Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 тра 2021
  • Maisha ya nje ya nchi mfano Marekani yana changamoto kadhaa hasa unapokuja ukitokea katika nchi za Kiafrika kutokana na utamaduni tofauti. Miongoni mwa changamoto hizo zimeongelewa kwenye video hii

КОМЕНТАРІ • 690

  • @henrymuiruri813
    @henrymuiruri813 2 роки тому +45

    Napenda kuskia watanzania wakiongea Kiswahili 🇰🇪

    • @salymkitumbika8644
      @salymkitumbika8644 2 роки тому +5

      Pia napenda kuskia Wakenya Wakiongea Kiswahili sahivi nipo Kenya nainjoy kiswahili chenu I'm from Tanzania

    • @polytarimo324
      @polytarimo324 2 роки тому +2

      Mimi pia napenda kiswahili cha Kenya big up

    • @hashimshaban4675
      @hashimshaban4675 2 роки тому +2

      Hata mimi hasa nikisikia wa Mombasa wakiongea napenda sana

    • @Kreedo1110
      @Kreedo1110 2 роки тому +3

      Napenda kuskia Watanzania na Wakenya wakiongea Kiswahili pia - kutoka Marekani ❤️

  • @edwardchege2623
    @edwardchege2623 2 роки тому +87

    Lived here for ten years, true it's a very lonely place. Came back to Kenya and I am really happy, I feel more fulfilled. Working at a gas station was my favorite coz I met loads of people from all walks of life, from drug dealers to doctors, criminals to business people, most people just needed to be listened to coz for a matter of fact they are lonely, I shared about Christ coz some never really heard about God.

    • @mosesodhis365
      @mosesodhis365 2 роки тому +1

      So they still have a lot of drug dealers with all the rules?

    • @nechalauwo
      @nechalauwo 2 роки тому

      He is not a kenyan @Moses Odhis

    • @edwardmukama9607
      @edwardmukama9607 2 роки тому +6

      Great ! we should tell them about Jesus for their salvation

    • @pauladero1756
      @pauladero1756 2 роки тому

      @@mosesodhis365 5

    • @edwardchege2623
      @edwardchege2623 2 роки тому

      @@mosesodhis365 watch Dayz of Noah- clipper ships and you will see the bigger picture on the subject

  • @_kandybill
    @_kandybill 2 роки тому +36

    Am an introvert, can live in such a place with full peace of mind...I hate crowded areas with all my heart,i love deserted greeny places

  • @evalinefredrick7332
    @evalinefredrick7332 2 роки тому +35

    Maisha ya Marekani ukilinganisha na Tanzania kuna mengi ya kujifunza. Kwa upande wangu siwezi kuishi Marekani kwani sintaweza kuwa na shamba, trekta, mifugo na nyumba yangu kwa kipato changu hili. Ila Tanzania ninavyo vyote na maisha ni rahisi sana. Tatizo la huku kwetu ni upatikanaji wa kazi za kujipatia pesa. However future sasa ipo Africa ndiyo maana wazungu wanakuja Africa.

  • @peterkanyi1525
    @peterkanyi1525 2 роки тому +23

    Live and die in Africa. I love this continent. I have been out to europe but i missed my Africa.

  • @simbarichards
    @simbarichards 2 роки тому +14

    Yeah! A friend of mine told me that US is a very lonely place. You may not want to live there in the first place. Yaani huna mtu wa kuongea na yeye😂😂 sitaki, wacha nishi Kenya

    • @maureenauma7397
      @maureenauma7397 2 роки тому

      mimi natamani kuenda tu kuwork ,since huku kupata job ni noma

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 2 роки тому +5

    Asante sana umenipa Somo kubwa sana wabongo wengi wanamtazamo eti kila aliye marekani ana mahela kumbe sivyo

  • @alexkabazo5388
    @alexkabazo5388 2 роки тому +20

    Teach them people in Africa to know about life in America sio paradise is on earth epant diers I'm alex from congo moba tanganyika iliving in America 🙏 God bless

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 роки тому +6

    Marekani naipenda mnoo asa kwa watu weus wenzangu Atlanta kwakwel kunanikosha katika maisha kuish nkiambiwa nichague Jimbo ni Atlanta Georgia 😍💞🤦

  • @kamanda007
    @kamanda007 2 роки тому +7

    Hakuna upweke hapo, maisha mazuri sana hayo...PRIVACY!!!

  • @janetmorgan2283
    @janetmorgan2283 2 роки тому +20

    It's better than being broke n lonely 😭.

  • @sharifukilongo2565
    @sharifukilongo2565 Рік тому +1

    Hayo maisha ni mazuri sana,coz hakuna umbea

  • @junenadine6512
    @junenadine6512 2 роки тому +33

    The fact that many american homes are not gated or fenced like kost aftican homes gives me anxiety,aso due to this issues addressed,the level od depression,loneliness and schizzophrenia is very high,
    God bless our african family values,neighborliness and togetherness
    Love from Nairobi

    • @ROLLWITHLIZ
      @ROLLWITHLIZ 2 роки тому +1

      I hear you on that very true, Africans are so warm and you feel a sense of belonging and that’s why depression is not common or suicide

    • @janendegwa5462
      @janendegwa5462 2 роки тому +1

      You don't need a fence coz none can walk to your yard or step on your grass it's trespassing,the only people who come to your door are people you know or Jehovah's witness , or postal workers ,f you have a crime emergency the police arrive in 5 minutes so a tence is not necessary in Kenya a fence is a must to make t more difficult for thieves

  • @marthakimia4075
    @marthakimia4075 2 роки тому +6

    Nakupongeza sana tunajifunza mengi kutoka kwako hasa utamaduni wa wenzetu. Mungu akubariki sana

  • @jovovichmedia9424
    @jovovichmedia9424 3 роки тому +8

    Safi Sana nyumba ipo vizuri na mazingira pia nimepapenda

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  3 роки тому +1

      Nimefurahi kusikia hivyo

  • @machumujuma6399
    @machumujuma6399 2 роки тому +1

    Maisha yetu huku Tanzania na Africa ni mazuri sana japo hatuna kitu ila ni ya furaha sana na umoja wa hali ya juu. Mm binafsi maisha hayo hayo ya kujifungia ndani siyawezi

  • @mwanikimburu
    @mwanikimburu 2 роки тому +21

    Shukran ndugu MTz kwa kuelezea hali ya maisha hapo Marekani. Kweli maisha hayo ni bills na pweke chungu nzima. Sidhani kama nayaweza hayo maisha, napenda hapa kwetu Kenya. Pia shukran kwa kuelezea chanzo cha jina meli. Hilo sikujua... kazi nzuli lakini and keep it up brother

  • @newtonsimba7930
    @newtonsimba7930 2 роки тому +6

    Very nice. Umetuelimisha vyema. Barikiwa ❤️🇰🇪.

  • @muhammadmochenje1409
    @muhammadmochenje1409 2 роки тому +3

    Proud to born in Africa najivunia kuwa muafrika twaishi kwa tangamano na ujirani hatuna upweke

    • @melissaporter5928
      @melissaporter5928 2 роки тому

      Apparently you don't know a lot of African Americans.Because there is no such thing as lonely in the African American communities Especially in the South in the smaller towns where most African Americans treat each other as family.Don't speak on something you don't know

  • @xingho3990
    @xingho3990 2 роки тому +2

    Kaka hongera kwa maisha ya ng'ambo umeyapatia umepigana vyakutosha Mungu akubariki. Lakini nyumba hukutuonesha ndani.

  • @Bagenzi4life
    @Bagenzi4life 3 роки тому +13

    Ninapenda the way unavyo tupa habari kwa habari unatufafanulia vizuri maisha ya uko ulipo asante sana baba
    Love from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  3 роки тому +1

      Nashukuru sana

    • @nasoroliheka9311
      @nasoroliheka9311 2 роки тому +1

      Tunashukuru unatupa mwanga

    • @hamzamafita4025
      @hamzamafita4025 2 роки тому +1

      Tupe dawa the great makulilo nimeijua marekani kama vile nipo huko.kupitia EBM.endelea baba.

    • @ruhangamunyaneza6551
      @ruhangamunyaneza6551 Рік тому +1

      Ndugu yangu asante sana kwa kutupesha habari nzuri tunakuombea uzidi uwenamafaanikio mdawako wote asante

  • @fundieddy9164
    @fundieddy9164 2 роки тому +4

    Habari za namna hii huwa zinaongeza ufahamu na kutegua baadhi ya vitendawili vya ughaibuni.
    Asante sana, ninakutakieni kila lenye heri.

  • @fungukamedia4545
    @fungukamedia4545 Рік тому +1

    🇹🇿nakupata Sana barikiwa brthr
    Tunajifunza vingi kupitia wewe

  • @bas2823
    @bas2823 2 роки тому +1

    Hi! How r u all🤝 my first time to Arrived in AMERICA! n Stay was in Saint Louis Missouri. Near the Missouri Big Arch, Missouri big Lake. Then we moved to Edward Vile, I Illinois n then we ending in Florida to Collage States in USA. Now im in Oman, In the Sultanate of Oman👌

  • @MM-oe2eo
    @MM-oe2eo 2 роки тому

    Thanks bro. Video nzuri sana. Mtu kabla Mungu hajakuchukua inatakiwa uishi Marekani angalau kidogo.

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 2 роки тому +2

    Namshukuru xn
    Mungu kwa kuzaliwa tanzania Mana maisha ya bongo ya matamu cna xx mm niishi uko Bila mchanganyiko

    • @nyembomajidi3027
      @nyembomajidi3027 2 роки тому

      lakini yeye ka sema utamaduni wa marecani lakwetu utamaduni africa kuwa wamoja mtaani hakuna kosa yeyote kila watu na utamaduni wao.

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 2 роки тому +6

    Apomimi nimepapenda sana naweza kuishi 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @maryjohn1436
    @maryjohn1436 2 роки тому +2

    Asante saana nimesoma geni leo kuhusu meli.congratulations

  • @petertimothy7882
    @petertimothy7882 2 роки тому +3

    Safi sana. Endelea kutuelimisha hali halisi huko. Nimefurahia sana mazingira unayokaa na jinsi ulivyofanya bidii kuwa na nyumba nzuri hiyo. Endelea kupiga kila Sehemu na kutuelimisha. Tutafurahia ukituonesha mitaa ya New York, Texas, Washington, Los Angeles n.k.na kutuelezea maisha ya kila Sehemu husika na changamoto zake. Hata kama hutapiga picha Sehemu hizo nilizotaja, unaweza kupata picha safi toka vyanzo vingine na kutupia humu. Let people know about Amerika na Ulaya Maisha na Changamoto.
    Pili, wengi hatujafika huko.Tunahitaji kuona palivyo na Changamoto zake. Well-done bro🙏

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 роки тому +11

    Everything is clean and organized here, beautiful

  • @deedee3614
    @deedee3614 2 роки тому +2

    Yaani bro hilo suala la upweke ni mpaka huku UK. Hasa ile miaka ya kwanza unapohamia. Ila ukikaa you make friends and eventually have a social life. Sema napo inabidi mtu ukifika tu utafute kazi fasta ndio pona yako.

  • @lucasmfaume6673
    @lucasmfaume6673 2 роки тому +4

    Hongera sana kaka kweli maisha yanaitaji kuvumilia pia

  • @somediscovery5988
    @somediscovery5988 2 роки тому +17

    I can't understand Swahili but the video is adorable

  • @issamanyota
    @issamanyota 2 роки тому +2

    Dah brother nimeipenda hii natamani siku moja nije huko ughaibuni 👐❤🇹🇿

  • @willydugilo3258
    @willydugilo3258 Рік тому

    Asante Kwa muda wako!! Wewe ni rafiki tusiejuama!! Unafanya Kwa upendo na sisi wenye matarajio ya kufika huko tuwe na picha!! Ubarikiwe ndugu

  • @ceciliakioria3357
    @ceciliakioria3357 2 роки тому +14

    Thanks
    From Kenya
    Keep on posting to educating our African people

  • @harunamwaholi6551
    @harunamwaholi6551 2 роки тому +3

    Asante sana kutufungua maisha ya huko marekani from mbeya Tanzania

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 2 роки тому +4

    Heeeeee siyo Tanzania watu hawaishi barabarani kutwa kutembea,wengine bila sababu yoyote.asante kaka kwa kutujurisha

    • @modestmkali3436
      @modestmkali3436 2 роки тому

      Hayo ndio maisha sasa, kutoka unakutana na watu, huwezi kuelewa kwasababu huyaishi, maisha ya Marekani magumuuuuu

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule 2 роки тому

      @@modestmkali3436 sio Maisha ni vile tu huku ujobless mwingi

  • @mbuvibetty1116
    @mbuvibetty1116 2 роки тому +4

    Asante kaka kwa kutujuza.Natamani maisha ya utulivu kama hayo.sometimes living one's life without alot of interractions with people can be enjoyable and peaceful.

  • @frankbunini9898
    @frankbunini9898 2 роки тому +6

    Endelea kutujuza zaidi kiongozi. 🤝🙏

  • @salhakundawi3066
    @salhakundawi3066 2 роки тому +1

    Wewe ni mtu mzuri ata the way unavyoongea then nimeona uko simple bro Makulilo, love from tz.

  • @megb4914
    @megb4914 2 роки тому +2

    It's so boring in the states..I can't wait to go bk home soon in my lovely country kenya

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 2 роки тому

    Hongera sana Mashaallah MMUNGU akubariki sana na azidi kukupigania unaroho nzuri sana unatueleimsha wala hujivuni ubarikiwe

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 2 роки тому +4

    Waooooooo nmewapenda bureee mnavowajari viumbe wengine naona ndege wana enjoy sana

  • @liliannjeri6786
    @liliannjeri6786 2 роки тому +2

    Same case here in UK maisha ya upweke

  • @sekibibibatume4719
    @sekibibibatume4719 2 роки тому

    Love from Michigan

  • @TeacherBeatrice_
    @TeacherBeatrice_ 2 роки тому +14

    No wonder wazungu wanapenda kuja holiday Africa.warm climate,warm socialization

    • @pamelawanderaofficial6257
      @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому

      Yes they actually save for that.

    • @jejo4569
      @jejo4569 2 роки тому

      Who said USA doesn't have warm weather's? California, Nevada, Florida , Texas are sunny states almost all year around just like Adrica.

  • @barakamsungu5260
    @barakamsungu5260 2 роки тому +7

    Upo vizuri brother na hongereni manzari ni kijani kibichi na tulivu,pia asante kwa taarifa kama hizi ili tuweze kujua wenzetu wanaishi vipi,one love brother 🙏

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa 2 роки тому +1

    Tunashukuru Sana Kwa kutufundisha utofauti wa maisha Kati ya markani na Africa. There is big cultural differences between Africa and America or Europe. Thanks

  • @hammelmoussa2158
    @hammelmoussa2158 2 роки тому +3

    Salama brother 🙌🙌
    hapo sawa kwa musmamo unao marekani
    sikuegine tufafaurie maisha ya kawaida ina endereaje
    siku kwausiku. Asante 🙏

  • @jeromemwenda2702
    @jeromemwenda2702 2 роки тому +1

    Kongole EBM!
    Maelezo mazuri sana, asante kwa kutuelimisha!

  • @mercymeriy7851
    @mercymeriy7851 2 роки тому +2

    I just like the way He explain it in details...

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Рік тому

    Asante kama ni hivo Bora nisije huko nikae zangu Tanzania,ila nauona hayo ni maisha ya vijijini au ya watu masikini Newyoko au Washington haiwezi kuwa hivo

  • @rosembaga2658
    @rosembaga2658 3 роки тому +2

    Unapadaa na mbogaaa weee nimekupenda😀😀😀😀

  • @aulamongi2020
    @aulamongi2020 2 роки тому

    so cool environment

  • @zaphaniaambuka7192
    @zaphaniaambuka7192 2 роки тому

    Shukrani kwa kuangazia swalahilo

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 роки тому +2

    Vizuri kutujulisha maisha ya marekani

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya Рік тому

    Asante kwa maelezo ya kiufahsmu

  • @ngeisimon2701
    @ngeisimon2701 2 роки тому +1

    Wooh God bless u ata kama cjafika america nimeona vyenye kuko.

  • @petrobenson2932
    @petrobenson2932 2 роки тому

    Ok ,umeelezea vizuri

  • @leaymwagilu7494
    @leaymwagilu7494 3 роки тому +2

    Unaerewekaa vizuri kaka

  • @charlesongiri1617
    @charlesongiri1617 2 роки тому

    Am very much happy. I would like to more about America 🇺🇸

  • @MegaMutema
    @MegaMutema 2 роки тому +2

    Sio maisha mzuri, afrika ni kuzuri

  • @fanwellmwalukasa9123
    @fanwellmwalukasa9123 2 роки тому

    Mi mkali nimekukubali sana uko vizuri naomba uwe unatujuza kwa staili big up sana hongera

  • @johnmedia9756
    @johnmedia9756 2 роки тому

    Kwe Mungu akubaliki

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 2 роки тому

    Nashukuru sana

  • @fredykurga
    @fredykurga Рік тому

    Giving connection

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 2 роки тому

    Wow mimi na penda maisha ya huko wow nice life 💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼

  • @PabloIify
    @PabloIify 2 роки тому +2

    You're so friendly... nitakuona endapo nkija marekani..Yehova akipenda iwe hivyo.

  • @pamelawanderaofficial6257
    @pamelawanderaofficial6257 2 роки тому

    Asante sana kutuelimisha

  • @chiddybest71
    @chiddybest71 2 роки тому

    Safi bro

  • @CalmWhiteNoise5
    @CalmWhiteNoise5 2 роки тому +1

    Asante kwa video hii.

  • @bensonnyaga2852
    @bensonnyaga2852 2 роки тому +6

    I love it.from Kenya

  • @samuelopati7916
    @samuelopati7916 2 роки тому +1

    Content Safi ndugu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ChrisKibuku
    @ChrisKibuku 2 роки тому +1

    I really like your explanation. watu wengi hawawezi kuelezea hivo.

  • @bushradubai182
    @bushradubai182 2 роки тому +3

    Nimetizama kua huku Dubai

  • @hassanjoseph2398
    @hassanjoseph2398 2 роки тому

    Nakubalii Mkuu napenda sanaa unachofanya

  • @tonyshanguya1256
    @tonyshanguya1256 Рік тому

    Ninakuelewa sana Bro.

  • @customersinvoices6990
    @customersinvoices6990 2 роки тому +12

    Makuliro, nimefurahi kwa kupata picha kamiri ya life ya marekani. Endelea kutupa mazuri. Shaba kutoka Kigali-Rwanda

  • @paulwachira7679
    @paulwachira7679 2 роки тому +6

    Marekani ni nchi mbovu sana,heri africa.

    • @farikkaqueen2367
      @farikkaqueen2367 2 роки тому +1

      😂😂😂😂😂

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣Ukisha zoea jembe kifungo cha ndani hukiwezi 🤣🤣

    • @rachelbahahazo6362
      @rachelbahahazo6362 2 роки тому

      Nyooo kwa tz tulipofikia kilo ya mchele3000 mahindi debe16000 apana mm napaelewa marekan

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      @@rachelbahahazo6362 Haya ndugu salamu zao

  • @davidnyabuga3119
    @davidnyabuga3119 2 роки тому

    Maisha mazuri bro thank you..

  • @user-td3ss6nk2d
    @user-td3ss6nk2d Рік тому

    Yaaan hayo ndo maisha yangu bongo tu namaliza mwezi nje stoki.....

  • @larrywayne2089
    @larrywayne2089 2 роки тому

    Green and nice

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 8 місяців тому

    Hiii video ilinipa mchecheto haswaaaaaa❤❤❤❤❤

  • @josephchiri2228
    @josephchiri2228 2 роки тому

    Thanks brother

  • @MamuMichael
    @MamuMichael 2 роки тому +2

    Big up nimeipenda sana truth to be told. 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @sydinemasibo
    @sydinemasibo 2 роки тому

    God bless you so much am your fun I hope one day I will see you

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 2 роки тому

    Very informative 🎩

  • @africangirllifestyle7686
    @africangirllifestyle7686 2 роки тому +2

    Marekani Ni sehemu napaogoap sanaaaaaaa

  • @andrewl3039
    @andrewl3039 2 роки тому +2

    Awesome review, very informative 👍. Asante ndugu

  • @hassanmdoe8425
    @hassanmdoe8425 2 роки тому

    Aisee uko vizuri,naomba mawasiliano yako.

  • @wilsonemanuel9915
    @wilsonemanuel9915 2 роки тому

    Safi kaka toka Uishi uko Unamika mingap

  • @josephtairo4944
    @josephtairo4944 2 роки тому +1

    Fencing is an expensive undertaking and you need surplus to think of doing an attractive structure. In Europe and other snowy areas you will find fencing unwanted and not practical. Again when you put up an expensive house without a fence you feel not secure depending on the neighbourhood and security issues. We cannot copy many things from US or Europe given the varied cultures and economies. The video is very educative. I salute.

  • @mohamediomari1614
    @mohamediomari1614 3 роки тому +5

    Mimi ni wakwanza, i wish niishii mareksni siku mojaa. Mandahri nzur

  • @Borntown_7G
    @Borntown_7G 2 роки тому +1

    Big up bro, your are okay,,. Thanks for exposure

  • @Kifyasi
    @Kifyasi 2 роки тому

    Nakuelewa sana kaka

  • @nicolastitus568
    @nicolastitus568 2 роки тому

    Hongeleni mna maisha mazuri sana

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 2 роки тому

    Asante kwa maelekezo nime faam nisiyo ya faam karibuni Tanzania

  • @mathiaslaurent756
    @mathiaslaurent756 2 роки тому

    Safi sana, dah upweke huu naona nitateseka sana, sipawezi kwa hali hio unapataje mke

  • @calvinsosthenes2978
    @calvinsosthenes2978 2 роки тому +2

    Nimependa Sana vipindi vyako Kaka,, nimejifunza mengi Sana kutoka kwako