Tina naona kitaenda kumramba mda sio mrefu candy ashamuona wakikumbatiana next n kelvin anaitwa ajionee mwenyewe kimrambe hivyo na loveness apate chance vizuri mashallah 🎉🎉❤❤❤
Muache ubinafsi tupo sote mwanzo mpaka sasa hata like hamnipi😅😢ila nawapenda nyote❤❤❤hatimae candy ashajuwa ukweli sasa bado Diana amdokezee hayo mengine 😅 waaah mama Tina n baba Tina wauwaji kweli 😢alfu kelvin kuwa makini utapoteza kampuni ya bbko😢😩
The story as a ending as mtutua maji was a good story and a good endingLet's continue watching until the end of the story we shall be happy and learning a good story Kevin and loveness continue doing what you are doing the best job continue taking us to love what we have in our lives and continue giving us a good memories and a bad memories in our lives don't tell family continue teaching us what we have we don't have and respect what we have what we don't have continue doing the best job❤🎉🎉💯
Watu wana roho ngumuuu nyiee yani kumbe tena wanamzunguka tena huyo secretary waiiii ananyweshwa dawaa😢😢 Jamani jamani usaliti ni mbaya.na haya yapo kweny jmnii tuliyonayo
Ujue from episode one mpaka hapa mlipofikia Familia ya Kelvin hatuoni utajiri wao unajishughulisha na nn inshort fanyeni kitu kuishii hata miaka 10, tunahitaji uhalisia kuona shughuli gani ya kiuchumi family ya Kelvin inajiushia ni kama vile loveness alikuwa anachoma chips kazi mzuri ongozoni ubunifu
Daaah.. mpka Leo nime comment... So poah mnafanya kila day niwe na MB... DONTA TV on 🔥🔥🔥🔥... Bro kelvin na mrembo Loveness big up San hongeren Zaid ya hongera sitochoka kufuatiria kaz zenu... Mnafanya vzr Zaid ya vzr.... MUNGU awabarik nyote DONTA TV Kwa kaz nzur mnayo ifanya..,.
Kila mmoja kaigiza poa sana ❤❤ strong team kelvin 😊hakika mnasitahili maua yenu ✅💯 nashindwa ata kusema ni nani anafanya bora sana ila muendelee kutuletea vikongo kama hivii ☕✍️
Mama kelvin kajitakia hayo yy mwenyewe Leo kaukiza swali lkn cjaona kama amejibiwa kwa swali lake hata moja kesho nikumbwaga kofi na tinah mwenye anaamini yangu kalike tu tukisonga n mm wenye kutoka kenya
Nawakubali sana kelvin kwenye hii movie mmetisha na movie nying sana mnatisha big up sana,ila wakina Vicky na Nelly wako wapi?kunambi yy hua anaonekana kwenye movie zingine tofaut na hii"Mtoto wa boss"ila tatizo cku hizi mnatuletea mara mapacha et kwenye movie kama ya chungu kimoja yaani haina mbele wala nyuma hata kuingiza hawajui.haina mvuto kabisa
Next time,nawashauri mbadilishe majina,pia nawashauri pia muwe muchague jina la movie lenye mvuto wa kibiashara.. Acheni hayo mtoto wa boss mnarudia jina moja tuh
Tina nakuona kwenye kabuki la sahau 😮!!!za mwizi zilipungua dada, na wagongwe wako jitayarishe kuingia korokoroni, mpooo!!!!hadi mamake kevo asha anza kujudia. Kiss marehemu mutarajiwa 😂😂😂😂😂!!! Jitumeni jamani, cha haramu hakidumu, unatumia nguvu nyingi na mwishowe kujudia, kevo good job 🎉🎉❤
Team strong 💪💪💪 chukue maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉bana kazi safi sana ,japo Nilifaa kuwepo ndani ya movie ndio niwe nakuletea umbea Kevin 😂😂😂, vitu vingi ujui ujue??😅😅😅 Ama umweke baba levo niaba yangu manake duuh 😅😅😅😅😂😂😂
VIPI JAMANI LEO NIMEWAHI NIPENI MAUA YANGU 😂❤
🎉🎉🎉🎉
❤
Kaka Kevin naomba kuigiza na nyie hata mi naweza sana😢
Naomba kuingia ktk kundi lako mm ni mwigizaji mzur sana
🎉🎉🎉 hayoo apo
Kama unamkubali Kelvin,,,,pita na like Moja,,,, watching form US
Nampenda Candy jaman 😢 mnipe like kwa Wanaompendaa❤❤❤❤❤
❤❤❤
Mimi nawapenda wote. Ispokua Tina tu cmpendi.
@@umfahad2609 makasirio 🤣
❤❤❤@@umfahad2609
Napenda candy love na Kelvin
Tina naona kitaenda kumramba mda sio mrefu candy ashamuona wakikumbatiana next n kelvin anaitwa ajionee mwenyewe kimrambe hivyo na loveness apate chance vizuri mashallah 🎉🎉❤❤❤
🎉🎉🎉🎉 Kam yote ndo ufanye hivyohivyo usitucheleweshe
Lovenes mbona anacheka
❤❤❤❤ hapo xx
Yan hadi raha❤❤
Mi nishakuwa na mkosi kazi yang ni kuwap like wengne mi hata moja kwa kelvn and loveee naombeni hta mojaaa🎉🎉🎉
Tunaosubiliii kuumbuka kwa tinaa tujuaneee me number one
Me namba two
Another number 3
Mm nasubiri sanaa hiyoo😅 Tina kitamramba ata s kitambo
😅gu@@UnrulyHope-e9j
Mintakua wapili
Kelvin. Tunaomba angalau episode iwe na dk hata 40 tuinjoi wanaoniunga mkono gonga like apo
🎉🎉
Kweli
Kabsa hapo umesema
Kweli inaisha time imeshika😢
Kwel ❤
Atimae mnzingo umeingia acha tuone drama natokea kenya 🇰🇪 Jamani wakenya wenzangu na wengineo nipeni like zenu🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nilikuwa natamani sana, mmoja wa family ya kelvin ajue kuwa Tina anatoka njee Sasa imefahamika 😂, msicheleweshe Jaman Wana DONTA TV
M pia nltaman ilijulkane
Muache ubinafsi tupo sote mwanzo mpaka sasa hata like hamnipi😅😢ila nawapenda nyote❤❤❤hatimae candy ashajuwa ukweli sasa bado Diana amdokezee hayo mengine 😅 waaah mama Tina n baba Tina wauwaji kweli 😢alfu kelvin kuwa makini utapoteza kampuni ya bbko😢😩
Mimi ndo sijawahi kupata likes kabisa
Kwa mara ya kwanza nimewahi na mimi,,wanaompenda Love Nes gonga like hapa❤❤❤❤
Team strong team loveless hoyeee❤❤❤❤❤ tujuane kwa likes anaeamini kama love ataolewa na Kevin 💖 tujuane.....watching from Saudis 🇸🇦 💖 ❤🎉
Team strong tupe nilikuwa huko last year after contract mwaya sai nipo qatar 😂😂😂
@@judithogaya9730 😂😂😂bdo nasugulia hammam saudi mwaya any way nice to meet you dear 😘 😊
❤❤❤❤❤
Hoyeee team loveness ❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
Jaman Tina anaenda kuumbuka mda sio mrefu kama unawaza kama mimi angusha like apa💪💪
The story as a ending as mtutua maji was a good story and a good endingLet's continue watching until the end of the story we shall be happy and learning a good story Kevin and loveness continue doing what you are doing the best job continue taking us to love what we have in our lives and continue giving us a good memories and a bad memories in our lives don't tell family continue teaching us what we have we don't have and respect what we have what we don't have continue doing the best job❤🎉🎉💯
Team strong mko wapi jmn team donta family 🤗 nawapenda nikiwa Riyadh 🇰🇪🇸🇦🥰🥰 🔥 majuto n mjukuu mama Kelly
Vp
Tupo kipenzi 🎉🎉🎉🎉
Riyadh pia
Tupo
Nan ako madinah❤❤🎉🎉
Mungu akubariki wewe unae😂soma hi comment
Amin🙏
Ameen
Nawapenda san mtuletee yakufata mbon bitu binavurugika
Na kwako pia
Amina 🙏
Watu wana roho ngumuuu nyiee yani kumbe tena wanamzunguka tena huyo secretary waiiii ananyweshwa dawaa😢😢 Jamani jamani usaliti ni mbaya.na haya yapo kweny jmnii tuliyonayo
Kumechemka woyeee 😮😮😮😮 wenye tunasubiri kuumbuka kwa tina gonga like.......mama Kelvin jmn kajidunga mwiba mwenyewe
❤❤❤ una ya stahili harakisheni tufike mwisho nataka kukuona umemupa Love es nafasi
Lazima upate like kwa uwingi
Mm ni wa kwanza leo wanaomkubali loveness gonga like hapa🎉🎉
Kauthar mambo
@NeemaMedza poa
Nampenda Sana Loveness na Kelvin kwa hii Movie ❤ Yani Mwanibamba Sana 🎉Makofi kwangu 👏👏makofi Tena👏👏😂🤣
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Jamani jamani,jamani nimesema mara ngapi, movie ni moto sasa sijachelewa leo nipeni ata like kumi jamani from Kenya 🇰🇪 currently Qatar 😂❤
😂😂😂😂
Oyooo nimechelewa jamani ila tuko pamoja kutoka Kenya kama kawaida mama kelvin ashaanza kushutuka apewe mauwa yake🎉
Kelvin dakika umetunyima aky tuongezee mda wnye mnasupport kelvin atuongezee mda gonga hpo
Kweli tuongezee mda
Hahah njooni mnicheke na ujanja wangu wote nmekuwa wa mwishooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nice meeting points....ucku hua ñdio best....Yani mapema ndio best....alafu mbn imeishia mahali patamu xna....inaitwa onces beaten twices shy....loveness kapata chance rahisi xna....Yani Ata akikosa n upuzi wake mwenyewe....unaanzaje anzaje kukosa penalty na ata kepper kaanguka ...😅😅
We ni mwandishi au writer
Tena ukiwa hivi tutakupenda zaidi tunakupenda sana🎉🎉🎉🎉🎉 umewaisha movie
Nawapeni pongezi jameni kwa kazi nzuri munaendelea kuifanya, hakika mumetupa funzo mengi sana❤❤❤❤❤
Waah 🤔🤔 good job guys am watching from saudi Arabia 🇸🇦 ❤❤❤
Ujue from episode one mpaka hapa mlipofikia Familia ya Kelvin hatuoni utajiri wao unajishughulisha na nn inshort fanyeni kitu kuishii hata miaka 10, tunahitaji uhalisia kuona shughuli gani ya kiuchumi family ya Kelvin inajiushia ni kama vile loveness alikuwa anachoma chips kazi mzuri ongozoni ubunifu
Kelvin naomba like zangu 🌹🌹🌹
Hallo
Mambo
@EliahWafula-um6pl powa
Mpaka leo nimekua wakanza jamani nipeeni like za kutosha wanangu
Kachukue kw P Didy
❤❤❤❤❤❤ nimeipenda sana hii mungu akubariki sana Kelvin anatupa burudani tuna njoy❤❤❤❤❤
Asante kweli Kelvin na week-end tupe ingine épisode panaenda kunoga kbsa😂😂😂
🎉❤❤❤...Ntazidi kuwapenda nyie wana Dontah mumenielimisha zaidi..Alhamudulilahi..Kaka Kelvin najuwa kuniangusha naye huwezi cheza kiwewe...Tunataka Harusi baina yako na Dada Loveness
Wewe unaesoma comment hii mungu akupe hitaji la moyo wako ❤❤❤
Na kwako pia❤❤❤
Amina 🙏
Amiin
Amen.na wewe pia❤
Amen
Team lovenes tujuane hapa from kenya 🇰🇪
🇰🇪
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mm nakupa mau pia nakupend 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Jamani mm sijapenda movie ni tamu na inaisha haraka anyways hongera kaka Kevy kwa kazi nzuri❤❤
Mama kelvin na bado huo nimwanzo tu picha lenyewe linakuja utaliona pole mummy😂😂😂😂😂
Waaah sema pole pole dadangu majuto mjukuu😢😢
Daaah.. mpka Leo nime comment... So poah mnafanya kila day niwe na MB... DONTA TV on 🔥🔥🔥🔥... Bro kelvin na mrembo Loveness big up San hongeren Zaid ya hongera sitochoka kufuatiria kaz zenu... Mnafanya vzr Zaid ya vzr.... MUNGU awabarik nyote DONTA TV Kwa kaz nzur mnayo ifanya..,.
Ati wanao support kutoka kenya hawapati like?
Kila mmoja kaigiza poa sana ❤❤ strong team kelvin 😊hakika mnasitahili maua yenu ✅💯 nashindwa ata kusema ni nani anafanya bora sana ila muendelee kutuletea vikongo kama hivii ☕✍️
Tina ndoa imekushinda, bila kumsahau Candy twakupenda sanaa🎉🎉❤❤❤❤
Nimejifunz kitu kabla ya kusain usome kwanz maelez maan unawez kujikut unapew million 3 baad y 50😂😂😂
Waooo nmekuwa wa ushirin leo mambo ni moto ata like kumi jmn
Waooo
Wakwanza jamani naomba tujuane tuloanza mwanzo hadi kipande cha leo..mungu awabariki sana🙏
Oyaaaweee kinaend kuuman😂😂😂😂😂
Kelvin tunachukuru kwakazi ogerasana tenasana ❤❤❤❤❤
Hingereni saana wana Donta kwa kazi nzuri. Nakuombeeni kl la heri na mafanikio zaidi. From Oman 🇴🇲
Movie naipenda sana na msitie mauganga huko mbele😅wala isiishe araka congratulations wapenzi
Mama kelvin kajitakia hayo yy mwenyewe
Leo kaukiza swali lkn cjaona kama amejibiwa kwa swali lake hata moja kesho nikumbwaga kofi na tinah mwenye anaamini yangu kalike tu tukisonga n mm wenye kutoka kenya
😂😂😂we acha tu kitamlamba
😂😂😂
Mm sina lawyer
Acha nikimye
@@jamilashabani8580 hiyo kicheko yote aky wah!🙄🙄🙄🙄
Sasa Leo Wifi atamsema mwenzake Ndoa itaishia papo hapo hata Mungu amejibu maombi yangu Sasa loveless atakua mpenzi WA Kelvin😅
Nawakubali sana kelvin kwenye hii movie mmetisha na movie nying sana mnatisha big up sana,ila wakina Vicky na Nelly wako wapi?kunambi yy hua anaonekana kwenye movie zingine tofaut na hii"Mtoto wa boss"ila tatizo cku hizi mnatuletea mara mapacha et kwenye movie kama ya chungu kimoja yaani haina mbele wala nyuma hata kuingiza hawajui.haina mvuto kabisa
Next time,nawashauri mbadilishe majina,pia nawashauri pia muwe muchague jina la movie lenye mvuto wa kibiashara..
Acheni hayo mtoto wa boss mnarudia jina moja tuh
Wazo nzuri huyu kev kila move ni kev loveness ivo ivo Tina inshort walete mabadiliko
Yan watu mmejaaa atapakukanyaga amnaaa niwekeni began jmniii na mimi nionee😂😂😂
Like moja kwangu wakenya 🇰🇪
Lelvin nakukubali kabisa ku🎉🎉🎉🎉watupatiya muvi kilasiku mungu akubariki😊
Nous vous aimons bcp nous les congolais ❤❤❤❤
Naburudika vilivyo🎉🎉 from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mna watu, na watu ni sisi 🥳🥳
Jaman mwenzenu huyu diana ananipa rahaaaaaa❤❤❤❤
Mimi wakwaza nikiwa Moçambique naombeni like angalau 10 wana donta TV
Team strong 💪 yoooyeeeeee mwenye anakubali lovenes ataolewa n kevo gonga like apo twende nalo tina kayatimba sasa🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
M pia nangojea Io ndoa y kevi n loveness
Being number one from kenyaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tina kinaenda kumramba team strong wapi maua yenu.Loveness sasa ndio atakua mke wa mtoto wa boss.🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂😂😂
Kazi nzuri tunaelengea ba tamu sana good job Donta family 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Wooooooow streaming from +254 🇰🇪🇰🇪
Am the 1st 2 say it! Kali sana Kevin napenda hii ❤
Wakwanza Leo jomon team DONTA TV burudani kwa wote 😊😊
kelvin kina Daina na mke wa kiss wanabore sana kwenye hii movie braza if it possible give them a break
Lakn unajua movie Mahal imefika Diana ndio kila ktu
@@MercyKahindi-go2nr ni sawa marcy sina cha usemi mm
Safi sana kevin.ila huyo Tina wako daaa 😮😂😂😂😂
Tina nakuona kwenye kabuki la sahau 😮!!!za mwizi zilipungua dada, na wagongwe wako jitayarishe kuingia korokoroni, mpooo!!!!hadi mamake kevo asha anza kujudia.
Kiss marehemu mutarajiwa 😂😂😂😂😂!!!
Jitumeni jamani, cha haramu hakidumu, unatumia nguvu nyingi na mwishowe kujudia, kevo good job 🎉🎉❤
Leo umewahi kelvin hongera twasubiri next expisode cheza kama wewe,,kama unapenda mungu weka like tukisonga
Jamani nimengoja Kwa hamu saana tafadhali tujuane hapa ❤
Wakwanza Leo from Kenya love you donta tv❤❤❤❤
Mimi leo nimechelewa lakini like hata mbili zinanitosha
Mama Kelvin mwana kulitafuta mwana kuligeti siku nyengine musilazimishe mambo muoe Tina sai😂😂😂😂😂
Nimefika nawapenda sana ❤❤❤❤
Team strong 💪💪💪 chukue maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉bana kazi safi sana ,japo Nilifaa kuwepo ndani ya movie ndio niwe nakuletea umbea Kevin 😂😂😂, vitu vingi ujui ujue??😅😅😅 Ama umweke baba levo niaba yangu manake duuh 😅😅😅😅😂😂😂
Mi wa kwanza naombeni like nawapenda sana 🥰🥰🥰
Mwenzako namenda kama ivi chukuwa hizi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Donta mko sawa lkn mda ni mchache tuongezeeni Angela dakika 40 hivi❤❤❤❤❤❤❤
Wa kwanza leo from Congo Kolwezi liké zangu jaman 🎉🎉
Daahhh kaka saiv hatuna deni na nyie mnatoabkaz ndani ya muda kaz nzuri sana tupo pamoja from Dodoma bungeni
Yaani donta mko vizuri sana Kwa kweli mpo motoo vibaya mnooo mpokee maua yenuuu💐🌹🌺🌷🪴🏵️🌻
Wow ishafika patamu wallah hongeren jmn❤❤❤
Safi sana tina mpelekeshe uyo mama mpaka ajute
Me wa mwisho naomba like zenu
Oyooo wale waloona loveness tayali ashaanz kumpenda kelvin tujuane hapa kwa likes
Ndo hayo mau 🎉🎉🎉🎉🎉 kevi ❤❤❤❤nakupenda
Jamani,James na Amina wako wapi natokea Kenya❤❤❤
Ila nyie wadada hivo vimini daaa 😢😢😢 kwan hamuwez kuigiza bila kuacha mipaja nje
Wanajua ustar n kuwa uchi
Asantee kweli wavae nguo zakusitiri bahn 😨😨
Na mm leo jamani naombeni like ata kumi tu😅
Mama calvin yashaanza kukutokea puani mkwe ulomchagua ndo huyo utajua hujui
Kazi nzur Masha'Allah 🥰
Nangoja mwendelezo Innsha'Allah 😊
Wow beautiful ❤❤❤❤❤
Team strong 🎉🎉🎉 naombeni like zenu japo kidogo tu nawapenda na worch Niki Riyadh ❤❤❤
Wow wakwanza leo naomba like zenu donta tv
Jaman wa 50 Leo Wap wafuas Wa keen Tujuane plz 🙏 ❤❤❤
Good nice one job brother 🎉🎉🎉🎉
Chukwa dear maua yko ❤❤❤🎉🎉
Woow mambo ni Moto moto i say Tina kayatimba wakenya tujuane 🎉Kelvin tulia kaka mambo yashatibuka 😂