Asante Sana Sanjdat Unaona Waswihili Walisema Mvumilivu Hula Bibi Docter Msimamo Wako Ulikiwa Mzuri Kabisa Uliamua Kama Mwanaume Ukafanya Wazazi Wake Bibi Yako Wafurahie Iko Na Mafunzo Mazuri Kabisa
Duuuuuh we j ww umeweka nn ww kwenye iz class special for real I like man of fair decision or man mweny vision nampenda Sana spend awe romantic ila awe vision km Abdul mungu akupe life ndefu broo ❤️💖💞
Mungu akubarik sana anko j usimuliz wako na hicho kipaji chako aallah akujalie kher ziada Hii simuliz ukiwa unaisikiliza adi mwil unasisimka yani daaaah...!!!
Swadakta hii story ni murwaaa, nimeipendaa..anko just vipi muendelezo wa tamthilia (huruma yangu imeniponza) part 2 please.. My all time favorite story is penzi la my boss,(Mr.c,e,o) na ile ya kijana Sebastián (seba)Samuel,,,halafu umetuahidi your own story anko j nail-biting.. be blessed
SABRINA mashaallah simulizi hii jamani nimeirudia mara nne kama simulizi ya my boos simulizi mix mashaallah tunainjoi tuu ata stress ya tz tunasahau kabisa ilove you simulizi mix 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰hadi nimekoment tena miee shadya 🥰🥰
Asante Sana Sanjdat Unaona Waswihili Walisema Mvumilivu Hula Bibi Docter Msimamo Wako Ulikiwa Mzuri Kabisa Uliamua Kama Mwanaume Ukafanya Wazazi Wake Bibi Yako Wafurahie Iko Na Mafunzo Mazuri Kabisa
Duuuuuh we j ww umeweka nn ww kwenye iz class special for real I like man of fair decision or man mweny vision nampenda Sana spend awe romantic ila awe vision km Abdul mungu akupe life ndefu broo ❤️💖💞
Unakipaj congratulations 🧠
@@neemanassoro3155
Belle histoire!!! Much love from. Burundi❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
wanaume kama doctor wamekufa vita ya kwanza ya dunia duuuuuuuu mwanaume na nusu daaa ase bravo tu you daaaaa
Mungu akubarik sana anko j usimuliz wako na hicho kipaji chako aallah akujalie kher ziada
Hii simuliz ukiwa unaisikiliza adi mwil unasisimka yani daaaah...!!!
dah simulizi zuri san jaman asante anko j uko vizuri san
Napenda sana simulizi mix Kwa kua zinamafundisho tosha
Hongera anko jay Kwa kazi nzuri mbarikiwe team simulizi mix
Wanaume kama hawa wapo wachache mungu nijahaliye kama huyu amina
Simulizi nzuri sana nairudia kila mara inanifaraji sana
Wooow nice story 👌 I wish I could get the good love like that of doctors uuuuuwwwwiiii tamu tena sana
Asante nzuri nimeipenda namusimuliaji nimempenda bule
Yani wewe ankoj kwa kujisifia hodali😂😂😂❤❤
Anko jay weka picha Yako basi na si tukuone jmn plz anko❣️❣️❣️
Ingia you tube andika anko j simuliz utaziona picha zake
Mkali wa simulizi anko jay ❤️❤️❤️
Anko Jay hongera listen from Uganda
Karibu Tanzania
Asante sana anko j wetu ni mara ya tatu naisikiliza hii simulizi tumejifunza mambo mengi kikubwa subra ❤
Nimeipeda sana hii story jamn. Abdul kanifurahisha hakika n upendo wake. And uncle J upo vizur ktk kusimulia
Simulizi hi inapendeza sana I inanifunzamengi ni mapito
Anko J simulizi hii nzuri sana na kama ipo kama hii tuwekeeee
Simulizi nzuri kupendwa raha taratibu yavuta heri
Daaah hii story nzuri xna najikuta mpak nairudia rudia 🥰anko j ww ni 🔥🔥
Doctor moto mzuri
Aiseee nimeipenda nimejifunza kitu daaah uvumilivu huu
story taamu Kisha Ina mafundisho Subra muhimu shida hazidumu milele sahali hupatikana mwishoe aso Wake ana Mola
anko j mm nataka nikija Tanzania nikuone maana sio kwa kujisifu huko ila nakupenda maana unatuburudisha kaka yangu kipenzi mwenye
Asante Anko hey kwa simulizi nzuri ya mafunzo nimejifunza kitu. naisikiliza nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Swadakta hii story ni murwaaa, nimeipendaa..anko just vipi muendelezo wa tamthilia (huruma yangu imeniponza) part 2 please..
My all time favorite story is penzi la my boss,(Mr.c,e,o) na ile ya kijana Sebastián (seba)Samuel,,,halafu umetuahidi your own story anko j nail-biting.. be blessed
Pia mm naipenda sana Mr c.e.o
@@saumunyadzuaile mr c.e.o ni moto sanaa yaan acha tu
Safi sana bidada nimejifunza uvumilivu. Big up kwa mumeo. Bonge la mume safi sanaaaaaa
Daaah nilikuw wap mie muda wote huu😀nimeipend san😘😘
Love Jamani hi story imegusa maisha yangu japo Mimi mwanaume akuwa na msimamo kama wa hamduli ❤️❤️❤️❤️ anko jay
Ankojey mungu akuweke uzidiekutuelimisha kwaehadth zako
Hadithi ❤❤🎉🎉
Nasikiza simulizi kutoka Dubai nakupenda sana ako Jay ❤️❤️❤️
Uko sehemu gani 😢dada
Waaao simulizi nzuri sana,asanti kwa simulizi
Asante sana Anko J simulizi nzuri yenye mafundisho he Rehema unataka ndoa ya lazima
Hujawai kosea ankoo j 🥰🥰🥰🥰
Jamani🎉🎉🎉
Doctor unabusara kweli ni funny kubwa
Wawooo hongera kwa kutoa balaa la Rehema ninzuri sanaaa
Ni nzuri sanaaaa,,,,,,
❤❤🎉🎉
Saidati pole yaani uepambana
Mwanamke anatakiwa awe hivyo
Kweli kabisa lazima uvumilivu uwepo hakuna ndoa usio na misukosko
Jaman zimulizi tam sana nime ipenda 😘 na nime jifunza kitu pia asante kwa simulizi nzur✌
Yaani hii stori ni nzuri mm huwa napenda stori za mtunzi Sabrina na Brianna nawakubali Sana Hawa wadada wako vizuri
hahahaa anko jay kwa kujifagilia😂😂😂
Wanaume kama abdul wajengewe sanamu
Na hekalu
Simulizi nzuri sana naipenda sana anyone j
Waaoo this amazing story my brother 🌹🌹🌹
Amiin mungu azidishie khr inshhllah
I love ancojay very nice this story mashalla ❤❤❤
Nzuri sana hii simulizi
nakupenda San saut yako jomon
Mashallah sajidat
Anko jay mwenyewe tunainjoi na simulizi tamuuuu my doctor tusikilize halafu tutakoment tena 🥰🥰🥰🥰
Nimejifunza mambo mengi sana
Jamani simulizi tamu sana ♥️♥️
Anko j vzr vyote vyako jmn😂😂😂
Moto juu ya moto ndani ya smixApp
Mungu hamfichi mnafiki aibu Rehema kaumbuka
Like 20 kwa smulizi nzuri
Big up Kwa Abdul ana upendo Sana
Ankoooooooooo j patna miss xana yani
Asante ni simulizi ya mafunzo mzuri sana
Rehema kaumbuka jamani 🤣🤣🤣🤣
Sana 😂
Anko j nakupenda sana tena sana
Ongera sajdat❤❤❤❤ukizaa mtot mwengine umwite saknaty😂😂😂😂
Aunko j unavopenda kujisifia MI ndo napendaga tu
Whaaoouh simulizi nzuuuuuri saaana
Simulizi nzur sana ❤❤❤
Anko jay unayaweza nacheka peke angu hongeta unajua sana da hija nairobi
Una sauti.Unasauti nzuri wewe.Dada.
Mmmm jmn nko jay kwa kujisifia anii
Haya
Mambo unanikosha Kwa kweli❤
Simulizi nzuri Sana
Asante anko j kwa simulizi tam nimejifunza
Amazing story❤
Kuvaa kiatu chalehema kinaniumiza sana
Anko jay 💗💗💗💗an sat kwafunz nzuli
👍👍👍👍
asante nzr sana
Simliz nzurii sana
Waaauùuuh barikiwa sana
Nimerudia mala 11 mpaka bando linaisha anko j mungu akupe nguvu utudondoshe moto🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿
❤❤
SABRINA mashaallah simulizi hii jamani nimeirudia mara nne kama simulizi ya my boos simulizi mix mashaallah tunainjoi tuu ata stress ya tz tunasahau kabisa ilove you simulizi mix 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰hadi nimekoment tena miee shadya 🥰🥰
Ile ya my boss kiboko kila siku huwa nairudia rudia❤❤
@@victoriajulius5239 Kama miee vilee hadi kuna muda najiona kama jinga hivi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
My boss it's the best kwakwel story yenyewe mpaka msimuliaji Ni konki🔥🔥 nimeipenda sanaa nairudiarudia hatar
@@jackbujimu3220 Ni good story ❤️ my boss
Ipo pw sn yn kaka
Kwenye ugumu ndo kwenye mafanikio
Hakika unajua kusimullia hongera nimerudia Mara tatu
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Amazing ❤
Asante sana anko jy kwa simulinz tam
Asante sana kwa simulinzi nzuri
❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🌹
Woow nimeipenda sana hii cmulizi
Good stor
Sajdaty❤dokta maua yako🎉 uncle j❤🎉
Simulizi nzuri anko 🎉
Mkali wa simulizi Anko J
Mbona kila muhuni anataka bikira. Na wale wanaowaharibu waende kwa nani? Na hizo bikira ni ngapi? Kila mtu anataka zake.
Kwel