WALIOITWA KWENYE FAMILIA VI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Вставка
- Опубліковано 25 гру 2024
- KANISA LA REALITY OF CHRIST MINISTRY (ROC) LIPO SINZA MORI DAR ES SALAAM LINAONGOZWA NA WATUMISHI WA MUNGU PASTOR SUNBELLA KYANDO
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our UA-cam: www.youtube.co....
#sunbellakyando #pastorsunbellakyando #pastorjohnsembatwa #realityofchrist
Nabarikiwa Sana na mafundisho ya NENO LA MUNGU kutoka kwa mwalimu sunbella. Amen!!!
Aminaa,,napenda sana Mtumishi papa Sunbella anavolichambua neno,,,napona na kubarkiwa sana😍
*Neno linaendelea* watu wa Mungu wanafunguliwa😭😭...Neema kuu iliyoje??...napokea nami🙌🙌
Amen. Natoka Harani Kwa Jina la Yesu
Aminaaa 🙏 nimebarikiwa sana kwa somo hili
Amen 🙏