Jamani nimejifunza Uaminifu ni kitu Bora Sana kwenye hiii Dunia. Tuishi kwa furaha Upendo utii Busara na unyenyekevu pia , tuta yashinda ya Dunia Asanteni sana Donta tv
The story as a ending as mtutua maji was a good story and a good endingLet's continue watching until the end of the story we shall be happy and learning a good story Kevin and loveness continue doing what you are doing the best job continue taking us to love what we have in our lives and continue giving us a good memories and a bad memories in our lives don't tell family continue teaching us what we have we don't have and respect what we have what we don't have continue doing the best job❤🎉🎉💯
Yoyote uatakayesoma hii comment mungu akubalik ww na uzao wawe na tabia nzuri kama loveness na ambao tunaomba tina haachike na kelvin please like tujuane💕💕💕💕💕💕💕
😂😂😂nimefurah sana japo nilianza kumchukia Kelvin kwa kumuoa tina...sasa ndo naelewaaa...haloooooooo team haaammaaam mkujeeeee mtoe stress jmn😅😅😅💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸🍟🍟🍟🤣🤣🤣👯👯👯..yes I'm Ok
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Donta TV,ninawaombea kwa Mungu awape Afya njema,Riski nyingi,awape pia nguvu,awakinge na kila mabaya, awape Ulinzi siku zote za Maisha yenu napia awape mwisho mwema. Aaaaameeen 🤲
Wow kumbe kimewaramba mapema asubui namuna hii woooiii kesiche chamani😢😢tina ooooiiiii team kumbwa doa tunayo hatuna loveness ni mshidi jamani team loveness kiss 💋💋💋💋❤❤❤❤
Masikini wale wanawekeza nguvu nyingi kuiba utajili wa wenzao badala wa struggle kwa focus ile ile .hata hivyo bado tutapata mwandishi mzuri wa script na DontaTv itakuwa international ngoja tu hit 1M sub
Wow!!! aky hakuna siku yenye jimefurahi kana leo mwanzo baba Kelvin apewe makofi cz amenfurahisa sana basi tuleteeni hiyo Ep 26 tunaisubiri na like zenu pia❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏
Wooooo hii n fire 🔥 kbsa n wangapi wanaokubali kuwa lovenes ataolewq n Kelvin n tina atafukuzew km umbwa😢😢😅😅😅n wenye wameona familia y kaka Kelvin wameaza kuleta upendo kwa lovenes gonga like apo twende nalo guys nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤kutoka saudi Arabia 🎉🎉
AYA JAMANI LIKE ZIKIFIKA 1000 TUNAACHIA EPISODE YA 26
Yaan Kev utume kil siku ikiwezekn asubui na usiku
Mnachelewa jmn
Zinafika 2000 ila jitaidi uongeze na dkk pia mhn hii ni kiboko ya daktari😂😂😂😊
@@RatifaIssa-oi1zu😂😂😂kwa kweliii bora
Ucjalii wala Mzee
Jamani nimejifunza Uaminifu ni kitu Bora Sana kwenye hiii Dunia. Tuishi kwa furaha Upendo utii Busara na unyenyekevu pia , tuta yashinda ya Dunia Asanteni sana Donta tv
Mimi wakwanza jamani nimewahi..unaesoma comment hii mungu akubariki sana..ata mkinipa like sio mbaya..😎😎😎😎
Amen
Amen
🙏
Amen 🙏
Jaman umefika patam
Wow hongera baba kelvin,waliomkubali Diana kwa alichokifanya kufikisha taarifa kwa baba kelvin kuhusu familia ya akina Tina msipite tujuane
Nimefurahi
Waongo awo ndoto iyo
Mambo Safi 😅😅😅😊
@@NdayishimiyeAgnes-of2tn mm mwenyewe nilikuwa naomba sana ukweli ujulikane,ndoa kainyea Tina 😂😂😂
Pia @@halunimnenwa5224pia
Mimi kila siku nakuwa mtu wakwanza kuwapa like alafu sasa nyinyi mbona amnipi???????
Wow congrats Diana nmekupenda tu bure mrembo❤❤❤❤🤣😂
🎉🎉🎉❤❤❤❤😮😮
Mm wa kwanza from kenya 🎉 kama wewe n mkenya gonga like plz
❤🎉
Mwezangu oyeeee
🎉❤🎉 ahsante kaka kelvn kwa saplize ii ❤ wanaokubali gonga like apa please
The story as a ending as mtutua maji was a good story and a good endingLet's continue watching until the end of the story we shall be happy and learning a good story Kevin and loveness continue doing what you are doing the best job continue taking us to love what we have in our lives and continue giving us a good memories and a bad memories in our lives don't tell family continue teaching us what we have we don't have and respect what we have what we don't have continue doing the best job❤🎉🎉💯
Skuiz unawah jmn nimekupenda Bure❤️🔥
Daah wenye watafulahi Kevin akimuowa Lavi gongeni like hapa from Burundi ❤❤❤
Cyo lavi ni loveness 😅😅😅
2po pamoja nawe
Tupoo❤
Tunao muombea Kelvin afike 700k🎉🎉 subscribers huu mwezi tujuane❤❤
Akizingatia tu kutuletea vitu kwa wakati hiyo ni rahis sana
Kabisa@@نيجي-ن1د
@@ashuramanya9282😊.(9
@@نيجي-ن1د Nakubaliana na wewe
Mi naomba ifikishe 1m❤🎉
Like zenu kwa wingi kama mnamkubari loveness kuwa Mrs kevi
Mmh candy kabadikikaaa mpk raaa jmniiii❤❤❤
Apana msimalizie hapo endelea ,na Sisi kutoka Burundi tunawafuata 100 kwa100❤❤❤❤
Movie za Kelvin naziangaliaga nikiwa na wazazi, hiz ndio movie baadae unakuja kushika namba moja east africa kwenye movie 🎦 🧠💯🤔
Kabisa
Hajjj kavuma
Nazipenda xan movie za kelvin unaangalia hat ukiwa na wazaz ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ambao tunaomba mipango ya mama tina na mumewe ifeli ili wahumbuke pease like hapa tujuane,,,😅😅😅😅😂😂😂😂😂
Naita feli kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tayali wameumbuka washenzi sana 😂😂😂
tyr imeaanza kufeli wapuuz hawa tamaa tuu
❤❤❤❤
Sana tuuu mambonimoto 😆😆😆
Ila kelvin wamletea matatizo loveness jmn 😢😢team strong hoyeeeeeeeeee team donta family 🤗🤗 nawapenda nikiwa 🇸🇦🇰🇪🥰 Riyadh
Uko riadh sehmu gn
Hoyeee ❤❤
Riyadh 😅😅
Hoyeee
Tujuane Jaman kitu nacheki nipo Dubai ongera Kevin kwani unatupa raaa💯💯🥰🫶❤️
Waaah leo kimeumana kwa kina Tina 😂😂❤❤❤ maua ya baba kelvin 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani nawapenda Sana lovenes na Kevin 🥰🥰🌹
Haha mm nawapenda pia
Yn hujanshinda mm❤
Jaman kwa wanaomkubal dada candy kuwa pamoja na dada love mwaga makopa apaaaa💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕oyoooooooo
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤@@AnestaDerickius
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
Number one from Burundian tunawapenda Sana nipeni izo like ata mbili zinatosha
Hpo sasa hyu ndio kelvin yule tunajua 😂siku Moja mbili unachia mzigo hongera sana Wana donta Tv 🎉🎉🎉🎉
kelv mungu akujalie maisha malefu unafurahisha sana ,mover zako za ukweli sana ❤❤🎉.
Tunaopenda cand anavyomjali loveness tukutane hapa 😅😅
Tunao peda kazi ya team ya dnt alafu mm wakwanza naombeni like kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤ tuko pamoja
Yoyote uatakayesoma hii comment mungu akubalik ww na uzao wawe na tabia nzuri kama loveness na ambao tunaomba tina haachike na kelvin please like tujuane💕💕💕💕💕💕💕
🎉🎉🎉
😂❤
❤❤❤
Mimi naomba kwanza tina afumaniwe na kevlini
❤🎉
wooow kazi nzuri,,kweli shetani hana mamlaka yoyote na mipango ya nwenyezi Mungu,,lazima mama tina na babaake wakule kivumbi🎉🎉🎉
😂😂😂nimefurah sana japo nilianza kumchukia Kelvin kwa kumuoa tina...sasa ndo naelewaaa...haloooooooo team haaammaaam mkujeeeee mtoe stress jmn😅😅😅💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸🍟🍟🍟🤣🤣🤣👯👯👯..yes I'm Ok
Tupo vumilia tu😊😊
@@RaheemRaheem-rd4lf 🤣🤣🤣🤣😂😂😂👏👏Donta TV wanatupa furaha kuliko ht walioko kwenye ndoa
Yan mm hii movie mzuri ilaa aka kajimbo alichoimba kelvn nakapenda ❤❤❤ buree wallah anaipend nyimb hii angonge like Apaa weeeh❤❤❤❤❤
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Donta TV,ninawaombea kwa Mungu awape Afya njema,Riski nyingi,awape pia nguvu,awakinge na kila mabaya, awape Ulinzi siku zote za Maisha yenu napia awape mwisho mwema. Aaaaameeen 🤲
Iko bomba saana, Nipeni hizo like namimi wlnijisikie nina wadau jaamn kweny hii move kali
Wow kumbe kimewaramba mapema asubui namuna hii woooiii kesiche chamani😢😢tina ooooiiiii team kumbwa doa tunayo hatuna loveness ni mshidi jamani team loveness kiss 💋💋💋💋❤❤❤❤
Ndoa tunayo kutoka kenya ❤❤❤❤❤
💋💋💋💋💋
Mkiomba like alafu mnakuja kuangalia kma mmepewa ama mwaomba tu
Wanaokubari kwamba kervini ni mme mvumilivu juu ya tina tupeane like za kutosha bas
Duh yaaan dk 1 tu tayar tunakanyagana kwenye coment. Love it na like nyinginyingi
Nipo hapaa wa kwanza ilaa wacha tuangalie movie kwanza❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jaman vipenz vya lovenes na kelvin mje hapa ❤ nawapenda sana donta tv mungu azidi kuwabariki katika kazi zenu❤🎉🎉🎉🎉
Nakupenda dadaa
Amen Amen
@@JosephatiJumanne❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mimi wa kwanza kutoka Ugandan Kampala jamani nawafutilia sana tangu ianze Ndungu zangu Naomba ata like 3 tuu Wana Uganda tujuane kwanza
Asante kwa kazi, naona sasa Mambo inaenda kuwa mazuri kwa Kelvin baada ya kujuwa mpango wa familia yake Tina.
Nawatakia jumapili njema nyote mungu awe nanti . ila kama utafurahi kelvin wakiachana na tina gonga hapo
Wapi nduruuuuuu kujeni huku ndio kwetu ❤❤❤❤bureee kwa mafunzo mazuri
Wangapi wanatamani family ya tina ifeli kama mm 😂😂😂❤❤❤
Mpaka hap washafeli sanaaa
Mm nawaombea mfikishe 1M subscribers ❤❤❤❤ ila muongeze dakika jamani 😢
Woooow Diana umefanya vzuri sana kumgeuka kiss😂😂😂😂😂
Jamani tangu nianze kuwatch hii kipindi hakuna like niliopata tafadhali team Kevin Anguka na like kama unampenda ❤❤❤❤❤❤❤
Wakwanza fro dr conco naomba ata liké kumi jmn❤❤❤
Babake kelvin umefanya vzr sana juu iyo family yake na Tina sio wa2 wazuri but mamake kelvin hajui ilo i love donta tv more❤❤❤❤
Nani kam bab hKun kwakweryy nampenda san dayanaa kakua mwaminifuu ❤❤
Hv niyakwel haya yalio tokea na baba kelvin na familia ya baba Tina au ndo watatwambia ndoto au mawazo tu kama mnamashaka kama mm gonga like ❤❤
Diana nimekupendaa buree jmn bora upate pesa ya kumtibia mama kihalalii kbs
Ni kheri ukweli umeanza kujulikana kama umependa ukweli kuanza kujulikana gonga like hapa
Noma sana
Wakwanza leooooo🎉🎉🎉🎉 ata like ishirini tu🙄🙄🙄 sinema yetu pendwa tuliekuwa tunaisubilia kwa ham
kila mtu wa kwnza wa pil na wa Mwish nani
😂😂😂@@jamilashabani8580
Nimefurahi siri imevuja😂❤❤
Hatakama but tina hongera kwake tina kwa ubabe wake movie inachangamka bwanae maua kwa tina wake weweeeeeh🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimewahi Leo,,,ebu piga like tukisonga
Jamani Kevin tunapongeza kazi nzuri mnayoifanya❤❤❤
Film zenyu donta Kwa kweli ni tamu na zenye mafunzo sana hongereni wasani wote WA donta❤❤🎉
Masikini wale wanawekeza nguvu nyingi kuiba utajili wa wenzao badala wa struggle kwa focus ile ile .hata hivyo bado tutapata mwandishi mzuri wa script na DontaTv itakuwa international ngoja tu hit 1M sub
Wow!!! aky hakuna siku yenye jimefurahi kana leo mwanzo baba Kelvin apewe makofi cz amenfurahisa sana basi tuleteeni hiyo Ep 26 tunaisubiri na like zenu pia❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏
Kazi zuri Diana kwa kufikisha uje be kwa bba Kevln maua yako hayo Nimejifuza sana kuwa muaminifu katika hii dunia🎉🎉🎉🎉
Wauuuuuu leo babake Kevin makofi kwako naona love naeda kupata mwenye hekima ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimependa ukalimu wa candy kwa loveness apewe maua yakeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤
🎉🎉
Hha nyie tu ni kuomba liké Mimi Léo siwapi ata moja😂😂 mareshe
Jamani asingemuua, hapo kamsababishia matatizo Diana ataonekana chanzo cha mauwaji
Nawapenda sana hawa watu
Jaman me Leo wakanza naomben like❤❤❤❤
🙋
Viziri xana nimeierewa xana hii movi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huree tina ameshikwa huku nako diana kafanya ile kitu. Alafu mama kelvin kuumbuka ilhali Kelvin ka win 😂😂😂😂
Nimewahi leo kutoka Kenya 🇰🇪tuliokuwa tukisubiri mtoto wa boss kwa hamu gonga like tukisonga nawapenda sana isei ❤❤❤❤👌
Uko sure wewe ni mkenya😂😂😂😂
😂😂😂Aky ww @@JoyGacheri-e5j
Jamani tuseme TU ukweli kelvini anajua mpeni like zake hapo chini
Hii tamthiliya yamoto sana❤🎉
Mimi apa wakuanza kutoka mozambique naomba like zangu
nimewahi jmn leo asant donta tv week hii nyingi rahaa❤🎉😊
First one from kenya i deserve my likes 🎉
Hongera Kwa Diana,,,wapi likes kama kweli unamkubali Kwa ushahidi wake💕💕💕💕💕
Swa lkn wa2chelewesha sana mpaka hamu za2ishia jaribuni kujihimiza wapenzi ❤❤❤❤❤❤
Vipi ndoto au real jameni isikwe ndoto jamani kelvin 🙆😊
Hapa naona TALAKA yamuelekea Tina na NDOA ikimuelea LOVENESS❤❤❤ Kama umeliona hilo hebu reply hapa....na usisahau kugonga like💪
Nitafrai sn kelvin kumuoa love ness . Ninswatayarishia bonge la gift🎉
Msha maliza kutazama penye nia pana njia Penye Kheir Hapakosi shariii
Fatuma Mke wa ally na Tina au aisha mke kisi au kizinjaa Mwengine Mmeingiaje humu Jman Aziza na Amina wako Wapi
Mchumia Juani Hulia Kivulini,,, loveness Wangu Neema Kwako Sasa umeteseka sana kwa Kweli Allah anasema alio pendelewa kheir,, Hupewa Mitihan
Mnanifurahisha mno,hamcheleweshi siku hizi😊😊😊😊
Imesha fika ,achiya 26
Mkisifiw bas msiw mnachelewesh sas jmn
Wooooo hii n fire 🔥 kbsa n wangapi wanaokubali kuwa lovenes ataolewq n Kelvin n tina atafukuzew km umbwa😢😢😅😅😅n wenye wameona familia y kaka Kelvin wameaza kuleta upendo kwa lovenes gonga like apo twende nalo guys nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤kutoka saudi Arabia 🎉🎉
Duh vitoto vya 2000 tumefikiwa tyr 😅😅
Team lovenes mpo wapi kama unaungana nae mpka kuolewa na kelvin tujuane Kwa ❤❤❤japo nimechelewa Leo, 🎉🎉🎉🎉
Watu wamekuwa ni wengi mno. Kelvin nazani ungechukuwa kazi🤝
👏👏👏👏 makofi kwa secretary Diana❤
Safi sana Diana upewe mauwa yako❤❤❤❤❤❤❤semaaa Nawapendaa sanaa
Safi sana.Kazi nzuri sana Kelvin.Sasa utampata loveness wako.Congratulations to you all 💞🎉🎉🎉🎉
Angalau na Mimi Leo nimewahi naomba like kamani❤❤❤
Wanaompenda dadake kevi pita na like🎉
Leo mimi wa kwanza wapi like za loviness😅
Uani diana cjui nikupe nini wewe mtoto 😂😂❤❤💃💃💃💃💃🤸🤸ni Moto 🔥🔥 tuletee nyingine please 26...
jamani leo nimewahi naomba like zangu sikwaubaya lakin❤❤❤❤
Nimechelewa wapi mimi hapa kutoka south kusin like zen mungu akubaliki
Jamanii wapili leo namimi naombeni like leo nawapenda nyote ndugu zangu❤️
Diana mwanamke mjanja sana nimempend san
Well done director inamafunzo kwa binaadamu walokuwa wenye tamaa za duniya 😊
Hay jamani leo nimewahi nipeni hizo like zenu ❤😂🎉
Leo pia nmewai naomba likes ❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💋
Npo apa mwamba wa kwanz ad Kelvin mwenyew nmemuwah
Nakufatilia sana kelvin itabidi kwa tabia ya loveness itabidi mtoto wangu wa wakwanza ntamuita loveness kwa tabia nzuri aliyonayo ,, from Kenya
Jamani mubarikiwe sana keven courage Tina koma 🤪🤪🤪🤪 papa keven oyeeeee capa kazi 🤜🤛
kelvin can I advice you to break up with your woman and start a relationship loveness may God will forgive you bro