Nisipo sema assante nitakuwa ni mwizi wafadhila ❤kusema kweli nilikua nimeboweka, assante sana anko Jay kuwa mara nyingine tunakupenda mashabiki zako from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Jaman jaman jaman me mwwnzenu tangu jana nafanya kaz ya kuchungulia tu ankojay channel kama katupia mzigo nakuta hakuna kitu lakn finally kaleta walio kua kama mm like hapo tujuane😅😅 asante ankojay japo tumesikia saut yako
Nime wa miss wana famillia ya anko jay lakini anko jay jana nilishida natizama sim kama utatuletea lisa part 15 kumbe unatuletea just a kiss sisi tunapenda alvin lisa
Jana wangapi WAMEBOEKA kumkosa LISA & ALVIN LIKE 10 ILI TUJUANE haya tunasikiliza hii JUST A KISS ✌️✌️✌️🔥🌹
Nyie nimemmiss Lisa na Alvin nione mwishowao
Ata nlirudi 13😢😢 juu ya kuboeka 😊😊
Yaaan tumemmisi haswaaa
Yan mm acha tu
Anko kwakweli tuna boweka sna leta lisa atuna raha
Waliomisss lissa na alvin dondosha like 👍 👌
Real ni simulizi tamu na kusisimua❤
Nammiss Lisa jamani❤❤❤🎉
Good job anko jay🎉🎉
Nisipo sema assante nitakuwa ni mwizi wafadhila ❤kusema kweli nilikua nimeboweka, assante sana anko Jay kuwa mara nyingine tunakupenda mashabiki zako from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Jaman jana siku ilikua ndefu mnooo bora kipozeo changu nakiskia sasa❤❤❤❤
Jaman jaman jaman me mwwnzenu tangu jana nafanya kaz ya kuchungulia tu ankojay channel kama katupia mzigo nakuta hakuna kitu lakn finally kaleta walio kua kama mm like hapo tujuane😅😅 asante ankojay japo tumesikia saut yako
Tunataka bint lisa 😢😢😢🎉🎉❤❤
Jamani Alvin Lisa wap?anko j tumemisi Binti Lisa bwana
@@GetrudShayo Anko jay katususa
Wow Ankojay wetu umejua kututesa iasee ..alvlisa Ankojay twaisubiri kwa hamu part 15🎉🎉🎉
Wow kazi nzuri kaka,listening from Kenya much ❤🇰🇪
Nashukuru sana anko j kwa kutusimulia simulia simulizi nzuri sana
Dah Leo nilikua nawaza ntamsikia hii voice ntaisikia ikimhadithia LISA NA ALVIN jmn😢but so kesi kidg nafarijika leo😊❤❤
Asante tukumbuke Binti Lisa part 15
Leo wakwa mimi anko jay uko poa sana simulizi❤❤❤❤
😊😅❤
Asent Ankojay kwa simulizi tamu sana na pia nimamiss Lisa jamani ❤❤❤😊😊😊🎉🎉🎉😊
Tunamumiss sana tu lissa mwala
Jaman wangapi mm kila mt kawahi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Uncle nirikuwa nimepotea sana sikua na amani nirikuwa nimekumiss sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 wacha nisikize
Ninzuri Sana Asante Anko j na mtunzi
🎉🎉🎉🎉tumesubiri Lisa mpka basii😢
Ata usiseme mi ndio kuboeka mpaka kuboeka tena
Wewe anko atatuwa du kilanikiangalia hola asante sana namwagilia moyo na sauti yako
Eeeeeh akojey weyeee tuleteye sasa alivilissa sasa nayiyo nzuri
Anko jey nmkumss kwa sku hzi mbili bt kwa sasa fraha yngu imrud mungu azd kukbrki nzdi kuenjoy🎉🎉🎉🎉
Ahsante bwana anko Jay simulizi
Finally anko nimekumiss jamani
Kwakweri simulizi fupi tamu san inamafunzo mengi Ank jay shukrani kwakazi nzuli
Nimewahi wakwanza leo🎉🎉🎉🎉
Niwe mkweli sijafurahi kbx tuleteee alvilisa kwanza jmn sku ya 2 leooo😢😢
Kumbe tuko wengi😥😥
ᴺⁱᵏᵒ ⁿᵃ ˢᵗʳᵉˢˢ ⁿᵃ ᶜʲᵘⁱ ⁿᵒ ᶻᵃ ⁿⁿ ⁱˡᵃ ⁿᵃᵒⁿᵃ ˡⁱᶠᵉ ⁱᵏᵒ ˢᵃʷᵃ ᵇᵘᵗ ʰⁱᵛᵒ ᵗᵘ 😅😅😅
Anko jay shukrani kwa kutupa burudani hii ingawa bado hujatuachilia Lissa ila poa acha nimsikilize huyu dada nae anamapya yapi
😂😂😂😂ettti mapya yapi utaniua kwa kicheko
@@sawiaswahibu766
kivipi dadandu sinikweli tuu kwani kila mtu huwa na mapito yake
Nimewahiiii asante saana ❤
Ankojay leo umetuletea mzigo mpya mungu akubriki na tumeku miss sana
Yani wew anko unajua kutugomesha aki duuuh 🎉🎉🎉🎉
❤hapaaaaa !!LISA 🙉 yukowapiiiii
😢😢😢😢😢 binti Lisa jameni
Yaan anko jay ww et angekuwa kuzimu angemwona mzee tupatupa jaman😅😅😅😅😅😅😅
Mungu akubariki sana twashukuru sana anko Jay wetu kipenzi twakupenda pia ❤❤❤🎉🎉🎉
Twashukuru sana japo na miss ALVIN LISA IKI PATAMU
Daa, baada ya dhiki faraja,na malipo ni hapa hapa duniani
Mi nackilza tu bac ila nmewamicc Alvilissa❤❤❤
😘😘😘
Ila anko ww umetuweza acha tujpoze roho n hii😊
Ankojay nimekuwa nimekumiss jamanai ❤❤❤
Asante ankojay nimeinjoy ninasubiri binti Lisa kwa hamu na gamu😊😊😊😊😊
Jaman ank jay tunaimba simlizi ya Binti lisa
Wow. Jamani iyi simulizi ni tamu, pokeya mauwa anko wa taifa 🎉🎉🎉
Ila Anko J unajua unajua mpaka unajua tena🙌🏽 Mungu abariki kipaji chako
Me too miss Lisa Ankojay listening from Canada
Nimewamiss Lisa&kelvin😊
Angalau maana tuliboeka jaman❤❤❤❤❤
Waaaaaooooooh mapenzi ya mzazi tamu 🤔😁😁
simulizi nzuli saana❤
Simulizi Tamu mwanzo uchungu lakini kwisho ni tamu❤❤
Yani tumeimiss sana Lisa
Nmewahi leo afadhali❤❤asante jay
Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii nzuri,bado tuko pamoya.
Alivilisa lini
Mhh,nadhani huyo siyo mtoto wao, it's more than too much jamani hata wakisali wanafanya unafiki mbele ya Mungu
Anko jay lisa part 15 tnaisbir sna😢❤
Nilikuwa nimemiss sauti yako kaka karibu nipatie na mawenge
Nime wa miss wana famillia ya anko jay lakini anko jay jana nilishida natizama sim kama utatuletea lisa part 15 kumbe unatuletea just a kiss sisi tunapenda alvin lisa
Nmewahi.sio.no 1 mie
Woie liisa wangu😢😢😢😢😢😢
Tunamsubiria Lisa na Alivin
Anko jay Lisa part 15 tunasubiriiiiiiiii🎉🎉
Tunashukuru Mungu kwakukuponya ankojay wetu
Kupendwa kwingi kwa mzazi🎉🎉🎉🎉😅❤
Story nzuri sana ❤❤ ancle asante kwa hii ubarikiwe 🙏🎉🎉
Pole. Viola. Pole. Sana dadap
sasa mjomba leo umetufanyia nn unatuchaganya 😮😮 sana sis tunataka lisa😢😢😢
Jaman Ankojay tunasubir ALVILISA na MKE WA MTU MTAMU
Wow such kind of story🥰 God bless you akubarik Anko j wetu
Mimi was mwisho naomben maua yenu wanafamily wenzang
Kweli jay tuletee alvnlisa❤❤❤
Ankojay jmn usitufanyie ivo😢😢😂😂😂😂 Simulizi ya lisa imeniuguza jmn asubuhi mchana jioni nashinda nikichungulia😮😮😮😂😂😂😂😂
😂😂😂
@@jokhajj usinicheke my Dear 🤣🤣🤣🤣
Wow anko j nilikumic lete mamb hayo
❤❤❤❤
Simulizi nzuri sana ila inasikitisha😢😢 sana pia ina mafunzo mazuri sana❤❤ keep it up ank jay
Yan me sisema ilipoona notification kwa juu nkajua Lisa iyoooooo kumbe mh
Naomba lissa na alvin
Missing bint Lissa 😢
Kweli mbwa ni mbwa tu wee binty ulisha halibiwa na familia yako huna utu ndani yako pole sana 😢😢😢 huna upendo
Miss you BABY LOVE ❤️..wacha nisikilize uhondo kwanza
Nipeni like hata 3 bc mashabiki❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
Jaman Anko vip LISA & ALVIN tumemis sn
Wangapi tumemisi Lisa na Anko Jay toka jana nimeshinda na mawenge😂😂
Ww ndo mwenzangu aisee Anko unatunyima raha sana achia bint lisa😢😢😢
Yaan leo nimesubur mpaka
😢😢yani anko jey ametuamulia
Jamani tumemiss lisa tupe mzigo anko jay
Anko katukaushiya leo
Msichana mjinga huna akili kweli ni ziro bren 😢😢😢
Lisa aandike Anko jay asimuliee daaah 🤩
Asante anko lkn alvlisa muhimu sana kipenz.
Ankoj tupe Lisa Mimi ad nahisi naumwa kukosa lia
Likizangu jamani nimewahi
Anko j cku izi mbna unatuacha mataani kw nn jmn🤣😁yna kla mda tunachungulia tu kuko ziii kweli Anko
Ankojay vipi lisa sehemu ya 15 tunaisubri sana
Waoooh thnks much unkle jay god bless you for your everything
Asante anko Kwa kutuletea burudisho la simuliz ❤❤❤❤❤
Twataka tumalize Lisa Kwanzaa
Ansate Anko ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hatimae ancojay ulitukimbia lakini tuko na wewe
Story tamu sana funguka kbs
Yani mimi ni mgojwa kabisa kukosa lisa
Wee Anko J umejua kutuweza sana wewe dhaaaa
Wakwanza leo naomben like hata tano tuu