Wow, mimi njo wa kwanza kubarikiwa na huyu wimbo, Bwana fungua milango itajizetu zijibiwe njo imbi langu, kama nawe ni hiyo koga like hapa. Mungu azidi kuku bariki.
Fungua milango baba nipate fees watoto warudi shule,fungua ilifungwa na watesi wangu nikafutwa kazi,fungua Mungu🙏 When i am weak in prayers i have found a song in song of my prayers
Eeh mungu mtazame mtumishi wako #Ruthwangari,, mfungulie milango iliyofungwa na maadui🙏🙏 *Yatosha anavyolia😢🙏 *Yatosha anavyoteseka😢🙏 *Yatosha anavyochekwa na maadui😢🙏,, Baba mpe ushuhuda kama ulivyompa Anna,,hadi maadui zake washangae mkumbuke yeye na familia yake, mfungulie milango ya kazi jehovah🙏,, Usife moyo dadangu mungu Anaenda kukutana na shida zako,, ni majaribu tu lakini kwa nguvu za Mungu wewe ni mshindi🙏🙏,, Leo ni huzuni lakini kesho ni ushuhuda🙏🙏🙏 Na kwa wale wengine wanapitia mateso mungu awakumbuke pia🙏🙏,, Mungu wangu unapoenda kukutana na shida za watu wako pia nami nikumbuke🙏🙏🙏🙏
Bwana MUNGU fungua milango na kwangu Mungu duuh!!, Christopher mwahangila Mungu akulinde daima na azidi kukuongezea kipaji kikubwa zaidi,,, nafarijika sana kwa wimboo huu jamaniii
I winn as the enemy lose Lord your my everything open doors of my family en i my destiny is in your able hands Amen Thnk you man of God 🌺🌺🌺🌺🌹🖐️🖐️🙏Thnk u lord
Such a beautiful message indeed. God works for those who believe and trust in Him. Tears run down my cheeks when I listen to this song. Without God there is no life.
That part ya fungua Mlango ata kwa yatima yule really makes me cry and ask God why me that early minus parents even I don't know my dad coz I was very small with no time my mum 😪😪😪
heee mungu wewe niwema sana baba ..asate sana Christoph hii song kama adisi ya maisha yangu ... located from Cape town South Africa original from DRC Congo bukavu
Baba wangu WA mbinguni Sina mwingine ilhali ni weuwe maisha yangu yote naikabidhi mikononi mwako, nakutegemea baba nifungulie milango yaku baba waacha maadaui wangu wakaibike,, wajua kila hitaji za moyo wangu yote nkiamini Amen🙏🙏🙏
In the might name of Jesus,ooh lord open my doors that have been closed by my enemies,ooh lord I believe you have a muster keys in heaven,thank you brother may God bless you
Fungua milango Baba maana wewe pekee ndie ninayekutegemea nipo mlangoni mwako nifungulie milango ya kimwili na kiroho na Baraka zako kwangu ziambatane na haja ya Moyo wangu
Open the doors for me in Jesus name that were closed by enemies My God. Your songs honestly inspires our lives May God bless you coz you deserve it May he give you good health to inspire people's life. I can't enough of your songs
Mungu haiko kwa bure ulini saidiye ni sikiye ii yimbo bwana fungua milango haiko adui njo iko na nenoya mwiso nahamini sita bakia ongelesa amina ubarikiwe mutmisi
Wow. Am in love with this songs. Indeed my trust is in God and will always depend on Him for He is surely going to open my doors for success in Jesus Christ name AMEN 👏👏🔥. Thanks Chris for the song♥️♥️♥️. Feel more loved here in kenya
From one six🇹🇿🇹🇿 hakika tunaendelea kubalikiwa nahuu wimbo wenye kila Haina ya uchachu wa roho mtakatifu fungua milango we mungu,,,,,,,🎶🎶🎶 ubalikiwe Sana kaka angu🙏🙏🙏🙏🙏 nomba like zenu jamani
Yesu Kristo nifungulie mlango iliyo fungwa na maadui ....fungus zote ewe Yesu Kristo hata ndoa nakuamuni utafungua.Yaliyo makumu kwangu Yesu uniondolea na kutekemea Baba.Kumpuka watoto wangu pia
Mungu azidi kukubariki Mtumishi wewe ni zaidi ya Mwimbaji wewe ni Mtumishi wa Mungu. Zidi kunyenyekea mahali pako pa siri Hakika mbigu itakuwa wazi kwako Milele
@@chrismwahangila6029 am greatful and thank God for the revelation through you servant of God....surely i will personally render my help to where I can manage. Blessings sir, my mentor...eager to have a collabo with you...Am Meju boy....God bless you
@@mejuboy9448 be very carefully replying this messages I tell you I just found the same on jimmy d psamist and he or she is a cone . So be very carefull He might not be the one and dont receive words just from anyone Be keen.
J’aime beaucoup cette chanson qui me réconforte. Une prière pour moi de chaque matin, ouvres moi les portes de mariage Seigneur je t’en supplies 🙏🙏🙏 amen 🙏
Powerful song, Mungu naomba ufungue milango yangu Yote mwaka huu 2024 Nifikie hatima ya maisha yangu Amen 🙏🙏🙏
I pray every one who is listening to this song , may God open all your doors , our father is faithful
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Hongera Mtumishi wa MUNGU kazi njema
Among the few gospel artists anointed by the most high nipeeni likes za Mwaghalia
@Chris Mwahangila is Mwaghalia really because the Chanel has only 14subscribers which is quite unusual
Bwana naomba unifungulie mirango yangu ambayo imefungwa najua yote magumu utayaondoa kwa kufungua mirango baba nakutegemea maishani 🙏🙏🙏🙏🙏
Wow, mimi njo wa kwanza kubarikiwa na huyu wimbo, Bwana fungua milango itajizetu zijibiwe njo imbi langu, kama nawe ni hiyo koga like hapa. Mungu azidi kuku bariki.
Amina mtumishi barikiwa
😊😊😊😊😊😊😊
This song has been my breakfast every morning, finally God heard my cry, thank you Jesus 🙏
Fungua milango baba nipate fees watoto warudi shule,fungua ilifungwa na watesi wangu nikafutwa kazi,fungua Mungu🙏
When i am weak in prayers i have found a song in song of my prayers
Eeh mungu mtazame mtumishi wako #Ruthwangari,, mfungulie milango iliyofungwa na maadui🙏🙏
*Yatosha anavyolia😢🙏
*Yatosha anavyoteseka😢🙏
*Yatosha anavyochekwa na maadui😢🙏,, Baba mpe ushuhuda kama ulivyompa Anna,,hadi maadui zake washangae mkumbuke yeye na familia yake, mfungulie milango ya kazi jehovah🙏,,
Usife moyo dadangu mungu Anaenda kukutana na shida zako,, ni majaribu tu lakini kwa nguvu za Mungu wewe ni mshindi🙏🙏,, Leo ni huzuni lakini kesho ni ushuhuda🙏🙏🙏
Na kwa wale wengine wanapitia mateso mungu awakumbuke pia🙏🙏,, Mungu wangu unapoenda kukutana na shida za watu wako pia nami nikumbuke🙏🙏🙏🙏
Kea Imani dada yawezekana,it's so touching that watoto hawana karo ya skuli,May the ALMIGHTY GOD see you through these song.😭😭
@@liznzembi5906 Amen barikiwa
@@janetnelima2719 I trust in Him who gave me them,Atatimiza
Amina mungu funguwa baba
BWANA fungua milango majibu yetu yapatikane, hili ni ombi langu,wimbo huu unatia moyo, wakenya tuna like hapa 👍🇰🇪🇰🇪
❤
For sure I m blessed who else is blessed
Iam included
My number 1 gospel artist
Mapenzi teletele toka +254
Hillo
Apostle Philip
Asante ni ko congo 🇨🇩 napenda nyimbo zako nyimo munamke àliyekwadamu
Nibarikiwe shambani🎶🎶🎶
Fungua milango Mungu wangu fungua 🎶🎶🎶
I love the message in the song.Im really blessed
I love this song,a personal prayer,fungua milango mungu wangu.
Bwana MUNGU fungua milango na kwangu Mungu duuh!!, Christopher mwahangila Mungu akulinde daima na azidi kukuongezea kipaji kikubwa zaidi,,, nafarijika sana kwa wimboo huu jamaniii
Hongera Chris. Ubarikiwe ndugu kutoka Mbeya. Hapa Kisumu Kenya nasema mungu tufungulie mlango.
Amina open up my doors dear lord fight my enemies hold my hand JEHOVAH.
Amen
Amen
A
@@graveengrave2936 Amen
Nifunguliye baba.nakutegemea maishani mwangu
Niko mlongoni mungu palikiwa sana munyu yupo nazi kwa kila jambo amen 🙏 🙌 👏
Fungua milango yangu na ya familia yangu Bwana Mungu 🙏🏾🙏🏾much love 🇰🇪🇰🇪
Baba mi nakutegemea utuondeleee ngonjwa la Corona 🇰🇪🙏
Why would anyone dislike such a song? Keep up the good work Chris. Love from 254
Ameeeen....Mungu fungua milango...kwa,maisha yangu 😭😭😭😭😭😭😭😭Eeeh...Mfalume unajua,haja,ya moyo wangu Fungua wote ninaowadai wanilipe madeni yangu ili nijisaidie kwa,mahitaji yangu Baba
Zina nibaliki mno nyimbo zako Kaka mungu akubaliki
Your Lyrics and audio production is fantastic.. Just listening to your music is like watching a film from the bible
Cartoon
Niko mlangoni nabisha, wewe Mungu wangu nifungulie kwa sababu nakutegemea maishani, nipiganie na univushe!
Amen amen
Seigneur Jésus Christ béni ton serviteur
Niko mlangon nabisha hodi mungu nifungurie zawad ulizo niwekea mungu wangu nipekibali kazin barik kizazi changu mpekibari ,baraka mumewangu mtarajiwa mpe hitaj lamoyo wake
Ukiuliza mungu Afungue milango,,,,huwa anafungua na hakuna Wa kuifunga,...
Ameeen baba nifungilie mulango balikiwa sana 🇧🇮💪
Ee mungu baba mm nakutegemea 🙏🇰🇪
Ee mungu wangu mm nakutegemea
Daaaaa! Mungu Atusaindie
Niko mulango ninabisha hodi bidiii yangu katika maonbi yangu Mungu nifuguliya asante Babangu
I winn as the enemy lose Lord your my everything open doors of my family en i my destiny is in your able hands Amen Thnk you man of God 🌺🌺🌺🌺🌹🖐️🖐️🙏Thnk u lord
Amen mtumishi be blessed
Amen
Such a beautiful message indeed. God works for those who believe and trust in Him. Tears run down my cheeks when I listen to this song. Without God there is no life.
Very true, God is everything
Nakukubali Sana kaka Mungu azidi kukuinua zaidi zaidi Ubaki kwenye mstari usikengeuke kamwe kwenye nyakati hizi za mwisho. Ukatumike katika kweli yote
Ee yesu na mm fungua milango niwemo kwenye list ya watakaopata utajiri Tanzania 😍😍🤗🤗
I'm a zambian citizen lozi by tribe but I like this song, really God open door for me. A touching song
God open doors ..... Mimi nakutemeya.🙏🙏🙏🙏
Yes God should continue opening our doors
Mimi nakutegemeya
Amen fungua milango Yesu,macho yetu yako kwako Muumba.
Mungu ni mwema kazi nzuri mtumishi kupitia wimbo huu nimevuka hatua nyingine
+254 present.....Chris you never disappoint....Big Congratulations from this side
Nifungulie Milango Baba😭😭🙏🙏🙏
@@christophermwahangilaofficial Amen Amen
@@christophermwahangilaofficial mungu ameondoa mateso ya corona kwa mwili wangu ameniponya...Niko free kumtumikia
Open my doors oh! Nakutegemea tyu mm na watoto wangu Mungu.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Baba nifunguliye milango
Amina
Barikiwa mtumishi
Amen mungu nifungulie milango ya maisha wangu niepushe na mtego za maadui
Eee yesu mimi nakutegemea fungua milango Ameni🙏🙏❤❤
Here again to say that he always opens doors when we least excepted .........🙏🙏🙏🙏
Mimi, Mimi nakutegemea, wee Mungu Baba, baba! Mm mimi Nakutegemea, napapenda sana hapo
Fugua milango kwangu Mungu nakuoba 🙏🙏🙏🙏 I love ur songs watching u frm 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
That part ya fungua Mlango ata kwa yatima yule really makes me cry and ask God why me that early minus parents even I don't know my dad coz I was very small with no time my mum 😪😪😪
USIHOFU kumbuka MUNGU kasema yeye ni baba na mama ya mayatima,USIHOFU MUNGU wetu yupo anaweza
This song just came at the perfect moment....my daily prayer thou...mungu fungua milango
Asanti kwa nyimbo nzuri kabisa. Eeh Mungu funguwa mulango unifunguliye.
Sijachelewa kupokea baraka za mungu anapo nifungulia milango
Sir you worship the living God...may my creator keep on blessing you as your songs does
me....
this song always brings hope to my life be blessed man of God
The song is really nice may God bless him
Am so much blessed... all the love from uganda but currently in Dubai... we love you... i get deliverance tbrough your music
heee mungu wewe niwema sana baba ..asate sana Christoph hii song kama adisi ya maisha yangu ... located from Cape town South Africa original from DRC Congo bukavu
In Jesus name, anything holding me back, break it and make a way where seems to be no way. Am really blessed with your songs 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I really love your gospel musics ❤️🙏👌, even I don't understand well Swahili 🇹🇿🇹🇿. 🇳🇦🇳🇦
Amen 🙏🙏
Baba Mungu wangu nikomlangoni nabisha, naomba nifungulie milango yaliyo gungwa na watesi wangu Baba😭😭🤲. Much blessings upon your ministry my brother.
Baba wangu WA mbinguni Sina mwingine ilhali ni weuwe maisha yangu yote naikabidhi mikononi mwako, nakutegemea baba nifungulie milango yaku baba waacha maadaui wangu wakaibike,, wajua kila hitaji za moyo wangu yote nkiamini Amen🙏🙏🙏
I’m always blessed with ur songs , may The Almighty lead you in every thing you do 🙏
My prayer everyday 🙏🙏oh hear me God.
Mungu fungua milango yangu... watching from Kenya...barikiwa mtumishi wa mungu... receive more grace and favor of Jehovah 🙏🙏
Àmina 🙏 MUNGU fungua milango katk maisha ya dunian utubariki🙏🙏 ubarikiwe mtumish wa MUNGU kwa utumish wako MUNGU akubarik sanaaa
Fungua milango hata kwangu. So powerful Christopher, may God continue blessing you. Emamaculate Oseno from Kenya.
In the might name of Jesus,ooh lord open my doors that have been closed by my enemies,ooh lord I believe you have a muster keys in heaven,thank you brother may God bless you
Fungu milango Mungu nipate kazi nimesoma kwa tabu Sana ....Mungu nakutegemea maishani mwangu 🙏🙏
Baba fungua milango kwa hizi mwezi zimebaki 🙏 🙏 🙏
Am blessed from Tarime
Ooh God open my doors that have been closed by my Enamies, be blessed brathe for that good nesw
Wow!!! napenda nyimbo za Mwangila sana sana,,,much love❤️❤️❤️❤️❤️👏
Fungua milango Baba maana wewe pekee ndie ninayekutegemea nipo mlangoni mwako nifungulie milango ya kimwili na kiroho na Baraka zako kwangu ziambatane na haja ya Moyo wangu
The strong spiritual searching, GOD NI FUNGULIE MLANGO YA UTUMISHI WANGU, NAKUTEGEMEA
Open the doors for me in Jesus name that were closed by enemies My God.
Your songs honestly inspires our lives
May God bless you coz you deserve it
May he give you good health to inspire people's life.
I can't enough of your songs
Ee Mungu nakuomba ufungue milango yangu Mungu wangu eeee
Mungu haiko kwa bure ulini saidiye ni sikiye ii yimbo bwana fungua milango haiko adui njo iko na nenoya mwiso nahamini sita bakia ongelesa amina ubarikiwe mutmisi
Hujawai kosea mtumishi
Wow. Am in love with this songs. Indeed my trust is in God and will always depend on Him for He is surely going to open my doors for success in Jesus Christ name AMEN 👏👏🔥.
Thanks Chris for the song♥️♥️♥️. Feel more loved here in kenya
From one six🇹🇿🇹🇿 hakika tunaendelea kubalikiwa nahuu wimbo wenye kila Haina ya uchachu wa roho mtakatifu fungua milango we mungu,,,,,,,🎶🎶🎶 ubalikiwe Sana kaka angu🙏🙏🙏🙏🙏 nomba like zenu jamani
🙏
Yesu Kristo nifungulie mlango iliyo fungwa na maadui ....fungus zote ewe Yesu Kristo hata ndoa nakuamuni utafungua.Yaliyo makumu kwangu Yesu uniondolea na kutekemea Baba.Kumpuka watoto wangu pia
Through your songs am always blessed, very touching , encouraging, 🙏🙏🙏🙏
Truly
The best Gospel Ever.
Mungu azidi kukubariki Mtumishi wewe ni zaidi ya Mwimbaji wewe ni Mtumishi wa Mungu. Zidi kunyenyekea mahali pako pa siri Hakika mbigu itakuwa wazi kwako Milele
Felisitation mon pere vraimment San c est du bon travail
Am ever blessed by this man of God,thumb up dad
@@chrismwahangila6029 am greatful and thank God for the revelation through you servant of God....surely i will personally render my help to where I can manage. Blessings sir, my mentor...eager to have a collabo with you...Am Meju boy....God bless you
@@mejuboy9448 be very carefully replying this messages I tell you
I just found the same on jimmy d psamist and he or she is a cone .
So be very carefull
He might not be the one and dont receive words just from anyone
Be keen.
Thank you Lord For opening for me my door that the enemies had closed Amen Ameeeeen
I see God open for me,I love u Jesus u mean everything to my life
Nyimbo zako zimefanyika kuwa ushindi maishani mwangu. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Christopher!!
Amen🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿, I’m feeling blessed listening this song 🎶 God bless you abundantly.
J’aime beaucoup cette chanson qui me réconforte. Une prière pour moi de chaque matin, ouvres moi les portes de mariage Seigneur je t’en supplies 🙏🙏🙏 amen 🙏
Que Jésus Christ bénisse richement son serviteur
Fungua milango iliyofungwa na watesi barikiwa sana mtumishi,
Amen naupenda huu wimbo naomba
Mungu anifungulie milango iliofungwa na maadui zangu ubarikiwe sana mtumishi wa
Mungu
Thank you Christopher for the song sooo powerful all Glory to God may God remember in his Grace n Favour
Continue blessing kaka
Oooh yes nice song and blessings to many soul. Nifungulie mlango mungu wangu🙏🙏
Awa Nzambe ye moko azo Bina pour sa gloire . Nzambe azua lokumu .
Nyumba yangu yajawa na utukufu mwingi juu ya hizi nyimbo zako ubarikiwe mtu mungu
Always inspiring,Ur songs uplifts and encourages,may God open All doors of blessings in Ur life, Mungu kutana na nahitaji ya mioyo yetu..Amen🙏🙏🇰🇪
Gloire au Seigneur notre Roi Jésus Christ de Nazareth
Fungua milango
God open my financial doors for me
Wimbo umenibariki sana mtumishi endelea hivyo kwa kazi nzuri. Nilikuwa na huzuni sana umeisha
Umenibariki sana , Mungu akubariki saaana