Yeye ndio alikuwa anamuandikia Yammi kwa bahati mbaya wenzetu wanawake huwa ni rahisi kutoka sasa jamaa anaonekana kama ndio anacopy lakini hii ndio Identity yake mfo kuna dem anaitwa Appy anaimba pia kuna chaliu anaitwa Nanay ndio alikuwa akimuandikia Appya mapaka akatoka sasa hivi Nanay kaanza kurelease kazi zake watu wanasema anamcopy Appy so hata kwa Aslam hutokosa Hizi comment ila huyu ndio alianza..
Brother otile mie nimekuelewa sna tena sna ila bado kuna watu wanataka tuzidi kuumia kisa sisi niweusi ujumbe umefika tujikubali kama wa Africa bana wakubwa pia wao ni wa Africa watutendee haki
Video pia umeitendea haki mzazi unyama sana story imeendana na uwalisia naombeni like zangu jamani
Broo umeuwa san me Kuna jamaa mchna kapita anaipiga nikamuomba Jina lako hongera San kaka
Kuna ku like mwisho mara ngap 😢😢😢😢😢naipenda hiii nyimbo kwa siku nasikiliza mara 10 zaid 😢😢
😢😢
Daah 😢
😢😢😢😢
Wanamuita aslam tz umeisikiliza Mara ngapi na ukiwa wapii gonga like na comenti mkoa uliopoo@ aslam tz
😢😢😢
malanyingi2 mpaka babe kauliza my tumekosana!!! nkajibu no huyu jamaa anajua me naimba so kunaki2 nmejifunza kwake
Mara 3 nkiwa saudi arabia
Nipo dar nimeangalia mara kumi
Naipenda sana hii nyimbo hata nishinde naiskiliza hainichoshi 🥰🤗
Nazeeka na bado mdogo ananionyesha matukio
Siwezi fosi moja ije kua mbili magharibi kuifanya alfajiri😢😢
Aki mapenzi wewe
😂😂😂
Huyu jama anajua asee. Shabiki yako mpya hapa
🎉
Yeye ndio alikuwa anamuandikia Yammi kwa bahati mbaya wenzetu wanawake huwa ni rahisi kutoka sasa jamaa anaonekana kama ndio anacopy lakini hii ndio Identity yake mfo kuna dem anaitwa Appy anaimba pia kuna chaliu anaitwa Nanay ndio alikuwa akimuandikia Appya mapaka akatoka sasa hivi Nanay kaanza kurelease kazi zake watu wanasema anamcopy Appy so hata kwa Aslam hutokosa Hizi comment ila huyu ndio alianza..
❤❤❤❤siwez force moja ije kuwa mbili magharbu kuifanya alfajiri
Nikisikiliza hii nyimbo namkumbuka dida jmn sijui kwann 😢😢😢😢😢😢
Nyimbo nzuri sana❤
chukua maua yako
🎉🎉🎉🌹💐
Huyu Jamaaa anaimba kama yammi ama namsikia peke angu
Kweli😅😅
Unaskio kweli😂
Kwwlii kumbe na hata ww unajuwa mzik ndugu maanq ni wachache waloligungua hilo
walijuwaqa wanafanya mazoez kwa mocco so kn vtu vtakuwa vnapandana yaan lazma
Ujakosea kusikia uno umo mwa yammi
Nimeskiliza mara kumi hata mia inafika❤
All the way from Zenji#Marashi ya Karafuuu..❤❤❤🔥🔥🙌🙌🙌
Tangia nimezaliwa 1994 hadi leo 2024 huu ndio mziki mzuri kwangu
Kiukweli naipenda San hi nyimbo hongera Aslam
Ngoma Kali sana hii pacha
Brother otile mie nimekuelewa sna tena sna ila bado kuna watu wanataka tuzidi kuumia kisa sisi niweusi ujumbe umefika tujikubali kama wa Africa bana wakubwa pia wao ni wa Africa watutendee haki
🎉🎉🎉🎉🎉 🎈
Ivi ni binadam gan....👍 umetisha sana hpo
Umeuwa mzee
Dogo anajua sana sema akikata hako kamustachi atatoboa🔥🔥
Yuko vizuri dogo all they way to Sa Capetown nainjoy gud music
Hii video n kali sana pia ngoma
Unajua saaan hapo kweny sauti unanopa raha yanii
msanii mdogo kutoka kenya wapi support kwenu, aslam my role model
Let's gooo... amaizing work 💯💯..yaani unyama mwingi 💕💕🔥
Naukubali uwezo wako Kaka hujawahi feri Ni Moto sanaaaaaaaaaaaaaa
Kijana mzuri wasura mpaka sauti mashaallah ❤😍
🎉🎉🎉🎉
Keep going bro 💪 you will make it,,may God continue uplifting you
Safi sana kijana ngoma kali sana🙌🙌🙌🙌
Dah, ila siosili unajua sana na sijui Mimi ni shabiki yako wangapi ila nakukubali sana . Ja afanye wepesi ufike mbali ❤❤❤
Duuh nataman tuendelee namoto huu🎉🎉🎉
Naipenda sana hii nyimbo yako hongera sana aslam❤❤❤❤
Mm nipo single
Kijana uko juu kuwaliko wasanii wakubwa hapa kenya
😂😁
Imba yakwmboa mbwa wew
Hata tz wapo wengi wakubwa ila hawana kitu
Walae wewe ni fala tu,akili yako imejaa mafuriko🙄
Kijana mnoma sana huyu
Ngoma Kali sana na umenifanya nitulize moyo wangu maana nipo mbali na mpenzi wangu team Gulf mbali na nyumbani 🇶🇦
Noma Sana hii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kalii mzee
Aslam Tz kiukweli Unajuwa SaNa bro 🎉🎉❤❤
Nakubar mzee baba video kali sana
Ngoma kali sana iyo umetisha sana ata mm niliachika juzi 2 imenigusa sana
Kazi nzuri sana keep it up young man. I see another diamond and kiba in you
Huu wimbo unanifanya nalia Sana
Mungu aibariki zaidi hicho kipaji uko smart broo🥰🥰🥰
hivi nibinadamugan hasie nahuruma hatakidogo namiss kubembelezwa ilatukikutana linaanzazogo
Mpiga violin alitakiwa apige Guitar sababu ndio limetawala sana kwenye wimbo
Unaimba kama yammi ila ngoma kali sana sisi mashabiki zako tunaomba ubadili style ya kuimba
❤i nyimbo kila cku naiyona lkn cjaiangalia c leo nikasema acha niangalie ...FIREEEEEEE
Unajuwa sana kazi mtafute Luck princ,na darkid
Kazi Nzuri Nomaa Sana Mashairi Mazuri
Good song kuimba uko vizuri ila sauti kama ya yamii
Angalau Kassim kapata kijana mwenye kuweza kuimba kama yeye ..!!
Vikaswida kaswida flani hivi amazing..!!
Kijana umecheza kama wewe nice keep it
Mmmh kwel aloo huyu mwamba fundi nikwere
Dah broo unajua mwangu san 🎉🎉🎉🎉
Ngoma Kali salm🔥🔥
Kwani nimangp nimfanyaaaa😢😢😢😢
Aslam TZ mpaka mara region tunampata vemvema
Mmeona ni mzuri .kwanin ham like share,comment jamn .ingekuwa awa ma sta wakubwa ingekua ma millions ya views
Yammi
Nimetoa machozi...Hasa pale NIMESHAKUWA ADUI....YAANI KAMA HANIJUI....YAMESHAKWISHA MAPENZI😭😭😭😭😭
Bonge mojaaa la artist TZ tumebarikiwaa
Video Kali sana nyimbo Kali bas uchoki kutazama
nataka instrumental ya wimbo hi
Nazidi kumpenda jamaa langu jmani
Nilitaman siku Moja hiii Ngoma ikae trend ndoto yangu imetimia🙏💯
🎉🎉🎉
Na wewe nom san
Uko sawa lakini wameachiana mbali kidogo
🔥💯
Nyimbo nzur masha allah
Huuuuu nakupa maua yako Kaka🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
💥💥💥💥🔥💯
uko vizuri bro well and goog nakukubali wapi likes wenzangu
Imeweza sana,natamani kulike mara mia lakini ruhsa sina😂😂❤❤❤
umenisha wish kusiklza iko pw 👍
Anaimba vizuri san❤❤❤❤❤
Kaka umetisha we ni noma sana
🔥🔥🔥
Sema majagi kafanya poa sana ndani umu mzeee ongela sana
Safi kazi nzuriii utafika mbalii kaza kaka
mdogo wangu unanimalizia mb dah 🔥🔥🔥
🦅
mpenzi nipendo bania wawili.❤
Kama akupendi nipende mini❤❤
Nakubali San😋😋👊👊
Kaka unaweza pongezi kwako
Kweli anajuwa musique 😢😢❤❤❤
Kazi nzur mkl
Unajuw Hadi unakera❤❤❤
Duh! Leo ndo namsilia aslam for real i like your voice bro sweet melod 👌
unajua sana wewe mtoto
Tatizo nyota ila unaweza pambanà bro💪🔥
verse ya pili kama yammy ivii ❤
kabisa
Nyimbo gani ya yummy imefanana
@@libandaonline5358 hanitaki
@@libandaonline5358 hanipendi
@@libandaonline5358 hanipendi
❤❤❤ iko fiti sna...Kali sna
unasikia pekeako ww kiziwi umeziba unafafanishaje na sauti ya yammi
Uko loa sana kaka shabk wako mpy hyu love your songs ❤❤❤❤
Naupenda sana huu wimbo big up sana brother
Umetisha sanaaaa asa kwenye merod
Hatari Sana Aiseeee Muziki Taratibu Aiseeee 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪
Safiiiiii nzuri
💥💥💥
Yuko vizuri mwamba