Hujamuelewa Diamondplutnumz, Amemaanisha kuwa anandoto zakuwa tajiri namba moja duniani kuliwakilisha Taifa lake sio wa Dunia nzima, Elewa nini mtu anasema boy tunakufatilia coz unaongeaga facts but unataka kuanza kupotea bro iseti hiyo.
Namimi ndoto yangu nikupata nafasi yakuka njeya nchi nipate kutumikia mungu nikiwa na uwezo wa kutunza familia yangu na jina niweze kulikuza kupitia kazi za mungu
Nice dream,inawezekana na sana sema wengi wanaamini jambo likisha fanyika tambueni kuwa uhalisia na ukweli ni ngumu kujua juu ya mwingine kwahiyo maneno yake mtayaenzi maana kasha ona wapi amefika nguvu yake ni kubwa sana .kama mtu kafikia kuwa na bidhaa yake unahisi nini kinafuata hao wenzetu ndo wana mitandao ko hata kama kashuka kiuchumi bado watamsema watakavo ona but kaka yetu kaona nani asiyejua hisitoria yake kaka hana miaka 40 ila uchumi wake unaogopesha mpeni miaka kama ya ilon musk 50 na zaidi vipi atakuwa wapi
sio kitu rahisi lakini kinawezekana, hata kama atakuwa namba moja walau east africa itakuwa poa. ila inabidi anavoenda kimataifa aendage pamoja na biashara zake.. mana uchumi tu wa Tanzania yetu unaingia mala 4 ya utajiri wa elon musk, sasa mpk kumfikia ni lazima atawanyike na kuwekeza kwene chumi kubwa. umri unamruhusu ni kuthubutu tu.
@@materulivin5921 Matajiri wenye hela Tanzania huwa hawaweki pesa zao Tanzania wanafanya investment njee ya nchi huwezi kuwajuwa wanangapia hilo lazima ulijuwe
It's possible lakini, JAY Z mwenyewe hawezi fikia hata robo ya utajiri wa MICHAEL JACKSON! SHOW MOJA ya MICHAEL JACKSON was equivalent to the salaries paid to all USA Members of parliament! Fanya research kabla hujakuja kubisha kisha gonga like! From 🇰🇪.
Inawezekana unajua Tanzania tuna madini mengi akilideal na hayo mambo anaweza kutoboa ila mziki peke yake hapana atadanganya maana hata wasanii wakubwa wa marekani bado hawajamgusa elon musk 😂😂😂😂
Middle simba inabidi tumsikilize natumpe support tajiri wetu maana kunasiku aliongeaga kauli hiyo tena yakununuwa Rolls royce kuna wajinga walimpinga tena shauri yenu
Ndoto yake nikubwa sana kiukweli yani bora msani una ndoto yengine sio kutegemea muziki tu bravo Diamond❤❤
Mungu akutangulie ila mimi nnandoto za kua msanii wa WCB
😊😊😊😊😊
Hata mm mungu akipenda naweza kuwa tajiri inshallah
Ndoto Njema hio Simba 🙏....sio Harmonize Mzee Popo... Mchawi 😭😭😭😭😭
That's his dream n heavy God shud bless him alot
Always dream Big 🙌
Big up brother Diaomond platnmuz, never give up ❤
Wewe ni mtu ambaye unanipa sana moyo kuwa one day nitakuwa mtu fulani kwenye jamii
Hakuna kitu hakiwezekani chini ya jua,nani angejua diamond atakua mwenye tunamuona leo hii.tunakupenda Simba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪+254
Anawez bwana cc tunamali nyingi sana bongo madini ukijuwa yanahela
God bless Simba 🙏🙏🙏🔥
😂😂😂😂😂simbaaaaaa
One dei yes🙏
God bless you SIMBA❤❤🎉🎉🙏🙏🙏🙏
Anaweza
Tumshukuru diamond platnumz kwaku tuwakilisha Eeast Africa ki muziki
Mimi naamini ipo siku ndoto yake itatimia kwasababu anajituma sana kwenye kazi zake🇺🇬🇨🇩🇹🇿🇰🇪🙏🙏
❤
Nami piya nakuunga nkono kaka yangu aujue
Simba
Jamani Tanzania upo mkwanja mkubwa sana
hii ilikuwa ndoto yangu tangu nikiwa kijijini kuwa tajiri namba moja duniani.
We na damondi mnaendana
Mmhhhhhh kumbe ni hivyo tena😂😂😂😂
Nasibu alikua amelewa
Kweli
❤❤❤❤
💯♥️♥️
Anaweza kuwa Tajiri juu angali muzima
Story za juma na uledi hizoo
Simba naomba namba
Sasa kaka
Chombo chako hakiwezikua ata chombo namba moja Tz kwasababu chombo chako unakipeleka kiuchawa uchawa
Yani uwe tajiri wa dunia na unaishi Tz??? Bora ungekuwa kwenye nchi yenye uchumi wa juu zaidi
Kila mtu na Dunia yake
Ungesaniwa WCB Ingekua 🔥 Kila sck wcb
Hujamuelewa Diamondplutnumz,
Amemaanisha kuwa anandoto zakuwa tajiri namba moja duniani kuliwakilisha Taifa lake sio wa Dunia nzima,
Elewa nini mtu anasema boy tunakufatilia coz unaongeaga facts but unataka kuanza kupotea bro iseti hiyo.
God bless you simba
like the song on the videos,,,please can someone tell me the song
He has long way to go
Namimi ndoto yangu nikupata nafasi yakuka njeya nchi nipate kutumikia mungu nikiwa na uwezo wa kutunza familia yangu na jina niweze kulikuza kupitia kazi za mungu
Ndoto njema kaka mondii..nakutakia kila lakheri
Duniani!!!hata Tanzania kaz
Inawezekana juhudi tu
godbless you brother,sema insha allah
Akaze2❤
🇺🇸kikubwa huzima mtu alizaliwa mikono mitupu God is bless you
My dream bro 🌎
Ww nitajr lkn duniani muuh
God bless you
Umetisha mond
Weu umeanza
Ukivuta bange jua. Kali, new York; inakujja miguunii
Nice dream,inawezekana na sana sema wengi wanaamini jambo likisha fanyika tambueni kuwa uhalisia na ukweli ni ngumu kujua juu ya mwingine kwahiyo maneno yake mtayaenzi maana kasha ona wapi amefika nguvu yake ni kubwa sana .kama mtu kafikia kuwa na bidhaa yake unahisi nini kinafuata hao wenzetu ndo wana mitandao ko hata kama kashuka kiuchumi bado watamsema watakavo ona but kaka yetu kaona nani asiyejua hisitoria yake kaka hana miaka 40 ila uchumi wake unaogopesha mpeni miaka kama ya ilon musk 50 na zaidi vipi atakuwa wapi
sio kitu rahisi lakini kinawezekana, hata kama atakuwa namba moja walau east africa itakuwa poa.
ila inabidi anavoenda kimataifa aendage pamoja na biashara zake.. mana uchumi tu wa Tanzania yetu unaingia mala 4 ya utajiri wa elon musk, sasa mpk kumfikia ni lazima atawanyike na kuwekeza kwene chumi kubwa.
umri unamruhusu ni kuthubutu tu.
Middle Simba, wewe jaribu hata kuwa tajiri wa kwanza katika wilaya kama utaweza 😀😀😀,mmeanza mizaha na masiala walai
Huyu dogo anandoto anazoota akiwa hajalala kwanza aanze na Tanzania
😂😂😂😂😂😂😂
Tanzania tayar yupo top ten au nalo una bisha
@@materulivin5921 Matajiri wenye hela Tanzania huwa hawaweki pesa zao Tanzania wanafanya investment njee ya nchi huwezi kuwajuwa wanangapia hilo lazima ulijuwe
Simba Kama simba
Inawezekana umri wake unambeba
Namuombea aendelee kuota ndoto hiyo hiyo naasije akaamka mpaka itimie.
Diamond huo uongo bwana🤣🤣🤣
Kila kitu kinawesekana
Dogo anaweza hakuwa hivyo alivyo alikywa fukala
Utakua Tu kijana mwenzetu. MUNGU AKUTANGULIE KTK HILO. ACHANA NA WAVUTA BANGI NA YULE MVAA DELA MWIJAKU
It's possible lakini, JAY Z mwenyewe hawezi fikia hata robo ya utajiri wa MICHAEL JACKSON! SHOW MOJA ya MICHAEL JACKSON was equivalent to the salaries paid to all USA Members of parliament! Fanya research kabla hujakuja kubisha kisha gonga like! From 🇰🇪.
Wakucopy dangote bdo ache uwongo
Usjali simba
Mungu mkubwa kila kitu kinawezekana kabla hujafa
Mola akujaliye uwe hivo kia kitu kinawezekana kama huja fa
We mond umefika qabaya umiliki maroketi ya kwenda mwezin
mimi ndoto yangu nikuwa mke wako ukisha kuwa tajiri wa dunia nzima
Bangi apunguze
Baba simba umewaza mbali ila usikate tamaa utafika baba
Afuate ushauri wa mwijaku aliomshauri kupitia post yake huko IG
Tajiri namba moja duniani lazima uwe engineer tu hakuna namna nyingine.Na ni engineer wa mambo ya technology basi
Ulevi upo
Hakuna ubaya kwa ndoto zako lakini kuthibitisha kijana huwezi,mimi napenda sana ugali lakini usiku sili kwa kuogopa kuweweseka.
Mbona umeshindwa kununua ndege
Middle simba mbona una sahau kuwajuza wadau kuwa diamond kuwa kwenye top ten ya matajir tanzania anaingia au hiz data huja zifuatilia
Anataka tuu kiki huyu 😂😂
Dayamondi kama ningekuwa nina namba yako ningekulifiti sist hatujulikani ushauri hupo diamonds kuw.a tajiri namba 1 nitafute daimondi
Elon musk ni msauz African
Middle bhn 😂😊
Sasa huyu kafikaje tajiri na daimond ashindwe
Nchi yako inazalisha matajiri mkuu??!!
apo kabla mafuta ya diddy sio?
Inawezekana unajua Tanzania tuna madini mengi akilideal na hayo mambo anaweza kutoboa ila mziki peke yake hapana atadanganya maana hata wasanii wakubwa wa marekani bado hawajamgusa elon musk 😂😂😂😂
Wewe acha kunywa pombe kali ita kuasri. Kuwa makini usije kuchanganikiwa.
Ndoto za farao hizo 🤣🤣🤣😂
Ndio bwana. Hatuwa yako. Kubwa tena piga cm kwangu ufike haraka sana kwenye ndoto zako plani ipo ...bongo ni raisi

❤❤
Afuate ushauri wa mwijaku aliomshauri kupitia post yake huko IG