Acha kudanganya watu kaka hizo gari hazijatupwa...c waona ziko maegesho!!? Yani parking slots...alafu DC naona age ya kupagawa na mmbo ya kawaida ushapita apo...wazengua😅
Kwahiyo mwisho wa kujenga ni miaka 34? kwahiyo mungu akikupa pesa ukiwa na miaka arobaini mpaka hamsini usijenge! kumbuka aliyekupa pesa mapema ndiyo kamcheleweshea mwingine, pia riziki huipati kwa ujanja wako bali kwa uwezo wa mwenyezi mungu, kauli zako zinaonesha wazi nimtu wakutaka sifa nakuwakatisha vijana wengine ambao wanajitafuta wakate tamaa! unawahukumu watu et wakianza kujenga wana miaka 40 wajitafakari! unasahau kunawatu wana pesa nyingi lakini kipaumbele chao siyo kujenga! jaribu kuwa unawaelekeza watu njia zakupita ili kupata mafanikio siyo kuwananga nakuwafanya wajione wamefeli maisha!
WAKATI UNAMUITA MWENZIO MSHAMBA HUYO UNAEMUITA MSHAMBA ANAJI FANYA MSHAMBA ILI APATE CONTENT YA KUPOST UA-cam NA WEWE UTA VIEW USHAMBA WAKE BILA KUJUA KUWA UMEONGEZA VIEWS AMBAYO ITAYO MPA MAPATO KUTOKA UA-cam KUPITIA USHAMBA WAKE JE NANI MSHAMBA KATI YA WEWE NA YEYE?😂😂😂😂😂😂😂
Mbona unachuki hivyo ndugu? Unaonekana unawaabudu Sana wazungu😢.... Wale ni watu wao wenyewe Huwa wanavituko na mambo ya ajabu kama binadamu wengine tu😂..
Marekqn n sawa na maswa kwetu tuu 😂😂😂 hamna kituu
😂😂😂😂uchawatu kusifia vya watu kwenu Ahaaaa🤣🤣🤣🤸🔥
Aaaah wew usitulazimishe kila mtu na tamaduni zao
Pambana mzee big up om boy
Huko hamnaga uchawa ndio maana ukaambuwa stay away!!!😂😂😂
Mke wa Mwijaku apa anakazii mmmh sio kwa mwanaume huyu😂
Kuwa makini usisogelee nyumba za watu watakufetua risasi ya kichwa
Sijui kujenga sijui gari yanapita mwijaku kunasiku utakufa utaviacha watatumia wengine
Acha kudanganya watu kaka hizo gari hazijatupwa...c waona ziko maegesho!!? Yani parking slots...alafu DC naona age ya kupagawa na mmbo ya kawaida ushapita apo...wazengua😅
Unaenda kusunguka Sunday nyumba za watu
Kwahiyo mwisho wa kujenga ni miaka 34? kwahiyo mungu akikupa pesa ukiwa na miaka arobaini mpaka hamsini usijenge! kumbuka aliyekupa pesa mapema ndiyo kamcheleweshea mwingine, pia riziki huipati kwa ujanja wako bali kwa uwezo wa mwenyezi mungu, kauli zako zinaonesha wazi nimtu wakutaka sifa nakuwakatisha vijana wengine ambao wanajitafuta wakate tamaa! unawahukumu watu et wakianza kujenga wana miaka 40 wajitafakari! unasahau kunawatu wana pesa nyingi lakini kipaumbele chao siyo kujenga! jaribu kuwa unawaelekeza watu njia zakupita ili kupata mafanikio siyo kuwananga nakuwafanya wajione wamefeli maisha!
Vp marekani chawa kinatoka nini😂😅😢
Wabongo mko na tabia mbaya
haha, unawablock wazungu, mzungu umemkera kumziba njia akakusema 4:58
Wewe mshenzi kweli, eti ukiwa na space kubwa ujue unataka ufuge kuku, mbozi,....
Kuja kwenye kongamano la waislam wa east africa .watafanya 2 days Saturday and Sunday .wambiye wa kulete connecticut ndiko kuko kongamano
MIMI NAPENDA KUELIMISHA SIO KUTUKANA
festi wold kontri - 😂
😂😂😂ila mwijaku
Wee n chawaaa tuuu
Wee mshamba wazungu awanaga jilani
Unajisifia kujenga ukiwa na miaka 34 wakati wezio tulijenga na miaka 25 lajini kila siku ukiona mijengo mipya unaaza upya ujenzi
Msuka nywele😂😂😂😂😂😂domo kama una D3 uwezi elewa
Acha ushamba una jidhalilisha balance bwebwe uchwara hao hawaish kama cc punguza sifa ovyoo🤪
Ss tuna ardhi bwana kwnn tujibane😂😂
Mzee Hutulii km unaupwilu.... , Na hizo kanzu watakufanya kituuu chafu... Tulizana.
Nakuchukia mwijaku we nimshamba
Wewe gusagusa vitu vya watu wakupige risasi hawanaga utani huko
Kila sehemu na utamaduni wake muulize salim kikeke alishindwa kuishi uingereza ukimuuliza atakusimulia vizuri
Somo la wivu
Siyo jilani ni jirani Kuna baadhi ya watu kiswahili ni shida wakati kiswahili ni lugha ya Taifa
Jmn mwijaku eti $500 naiomba hiyo gari kama ni bei hiyo kweli 😂😂😂😂
Sasa kama nimelekani ndonin wafrica bhana ipende inchii yako wacha polojo ndomana wazungu wanatuona kama hatufai
Tabia za kitanzania za ajabu.
Wa Tanzania 🇹🇿 niwashamba kabisa
WAKATI UNAMUITA MWENZIO MSHAMBA HUYO UNAEMUITA MSHAMBA ANAJI FANYA MSHAMBA ILI APATE CONTENT YA KUPOST UA-cam NA WEWE UTA VIEW USHAMBA WAKE BILA KUJUA KUWA UMEONGEZA VIEWS AMBAYO ITAYO MPA MAPATO KUTOKA UA-cam KUPITIA USHAMBA WAKE JE NANI MSHAMBA KATI YA WEWE NA YEYE?😂😂😂😂😂😂😂
Wewe ambaye sio mshamba sijui unatushinda nini
😂😂😂nilitaka nimpe tusii ilooo lkn Umeniwahi😂😂😂@@redtk2971
Mtu yuko Massachusets hajui panaitwaje anaita "Massachusa"
Koma kabisa kwahyo akifanya Mwijaku ndo tumefanya wa Tz wote?
2:58 KAMA JIBWA VILE😂😂
Kama ametoka kumwaga vile tena na tena
Bora ungetoa iyo kazi maana wazungu watajua umetumwa na waarabu,maana mzungu na mwarabu ni mbwa na paka hawaelewanag hata siku moja,😂😂😂😂
Chuki isio naushindi
Eti msomi huyu kiingereza cha sokoni eti you good? 🤣🤣🤣
Utapigwa lisas kweny majumb ya watu
Ww jamaa ni mshamba snaa aisee waha bahna awa ni makapuku tu km ww mwenye pesa awezi kaa maeneo km ayo na nyumba za mbao
Mwambie viongozi wafanye mipangilio ya miji
Hawana mshamba hao
Hakuna mujanja Kwenye mafanikio ukiona umefanikiwa ujuwe Mungu ameluusu kunawatu wajanja na wanabidii awajafanikiwa wewe mshukulu Mungu
Make sure when we meet when u came back 😂😂😂😂😂shikamoo English
😂😂😂😂😂
Blo ote tumetoka uswahilini ila ww cju vp yan au cio lisk
Make sure we meet up hahahahahahaha iyo ni kiingoriza
Ndio maana wazungu wanatuita nyani. Huyu ni mfano wa unyani😢
Mbona unachuki hivyo ndugu?
Unaonekana unawaabudu Sana wazungu😢....
Wale ni watu wao wenyewe Huwa wanavituko na mambo ya ajabu kama binadamu wengine tu😂..
Watakupiga pumbu huko tuliza nyapu
Nyumba za mbao hizo wewe!?
😏😏
Wata ku choot njo utajuwa kutapa vya watu
Nahayo makanzu yako km Police hawajakufwata niko pale 😂
Wewe kweli bwabwa
uyu muongo wala msiamini anayosema
Unambiwa songea njiani bwenge wewe
Chagua na wewe basi
Utakuja kupigwa rısasi wewe
Hata mm nimesema huyu ajisogeze tu kwenye nyumba za watu hao watu sio wakusogelea nyumba zao ovyo
@@hildagabriel1003 marekani siyo fasi we muache
Huyu watamtungua risasi huko aliko, we shoboka tu
Wewe unaesema watanzania ni washamba koma mshamba ni wewe na familia yako mshenzi mmoja
Mshamba wa mwisho anatuaibisja hata kama analipwa kwanza hilo hijabu lako mwijaku watakuua shauri yako na ushamba wako
😂😂😂