata kama hajatenda naamini nikitoka mlimani atatenda maajabu ambayo hayana kipimo.... Tenda maajabu Bwana! Pahali ambapo nangoja utende tenda wewe Mungu Wa Ajabu 🙌🙌
Mtumishi, ubarikiwe. Huwa sichoki kusikiliza huu wimbo, huwa unanipa amani na faraja kubwa sana. Kweli mungu wa ajabu kwa matendo mungu anayotutendea mimi na familia yangu.
It's true we Ni MUNGU waajabu Kuna mahali pagumu huwa napita alafu nione Kama ndoto kumbe sivyo, baada ya kunivusha ndio huwa nasifu hakika huyu Mungu waajabu sijawah ona
I feel like giving up in this world coz so many trials and temptations have came over my way getting many questions in my mind did God creat me to suffer?? But whenever i watch this song i'm like He has never left me a lone
Hakuna wakumu fananisha naye hakika Mungu niwa adjabu sana tena sana zaidi ya sana asante Mwenyezi Mungu tunaku shukuru baba mubariki mtumishi wako Christophe mwahangila
Hakika Mungu wa ajabu sana ahimidiwe na kutukuzwa siku zote, neema yake imekirimika sana maishani mwetu, hatustahili chochote ila bado anatupenda, barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Jambo mutu wa MUNGU nilitaka sema tu gingi iyi nyimbo MuNGU WA AJABU manake inaniya sama moyo na inanikumbusha sana maisha yangu . Mungu akuwezeshe na akubariki sana kwa kazi nziri ya uimbaji
MUNGU WA AJABU LYRICS Kweli Mungu wa Ajabu Jamani Mungu Wa Ajabu Naimba Mungu Wa Ajabu Nasema Mungu Wa Ajabu Jamani Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Ajabu Anawainua Wanyonge Kutoka Chini Anawaketisha Pamoja Na Wakuu Waliokuwa Mkia Anawafanya Kuwa Vichwa Kweli Mungu wa Ajabu,Ajabu sana Wema Wake Hauozi Wafananishwa Na Kisima,Kisichokauka Milele yote Uzuri Wake Hauishi Ni wa Milele Haufananiswhi Na Kitu Chochote Jamani Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Ajabu Ajabu Naimba Mungu wa Ajabu Ajabu Huyu Mungu Wa Mbinguni Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Amenipenda Na Mimi Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu ameniinua Na Mimi Ajabu Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Ajabu Ajabu Anasema Alinijua Kabla Sijakuwepo Mimi Alinichagua Kutoka Tumboni Mwa Mama Anasema Alinijua Kabla Sijakuwepo Mimi Alinichagua Kutoka Tumboni Mwa Mama Nimechaguliwa Kuwa Nabii Wa Mataifa Nimechaguliwa Kuwa Nabii Wa Mataifa Nimechaguliwa Na Mungu Nimechaguliwa Na Mungu Nimechaguliwa Na Mungu Kanipa Kibali Nimechaguliwa Na Mungu Nimechaguliwa Na Mungu Nimechaguliwa Na Mungu Mungu Wa Ajabu Jamani Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Ajabu Ajabu Naimba Mungu wa Ajabu Ajabu Huyu Mungu Wa Mbinguni Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Amenipenda Na Mimi Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu ameniinua Na Mimi Ajabu Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Ajabu Ajabu Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenichagua Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenipokea Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenisiliza Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenitazama Amenisaidia Mungu Amenisaidia Yesu Amenisaidia Kwa Huruma Zake Amenisaidia Mungu Amenisaidia Yesu Amenisaidia Kwa Huruma Zake Amenisaidia Mungu Amenisaidia Yesu Amenisaidia Kwa Neema Yake Jamani Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Ajabu Ajabu Naimba Mungu wa Ajabu Ajabu Huyu Mungu Wa Mbinguni Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Amenipenda Na Mimi Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu ameniinua Na Mimi Ajabu Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Mungu Wa Ajabu Ajabu Ajabu Ajabu
Yan nikisikiliza nyimbo zako barikiwa xna mungu akutunze na familia yako
Amen
❤ C
Wimbo wa kiswahili ila comment nyingi za kingereza..sema wimbo umenibariki sana.
Amen
Hakika Mungu wa Ajabu..
Nipe Like 1000...
Kudhihirisha ukuu wa Mungu 2022..
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Shukrani mtumishi wa Mungu.kweli ni Mungu wa ajabu.viewing from +254
Ndio ndio kweli Mungu ni wa ajabu barikiwa baba Mungu azidi kukunkarisha
Hakika MUNGU ni wa ajabu,, ni neema kuu na ajabu kubwa ambayo MUNGU ametupa kua hai leo na kushuhudia maajabu yake, kama unaamini ni ajabu wewe kuwepo leo nipe👍tubarikiwe pamoja🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen ubarikiwe sana
Ameeen 🙏🤝
@@rechoemid2835 52
Amen
Asante mungu
Hata Mimi Ninasema MUNGU wa AJABU AJABU AJABUUUU
😭😭😭😭😭this song makes me cry not coz am hurt 😭but coz of what God has done to me , he removed all shame from my life🙏🙏chris may God bless the work of your hands❤❤❤❤❤
Nimebarikiwa saaana kutoka Congo lubumbashi ,mungu azidi kukulinda
Jamani yeye ni wa ajabu.... Nashukuru ata kama hajatenda naamini nikitoka mlimani atatenda maajabu ambayo hayana kipimo.... Tenda maajabu Bwana! Pahali ambapo nangoja utende tenda wewe Mungu Wa Ajabu 🙌🙌
Pumuzi ya uhai ya tosha , pia nimatendo yake ya ajabu
Mungu aiko mulimani, anakaa ndani ya watoto wake. Matayo 6:5-8
Ubarikiwe sana kwa nyimbo Mtumishi namtukuza Mungu hiu nyimbo🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ukwelii🎉wa ajabu ajabu ajabu
@@neemakidungu1344
⁰0⁰
Barikiwa sana
Nikiona notification kutoka kwako najua ni nyimbo nzuri hujawahi toa nyimbo mbaya, barikiwa sana kaka. 🙏🙏
Hongera
Ubarikiwe sana mtumish Mungu akuinue zaidi
Amen
Mungu wa ajabu Sana mtumishi mungu azidi kukuinua viwango vya juu Sana Kwa jina la yesu
Amen
Kweli kabisa Mungu ni wa ajabu Saana Maana wengi hatukustahili ila katupenda hivo hivo na udhaifu wetu😭😭❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹
Ujumbe mzuri Mungu azidi kukubariki na azidi kuku tunza.
kweli mungu wa ajabu Sana barikiw mtumishi
Mtumishi, ubarikiwe. Huwa sichoki kusikiliza huu wimbo, huwa unanipa amani na faraja kubwa sana. Kweli mungu wa ajabu kwa matendo mungu anayotutendea mimi na familia yangu.
It's true we Ni MUNGU waajabu Kuna mahali pagumu huwa napita alafu nione Kama ndoto kumbe sivyo, baada ya kunivusha ndio huwa nasifu hakika huyu Mungu waajabu sijawah ona
Yes, very good... Barikiwa Sana mtumishi
Kweli Mungu ni Wa ajabu...anawainua wanyonge kutoka Chini...🎶🎼 Mungu akuweke Sana that's ma prayer to you MTUMISHI WA MUNGU.
Amen
Ubarikiwe sana
Hakika Mungu ni waajabu sana maana ayatendayo kwetu ni ya ajabu mno mnooo 🙏
Amina Amina And Amina again. ni MUNGU WA AJABU SANA
Kazi nzuri kakangu...nyimbo zako zanibariki sana
Kweli ni mungu was ajabu. Asante mungu.
Kweli Mungu wa ajabu.Ameen barikiwa sana bro🙏
Ameni barikiwa sana 🙏
Ubarikiwe San umenifarij huo wimbo munguakuongoz zaid
Mungu wetu ni mkuu sana na ni WA ajabu barikiwa San🙏🙏
Amina MUNGU ni wa A JABU halleluya yesu wangu na kupenda.mtumishi Asante kwa ujumbe mungu akubariki kutoka Kenya tunapenda nyimbo zako
Hakika Mungu ni waajabu Sana anatenda ya kushangaza,kazi yako ni njema Sana chombo Cha Yesu
Amen chombo chayesu
I feel like giving up in this world coz so many trials and temptations have came over my way getting many questions in my mind did God creat me to suffer?? But whenever i watch this song i'm like He has never left me a lone
Hakuna wakumu fananisha naye hakika Mungu niwa adjabu sana tena sana zaidi ya sana asante Mwenyezi Mungu tunaku shukuru baba mubariki mtumishi wako Christophe mwahangila
Kweli.mungu.ni.waajabu.sanaa.matendo.yake.yashangaza
Nabarikiwa kwa wimbo
Amen 🙏 mungu ni WA ajabu thank u brother god bless u 🙏🙏 nice job 👍🕺🕺💃💃🤲🤲
Barikiwa sana kaka🙏🙏
Mungu azidi kukuinuwa manake wafanya kazi bila maringo
Kweli Mungu wa ajabu amenipenda na mimi ameniinua Amen Amen
Ni Mungu wa Ajabu♥️♥️💯
Kweli MUNGU niwa ajabu🙏🙏
Kweli mungu ni wa
Ajabu amenifanyiya menge nabarikiwa sana MAUREEN kutoka Kenya
Wimbo Mzuri Utukufu Kwa Mungu
Barikiwe sana mtumishi Kazi iko nzuri ✍️
Kweli ni mungu wa ajabu najua siku mjo atanitendea kitu tu mjo Kwa maisha yangu enye umuomba Kila siku blessed pastor
MUNGU WA AJABU..Endlea kututendea...Tuinue BABA....BALIKIWA MTUMISHI WA MUNGU...CHRISTOPHER....
Hakika Mungu wa ajabu sana ahimidiwe na kutukuzwa siku zote, neema yake imekirimika sana maishani mwetu, hatustahili chochote ila bado anatupenda, barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amen 🙏🙏🥰🥰
Wonderful mtumisi Mungu akubariki sana
Amen
Mungu wa adjabu kishima ya upendo bila kukauka, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu ombi langu nikukuona kwetu kinshasa
mungu wajabu kabisa amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 🙏🙏🙏 amen
Wimbo mzuri sana. Mungu akubariki.
Mungu ajabu kweli mutumishi wamungu aku inuwe tena n'a akupe ufunuo ya nguvu kuzidi kweli uko mutumishi wa mungu 🙌🙌🙌mungu akubariki
This guy brings in a true praise, I love him I love all his songs Kenya loves you
ua-cam.com/video/syQCeCNTHRo/v-deo.html
True is such a blessed man of God 🙏🙏
Jambo mutu wa MUNGU nilitaka sema tu gingi iyi nyimbo MuNGU WA AJABU manake inaniya sama moyo na inanikumbusha sana maisha yangu . Mungu akuwezeshe na akubariki sana kwa kazi nziri ya uimbaji
@@henrindagano 7q
Mungu ni wa ajabu kweli
Sina cha kusema,ombi langu kwa mungu,mungu aendelee kukuinua na akupe maisha marefu
Hakika Mungu ni wa ajabu alikonitoaa ni mbali sana haielezekii acha ashukuliwe simba wa kabila la Yuda
Baba WA Mbinguni azidi kukuinua kwa viwango vya juu juu zaidi,Napata Faraja nisikilizapo nyimbo zako'
Amen amen amen,kila nikiskia hii nyimbo najipata nacheza nikifurai tu
Kweli Mungu ni wa ajabu
Nashukuru Mungu anakutumia kuwafikia wanadamu kwa njia ya kipekee
Hakika Mungu ni wa ajabu mnooo barikiwa sanaaa kwa wimbo mzuri
Very true huyu Mungu ni wa ajabu sana
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu By James R Donard
Mungu wa ajabu 🔥🔥🔥🔥
Ngoma safi ✓✓✓
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Hoyeeeee
Hallelujah 🙏🙏 mungu wetu niwa ajabu.. nakupenda buree mtumishi Chris... receive more grace and favor by fire 🙏🙏🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I love the . music more so the dressing code
ua-cam.com/video/Bw5QkNnaQzo/v-deo.html God bless you
ua-cam.com/video/syQCeCNTHRo/v-deo.html
Hakika MUNGU ni waajabu sana,maana alikonitoa ni mbali sana,ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa nyimbo nzuri.
Jamani wooowaahh mungu wa ajabu Amen Christopher be blessed nice song nakupata kutoka Kenya
🙌🙌 HUYU MUNGU ana maajabu kama nini🤝
Barikiwa mtumishi nyimbo zako zinanibariki kweli mungu wa ajabu
Mubarikiwe!
Aaaamina, mtumishi, ahsante kwa nyimbo zako za mahubiri, napata faraja sana.
USA loves you Brother 🔥🔥🔥🔥🔥👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🙌🙌🙌🌸🌸🌸🌸💕💕💞💞🙋🏻♀️❤️❤️❤️💕
Ubalikiwe sasa papa nyimbo zako zote ninzuli
Zidi kutumika vessel of God
Hakika Mungu ni wa ajabu kabisa.🙏🙏🙏
This man never get Old 😂😂😂 Kwani Kuna nini ,,,,Toka mungu ni Mungu . he's still the same Apa Kenya tunakupenda Dad🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukiwa kwa yesu huzeeki🙏🙏
mungu wetu ni watamuona kwa haki na kweli hallelujah amen amazing songs 🙏🙏🙏 hallelujah ❤️❤️❤️🌹💐💐💐 amen
Hakika kweli Mungu ni wa ajabu maisha mwangu
Much luv listening from 🇺🇬 just tap the anointing if you are also one of them thumps up here.
Hakika Mungu ni Wa Ajabu sn, Ubarikiwe Mno Christopher hakika Nyimbo Zako Zinanibariki Mno.
Kweli mungu wetu ni WA ajabu nkikumbuka mahali amenitoa sioni haya kusema ni WA ajabu 🙏🙏
Barikiwa Sana Kaka Mungu mwema azidi kukuinuwa
Amen Mungu Akubariki sana
Amen Amen Amen 🙏 ahsante Mtumishi wa Mungu nyimbo nzuri inabariki
Ukiwa ndani ya Yesu raha mno najisikia amani sana kuusikiliza huu wimbo na Mimi nasema Mungu wa ajabu
Amen Sana,Mungu waajabu hata kwangu
Naupenda sana huu wimbo, daima naona ushindi kupitia huu wimbo
Yeye ni waajabu sana kwa mengi ame nitendea, nimeshaguliwa na mungu kabisa
Ni kweli kama si Mungu sijui ningekua wapi. Mungu ni wa ajabu
Oooh My God, kweli wewe ni wa ajabu...asante sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa mno
Kweli Mungu niwa ajabu atatukifa atabaki kuwa wa ajabu Mungu wa mbinguni ❤️❤️❤️
Kweli.mungu.waajabu.tena.niorijino.atupenda.hatasisi.masikini.haleluya
Kweli mungu wetu ni wa ajabu matendo Yake ni ya ajabu kwetu mungu wetu hakubariki Sawa mtumishi wa mungu kwa huyu mwimbo mzuri Sana
MTUMISHI WA MUNGU
MUNGU WA AJABU WIMBO UMENIBARIKI MNO
The best love you from south africa
Hakika Mungu ni wa ajabu,ametenda mengi kwa maisha yangu 🙏🙏
MUNGU WA AJABU LYRICS
Kweli Mungu wa Ajabu
Jamani Mungu Wa Ajabu
Naimba Mungu Wa Ajabu
Nasema Mungu Wa Ajabu
Jamani Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Ajabu
Anawainua Wanyonge Kutoka Chini
Anawaketisha Pamoja Na Wakuu
Waliokuwa Mkia Anawafanya Kuwa Vichwa
Kweli Mungu wa Ajabu,Ajabu sana
Wema Wake Hauozi Wafananishwa Na Kisima,Kisichokauka Milele yote
Uzuri Wake Hauishi Ni wa Milele
Haufananiswhi Na Kitu Chochote
Jamani Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Ajabu
Ajabu
Naimba Mungu wa Ajabu
Ajabu
Huyu Mungu Wa Mbinguni
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Amenipenda Na Mimi
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
ameniinua Na Mimi
Ajabu
Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Ajabu
Ajabu
Anasema Alinijua Kabla Sijakuwepo Mimi
Alinichagua Kutoka Tumboni Mwa Mama
Anasema Alinijua Kabla Sijakuwepo Mimi
Alinichagua Kutoka Tumboni Mwa Mama
Nimechaguliwa Kuwa Nabii Wa Mataifa
Nimechaguliwa Kuwa Nabii Wa Mataifa
Nimechaguliwa Na Mungu
Nimechaguliwa Na Mungu
Nimechaguliwa Na Mungu
Kanipa Kibali
Nimechaguliwa Na Mungu
Nimechaguliwa Na Mungu
Nimechaguliwa Na Mungu
Mungu Wa Ajabu
Jamani Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Ajabu
Ajabu
Naimba Mungu wa Ajabu
Ajabu
Huyu Mungu Wa Mbinguni
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Amenipenda Na Mimi
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
ameniinua Na Mimi
Ajabu
Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Ajabu
Ajabu
Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenichagua
Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenipokea
Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenisiliza
Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenitazama
Amenisaidia Mungu
Amenisaidia Yesu
Amenisaidia Kwa Huruma Zake
Amenisaidia Mungu
Amenisaidia Yesu
Amenisaidia Kwa Huruma Zake
Amenisaidia Mungu
Amenisaidia Yesu
Amenisaidia Kwa Neema Yake
Jamani Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Ajabu
Ajabu
Naimba Mungu wa Ajabu
Ajabu
Huyu Mungu Wa Mbinguni
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Amenipenda Na Mimi
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
ameniinua Na Mimi
Ajabu
Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Ajabu
Ajabu
Huyu Mungu niwa maajabu,,He always make a way where there is no way.. Thank u Lord am very grateful 🙏🏼🙏🏼
MUNGU WA AJABU MNO. JINA LAKE KUU LIBARIKIWE NA KUINULIWA. UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU
May mentor here thank you for good message wapi like