Walahi na apiya kijana uyu ni mkali, Hanstone pambana broo unakipaji Ongeya na tembo piya na chui wakupe collabo nakuambiya utatoboa achana na aowashamba
Bwana mdogo kwakuwa ni sanaa tu lakini acha masikitiko kwa diamond pia kwa yeye kumsaid D voice hiyo huwa tunaita ni kalma huenda usingekuwa na maisha marefu pale WCB hivyo nakushauri acha masikitiko piga kazi watu wanaamini kwenye uwezo wako Mimi pia napenda sana uwezo wako usiache hiyo nyota ikafifia zungumza kuhusu wewe acha kuwapa airtime watu wasio na faida kwako shida yetu watanzania kuna wengine watapenda hii bifu lakin hakuna mafanikio kwenye vita ya uovu mdogo wetu watanzania na east Africa wanakupenda
Mwambino anajiona nani ...diamond platinumz Mjusi kafiri.. dvoice Alafu aty nani anapua kama tofari eeh baba levo..chawa mcheza kamari am a kenyan but yoooooh bro am down flat for this tz boy
Mwanangu we unajua kuimba kulko d voice na ata wanakukubal wachache sana tofaut na d voice gin yeye. Apa kabra hajaenda usafin aliwai kuwa na jina linauza Ata nyimbo zake zinauzka ww hujawai ata fikisha views ata 800k zaida ya nyimbo yako ya ‘acha lipite’ ndo ina views 650k ndo ujue nyimbo zako zote sawa na nimbi moja d voice
Kiukweli huyo kijusi aliemchukua hakufuki bloody i swear hakufiki ila usichoke usiwaogope kma mavoko nimekuelewa sana wao ni viumbe kma wewe watumie nguvu za Giza ila wewe tumia kipaji kwa nguvu zako unaweza bloody one❤ 😢🙏🏽
Ginx66 alikushauri ujinga yeye saiv kamganda jay melody we umebaki unatapatapa muone d.voice mwenzako anakula life tu na mda sio mrefu anaenda kuwa msanii mkubwa east Africa
Acha TONE aongee hisia zake cz kaongea Kwa mashairi na mziki ndio sehemu Yak yakuongea ya moyoni shabiki shabiki tu Hawezi potea kisa mwana kaongea hisia zake akaongeleee wap sasa au akufate geto akuambie wewe *uck
Asa c ndo anaimba music mpka kakaa trending 12.. 😂😂 Kuna wengine wanaimba point za maana lakini hata trending hawakai.. bongo mziki bila kuwagusa wakubwa hutembei😂😂😂 Nyimbo kiki
Hata hao wanyama unaowataja kuna scheme walikubali kutumika kabla yakuwa wakubwa,so mdgo angu achana na kujivunia kipaji pekee kama hauna wakukupeleka unapohitajika bila kutumika,utaishia kula madawa kwa stress mziki ndo upo hivyo,
Kuna GADHABU na GAMIDHA kikawaida mtu wa kawaida tu kama sio msanii huwa Ana GADHABU lakini mtu ukiwa msanii unakuwa na GAMIDHA ivyo basi Hanstone yeye GAMIDHA yake imemtuma ivyo na hapo kawa Mweupe katoa Sumu kwa kuimba SAFI kijana 😁🔥🔥🔥
kipaji bila watu wa kukushika mkono nisawa na sifuri, now unahitajika kufanya investiment. toka atoke WASAFI mpka sasa yupo wapi kulikuwa kuna haja gani ya kuendelea kuwaimba watu si afanye mziki wake au anatafuta KIKI
Sijaiskiliza vizuri lakini melody zote za zuchu niza huyu mwamba GONGA LIKE KAMA UNAMKUBALI HASTONE
Melody za Marehemu Sam wa Ukweli
Wanaoamini kipaji cha HANSTONE bila unafiki gong like hapa
Chawa mcheza kamari muliomufahamu kama ni baba levo gonga like hapa😂
Hans duh angalia my bro unaweza San ila tajiri anuniwi nidham ni utajiri tosha kwetu 🎉🎉🎉
Ambao wameletwa huku na Chapo wa Twitter like hapa tujuane😂😂
Kwan likes hua zinaWASAIDIA NINI MKUU…!!??😂😂
@@innocentmahendemwita1090 jifunze kuandika
Natamani ningeeza kukupaisha mm pekeangu dogo, yani pure talent wala hutumiii nguvu one day yes much love bro from+254 # 001
Hatimae Bubu Leo kasema. Big up bro. Dope song. Wanajiona washamaliza wale wana#washamnatu.
Walahi na apiya kijana uyu ni mkali, Hanstone pambana broo unakipaji Ongeya na tembo piya na chui wakupe collabo nakuambiya utatoboa achana na aowashamba
Noma mzee 💥💥💥💯
Pole bwana mdogo. Dah wamekufanya vibaya sema. Kila kitu kinaenda na riski riki yako ipo kuimba peke ako. Utatoboa💪💪
Tulio rudia hii nyimbo zaid ya mal mbil like zen pls
🔥🔥🔥
💥💥💥🇨🇩
🔥🔥
🔥🔥@@KambaleSiméon
@us🔥🔥er-sr8oc8si6k
from kenya kayole brother uko na talent ndunguuu
Baba levo kula chuma //d voice kula choma hila uwete mwezako mjusi kweli😂😂😂😂😂
Mungu mkubwa tuko nyuma yako dogo.... hao hawakuwa watu sahihi kwako.... Mungu akukutanishe na watu sahihi🙏
Diamond kajiona mungu 🎉🎉kali sana handstone kali ❤❤❤❤
Love from Rwanda 🇷🇼 ❤
Ms****ng kweli wew jiwe tena mkaa wa mawe unayayusha kila anina ya chuma UNAJUA MWANANGU SANAAAAA
We toa ngoma qali mengne waachie mashabiki ndo watajuaa....
Huyu mtoto anajua kngese mengine ni yakawaida ajuae ni mungu
God still with us bro washamba tu!
Mnao amini huyu twiga ni marioo gonga like hapa😂😂
Huyo mtoto snitch,,,aaaaaah muwache
😂😂😂
Huko ni king kibakuli😂 wanao miliki label
😂😂
😂😂😂
Bwana mdogo kwakuwa ni sanaa tu lakini acha masikitiko kwa diamond pia kwa yeye kumsaid D voice hiyo huwa tunaita ni kalma huenda usingekuwa na maisha marefu pale WCB hivyo nakushauri acha masikitiko piga kazi watu wanaamini kwenye uwezo wako Mimi pia napenda sana uwezo wako usiache hiyo nyota ikafifia zungumza kuhusu wewe acha kuwapa airtime watu wasio na faida kwako shida yetu watanzania kuna wengine watapenda hii bifu lakin hakuna mafanikio kwenye vita ya uovu mdogo wetu watanzania na east Africa wanakupenda
HII ILITAKIWA ITOKE WAKATI ULE..WANAOKUBALIANA NIONE LIKES HAPA
Imagine! washamba tu
Hakuna mziki hapa yaan unatoa lawama kwa kuji'proud kweny hamna toa hit song watu adi wastuke
Iko wazi kwa uwezo wako,wanajua wee mkali achana naooo pambana stoneboy. Keep moving young
Hope time yako itafika utatusua mkuu, inshallah
Ndo ushapotea tena bahati haiji mara mbili
Mwambino anajiona nani ...diamond platinumz
Mjusi kafiri.. dvoice
Alafu aty nani anapua kama tofari eeh baba levo..chawa mcheza kamari am a kenyan but yoooooh bro am down flat for this tz boy
Tnakuhitajiii the throne crown media
DIAMOND NA MARIOO (YAANI KINA ABBAH ). wamesemwa mnoo
🇧🇮 Hanstone msanii ninayempenda sana,bro toa video hii itafika mbali zaidi halafu wanaikwambia ngoja wapate kukusaini
Sijawahi koment hii imenigusa sana mengi chini ya Kapeti
CHAWA MCHEZA KAMARI, PUA KAMA TOFALI🎶🎶🎼🎼😀😀
Ngoma kali🔥 ila mwambino bado yuko busy na komasava ndo inazidi kuwa ya moto hato kujibu, 🙆🏽♂️, ungetowa ili dubwana mda ule una ondoka wcb
Dogo tulia fanya kazi acha kiki utapotea
Jitafute mungu hagawi kwa kuangalia sura kila mtu Ana yake!
Atapotea mara ngap tna
DOGO atafeli kuwadis wengine
Mwanangu we unajua kuimba kulko d voice na ata wanakukubal wachache sana tofaut na d voice gin yeye. Apa kabra hajaenda usafin aliwai kuwa na jina linauza Ata nyimbo zake zinauzka ww hujawai ata fikisha views ata 800k zaida ya nyimbo yako ya ‘acha lipite’ ndo ina views 650k ndo ujue nyimbo zako zote sawa na nimbi moja d voice
Ujui mziki
Noma sana mkaliii😂
Wewe Kuma !! kumanisha mavoko umetisha unakili my self
Nimekuja kusikiliza hii nyimbo baada ya mwez mmoja toka imetoka tena baada ya kuhojiwa crown media ,toni unajua sana 😂
Ngoma kali tena saana am from Burundi 🇧🇮 nimeikubari ngoma kiukwer
Kama umerudia zaid ya mala mbili gonga like hapaa
Mjusi ndio D voice eti😂😂😂😂😂…gonga like kama umemwelewa mwana !
Kiukweli huyo kijusi aliemchukua hakufuki bloody i swear hakufiki ila usichoke usiwaogope kma mavoko nimekuelewa sana wao ni viumbe kma wewe watumie nguvu za Giza ila wewe tumia kipaji kwa nguvu zako unaweza bloody one❤ 😢🙏🏽
Hanstone talent kubwa Sema sapoti wanapewa chawa
🇰🇪 Hansstone msanii ninayempenda ❤❤❤❤
We ni bingwa unajua Sana ,wasafi wakwende uko
MZIKI HUNAPESA HILA KUZIPATA PESA NDIO MZIKI , MUZIKI WA TZ HUNA MAMBO MENGI BIG UP👏👏💪 ALL THE BEST FUNDI WA MUZIKI
Hanstone umetisha sana bro. Saluti kwako
Mziki kipaji kaka toa hio video itaenda sana
Bombastic...Dogo umeanza kuivaa aisee ...Yaani Nimechoka na hii ndiyo Ngoma aisee
Mpenz wangu amekuwa shemeg washamba tu kumbe alikuwa demu wake Zuuuuuuuuu hahaha 😊
Dah inauma
Toa magoma makali sasa mashabiki wako tuko eager😊😊
Washambaaa
Ginx66 alikushauri ujinga yeye saiv kamganda jay melody we umebaki unatapatapa muone d.voice mwenzako anakula life tu na mda sio mrefu anaenda kuwa msanii mkubwa east Africa
Labda awe mkubwa kwa ndugu zake nyumbani 😅😅
Unajua kijana, pambana lakini ndugu mungu yupo🔥🔥🔥
Ongea yakutoke bro Zidisha maguvu mziki mzuri👏
Nataka Like Ya Msanii Hanstone🎉
D voice hapa hafuii dafuu ata kidogo
Sad story kaka 😢😢😢😢 #WASHAMBA TU 😢😢😢
Mnao amini Mimi ni handsome Tz nzima gonga like 😂😂😂
Nimependa vile hii nyimbo haikuenda kama alivyo tarajia yan ata wambea hawakuishulikia😂😂😂😂
Eeee😂 kumeanza Kuchangamkaaa sasa🌍🎵🔥🔥🔥
Og
Kaka fanya mziki hizi mambo za kusemana tuliziacha 2019 we piga tu mziki wako u hav a big talent
Unaonaje Bro Hii Coment Tuipin Iwe No.1
Point sana atapoteza mashak
Acha TONE aongee hisia zake cz kaongea Kwa mashairi na mziki ndio sehemu Yak yakuongea ya moyoni shabiki shabiki tu Hawezi potea kisa mwana kaongea hisia zake akaongeleee wap sasa au akufate geto akuambie wewe *uck
Asa c ndo anaimba music mpka kakaa trending 12.. 😂😂
Kuna wengine wanaimba point za maana lakini hata trending hawakai.. bongo mziki bila kuwagusa wakubwa hutembei😂😂😂
Nyimbo kiki
Waliokuja hapa kusikiliza baada ya uchambuzi wa middle simba gonga like tujuane #washamba on top 🤣🤣🤣
stoni boy😍
Wanao amini huyu jamaa mjinga na alikurupuka wekeni like.
Ana kipaji Acha ajipambanie kama wanaogopa competition huyu ni mkali kushinda ibra na d voice and that's facts
Hii nyimbo kwa wanaokufatilia nadhan wamekuelewa sana broo hata sisi tunatambua sana ulichokiimba me wew unajua sana zaidi na huyo mjusi 🙌🙌
Unaweza kaka na unajua
Tupo pamoja mpaka kufa hanstone 🙌🏽🙌🏽❤
Much love from 🇧🇮.
I like this song. Its melody is so so amazing. Big up bro.
Hanstone wewe ni mshamba sanaa😂
Dogo mkali sana wa kuandika,,melody sasa🙌🙌
Nilimiss miondoko ihi Hanstoni unaweza sana mze wngu
Diamond ni mmojatu,so your lucking peace because of Him daaaaa😂
Yani hapa umeuzungumza ukweli.
1.we mkali❤
2.pengo lako yule jamaa hajaliziba
3.Kuondoka kwako mie wala skuona kama jeuri
Yaani umeuzungumza uhalisia
Fanya mziki kaka sie mashabiki zako tupo kukusapoti
Riziki hawatoi wao
WASHAMBA TU😂😂😂
Kabisa yan
Haikua riziki kaka
Usifadhaike Familia
Huyu jamaaa na style za mambele afu anajua sana yani.
Mtoto mbaya sana Yani uko juu sana
Ukisha ona mutu kaimba ivi ujuwe ukwel upo kbs inasikitisha irakaza braza
Nakubali unatisha❤baba wewe fundi
Gosto muito do seu trabalho hanstone
Wakulimwa tu🎉🎉🎉
jamaa ni fresh,,much love from capital city of Africa Kenya 🇰🇪
Uyu Kwa dvoice bado sana just to say the truth the tall man is fire
Hell no
Hujui mziki ww mfatilie vzr huy mwamb
Mwamba huyu🎉
Kenya 🇰🇪 tunakutambua release music
Twiga ni hanstone yeye mrefu adi anawaona wengine washamba ama ajee😂😂☠️☠️☠️🔥🔥
Hanstoni ni mkali jamaaa
Tuliogundua Mjusi ni D voice😂😂😂😂😂dondosha likes
Hata hao wanyama unaowataja kuna scheme walikubali kutumika kabla yakuwa wakubwa,so mdgo angu achana na kujivunia kipaji pekee kama hauna wakukupeleka unapohitajika bila kutumika,utaishia kula madawa kwa stress mziki ndo upo hivyo,
Kawaida sana.
Washamba
Kuna GADHABU na GAMIDHA kikawaida mtu wa kawaida tu kama sio msanii huwa Ana GADHABU lakini mtu ukiwa msanii unakuwa na GAMIDHA ivyo basi Hanstone yeye GAMIDHA yake imemtuma ivyo na hapo kawa Mweupe katoa Sumu kwa kuimba SAFI kijana 😁🔥🔥🔥
Verse ya mwisho ni kali sana❤
Mwambino was just chilling 😅
MAMAEE hans umekili mzeee
Washamba tuh mamae 😂🙌🔥🔥
Tuifikisheee M1 ❤❤😂😂😂😂
Wanaoamini kipaji cha HANSTONE bila unafiki gong like hapa
kipaji bila watu wa kukushika mkono nisawa na sifuri, now unahitajika kufanya investiment.
toka atoke WASAFI mpka sasa yupo wapi
kulikuwa kuna haja gani ya kuendelea kuwaimba watu si afanye mziki wake au anatafuta KIKI
Kweliii@@LyonWalker_kweliiiiii ndugu yangu
@@LyonWalker_kwelii umeongea point sana mwamba mziki unaitaji promotion na investiment yakutosha
Anajuwa sanaaa
Mm😢😢😂😂😂
Ukichukia mafanikio ya wenzako na kubaki kuchukia badala ya kupambana unakuwa mshamba kabisa
Kabisaa,dogo ndo kaonesha ushambaa 😂😂
@@barakamclean6758 kama kakataliwa aendelee na maisha yake,apambane,ama aende kwa konde au chui,si kasema wanae?
@@Princekenzie_254 ata mie ndo nashangaa
Mapambano yaendelee ila sio kwa kulaumu watu kwenye biashara zao
@@barakamclean6758 hii injili wahubirie watanzania maana wanazingua sana. Huku kenya hatunaga hizo