Mkome kutumwa kwenye vitu msivyovijua watu wanapambana muulizage kwanza ndiyo muende mnajiendea tu kwenye mali za watu na wigi lake kama mwalimu wa upe 😂😂😂😂
Ukiangalia vizur Mr uk wakati mwanamke anaelezea kushukuru akakonyeza kuwa aje huyo binti hahahaha ndo akaingia ila kutengeneza kazi sana kwann ss asiwepo director awe ndo anaruhusu maan umeharbu move imekuw mbaya sasa
True hata mi nimeona,...... Hata na mm nilikuwa najiuliza mwanaume kashindwa mpiga hata kibao, Mdada yupo nje anasema "Navunja mlango kama hufungui" halaf hajavunja Wala nn, Huyo mwanaume aliyepigiwa simu anaongea kawaidaaaaa Huu n uongo, wamejua kuigiza
Mimi ndio maana siwezi kuwa na mwanaume mmoja wanaume ni MBWA Yani yy ana wanawake kibao alafu anataka mwanamke amtaje jina kama Yuko pekeyake angekuwa yy ndio kafanyiwa fujo pangekuwa hapatoshi asinge samehe hebu wanawake tufike hatua tujue kuwa tunao wapenda wanatusaliti Yani demu kaja na bonge la upara kama tako😂😂😂😂
sisi wenyewe kuna mfanyakazi mwenzetu alishapewaga hili duka anaitwa JESCA KIDOTI matokeo yake akaja pigwa jiwe na mdomo na mwanamke mmoja hivi anaejulikana kwa jina la SHANNY
Yani huyo kaka anaonekana alimfungulia mwenye kipala walipokosana kamnyang'anya na kumpa mwingine sasa huyu kasanuka wakaka acheni ujinga ukimpa mtu kitu kubali umeshapoteza siwezi kuchukua kitu kwa mwanaume alichokua anatumia mwanamke mwingine nyie ndio mnataka hadi nguo mrudishiwe mkiachana
Inatakuwa muwe mbachunguzq kwanza pale mnapoambiwa hapa mahala qnataka kupewa mtu kwanza muende wenyewe bila ya camera muhakikishe hapana mgogoro ndio mfanye kazi yenu naamini mngekwe.dq kwa kuuliza majirqni wa hiyo sehemu hato yasi ngetokea huyo mwanamke mwengi e utakuwa Anaishi maeneo hayo ya karibu majirqni walipowaonq wakamuhabarisha chungeni msije mkasabqbisha maafa mkaambulia jela sqbabu serikali haitowafumbia macho kufanq kitu bila kuwa na Nanzqria.
Yaan mr uk unaonekana kabisa unavyomkonyeza huyo dada mkorofi aingie uigizaji mwingi sana🙌🙌🙌
Kingereza chako Cha kisenge Mr uk.
Mr Uk uko vizuri hila unafeli kidogo tu kingereza kingi bro halafu basi hakijanyooka kiviiile unakera hapo tu😂😂😂
😂😂😂
Kuwa kama Zompah acha ujinga😂😂😂😂😂😂maigizo maigizo😂😂
Ahhahaaa maico utakua raia Mzee waay unawachanganya sana mwanawaneee watoto wa watauwanaa😂😂😂
Mtu awe na mpenzi mmoja eti halafu aanze kufikiria kumtaja Aaah kwa kweli mapenzi yana changamoto nyingi sana 😢😢😢
😂😂😂
😅😅😅nmewaza sanaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna watu wanamacho wamemuona Mr UK anavyo mkonyeza huyo dada kivuluge😂😂😂
Acha uwongo bro
Mwenye duka kaingia walahi😂😂😂😂😂wabongo ni shida sana
Kazi nzri sana Mr.Uky big up💪👍
Mkome kutumwa kwenye vitu msivyovijua watu wanapambana muulizage kwanza ndiyo muende mnajiendea tu kwenye mali za watu na wigi lake kama mwalimu wa upe 😂😂😂😂
Hahahaaaa woiyeee!! Mwalimi wa UPE
Duka lako umefungua kwa pesa yako na bado unampromote mwanaume shenzi😂😂😂😂😂
😂😂😂
@blandinamwarabu5025 eti wanatuchora tu 😅
Duka lina lipa namba tayar aaah jamn mitandaoni humu😂😂
Huyo dada kapokea zawadi kwa upole/mapozi lakn baada ya vurugu katoa sauti kubwa ya kushiba km ya simba😂😂😂😂😂😂😂😂 😂😂😂😂.
Donti bi AFLAIDI donti bi AFLAIDI.🤣🤣🤣
Ila hongera kwa IGIZO👏
😂😂😂
😂😂😂yaan
Nilidhani nimesikia iko kiswangirishi mwenyewe 😂😂😂
Tutafute vya kwetu vya wanaume vina mazala😂😂😂😂
Unampenzi mmoja hahaha 😂 Ila huyo dada bwana😂😂
Ukiangalia vizur Mr uk wakati mwanamke anaelezea kushukuru akakonyeza kuwa aje huyo binti hahahaha ndo akaingia ila kutengeneza kazi sana kwann ss asiwepo director awe ndo anaruhusu maan umeharbu move imekuw mbaya sasa
Lio nime jika sana😂😂😂
Sasa unapewa duka lina lipa namb na jina 😂😂😂 af lipa namba nmetengeneza mm duka la zaman hili mngetoa hizo za Vodacom kwanza
Mikundu yenu kutufanyia drama watu wazim ndo nn mfyuuuuu😂
Tutaongea na Lamata awafikirie kwenye uigizaji 🫡🫡
Wapumbavu hawa angalia dakika ya 8:50 mr uky anatoa ishara dada wa nje aingie tafuta content acha kutengeneza uongo
Kwel kabisa coz edit
Kweeeli😂😂😂
Ni well wanatuona wajinga
Nimekupenda bure
True hata mi nimeona,...... Hata na mm nilikuwa najiuliza mwanaume kashindwa mpiga hata kibao,
Mdada yupo nje anasema "Navunja mlango kama hufungui" halaf hajavunja Wala nn,
Huyo mwanaume aliyepigiwa simu anaongea kawaidaaaaa
Huu n uongo, wamejua kuigiza
Sas mim mnaniachaje cjajua muafaka wa aliyenyoa upara😂
Yan jamaa katoa zawad lkn anachitiwa 😅
Mambo ya kiseeeeee😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅 ila Mr uky khaaa🙌🙌🙌🙌
Leo nfo nmeamin kua haya ni maigizo . Yaan dem akabdhiwe duk na mtu wake halaf dem mwingine alete vulugu khaaa punguzen maigzo
Wadau kweli muna ona huyo dada wa inje kakonyezwa hapo? Ndiyo kaalibu shooo
Don't be aflaidi ndio nn😂😂😂
Kuna sister apa amenyoa kipara n kivuruge😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ankoo ,, shangazi kupewa duka na maiko ukuuuh kudadeq
Mpenzi mwenyewe walufkiria duh😊
Kipara kikaanza tibwili😂😂😂😂😂
😂hizi n comedian Kama comedian zngne tu😂
Kwamba comedian😂
Huyu itakuwa duka lake kajifungulia mwenyewe harafu anajishangaza mwenyewe😅😅
😂😂😂😂😂
Anatangaza biashara c anajua watu wataenda 😅😅😅😅😅😅😅😅
Hii comment ndo lkua natfta😂😂
😂😂😂😂😂 mjini akilii
Zawad inaeleweka hata kwenye upokeaji😂wangetuacha kwakwel
Don't be aflaid 😂😂😂😂, hii kizungu cha huyu jomba ni kibaya mbovu
Mara don aflaid😂 mara alivo gentlemen badala ya yeye kuwa gentleman😂
Matamshi ndio magumu kwake, kingereza cha kiswahili.
😂😂😂😂😂😂😂
What good 😂😂😂😂umeisikia
Mijanamke ya kibongo aibu tupu wigi limemtoka 😂😂😂😂 bichwa kubwa chogo kubwa uchafu mtupu
Mimi naangalia wig Tu lilivo nyofoka😂
😂😂😂😂😂😂ni mimi kbsaa😅😅😅😅
Ila wanaume jamani😅😅😅
Hahahhahahahahha😢😢😂😂😂 sumu ya mende kungunu viroboto inapatikana hapa
Mtego wa panya wa kunasa upoo
😂
Vijiti vya kuwashia Moto bila kutumia mafuta ya taa kalibu Sana wateja🤣🤣🤣
Donti bi aflaidi😂😂😂😂😂
Uyu alopewa zawad ya duka ni mzuri na anatako saf kabisa
Mmekuta kabisa label CLOSED mnakazana kuingia hii move tumepigwa wote kama wao😂
Angalia vizuri hiyo closed ilikua upande gani
Mungu wangu na mim natka nifungue duka hukohuko sjui nitaweza my gosh
Mnapenda kutengeneza ujinga si Bora utengeneze movie tujue mmoja
Mimi ndio maana siwezi kuwa na mwanaume mmoja wanaume ni MBWA Yani yy ana wanawake kibao alafu anataka mwanamke amtaje jina kama Yuko pekeyake angekuwa yy ndio kafanyiwa fujo pangekuwa hapatoshi asinge samehe hebu wanawake tufike hatua tujue kuwa tunao wapenda wanatusaliti Yani demu kaja na bonge la upara kama tako😂😂😂😂
.😅😅
Apo kwenye Tako umejua kunivunja mbavu😂😂😂
Mbwa kabsa
Pamoja na baba yako mbwa
Dawa ya moto moto
Mbona imeishia njian 😢. Jamani 😰🙈
Alafu wew mtangazaji miyeyusho kisenge unampeleka mdada wawatu alafu unashindwa kuzuia,c unamtia ata banzi uyo msenge alieingia apo aache wenge
Hili duka nilipewa after six months nikapokonywa kapewa huyo dada mwembamba😂😂 nae kishamramba😢😢
Dawa yake sasa huyu anae pokonywa afrisi akafungue lake mbali kama ndo tabia yke amalize huu mchezo
DADA USHAPEWA WEWE CHUKUA VITU HAMISHAAS
Kweli mmy?
Wewe endelea na umbea mpaka wakuue 😅😅😅
😂😂😂😂😂
@NajmaRajabu-q8e ya watu anayapenda subiri watakapopenda ya kwake atauponza
Mmmh et mpenz mmoja apo kwancheke😂😂 mtangazaj umemtajia jina aiwezekan useme et kuna bwanaako alikwambia unapenda sana viatu
Kwenye hii movie Naombeni behind the scene please 😂😂😂
Bro unapambana ila hawa wanao kuja kuaribu kwenye video zako huwaga wanatoka wapi jamani ??
Mbn ww t kweny contact zak nd zangum tuu wanao harb Mali za wat wanalipa
Icho kidemu cha pili kama kilivoingia kama brenda fassie kidemu gani dadadeki kimetupa wigi kikabaki kama winga😅😅😅
😂😂😂
Daaah ila wanaume mmmh sasa yule aliye kuja mbona kiwakawaida sana kuliko wa kwanza aliye letwa m
Yaan ni shida wanaume
😂😂😂 noma sana hiii
Mwisho Wa siku hela zinarudi kwa mwwnye we na lesseni inajina LA mwenyew
Umetowa ishara kwa kutikisa kichwa na kukonyeza acha maigizo kasongo.
Wakwanzaa Mimi😂😂😂😂
Thenk you kwa sapoti yako
Don't be afulaidi
Don't be afulaidi
😢😢😢😢😢😢😢😢
Skuhiz kila.kitu maigizo. Hii ishapitwa na wakat
Sa kamaa mtu ana wanaume weng af ndto yake kamwambia mtu mmoje lazma amtaj uyo uyo mmoja😂
Wewe hilo neno usiseme don't be afraid kama lilivyo tamka Afraid
Binti mlembo ivo awe na mtu mmoja
Anipe mimi nimionyeshee😢😢😢
UTOTO MWING MNATUMALIZIA BANDO2😂😂😂 NIKIJA ANGALIA CLIP ZENU TENA SIII MIMI ASA SI MTOE EPISODE WAKUU IWE SEASON 😂😂
Tutaften kwa jasho letu😂😂😂😂 habari ya kuhongwa duka
Ivi kweri kuna mwanamke mwenye mpenzi mmoja aiwezi kua raisi
Iko kidada kipala kipo kama kichawi😅
Mambo yakisenge ndio nini. Acha izo Mr Uk. Wengine wanangalia awajavaa Airphone. Wamekaa nawatu waheshma.
Ili ni tangazo la biashara😂😂 ii imeendaa
mh
Ni tangazo la biashara yake hmn kitui hapo
Hiko kiatu chekundu shngap? Na number ngap??🥱🥱
Dada ana wengi huyo
Yaaan uyo dada amebahatisha tu maana anafananiya kuw na zais ya watu wa3
sisi wenyewe kuna mfanyakazi mwenzetu alishapewaga hili duka anaitwa JESCA KIDOTI matokeo yake akaja pigwa jiwe na mdomo na mwanamke mmoja hivi anaejulikana kwa jina la SHANNY
Kwelii?au umeamua kuchangamsha
Yani huyo kaka anaonekana alimfungulia mwenye kipala walipokosana kamnyang'anya na kumpa mwingine sasa huyu kasanuka wakaka acheni ujinga ukimpa mtu kitu kubali umeshapoteza siwezi kuchukua kitu kwa mwanaume alichokua anatumia mwanamke mwingine nyie ndio mnataka hadi nguo mrudishiwe mkiachana
Hiii ni maigizo kabisa sijapenda kabisaa
maisha yangu siwezi subili cha mwanaume
😅😅😅😅watu wa bad tuna matukio😅😅😅
Hongera umeepika unyanyasaji na zarauu
Hyo ni maigozooo mbona hajashtuka alivyogeukaaa
😂😂😂😂😂Mdada alieingia na kchwa chake kama tufe 😂😂😂😂😂nmechekaaaaaa
Wanakuwaga watamu halafu akikupenda ndio king'ang'a kama hivyo,😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂@@mashramadhani1989
😅😅😅😅😅😅😅😊@@mashramadhani1989
Maicko alicho kosea kumfungulia sehm ambayo ameshaa wafugulia ma x wake, ange mfugulia sehm nyingine tofaut na hiyo
Sasa mr uky Kwanini Umkonyoze kivuruge si ungemwachia camera man aseme 3 2 1 GO
Daah😂😂😂 wanaume 🙌
Huyu mwenye duka hajuwi ata kuigiza yani anaonesha wazi wazi kama kilipangwa iki kinacho endelea
Mimi kumtaja James ndio kitu cha kufikiria kwel
Hii ni script kabisa 😂😂😂
Inatakuwa muwe mbachunguzq kwanza pale mnapoambiwa hapa mahala qnataka kupewa mtu kwanza muende wenyewe bila ya camera muhakikishe hapana mgogoro ndio mfanye kazi yenu naamini mngekwe.dq kwa kuuliza majirqni wa hiyo sehemu hato yasi ngetokea huyo mwanamke mwengi e utakuwa Anaishi maeneo hayo ya karibu majirqni walipowaonq wakamuhabarisha chungeni msije mkasabqbisha maafa mkaambulia jela sqbabu serikali haitowafumbia macho kufanq kitu bila kuwa na Nanzqria.
Mr uk huo ni uongo sabb msiko hawez kumkabiz mtu duka bila kuwepo sijui hata hii shida niya nn kujishangaza mwenyewe niujinga
😂😂lipa namba pia ime closed jaman 🤣🤣
Hili tngazo labiasharaa labdaa but akuna cha supryzz😂😂😂😂
UMESEMA POINT BOSS ,SAIV BILA KIKI BIASHARA HAIENDI
Acha nitafute ela zangu tu apana😅😅😅
Kazini kuna kazi 😢
Uyo mdada asije akaniummizia Shem wangu kwa vee maana sio kwa kulusha skonkido
Duka la dada bonge akamualika mr uk na dada kipara afanye vurugu huyo kipara ingekua kwel angevunja mlango ila kwavle nikaz ameona afuqte maelekezo hqta haija noga hv nyie qatu wanene kwann mnapendq kufanya watu wajinga alafu naww maiko ww😂😂😂na uk wako😮
Nimetoka TikTok ndy nimekuja uku duh
Kumbe umeota kama mm😅😅
Duuhh kumbe umeota kama mm 😢😢😢
KWANZA QAKINA MAIKO WAOTE HUWA WANAKUWA MALAYA HAWANA DEMU MOJA WALA WAWILI
Tutajuaje kama alikunong'oneza kuwa Michael ndo amempa duka
Wamekosa kazi za kufanya ao
Vunjeni Duka letu mtalipaa pesa y tangazoo atuwalipiii endeleeni
jina la movie please
Ingekuwa mimi huo mlango nisinge uacha salama