SIMULIZI YA MAPENZI: NI WANGU 1/3 By Ankojay

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 280

  • @ankojay_
    @ankojay_  Рік тому +26

    Part 2 Hii Hapa 👇
    chat.whatsapp.com/ByCrnuNUl8sGfS6tf6Kru8

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 Рік тому +7

      Asante anko J ya 3 nasubiri 😁❤🥰

    • @ankojay_
      @ankojay_  Рік тому +1

      @@ashaabdalla924 imeshatoka tayari hii hapa ua-cam.com/video/ZNcfVql7bcg/v-deo.html

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 Рік тому +4

      Asante Anko J Mungu akubarik🥰

    • @ellatumbwene
      @ellatumbwene Рік тому

    • @mariamrupatu
      @mariamrupatu Рік тому

      @@ashaabdalla924 ,

  • @QUEENJoseph-kh6cb
    @QUEENJoseph-kh6cb 2 місяці тому +3

    Jamani Ankojay bana unatuchekesha yani ❤❤😂 tuliopo Arabuni tunasikiliza tujuwane hapa 😂😂😂

  • @EmailaIhande
    @EmailaIhande 26 днів тому +1

    Wow story nzur.❤❤

  • @user-np8ol7bd4r
    @user-np8ol7bd4r 8 місяців тому +4

    Kwa kweli simulizi za Lisa mwalla nitamu sana wanafamiliya ya anko j wana mkubali sana Mungu akampe Maisha marefu Na mume msuri kama simuliza zake ❤❤❤❤❤❤

  • @anastaziasanga
    @anastaziasanga Рік тому +11

    Asante Anko jay & madame Lissa kwa upedo wenu kwetu hamtaki tuhuzunike daima ni furaha tuu wanafamilia niwatakie jpili yapasaka njema 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥

    • @jacintahsulubu5602
      @jacintahsulubu5602 Рік тому +1

      Leo unann jj ww sa wacheka ata kabla haujaanza any ways big up

  • @NeemaEgomokero
    @NeemaEgomokero 2 місяці тому +1

    Well done 😊ankoj hii yaleo nikali.

  • @user-il2wx7oh8c
    @user-il2wx7oh8c 8 місяців тому +2

    Anko j wapenda kucheka daah waniweka hoi mwenzio much love anko j ❤❤❤

  • @user-ij1iz4sc3n
    @user-ij1iz4sc3n Рік тому +4

    Anko jay mm napenda simulizi zako uwa ziko tamu siti toka kenya 🇰🇪🇰🇪Ankojay nakupenda sana

  • @loisebasilica7506
    @loisebasilica7506 Рік тому +5

    Asante acnkojay tuna jifunza mengi sana kupitia ww asante

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Рік тому +5

    Jmn Anko hii inakuchekesha hivi kweli sini balaa,,ila sawa wacha tuone huyu wa mine alipata nn mpaka akakubali kuwa ni wangu ahsante my dear Lissa na Jay mwenyewe hampoi wala hamboi

  • @queenlee9495
    @queenlee9495 Рік тому +8

    Nime chelewa kidogo ila sio sana sema nime zingatia hapo "wasi sikilize watoto😂😂😂😂 one love wana simulizi mix 💙💜💚.

  • @jenipherisaya684
    @jenipherisaya684 Рік тому +36

    Anko unacheka sana kabla hujaanza kusimuli itakuwa kali kweli ngoja niwe makini sana😄😄

  • @cesiliakessy3691
    @cesiliakessy3691 Рік тому +4

    Jaman hayo makorodani yanavyotembezwa😀😀😀😀😀

  • @jackbujimu3220
    @jackbujimu3220 Рік тому +6

    Aaaaaaha new character solita huyu ndo staring nini🤗🤗🤗🤗
    Ankojay usinichoke mie napenda kusikiliza story uku nacomment nawapa updates watu watakaosikiliza baada yangu nawapa mzuka wajue simulizi Ni🔥

    • @ankojay_
      @ankojay_  Рік тому

      Safi sana 🔥🔥🔥

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Рік тому +3

    Nzuri sana asante Anko J na lissa mwalla

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 Рік тому +2

    Lisa Mwala kwa kweli nakupa.ongera kwa smlz tamu👍👍

  • @maryammaryam5503
    @maryammaryam5503 Рік тому +6

    Mashallaa 🥰 🥰 🥰 my anko

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz Рік тому +7

    😢😢😢😢cliffe ni mjinga sana kwani yeye penye anatembea ajawahi ona mke mpaka ndio afanye hivyo jameni 😢😢😢😢😢

  • @CharlesMayunga-jw2ow
    @CharlesMayunga-jw2ow Рік тому +5

    Ank Jay haujawahi kufel so kwa utam wa simulizi jaman ❤️🥰🥰🥰🥰

  • @OrnellaHabonimana-gr7wp
    @OrnellaHabonimana-gr7wp 8 місяців тому +1

    Boom Boom Anko wewe nimutalamu🎉🎉

  • @whitneyjohn9532
    @whitneyjohn9532 Рік тому +3

    Anko j, unanifurahsha Sana unavyo ongea hyo sauti ya mzungu

  • @puritylobun5313
    @puritylobun5313 Рік тому +3

    Anko mambo..naona umeleta mambo mapya kutoka Kwa kipenzi chetu mwala ❤❤❤❤

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 Рік тому +7

    Nimekaribia Anko from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 listening kwa makini sana

  • @Adonai810
    @Adonai810 Рік тому +7

    SUCH AN INCREDIBLE STORY 🔥ANKO JAY

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 Рік тому +2

    Kweli dda ujakosea unavyo sema 😛😛utasikia ety tangu cku nikuone moyo wangu 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️wanaitwa waume

  • @user-gg5zu7bp6z
    @user-gg5zu7bp6z Рік тому +2

    Ahsante anko jay na kipenzi chetu Lissa MWALA tupo nyuma yenu bumper to bumper hadi mwisho

  • @Roth111
    @Roth111 8 днів тому

    Asante sama anko jey❤❤🎉🎉🎉

  • @nancygitonga3282
    @nancygitonga3282 Рік тому +10

    😂😂 Anko you are making us laugh, share the joke

  • @lissamwalla501
    @lissamwalla501 Рік тому +6

    Picha ndo kwaaaaanzaaaa linaanza 💃💃🍢

  • @OmanOman-nj3eq
    @OmanOman-nj3eq Рік тому +6

    😂😂😂 niko makini leo sitak kupitwa na uhondo huu kwa Anko j na Lissa Mwala ❤❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Рік тому +2

    ❤😂😅 love you so much 💞 my wangu

  • @LifeofSalmah
    @LifeofSalmah Рік тому +4

    Hii ntasikiliza baadae nikifuturu😂😂😂😂ila asante anko Jay na lissa mwala🎉❤

  • @jenniffermumo6327
    @jenniffermumo6327 Рік тому +3

    Anko anko Jay jamani kipaji tosha. " huyu mzee alikua musa au ni nabii eliya" kweli this arrangement of words is contageous. You are really GIFTED. Sidhani kuna wakupinga ❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  Рік тому

      Powerfull comment, Thank you so Much

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz Рік тому +2

    Eurine pole sana bro mungu hako pamoja na wewe omba tuu mungu wako tuu😢😢 lakini huyo clife ni mnyama kabisa love you Eurine Johnson

  • @jackyjacob2105
    @jackyjacob2105 11 місяців тому +1

    Niko hapa anko jay from 🇰🇪 napenda story zako bana 🎉❤❤

  • @sabinamasangwa293
    @sabinamasangwa293 Рік тому +2

    Anko mhhh hiii ambaye umeanz kwakucheka waaaaah!!! Kuna kitu oky ngoja tuskilize kwanza

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 Рік тому +1

    Mhm simulizi tamu tunasubiri muendelezo anko J shukran Mungu akuzidishie❤

  • @bahatimwachepha9902
    @bahatimwachepha9902 Рік тому +1

    Mbna kicheko sana anko j tuachie nyuziiiii!!!!

  • @user-vq2uw7bd8m
    @user-vq2uw7bd8m 8 місяців тому +1

    Anko hiko kicheko duuuh kirantesa😂long vie à toi mon frère,je t'aime sana

  • @jackbujimu3220
    @jackbujimu3220 Рік тому +8

    Anyway anyone anajifikilia kuhusu kusikiliza hii simulizi, hii simulizi Ni nzuri Sana Ni love story ya kishua yenye uswahili msimulizi kaitendea haki Sana mwandishi Lisa mwalla kafanya yake Kama kawa
    Ila ankojay kwahiyo uyo mzee ndo kumfananisha na Elia au Musa, mbinguni hakuna nyumba ya udongo , our God is #RICHGOD

    • @ankojay_
      @ankojay_  Рік тому

      😂😂😂😂

    • @lissamwalla501
      @lissamwalla501 Рік тому

      Asante sanaaaaaaaaa .😂😂mbinguni kuna magorofa anko Jay hajui

    • @jackbujimu3220
      @jackbujimu3220 Рік тому

      @@lissamwalla501 🤣🤣🤣 ankojay hajui Kama magorofa ya Morocco dar yanauwiana kidgo na mbinguni au magorofa kwetu mbeya 🤣🤣🤣 anyway nice work author I would love one day to see you being an international author 🇹🇿 yako hiyo bendera

    • @Nailah736
      @Nailah736 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣alienda kukutana na shetani kule ati musa na elia

  • @user-pt3oi4yo7o
    @user-pt3oi4yo7o Рік тому +2

    Oyooo ❤❤❤🔥🔥🔥

  • @user-ot1hf5ge2g
    @user-ot1hf5ge2g Місяць тому

    Wanifuraisha sana simulizi zako zanipunga sana Mimi Niko kenya

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 3 місяці тому

    Anko jey Hongera sanaaaa kweli Duuuuuu paka nalia

  • @dhuhasaid636
    @dhuhasaid636 Рік тому +5

    Ata mimi wakwanza 😊😊asante ankojay ❤❤ila nami mtoto ndo nishaanza kuisikiliza na nimekutana na kicheko humu nami nacheka😂😂😂ankojay

    • @OmanOman-nj3eq
      @OmanOman-nj3eq Рік тому

      Shoga angu hupitwi hahaha 🤣🤣🤣🤣

    • @dhuhasaid636
      @dhuhasaid636 Рік тому

      @@OmanOman-nj3eq naanzaje sas kupitwa 😄 🤣 😂 chezea anko wewe

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 Рік тому +2

    Wewe mwenyewe unacheka sasa sisi sindo tutavunjika mbavu @anko Jay

  • @hassinafati3512
    @hassinafati3512 Рік тому +4

    Yaan tumeanza nakicheko 🙌🤣🤣🤣🤣🤣anko jay shukrani da lissa ubarikiwe 😍😍

    • @kisaagustino3278
      @kisaagustino3278 Рік тому

      Jamani Anko mbona leo umecheka saana humo ndan Kuna nini ngoja tuone

  • @jackbujimu3220
    @jackbujimu3220 Рік тому +2

    Anko Jay ulipigwa kibuti wewe wanawake wa kibongo Wala tuko POA Sana hatuna mbamba hatuleti stress

  • @doricedeus7587
    @doricedeus7587 Рік тому +2

    Nimechelewa kidogo mie☺️☺️☺️

  • @zabibumfaume598
    @zabibumfaume598 Рік тому +2

    Ni mewahii leo ila hiii cheko la anko Jay hhhhmmmm inaonekana hii ngoma ni moto

  • @user-jl7ju9pu9h
    @user-jl7ju9pu9h 2 місяці тому

    Asante ancojey 🎉

  • @victoriajulius5239
    @victoriajulius5239 Рік тому +2

    Ihii simulz na ihii mvua ahhh wee nasikiliza zang ndan ya shuka kwa raha zang😂😂

  • @asumthamanyahi5255
    @asumthamanyahi5255 Рік тому

    Ujua kutupa raha kwa kweli.asante anko jj

  • @alicesidi9574
    @alicesidi9574 Рік тому

    Weee nimejikuta na cheka na anko jay kabla aanze kusmulia oyaa hii Kali ,Kazi Safi Sana ,,send love from 🇰🇪🇰🇪but currently in 🇸🇦🇸🇦 ankojay uko vizuri sana

  • @rizikinyamz3383
    @rizikinyamz3383 Рік тому

    Thanks anko kwa simulizi zako nzuri zenye mafunzo keep up

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 Рік тому +1

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Asante kwa kutuchekesha mn na mm nimecheka najifunza mengi ankojay

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi 9 місяців тому

    Yes, Mzee mwenye msimamo
    safi bb kim

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Рік тому +3

    Ahsante kwa kibao kipya ,,hongera sana mtunzi mahiri lissa mwala na msimuliaji Anko jay...hicho kicheko nikanafanya mpaka wasikilizaji wanacheka pia😊😊

    • @jeannettehabonimana
      @jeannettehabonimana Рік тому

      Nkanka you ankjay umwambie Lisa mwala asante kwa simulizi kitu kingine umwambie tu nataka simulizi ya uko burundi kwetu🇨🇨❤️🇧🇮🇧🇮 nimesikiliz simulizi nying simulizi ya kwetu burundi hana kweli.

  • @dinahwafula2538
    @dinahwafula2538 Рік тому +1

    Wewe Eurine ni mjinga sana yaani unasalitiwa na unadanganywa tu eti

  • @WillbroadAloyce
    @WillbroadAloyce 4 місяці тому +1

    Ancojey unajuwa ksimulia viru sana ata mm natamani nikupe sitori yangu ya maisha ubarikiwe

  • @NeemaNeem-ex2oi
    @NeemaNeem-ex2oi 4 місяці тому

    Kwakweli sijawahi kujutia kusikiliza anko jy hogera sanaaa

  • @lovenesshadson3559
    @lovenesshadson3559 Рік тому +1

    Nice story 🥰🥰🥂 @anko jay

  • @TabbyGud3-iy2ow
    @TabbyGud3-iy2ow Рік тому +1

    Much love for simulizi fupi

  • @mariamjuma743
    @mariamjuma743 Рік тому +1

    Cheka tu ww 🤣🤣🤣🤣twataka huo uhondo ambao wakufanya ucheke,,Anko J Asnte kwa utamu 💕💕💕💕

  • @user-ps1sj8mx7e
    @user-ps1sj8mx7e 10 місяців тому

    anko jay. unacheke kweli sana ila asante. kwa stro ❤

  • @user-lh4yt7dz1g
    @user-lh4yt7dz1g 2 місяці тому

    Ngoja 🪑🪑🎧🎧🎧🎧

  • @ShukuraniMapunda-lz3un
    @ShukuraniMapunda-lz3un Рік тому +1

    😅😅😅😅mungu akubariki anko jay

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 Рік тому +6

    Nothing hurts a man like using private part to bring him down but to an extence of a taking a life is never for me...though im also looking for this man wakunifikisha kileleni🤣🤣🤣🤣🤣much love Anko from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kenya

  • @mishelygodlisten1171
    @mishelygodlisten1171 Рік тому +2

    Aloooooh weeee nimewah mkubal mkatae mkae tayar soda zip njian anko twende kazi

  • @fatmahmkuzi
    @fatmahmkuzi 9 місяців тому

    Anko kwenye hii simalizi ulikuwa na nguvu sana zakiume handi wanawake waine jamani ulikuwa watukomesha aki kwa kukosa waminifu aki love you Ankoj ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh Рік тому +1

    Asante sana Anko jay ❤❤❤❤

  • @suhailaomar307
    @suhailaomar307 Рік тому +3

    Nimependa kicheko cha anko j😂😂😂

  • @Rukiakimario
    @Rukiakimario 10 місяців тому

    Napenda sana sauti Yako anko,unasimulia vizuri sana.

  • @carinejoyce1094
    @carinejoyce1094 7 місяців тому +1

    Wa carine jamani 😊

  • @maryammaryam5503
    @maryammaryam5503 Рік тому +4

    ❤❤😊🎉

  • @judyauko8134
    @judyauko8134 Рік тому +2

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawakilisha. Asante Anko J pamoja na Lisa Mwala.
    Mimi Anti J 😂😂😂😂

  • @laymallya178
    @laymallya178 Рік тому +2

    Uendelezo jaman

  • @aminah9557
    @aminah9557 Рік тому +2

    Waaaaaah watu hamputwi😂😂😂😂

  • @lovenessyesse9053
    @lovenessyesse9053 Рік тому +3

    Hello anko jey ngoja nimsikilize Lisa mwaka katuletea nn jmn ❤❤ so kwakicheko hicho

  • @zubydazad7646
    @zubydazad7646 Рік тому +2

    😂😂😂😂Eti k tamu 😂😂tamu aswaaaa ackwambie mtu😋😋

  • @leahmajaliwa6575
    @leahmajaliwa6575 Рік тому +1

    Jamani leo acha nitangaze na nikiri kwa mdomo msimuliaji ni mmoja tu ankojay anavyo anzaga simuliz sasa adi raha lissa nikiboko yake nawapenda bure mnapo nimalizaga nikiskia wakubwa tu🥰🥰🇧🇮🇧🇮

  • @monamgh1557
    @monamgh1557 Рік тому +2

    Vp umefurahii ank

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 Рік тому +4

    Jay😂😂😂😂😂😂😂 leo nimefurahi kucheka kwako 😂😂😂😂

  • @user-gg5zu7bp6z
    @user-gg5zu7bp6z Рік тому +1

    Waoow hakika solita ni mwanamke washoka ambae hapendi kumbembeleza punda kwenye mteremko akiwa cat yake ikiwa empty ❤❤ hapo safi wanawake wasio penda penda kuchezewa hongera solita

  • @happenringa5858
    @happenringa5858 Рік тому +3

    Jamani Anko naomba link ya WhatsApp group yako..tuburudike pamoja kutoka 🇰🇪🇰🇪

  • @tatukigua5456
    @tatukigua5456 3 місяці тому

    Ankojay mbona umecheka sana ❤❤❤❤

  • @neemasaimoni9902
    @neemasaimoni9902 Рік тому +1

    Pole sana

  • @SaumuMohd-xw1lt
    @SaumuMohd-xw1lt 3 місяці тому

    🎉

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 3 місяці тому

    Duuuuuu ase pole sanaaaaa kaka

  • @user-gw6jv9ue3k
    @user-gw6jv9ue3k Рік тому

    Wale wa kabla ya kusikiliza wanakimbia kwenye coment baada tu ya Kuona anko Jay anachek me nimeanza kucheka nikajuwa to kitakacho zungumzwa hapa Na anko Jay sio cha mchezo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ tunakupenda Sana anko Jay

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 Рік тому +3

    Solita shikamooo 😂😂😂😂😂😂Eti nipe simu

  • @AbduhKareem-hi7sg
    @AbduhKareem-hi7sg Рік тому +1

    We Anko jay noma unajua sana pia unakipaji 😁😁😁

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 8 місяців тому

    Anko umeanza na kicheko mpka basi 😂😂😂❤❤❤

  • @joykatakana1099
    @joykatakana1099 Рік тому +2

    Weeeeee tamu kama penzi la mzee c onjwi😂😂😂

  • @florenceokullo6049
    @florenceokullo6049 Рік тому +1

    Napenda sana sauti yako anko j

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 Рік тому +1

    Hi Anko Jay? asante Lissa Mwalla umbalikiwe sana sana Mungu azidi kukupa hafya Jemma zaidi ❤

  • @user-vq7zw2uq7h
    @user-vq7zw2uq7h 10 місяців тому

    Nc stol mm nakuaga wamisho kusma jamani ila ❤❤ stol

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi 9 місяців тому

    Chezea uno la kingoni weyeee

  • @apolinaryrosemery-nl9ym
    @apolinaryrosemery-nl9ym Рік тому +1

    hai nko jei napenda sana simuliz akika unakipaj sana na sauti yako sasa akika Mungu kakubarikii🌹🌹

  • @user-lv5iw6wn6q
    @user-lv5iw6wn6q 7 місяців тому

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂anko jay leo umeanza na kicheko jamn 😂😂😂 bac ngoja na sisi tucheke tu hamna namna🙌🙌🙌