Kelvin wewe ni Mwandishi wa Tamthiliya nimefurahia hkii God akutie nguvu,ila tuu kwa kweli nimeboeka kwa familia ya kina Tina wanaotaka kukuangamiza,🤔🤔🙄haiwezekani,,kuna watu wanaopitia haya kwa kwelii...❤😂😂🎉Maua yako Kevi
FIlamu nzuri sana tunajivunia watz na waafrica ughaibuni kuona watu home wana talent nzuri sana big up to the creator director and actors and actresses. Tina actor poa napenda sana anavyokasirika.....Loveness very innocent girl....Kelvin such a gentleman etc I am proud of my fellow Africans.....Hii movie ughaibuni inashinda kwa bei nzito tu
Tina anaenda kuchawi watu sasa akisha gundulika leo tabia zake akataliwe kwakina kelvin najua loveness nakilvine wata rogwa wasipendane vita ndio kwaaanxa sasa😂😂😂
Cha msingi sichoki kukupongeza maana WE ni mwakilishi wetu ❤❤❤pili jaribuni bas ata kutuongeza dakika 30 . Zaidi ya yote tunajivunia kwa kipaji chako asanteni ❤❤❤❤
Haki tunafurahi kuona Donta Tv wakitupa uhondo kamili ila mnachelewa kuleta video kwa muda mfupi. Alafu tunaomba basi muongeza hata muda wa clip iwe ndefu kiasi, wapi likes kama mna kubaliana nami.
Kazi nzuri Sanaaaaaa ❤❤ matukio Yamepangiliwa vizuri sanaaaa 🔥 🔥 dakika 25 hazitoshi kabisa lakini tunafurahia Na kuburudika kila episode 😊😊 team kelvin team strong sana ♥️ ✔️ mtafika mbali sanaaaa 🔥 🔥
HIVI HUYU TINA NA FAMILIA YAKE WANAMPANGO GANI NA KEVI JAMANI??
Waizi
Wakuwamarinza
wanataka kuwafilisi tu
WAkupokonya mali
Tulikwambia usimuoe Tina wacha kikurambee😂😂😜
Kevin Fanya mpongo uwongeze dakika zifike hata 40 wanao niunga mkono gonga like please
Anataka kukuua😂😂😂😂
Kabsisaa
😅
Kabisa
I agree with you
Wote wanao ftaria movi hii ya kevin mwenyezi mungu awajarie afya njema ishanllah
Amina
Amin 🙏
Amiin thumaah amiin
Amin
Wanoamini kuwa mama kelvin atajuta baadae akijua kinachoendelea Kwa upanda wa pili gonga like
Atajuta kweli 😢
Nakuunga mkono
Familia ya tina inataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja wanaoamini kama hawawez kufanikiwa gonga like hapaa❤❤anza hapa👍👍
Hawatofanikiwa
🤙🤙🤙🤙🤙🤙
Ndiyo mupogo nihuo
❤❤❤
Yaani hta nikarauka vp siwezi kuwa w kwanza hya bc nipe like ata 10 😅😅😅 kw kuona Kevin anavyomtret tina xx tumwage 🎉🎉🎉 yke tukisonga ❤❤❤🇰🇪🇸🇦
Wangapi tunamukubal cendy❤️❤️❤️❤️❤️
❤❤❤nampamauwa yake
Ukisoma ii comment na like basi mungu akufanyie wepesi mambo yako 🙏🙏 🎉🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
❤❤❤obrigado
Muito obrigada ❤
Amina
Amini
Amiin
Wow napenda sana movie zako kelvin but shida unachelewa kuleta ❤ any Kenyan in the house ♥️♥️♥️🔥
wanataka mali zake kelvin
oya kama hunamkubali kelvin ngonga like hapa nita share kwa watu 1000
Hunamkubar ndo nn
@@UpendoMaduhumbona nawe umeongeza r mwishoni? 😂
mimi dio mtazania i am from mozambique
Ila hyu mama Ake Tina anapoelekea hata izo mali akipata atamuua baba Ake tina
Tangu nianze kuwatch mtoto WA boss sijawai pewa like ata moja
Kwani ni chakula 😂😂
Pol san hhhhh
Saw iyo apo chukua itumie vzuri
Km zote izo
Izo like mnazililia mnataka mpewe mle au badala ya kusifu na kutoa maon kwenye kaz za watu nyie mnalilia like shenz nyie
wangapi tulijua mama kelvin ni mamake kambisa 🤚
Woooow jamani na mimi nimewahi hata like 5 tu please 🎉❤❤
Mimi ni Burundi na wakubali Kelvin na team take ngoga like hapa🎉🎉🎉🎉 next episode kwaharaka
Mm naomba like hata 10 tu sitak nyingi 😂😂😂❤from Kenya 🇰🇪
😂😂😂kumi kwa kazi gani
Binadamu wabaya sana wapo kama panya wanagh'ata wanapuliza kama huikubali familia ya akina tina gonga like hapaa ♥️👍👍
Nakuunga mkoo
Wakwanza kutoka burundiiii🎉🎉🎉3❤❤❤❤ nawapenda saaan malikezangu haap
Waooo safi sana kazi nzuri kabisa kelvin Yuko makini na movie hiii tumpe mauwa yakee❤❤❤❤😅🎉
Leo mim wakwanza , naomba like hapa🎉🎉
Msumbiji Niko mim
Ama kweli mnakuza maudhui amakweli movie tamu kama. Kweli ni tamu gonga like
Jaman love namba like yako
Jamani sijawahi pata likes Toka nianze kuangalia hii series
Si mlike hata kidogo 😢
😂😂😂😂
Mm pia sijapata si wewe pekeako😢😅
Najilike mwenyewe
Asante baba kelvin kuanza kujua anachopitia mtoto wako jmn mwagen makopaaaaaaa apoooooo ya baba kelvin💝💝💝💝💝💝💝💝
❤❤❤❤❤
Nakusupport dada
@@ayoubobed-vi4kf Asanteeeeee
Jamn Leo wakanza naomben like ❤❤❤
Ahsante san kelvin na timu yako tunawapenda saaana❤❤❤❤
❤❤❤❤
Tunaoamini huku kwenye jamii kuna wanawake wenye gubu kama Tina like hapa😂😂😂😂😂Nawapenda❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤🎉
😂😂❤😂😂😂😂❤❤❤
Tena wengi sana wakosefu wadabu
@@MalkaNinik wanafaa kuachika ili wakajifunze adabu.
Wapo
Duuu Japo nimecelewa nawapenda sana team strong🇴🇲🇴🇲🇧🇮
Wangp wanaona pingo kwa mama kelvin 😂😂😂team donta family mko wapi jmn team strong hoyeeeeeeeeee 😂😂 nawapenda nikiwa Riyadh 🇰🇪🇸🇦
Hoyee sana warauka wewe😂😂tuko ndan hatupotwi watching from Qatar yaN likua naingia nikitoka tuu😂😂😊
Limpate haaswaaa maana alimng'ang'ania Tina sanaaaa 😂😂
@@Fatuma1985 😂😂😂😂 nkupenda bure
Nakupenda nikiwa Jeddah 😂😂😂limkute kabisa huyo mama
@@FghgRyy kbsaa naomba ibyo
Woow nmewai leo 🎉🎉 kudadeki na sitaki like zenu.ukigusa comment yngu nakutongoza😂😂
Kutongoza 😂😂😂😂
Mmmmh 😂😂😂😂😂😂😂
Nitongoze😀😀😀😀
Tongonza😂😂😂
@@ثامركعبي-ي1ق 😂😂😂😂😂 Ni kutongozwa unataka sioo
Wa kwanza leo kutoka kenya naombeni likes
Kelvin jitahidi San umuowe love saw nawapenda san❤❤❤❤
Na support sana candy hamesimama kiume mpaka yuwa sence kitu kibaya katika maisha yao asichokijua kevi hongera sana candy
Oy
Kama keeli unamuamini mungu na uko hai kwa abilit yake bas dondosha like hapa kwa kelvin na loveness 💏😅
Naombeni like ata moja jameni nami nijihisi ka na pendwa❤ kwa sababu toka nianze kufuatilia hii movie sijai pata hata like ishirini
Kazi inazid kubamba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Bamba kbxa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hongereni xn washiriki wote mnazid kutufunza
Like tano wakenye wenzangu 🎉
Kelvin mpe talak candy umuoe love❤❤❤ sem kazi nzur bigup bro🎉🎉🎉🎉🎉
Soo candy ni Tina
Candy tena😂
The first one duh 😅aki mnipee likes❤Kenya 🥰😊
Alihamundulih ❤❤❤❤❤ hakika najifunza sana. Congratulations my brother Calvin
Leo ctk like zenu😢 juu hua mnaninyima daily 😢
Kazi njema kelvin mimi nakubari sana filamu zako nipo 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Anayeangalia hii movie mungu ambariki
Amini nawe pia
Kwani mnalalaa humu jamani😂😂😂nipeni hata like Tano basii
Wakwanza leo aki mnipe like
Am the first one today ,, nipeeni likes from 254 murang'a...
Igue ngui I guku
Kelvin wewe ni Mwandishi wa Tamthiliya nimefurahia hkii God akutie nguvu,ila tuu kwa kweli nimeboeka kwa familia ya kina Tina wanaotaka kukuangamiza,🤔🤔🙄haiwezekani,,kuna watu wanaopitia haya kwa kwelii...❤😂😂🎉Maua yako Kevi
Hapa kieleweke sasa tina kitamtokea puani movie swaaafy❤❤❤❤sana
Dah sema nyie mijamaaa mnajua kuigiza
We jamani tulikua na shauku atimae mnzingo hume wasili🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wenzangu he nipeni like 🎉🎉🎉🎉
Kevin napenda Sana kazi yako from kenya 🇰🇪🇰🇪
Kelvin na loveness nimewamiss....hopes hamtaenda break tena hadi tumalizie...
Aki Tina ananibore,.anaangalia tu kama malaya, mi naweza ua uyo changudoa😂😂😂😂😂
Nmekuwa wa kwanza leo kucoment pamoja na kulike
FIlamu nzuri sana tunajivunia watz na waafrica ughaibuni kuona watu home wana talent nzuri sana big up to the creator director and actors and actresses. Tina actor poa napenda sana anavyokasirika.....Loveness very innocent girl....Kelvin such a gentleman etc I am proud of my fellow Africans.....Hii movie ughaibuni inashinda kwa bei nzito tu
Wa kwnz leo hem nipen like kw wing bas team calvin
Kelvin alafu tunaomba muwai kutuletea epsod jmn ❤❤
Nimewahi leo team strong muko wapi
Tang nianz kuwatch hii move sijawah pew like
Tina anaenda kuchawi watu sasa akisha gundulika leo tabia zake akataliwe kwakina kelvin najua loveness nakilvine wata rogwa wasipendane vita ndio kwaaanxa sasa😂😂😂
Loveness kabinuwa mdomo na kuondoka😂😂😂😂❤❤❤❤
Wakwanza Leo naombeni like zangu
Wa mwisho wewe😂
@@kenkuria5837 nimewahi jmn
@@kenkuria5837 jmn 😂😂 sio WA mwisho
Yani wewe kev,dr,khan wee mnoma sana hizi picture daah i salute you bigup bro.
Kitawaramba familia yake tina😅😅😅kama unakubali rusha like apa 😅😅
Tina ni mzuri sana but ni kivuluge ndo maana tunamchukia sanaa walio ona kama mie like moja tuuu
Wanampango wakudhulumu mali yakwao Kelvin nawawe wamiliki wamalihio, mnipeni like zangu
Eeh nyiee hii series inaenda kuwa kali.. alooh🙌🙌mama yenu Donta..tatizo mnachelewesha sasa😢
Finally mmerudi.....shukran watu wangu
Ila wazazi jamani😢😢😢😢mbona mtumie msichana wenye kwa ujinga ivi
Miye njo wa kwanza kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
nampenda tina jaman anakashkash uyo movie inanoga😂😂
Mmi wa kwanza naombei like apa
Sema hizo make up za Tina nimeshindwa kuvumilia 😂😂😂😂😂😂
Wa qwanza Leo kutoka Saudi Arabia... Nipeni likes zangu jamani
Nashkuru sana Kaka Kelvin,ila tena usichukue muda mwingi sana kutuandalia mazito,mazuri..Kenyan Boychald following 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Cha msingi sichoki kukupongeza maana WE ni mwakilishi wetu ❤❤❤pili jaribuni bas ata kutuongeza dakika 30 . Zaidi ya yote tunajivunia kwa kipaji chako asanteni ❤❤❤❤
Mambo yameanza kua moto Sasa adi moyo wanienda mbio woyee 🙆 niku noma noma San👏
Wale tunaocomment ndo tumalizie episode gongeni like hapa😂😂😂😂
Tupo
Tulioona Miguu ya Tina Nan Ina Makovu Atal 😅😅
Jamani siuni kama hudem atapata pesa labda kifo mana duu family Tina hatakubali kama wakubali like zenu basi
Yeye Ndio Anakuwa hasemi Ukwel jee angemwambia candy isinge fika huko y Ana ficha Mwisho Wa Siku Atavuna alicho panda
Hata mie nashangaa. Kila siku anazidisha dau tu. Mwisho wa siku watamuua
Broo Kevin dakika chache zinaua vibe tazama ata kazi za kp na zeeb zinaenda hadi lisaaa bac ata dakika 40 au siyo wanetu gongaa like hapoo tujuanee
Ata kama nimechelewa lakin nimewahi jamani naombeni likes ata km moja tu
Mi Sina neno mola awajalie wotee wahusika mfike mbaliiii maua yenuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Much love Kwa wasanii WA donta🎉❤,lakini hamalizi kazi zingine mfano Siri ya bangili
Dev mungu akupe maisha marefu
Nimekuwa wa mwisho acha nicoment haraka kabla nipewe like
Nampenda sana babake kev n mzazi mwenye busara na mawaidha nadhifu beside babake Tina a monster 😊
Kevi unamajibu wewe,😂😂😂😂 ulivyo mjibu tina
Hivi huyu secretary anajua anachofanyiwa anae sema kua hataki kumuona hata akivuta pumzi Diana mwenye anaamini secretary kitamramba gonga like 👍 👌
Patamu hapo Tina kule na mwanasheria huku naye Diana na kend mambo shanta shanta next please donta TV tunakupenda sana 🎉🎉🎉 maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉
yaan mm hadi najikuta kuchoka kila nkiomba like hata hamnipi daaah nanakua wakwanza tyuuu
Kazi nzuri sana big up but mnatucheleweshea jamani mkimbizane na muda❤
Haki tunafurahi kuona Donta Tv wakitupa uhondo kamili ila mnachelewa kuleta video kwa muda mfupi. Alafu tunaomba basi muongeza hata muda wa clip iwe ndefu kiasi, wapi likes kama mna kubaliana nami.
Mambo ni mengi muda ndio mchache move iko sawa mto sana🔥🔥🔥🔥🔥
Very sweet ...yaani iii iko sawa kuliko zote 🔥🔥🔥🔥🔥💗💗💗💗💗💕💕💕💕💕💕💕💕👍
Dah! Kend chukua maua yako 🎉🎉🎉Naona uko mbele kelvin ata amin kuwa ulichozungumza ulikua unamaanisha❤❤❤❤
Kazi nzuri Sanaaaaaa ❤❤ matukio Yamepangiliwa vizuri sanaaaa 🔥 🔥 dakika 25 hazitoshi kabisa lakini tunafurahia Na kuburudika kila episode 😊😊 team kelvin team strong sana ♥️ ✔️ mtafika mbali sanaaaa 🔥 🔥
Wa Kwanza mimi jaman npeni mauwa yangu💚💚💚
Nani kaona miguu ya tina 😂😂😂 candy kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉
Kujishaua kote huku... Anamiguu mibaya atar😂😂😂😂
😂😂😂nilidhani nimeona peke yng
Leo baba kelvin umeongea point safi❤chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉