КОМЕНТАРІ •

  • @AbasiHassan-w4s
    @AbasiHassan-w4s Місяць тому +39

    Kuangalia hii interview .umenifanya nirudie Mbagala .kama na WW pia kama mm .gonga like hapa

  • @RajabuHamisi-pg4qd
    @RajabuHamisi-pg4qd Місяць тому +53

    Dada we mrembo tangia kwenye mbagala ya simbaa❤❤❤😊😊😊

  • @swedish_james
    @swedish_james Місяць тому +17

    Huyu dada ana mengi sana moyoni ya kusema ila anaamua kuyaficha tu kwa kweli Diamond kama kweli bilionea anafaa kumtafuta amzawadi

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab Місяць тому +148

    Tuliokuwa hatukujua kuwa Yule maryam wa Maneno ya kuambiwa ndie mrembo wa Mbagala ya mshkaji wa Tandale na ndio tumejua leo baada ya kuona hii interview ,tu like hapa ili tuone idadi yetu .

    • @OmanOman-hj7tv
      @OmanOman-hj7tv Місяць тому +1

      Labda wewe peke ako ndo hukujua mbona alishasema kitambo toka maneno yakuambiwa haijaisha😂😂😂😂😂😂😂

    • @zuenampandeni3347
      @zuenampandeni3347 Місяць тому +1

      Labda wew sisi tunajua🤣🤣🤣

    • @complex7582
      @complex7582 Місяць тому +1

      Kwa hio yule wa maneno ya kuambiwa sio mwenyewe

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab Місяць тому

      @@zuenampandeni3347 Au sio!

    • @OmanOman-hj7tv
      @OmanOman-hj7tv Місяць тому

      @@complex7582 ni yeye

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z Місяць тому +8

    Daimondi usimsahau huyu dada . Naona Hadi alipigwa na baba yake na mume.❤❤❤

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 Місяць тому +7

    Nasibu anabaa mungu amupe maisha marefu❤❤🎉🎉🇴🇲🇧🇮

  • @thebeatshouse
    @thebeatshouse Місяць тому +10

    Naima she z so positive.....❤❤❤❤

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 Місяць тому +25

    She's very intelligent 😅😅kuna kitu anawish kusema but anaheshim mamlaka

  • @HassanSaid-e1w
    @HassanSaid-e1w Місяць тому +8

    Mhhh diamond na ushamba aliokuwa nao amwacheee katokaa tandalee kachokaa.ila madada zetu wanajiraisishaa sana au mobeto na aziz kii😊😊

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 Місяць тому +11

    Hata mimi naipenda no 5. Sbb nilizaliwa mtt wa 5.

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 Місяць тому +11

    Mrembo sana huyu Dada❤

  • @officialjeazy1458
    @officialjeazy1458 28 днів тому +2

    Huyu Dada yuko very clear hana longolongo wala malalamiko anaongea kitu ambacho kipo hana mbwembwe wala hataki kiki wala nini unaona hata shobo na yoyote na hajali kueleweka vyovyote yuko itavyokua ndo ivyo ivyo.

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r Місяць тому +4

    Huyu na mimi tunazeeka pamoja Asante Mungu kwa kutupa umri huu tuongezee zaidi ili tushuhudiee ukuu wako

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 Місяць тому +11

    Huyu mwandishi kila saa way back😊

    • @georgedaniel4962
      @georgedaniel4962 Місяць тому +2

      Ndoo uzungu anaeujua,😂😂wandishi wa bongo acha tu.

  • @fabianlaurent6144
    @fabianlaurent6144 Місяць тому +7

    Huyu Dada ana Utu na anaongea vizuri sana hana baya wala hana tabia ya kumsema mtu kwa ubaya kwa kweli Allah amjalie sana ni mwanamke aliyekamilika kifikra na kiakili hata kuongea kwake inadhihirisha kabisa

  • @kabebemazambi
    @kabebemazambi Місяць тому +2

    Niki dada kizuri kirembo 🎉🎉🎉🎉❤

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v Місяць тому +8

    Mziri pia unaongea kwa nizamu hongera

  • @allansk1035
    @allansk1035 Місяць тому +10

    Dhaa nothing lasts forever kabisa yani tizama apo kwenye video vixen gisi alikuwa hot ila sasa miaka imekwenda usichana umekimbia

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 Місяць тому +5

    Kumbe ndo kazuri hivi ❤❤❤

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 29 днів тому +2

      Ungemuona kipindi hicho ana miaka 18 mpaka 22 ulikuwa moto c mchezoo

  • @AminaBakari-gy8wz
    @AminaBakari-gy8wz Місяць тому +6

    nimefulaahi kutaja kisiwa chetu Cha MAFIA,,safi sana❤️❤️♥️mzarau kwa mtumwa

  • @ZuwenaRamadhani-r2t
    @ZuwenaRamadhani-r2t Місяць тому +3

    Daah naima buji wakisiwa mwenzangu mafia moja

  • @mliwakhatib9457
    @mliwakhatib9457 Місяць тому +12

    Nakumbuka alikua bonge moja na pini miaka hiyobabaake alikua mbunge wa mafia Ismail shaa

  • @mkumbajr1583
    @mkumbajr1583 Місяць тому +4

    Ata sio kiki ,kama angekuwa mwengine angejiproud sana

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 Місяць тому +7

    Kumbe Hawa na Diamond walikuwa wapenzi😊

    • @amanimlengwa9202
      @amanimlengwa9202 24 дні тому +1

      Akili yako ya funza kweli. Hivi huelewi kabisa kuwa hawakuwahi kuwa wapenzi?

  • @TimotheoNtibayaga
    @TimotheoNtibayaga 20 годин тому +1

    Ulilipwa

  • @AllyBadru-dj2nw
    @AllyBadru-dj2nw 22 дні тому +2

    Diamond bilionea choko tu

  • @nassorzaharani7626
    @nassorzaharani7626 14 днів тому +2

    Mbulishi alie changamka😂😂

  • @ticketmastertips1492
    @ticketmastertips1492 Місяць тому +1

    maualana azidishe kheri na tunuku tele aushini huyu dada kisa,"utu WA kutakia wenzake inajipa"❤

  • @MahrezWahid
    @MahrezWahid Місяць тому

    Nimependa spirit hii ya huyu dada hii ni sifa ya watu wa Visiwani wote ...
    Yaani waarabu ndio sifa zetu hzo hatuna mmb ya kuomba omba

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Місяць тому +11

    Ulikuwa noma

  • @emanueliphilipo8303
    @emanueliphilipo8303 День тому

    ulikua mzuri kwel

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 7 годин тому

    Weee dada tubu! Mungu hakuandikii Maovu..huyo ji SHETANI au hujui

  • @jeffsantana83
    @jeffsantana83 Місяць тому +1

    Kazi safi bro

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 Місяць тому +2

    Jitoto lakiswahili jirembo mashaallah

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 3 дні тому

    Khaaaaa...Dayamondi hakukuoa mtoto mzuri kama weweew

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs Місяць тому +7

    Daaaaah hatariiiiiiii jaman

  • @nassorsalum3846
    @nassorsalum3846 Місяць тому +8

    bado yule mwengine alomkataa diamond kwenye mbagala yule black beuty

  • @djarudkellz
    @djarudkellz 18 днів тому +1

    Ni mrembo saNaaaaaa kbsa

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 29 днів тому

    Kweli zamani washikaji mnatafutana ,, cku hizi kila mtu kivyake

  • @mohdahmed5389
    @mohdahmed5389 Місяць тому +14

    Jiheshimu dada ,hii dunia ujinga tu,hayo mambo hayana maana wala faida yoyote kwako ,umeshajidhalilisha na kuidhalilisha familia yako ,achana na hawa wajinga wanajitia kukuhoji ili uendeleze huo ujinga ubaomkera Allah,kumbuka anachotenda chochote kile huwa kinabakia hata kama utakuwa umekufa,hayo mavideo yakijinga yote yanaendelea kubakia kumbukumbu kwako na familia yako hadi ukiwa kaburini,muogope Allah ,jua kuwa kuna siku ya hesabu (kiama)ni nasaha tu nakupatia

    • @Bongokasitv
      @Bongokasitv Місяць тому +2

      Tafuta pesa acha makasiliko utawaongelea wangapi

    • @mohdahmed5389
      @mohdahmed5389 Місяць тому +1

      @@Bongokasitv pesa sio kila kitu,utu wa mtu ndio muhimu.acha akili mgando

    • @Bongokasitv
      @Bongokasitv Місяць тому

      @@mohdahmed5389 sio lazima wote tuwe na utu ukiwanao wewe unatosho na yanini umfosi m2 aishi kama wewe

    • @PhilipoLeonard-q5w
      @PhilipoLeonard-q5w Місяць тому +1

      Kwan kakosea wapi hadi umevimba ivo

    • @Iamcameronboyce
      @Iamcameronboyce Місяць тому

      @@PhilipoLeonard-q5witakua babake 😂

  • @NasserAlhajri-ys6yr
    @NasserAlhajri-ys6yr 17 годин тому

    Naima kwishneee jirani yangu kabisa pale sharif shamba Kona ya amana hospital

  • @AbeleBausingi
    @AbeleBausingi Місяць тому +20

    Naima anafanana na Jennifer Lopez

  • @godfreya6955
    @godfreya6955 Місяць тому +3

    Dada anafunguka huyo hatari 😀

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila Місяць тому +1

    Daaaah uko gud sna dadaa

  • @RehemaPeter-s8n
    @RehemaPeter-s8n Місяць тому +8

    Mzuri ata hajabadilika sura ❤

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Місяць тому +1

    Et rangi nyeupe hiz rangi nyeupe ndo wangekuw wanaingia tuy pepon bila kutenda mambo mema wallah susi watuy weus sijui tungekuw wap japo mie pia siyo mweus lakin siwez kujivunia rangi hata siku moja yan huyu na warabu ambao tunawafanyia kaz huku hawan tofaut wallah kwa ongea yake hii alie ongea mjinga san akawaombe msaad watuy weup wezie jinga san et natokea rufij jinga w

  • @gseh9277
    @gseh9277 Місяць тому +8

    We Mariam kwenye maneno ya kuambiwa 😂😂

  • @noormohamed-tt4fg
    @noormohamed-tt4fg День тому

    Huyu muandishi mshamba sana limbukeni sasa kushangaa kuwa ni mwarabu imekuwa mwarabu huo ni ushamba

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 Місяць тому +58

    Huyu dada alimsaliti mumewe kisa u star...Mungu kamuadhibu...namjuwa mpaka mumewe...alimtesa sana mumewe baada yakuonekana kwenye video ya Mbagala mamaeee.

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 23 дні тому

    Manene ya kuambiwa nikiipenda sana

  • @chaileeportraits
    @chaileeportraits 18 днів тому

    Nyie mwafkiria diamond atamsaidia nani 😂😂😂😂😂 mpaka sasa hajaiona hii video

  • @annysamwel9669
    @annysamwel9669 4 дні тому

    Dunia ina mambo mm ndo maana mtu akitoboa simshobokei

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r Місяць тому +4

    Tulio kuwa hatujui kwamba Daimond na Sheta ni watoto wa huyu mama tujuane ila sijajua wa kwanza ni yupi 😂

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 28 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kumbe ulichezea kichapo licha ya kutufuraisha😅😅😅😅😅😅😅

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 Місяць тому +13

    Umekulia kwenye dini ila bado dini huijui

    • @danimtenga6962
      @danimtenga6962 Місяць тому

      Dini ina faida gani sasa na wewe? 😂

    • @LumumbaFarhani
      @LumumbaFarhani Місяць тому

      ​@@danimtenga6962Usidhani wote makatonta, heshimu maoni ama jibu kwa staha! Si wote wanaabudu masanamu

    • @Azza-o8c
      @Azza-o8c 25 днів тому

      Huna akili wewe 😁

    • @nassoribrahim5288
      @nassoribrahim5288 11 днів тому

      😂

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 День тому

      Achana na hawa makafr walokujibu vbaya,jua wanaungua moyoni

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 3 дні тому

    Hebu nambie ushaolewa saivi au bado

  • @zaikokingnil7727
    @zaikokingnil7727 Місяць тому +3

    Kwanza nampa pole yule mwanaume aliemuoa huyu binti akiwa na myaka 17, maana inaonekana huyu mama alikuwa wembe kabisa.

    • @Azza-o8c
      @Azza-o8c 25 днів тому

      Subiri na wewe utapewa pole siku moja

  • @ccenews8980
    @ccenews8980 29 днів тому

    Eti maadili...mimi ninaamini kwamba maadili hutoka moyoni na si kulazimishwa.

  • @AminaIfani-ge7sm
    @AminaIfani-ge7sm Місяць тому

    Nampenda sana uyo dada

  • @MsatiOne
    @MsatiOne Місяць тому +1

    Blue na Mr blue

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 Місяць тому +1

    So beautifull

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx Місяць тому +8

    Anatafuta kikiiiiiiii aende mjini

  • @Irenediana-g5b
    @Irenediana-g5b Місяць тому +1

    Watafuteni wale watt alioimba nitarejea na hawa.watt wale wako wapi

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Місяць тому +1

    Jaman huyu dada kakua hivi mariyam wa maneno mengi Jaman turudishieni maneno yakua mbiwa

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Місяць тому +3

    Aisee brother diamond
    Uyu bonge la dem aisee daa!
    Sema nn poa tu!

    • @chotarawakingoni8148
      @chotarawakingoni8148 Місяць тому +1

      Saiv hamna kitu kawa mbaya
      Anakaa magomeni

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 Місяць тому

      Sasa hapo ana ubaya gani au shida ni kupajuwa anapokaa?​@@chotarawakingoni8148

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ Місяць тому

      Daah we mzee huchoki kureply unamdiss uyu dem alikukosea ama nini 😅​@@chotarawakingoni8148

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 29 днів тому

    Mwandishi ile nyimbo ya nenda kamwambie ndio imemkaa kushinda hiyo ya Mbagala

  • @LydiaFaraji
    @LydiaFaraji Місяць тому

    Marym na mtawala dah weeee🎉🎉🎉🎉

  • @SKELETON-m9e
    @SKELETON-m9e Місяць тому +10

    Af huyu dem alishawahi kunitongoza kama sijasahau😊

    • @HabibaHassan-t2u
      @HabibaHassan-t2u Місяць тому

      😂😂😂😂

    • @nyanzaknyanza
      @nyanzaknyanza Місяць тому

      😂😂😂 User NYANZA nimekuwa mkosoaji wako lini tena umetongozwa​@@HabibaHassan-t2u

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 Місяць тому +5

    Mashangaz wanatafuta ugali mjini maan tumeshawasahau kwa sasa

  • @liliansigera3497
    @liliansigera3497 Місяць тому +2

    Msaada sio lazima angekuwa mchovu ungelalwmika

  • @cizarmilan1837
    @cizarmilan1837 Місяць тому +1

    Kiufupi kashaachika

  • @cizarmilan1837
    @cizarmilan1837 Місяць тому

    Huyu sasa amejitokeza anataka kuzama katika dunia...ndo iyo mbiyu anayoipiga....😮

  • @GoldfreeHagai3
    @GoldfreeHagai3 Місяць тому +3

    Basi nikaenda tukafanya basi.😅😅😅

  • @Bongokasitv
    @Bongokasitv Місяць тому

    Nilikua naisubili iyo sehem yakutoka kumbe ulishaendanae katika show tena ukalal hoteli hapo kwasisi wakubwa tunaelewa jini kilitokea 😂😂😂

  • @boogie3023
    @boogie3023 27 днів тому

    Uyu ndo Mondi angeoa nyakati izo ila angechiti baadae 😂

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 27 днів тому

    😂😂😂dada mkwel huyu mpk nmependa,,,et nmeishia form two

  • @aoloathumani10
    @aoloathumani10 Місяць тому +9

    Sem huyu anaonekana yuko vizur kiuchumi hata diamond itakuwa analijua ilo, na kiuhalisia huwezi kumsadia kila mtu uliyekutana nae utasaidia wangap? Hata uyo bakhresa wapo ambao kawapotezea

  • @kijeshiabdalla6316
    @kijeshiabdalla6316 Місяць тому

    Ila hata kionjo cha huwo wimbo mngeuweka bana😊

  • @Kifutubrandfilm
    @Kifutubrandfilm Місяць тому +2

    🔥🔥🔥

  • @AnsilaMariale
    @AnsilaMariale Місяць тому +1

    😮

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas Місяць тому +2

    Dada kawa mkweli kwenye story yake kuanzia elimu ndoa had alipo

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 Місяць тому

    Mariam bado pisi kali sana aisee😍

  • @IssaNasir-v2e
    @IssaNasir-v2e Місяць тому +1

    Alikua mzuri kawahi kufubaa saiv kama mbibi

    • @verowilly5822
      @verowilly5822 Місяць тому

      Sasa atakuwa hivo hivo mpak lini...kwahiyo m2 asizeeke loh emu acheni ushamba

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c Місяць тому +1

    Watu weupe wanazeeka mapema sana

    • @JRN2612
      @JRN2612 Місяць тому +1

      Sema kusema uongo dhambi bado ana mvuto wa ajabu

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 Місяць тому +2

    Kumbe uko mrembo ivyo kwahushahuri hihi wakati ikipindi kile ulikuaje kweli wewe mrembo kweli nipo 🇨🇩

  • @michaelmaitha2458
    @michaelmaitha2458 Місяць тому

    Hio click sound mnaiskia ama nmkhoikhoi,ama muhadzabe

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 Місяць тому +6

    Wee maadili hamna ndo maana ulifanya vitu vyakuhatarisha ndoa yako bila mumeo kujua

    • @alimwadima254
      @alimwadima254 Місяць тому

      Hamna maadili huoni ma tattoo Mwili kujiachia Nusu uchi

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 Місяць тому

    Dem wangu kabisa minahaa

  • @HusnaUtoto
    @HusnaUtoto Місяць тому +1

    Kila mtu kazeeka kazeeka kwan kuna ubaya? hyo mbagala ilikua mwaka gan na saiv ni mwaka gani mfyuuu ka mikubwa jinga

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 Місяць тому

    No 5

  • @ExodusMarcStanley
    @ExodusMarcStanley Місяць тому

    Unaoa msichana wa miaka 16, inahitaji uvumilivu wa hali ya juu kila umri una matukio yake lazima uyapitie

  • @DM_15
    @DM_15 Місяць тому +11

    Kazeeka chap duh

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 Місяць тому +1

      mnoo

    • @Joppa555
      @Joppa555 Місяць тому +1

      Mikulukulu inazeesha saa ingine 😂😂😂

    • @MnubiMm
      @MnubiMm Місяць тому +1

      Hana uzee wowote amekuwa tu sio Binti tena

    • @jerrybasaya5377
      @jerrybasaya5377 Місяць тому +5

      Ulitegemea abaki vile vile baada ya miaka 15? Wewe unafanana ulivokuwa miaka 15 iliyopita? ACHA UBWEGE wewe!

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k Місяць тому

    Watu wawache vya kuomba omba na uvivu wakai wa vidio c ulilipwa fanya kazi bhana wacha lawama kheeee

  • @mbarakkhalid117
    @mbarakkhalid117 Місяць тому

    Jamaa ana interview maswali ya kisenge kweli

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD Місяць тому +4

    Wanawake wanazeeka mapemaaa😂😂😂 gademiti usishindane na mwanaumee

    • @BerthaModest
      @BerthaModest Місяць тому

      Amna uyo pale kwa diamond tu alikuwa mbali snaaa

  • @amanimlengwa9202
    @amanimlengwa9202 24 дні тому

    Sasa mbona kilichoandikwa na content ni tofauti?

  • @AHIMTYKIJANGWANIPEMBA-bc2wj
    @AHIMTYKIJANGWANIPEMBA-bc2wj Місяць тому

    Unatudhalilisha simba tunaposkia km unafany dharau kwa wenzko

  • @fakihassan9021
    @fakihassan9021 Місяць тому

    Damondi hyu dada mkumbuke sana mpechochoti

  • @maase2023
    @maase2023 Місяць тому +1

    Huyu mdada mbn mswahili sana

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 Місяць тому +1

      Yeah ni kweli mswahili , cz anatokea pwani na pwani asili yake wanaishi waswahili😁

  • @fikiri_lssa
    @fikiri_lssa Місяць тому +2

    Safi sana