BALAA! MGOMBEA URAIS AFUNGUKA SIRI NZITO YALIYOPO TLS, SAKATA LA MWABUKUSI, ADAI YEYE HATOJIONDOA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024
  • #TANZANIA: Mgombea Urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), afunguka mazito sakata la Mwabukusi na yaliyomo kwenye chama hicho, adai pamoja na kuenguliwa kwa Wakili Mwabukusi kinyume na sheria, yeye ataendelea kugombea Urais wa TLS.
    Zaidi: • BALAA! MGOMBEA URAIS A...
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 10

  • @user-lj6ey7mr4w
    @user-lj6ey7mr4w 24 дні тому +3

    We need Mwabukusi cause ni mzalendo wa rasilimali za Tanganyika

  • @ephraimsaimon3125
    @ephraimsaimon3125 16 днів тому

    Wasomi Tanzania hawana maana kuwepo Kama nchi kwenda kwa mtindo huu. Pole. Wasomi .

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 24 дні тому +1

    Ni aibu kwa wanasheria kukubali kutumika bila kujali umuhimu wa kazi zao. Na kama mnamchagua anayependwa na Raisi au chama tawala badala ya kuangalia maslahi ya nchi, haki na watu wake basi hatuna mawakili. Itabidi tukawakodi toka nje na nchi yetu haitathaminika hata. Mmeshajionea mfano wa mawakili wa serikali waliopelekwa Marekani hata sifa hawakuwa nazo kabisa na ikawa so disgraceful kwa Taifa letu. Bila aibu tena naona yanajirudia. Umoja wa wanasheria katika kila nchi ni muhimu sana. Acheni utoto, uchawa na uchama. Muwe profesional angalau kutokana na kielimu mlizozisomea na adabu zake.

  • @damianjosephkanuti3863
    @damianjosephkanuti3863 24 дні тому

    uchaguz usimame

  • @damianjosephkanuti3863
    @damianjosephkanuti3863 24 дні тому

    huyu ni mwoga keshafeli

  • @carolsangawe2024
    @carolsangawe2024 24 дні тому

    Kwanini unadhani mwabukusi asipiganie haki yake na wakati huohuo unakubali kuwa uongozi ni uozo na kunahitajika mabadiliko makubwa? Yaani yeye asihangaike kugombea urais lakini wewe ubaki kugombea! Bado sijaelewa kwakweli 😢

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 24 дні тому

    Without unity can be easy mwabukusi win such group because is the network of ccm creat lmotion into that tls tanzania low sosayart election get president of that organization but is not going to easy for mwabukusi to win them although team organization of tls want mwabukusi to be president of tls anless thouse who sport mwabukusi take responsibility to go back to odinary Tanzania population backing mwabukusi so that can Tengforce power to achieve tls plan on court

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 24 дні тому

    Kwan mwabukusi nchi ni nani? Mbona mnakuwa na akili ya kushikiwa?? Ccm oyeee😂😂

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 24 дні тому

      CCM inahusikaje hapo? We ni chawa

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 24 дні тому

    Huyu hamna kitu kibaraka mkubwa wa ugawaji wa majiko ya gesi nchi mzima