Mungu akutie nguvu Jamal. Umemaliza story kwa ujumbe mujarabu. Upendo wa kweli uko ktk kutoa na si kupokea. Jitoe kupenda, upendo wako ndio utafanya upendwe. Mungu akubariki sana Jamal.
Mapenzi ya kweli hayahusiani na kitu, pesa au mali. Mapenzi ya kweli ni uvumilivu wa shida na raha za watu waliokubaliana kuishi pamoja maisha yote. Makubaliano hayo hayajali rangi, kabila, dini au jinsia. Kwa ufupi definition ya mapenzi ni ngumu zaidi kuliko watu wanavyofahamu. Mfano mzuri wa mapenzi na aina yake unajulikana kisayansi duniani kote, ni kama ule wa bata mzinga “Gees” au ule wa penguins 🐧.
Am 17 but I start dating seen I was 12 and iam still together with the same girl and jamaal u r really inspiring me I appreciate you bro am from south Sudan and luv Ya'll
Mapenzi hayatabiliki yani dah nashindwa kuelewa lakin vyote ulivyosema ni kweli hasa kwenye suala kwamba mwanamke anaumia zaid ya mwanaume aisee Asante professor
Bongo Ndio Nchi Pekee Ukimtongoza Mwanamke Hapohapo Nywele Zinafumuka, Anaanza Kusikia Njaa, Kodi Yake Inaishia, Mama Ake Anaumwa, Luku Inaisha! Daah Kwa Khali Hii Mtabaki Na Utam Wenu Wallah
“Love yourself first and everything else falls into line. You really have to love yourself to get anything done in this world.”...JAMAL APRIL ON TOP🍹🍾✊🏼🔥
Kutokana na realization yangu Upendo wa kweli hauna Mipaka huhitaji chochote kujieleleza ni Hali ya kukubali Ana na kitu au hali yoyote kwa namna ilivyo bila kujali lkn mpenzi inahusiana na hisia,
Yesterday nilitaka kujiua kisa mpenz wangu😭😭just imagine the way nilikuwa namuamin akin kumbe nachezewa hisia 😭mm n kijana ninayependaa kupitilizaa weng wanasema n tatzo akin hapana thats is true love ndo ninavoamin akin ni kweli kitu ukikipendaa kweli n hard kukiachaa 😭😭😭thanks jamal go be blessed always we love you brother
Naelewa vile unajihisi ,, maana pia nimepitia hayo ,, nilikuwa na wakati mgumu Sana ,,nilichukua takribani miezi mitatu kumsahau ,nilililia ,usingiz sipati,yaani nashinda chumb ani ata kuoga nikaichukia🤣🤣🤣 mpaka sasa Nina vidonda vya tumbo vikivyosababishwa na mawazo ,, mpaka nilijua kufanya maombi ili Mungu anasahaulishe huyo mtu ,ukweli Mungu alisikia kilio changu ndani ya miezi mitatu nilikuwa nimeshasahau ,, mwili ukarud vizuri,,
Nina mpenzi wangu ambaye mpaka sasa tuna miaka 6 lakini ananipenda sana na mpaka huwa najiuliza maswali mengi sana ni jambo gani haswa linalomfanya anipende mno mwishowe nikaja kugundua kwamba nilikuwa namuchia awe huru kudeka kwangu na pia nimekuja kugundua kuwa anaponiona huwa anajisikia furaha sana, apo ndipo nilipoamini kuwa mapenzi sio pesa tuu wala uchawi
Mapenzi yanazungumzwa na wengi Sana ila utekelezaji ni mgumu Sana hii iko na maana kubwa Sana kwetu juu ya upendo wa kwel kwa wenza wetu kile kilichoongelewa na pro humu ni ukwel kwa asilimia 100% asanteh Sana kwa kutufungua bongo zetu jamar🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Love is blind as they said That's why it gets contradicting while trying to understand everything about it Love is illusional if not imaginary (mapenzi ni kitu cha kufikirika tu) I am love ❤️💕
Wangapi tumechelewa kumfahamu Jamal kupitia The story book...but toka tumfahamu tumekuwa adicted na tumekuwa twafatilia story book pia tunangalia hadi post za zamani...!!!!??
Dah kipindii hiki kimenifurahisha na kimenibariki I’m praying that nipate mtu nitakayempenda sio atakenipenda kwa matamanio lakini kwa penzi la kweli Amina sio moyo kuchezea bakora dah leo umejua kunifundisha hormones za kumbato kweli kama anatafuna vibaya lol yani unavyohadithia kwa kituo raha Kaka Jamal siri ya upendo ipo kwa kutoa sio kupokea asante sana
Jamani tukimuacha shigongo akuna mtu mwengine wa kuushinda huu moto🔥professor Jamaal mustafa kama na ww unamkubal like ziwe chache
Ananias edgar father
Kutamani ni zaidi ya kupenda
Kweli Mustafa ni daktari wa mapenzi. Mi kweli wanawake tunaumia kwa KIPENDA bila kujari matokeo
Km umepanga kurudia kuskiliza kila siku gonga like twende sawa. Jamaa anajua sn Allah may bless u . And thx for lesson
Kweli
Kweli
Yani mpka nielewe😂
The story book gongaaa like twende sawaaa💥💥💥
Jamani ningeweza kulike Kama Mara million hivi basi......Kama umerudia hii story, pls salute professor
jamaa fundi sana najifunza vitu vingi kupitia yeye
Kama ulishawahi kuumizwa gonga like hapa!!!
Acha kabisa
Haipoozi
Nimepigwa kitu kizito😢
hizi like hizi
The way Jamal April anaongea ni very sensitive. You are real a professor brother. This video ukiielewa vizuri utajua kuna mengi tunakosea
Fact
Kweliii Jamal wew Ni Professor big up sanaaa gonga like kma unmkbaliiii🔥🔥🔥♥️
Kumbuka kun mtigwa Pia 😅
Kama unamkubali profesa Jamal like hapa tafadhali 🔥🔥
KISS NI DAWA YA NZURI SANA: VITAMIN A KUAMUSHA HISIA ZA MAPENZI
ua-cam.com/video/gFL6t7mvnck/v-deo.html
KISS NI DAWA YA NZURI SANA: VITAMIN A KUAMUSHA HISIA ZA MAPENZI
ua-cam.com/video/gFL6t7mvnck/v-deo.html
GOJENI NIMALIZEKUAGARIA NDO NICOMET
Broo unajuwa sana
0
Mungu akutie nguvu Jamal. Umemaliza story kwa ujumbe mujarabu. Upendo wa kweli uko ktk kutoa na si kupokea. Jitoe kupenda, upendo wako ndio utafanya upendwe. Mungu akubariki sana Jamal.
Kama umeiona na unaikubalALL AMERICAN mzee spencer james like hapa
Yan hii mijitu inayoomba like inakirega hatar yan kaaah mara ooooh leo wa kwanza shuwaniiiii kabisa
Mapenzi ya kweli hayahusiani na kitu, pesa au mali. Mapenzi ya kweli ni uvumilivu wa shida na raha za watu waliokubaliana kuishi pamoja maisha yote. Makubaliano hayo hayajali rangi, kabila, dini au jinsia. Kwa ufupi definition ya mapenzi ni ngumu zaidi kuliko watu wanavyofahamu. Mfano mzuri wa mapenzi na aina yake unajulikana kisayansi duniani kote, ni kama ule wa bata mzinga “Gees” au ule wa penguins 🐧.
Kabisa amour 👌👌👌👌👌
Ni kweli
Yeah that ic true but in world that doses not work 🥺🥺🥺
Kweli kbs jmn.
😂😂subiri ivoivo upate uyo mtu labda nje ya dunia
SIRI YA UPENDO WA KWELI IPO KWENYE KUTOA NA SIO KUPOKEA... JAMAL UNABIDI UTAFUTIWE SEHEM NA SERIKALI UKAISHI MWENYEW SABU UNA AKILI SANA
Hyu kweli professor
Kweli kbs yaan jamaa najifunza ving sn kutoka kwake
I've like this,good prof
Hhhhhh
Anasoma vyanzo vingi vya taarifa hakuna mtu anazaliwa na uprofesional
Jamal i believe you have been following your content you're a
Real professor
Im kevenjackson i levo your story book thenk end really really get this love
Nimekua wa kwanza wadau naomba like zenu za kutosha
ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html
Alafu unazipeka wap?
Mnataka like ili iwajee kwanmnalipwaaaagaa
@@polycarpmicky4151 we
Am 17 but I start dating seen I was 12 and iam still together with the same girl and jamaal u r really inspiring me I appreciate you bro am from south Sudan and luv Ya'll
Now tunaenjoy tz tunawatu muhim now kina Jamal mustapha,jpm,Joel nanauka,Amos mwjonge etc kama unakubali falsafa za nyumbani gonga lyk
Ujanitaja nashangaa
Don't for get to subscribe Trop tv
Sio watu Muhimu sema wanafalsafa Wazuri.
Ukiwazungumzia watu Muhimu hapa nchini hapo labda utamuacha Uncle Magu tu Wengine woteeee, Fyekelea Mbali..!!
@@edwardsamson7951 unaleta siasa
@@goodlucktemu3149 Hahahaha, hamna Kaka sio Siasa ili mtu
Big thanks the story book watching from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬swahili speaking Ugandan and big fun of wasafi die hard wasafi fun
angalia channel yetu kwa simulizi zaidi. ua-cam.com/video/aK8PRn7O44s/v-deo.html
Mashallah upo vizur sana profesa Jamal
Anyone from Kenya listening to this amazing guy,like
angalia channel yetu kwa simulizi zaidi. ua-cam.com/video/aK8PRn7O44s/v-deo.html
Mimi hapa Dear
Hahaha eti lile jamaa la hamida km umesikia gonga like twende sawa
Mapenzi hayatabiliki yani dah nashindwa kuelewa lakin vyote ulivyosema ni kweli hasa kwenye suala kwamba mwanamke anaumia zaid ya mwanaume aisee Asante professor
Hii
Bongo Ndio Nchi Pekee Ukimtongoza Mwanamke Hapohapo Nywele Zinafumuka, Anaanza Kusikia Njaa, Kodi Yake Inaishia, Mama Ake Anaumwa, Luku Inaisha! Daah Kwa Khali Hii Mtabaki Na Utam Wenu Wallah
Hujui Kenya wewe??
😁😁😁😁😁😁😁😁
Sisi ndo tz Africa
@@andrewkibeliveradio kenya utaskia UTANIBAIYA KITU
Hahahaaaaaa nakufa mm jaman mbavu zang we kakaa
Still listening it in 2021... kama umesha hachika,twende pamoja 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
Daa Asante sana kwaku nifungulia vitu vingi sana ambavyo sikua nina vijua kuusu mapenzi Asante sana mungu aku bariki 🙏🏿
Lijamaa hata halisomi mahali limemeza tu nakuanza kusimulia big up professor.🙌🙌🙌
Jaman me nimechelew san kuisikia hii na kila anataji like nimetoa za kutosh na mm anagalau hata like 20 tu jamaa anajua sana
Unataka uzipeleke wapi izo like
Wasafi mmeleta kitu kizuri Sana apa bongo Ila Mimi siombi like lkn ukipenda gusa like chini apo
Duh! 🔥🔥🔥🙌
Kweri we ni zaidi ya professor
Wangapi munapenda they story book naomba leke jamani angalau 300
A farmer get peace of mind and pleasure when he or she sees her/his garden grows beautiful , the same to love .
hatariiiiii.. tia like🤪🤪
Wcb mumeleta mapinduzi makubwa hapa tz siombi like ila kama muelewa utalike tu
ua-cam.com/video/IBGsETed3bU/v-deo.html
umeomb kijanja😁
Thanks again Jamal
Ukopowa
Mpakaapo ushaomba😅😅😅
“Love yourself first and everything else falls into line. You really have to love yourself to get anything done in this world.”...JAMAL APRIL ON TOP🍹🍾✊🏼🔥
Kutokana na realization yangu Upendo wa kweli hauna Mipaka huhitaji chochote kujieleleza ni Hali ya kukubali Ana na kitu au hali yoyote kwa namna ilivyo bila kujali lkn mpenzi inahusiana na hisia,
Asante Sana. Pia kwa ufafanuzi wa vitu ninavyoendelea kusikiliza ktk simulizi hizi
My best show in wasafi tv big up jamal April wasafi tumewashaaaa
Professor leo umetukomesha na kutuumbua wanaume,tukiona tyu first time tumependa
Sitapenda maisha yangu yote kwa nilivyoumia inatosha acha nibaki mwenyewe tu 😢😢😢😢😢😢😢
Pole Sana
@@fatumamaliam1754 fatuma
napenda( kula) samaki ,mzee hakumuelewa dogo hii ni tofaut na ( napenda samaki)!!!! ndo mana kuna love & like 🤕🤕 ni maon yangu 2
Dogo kakosea kujibu
Angesema kwasababu ni mboga
Angesema anapenda kula samaki
Much love from Mombasa... excellent narrative voice Jamal.
U love someone ambye hajali wala haoni kaa unampenda afu ukipata mwingne ndo anaanza kujikuta anakupenda LOVE bhn dah
Jamal April umetujuza siri nzito kwenye maisha yetu (love) Be blessed Jamal. hahahah hapo siwezi bishana nawe
professor jamal 👏onger unajua sana kuchambua mambo mpk untamn kulizia mara kazaa zaidi ujawai niangusha sk zote
Kam ww nimwana wcb usiache ku like
Kam ww nimwana wcb usiache ku like
Being true is not the thing, the thing is being helpful to the person you love even if your broke
Sure
Yesterday nilitaka kujiua kisa mpenz wangu😭😭just imagine the way nilikuwa namuamin akin kumbe nachezewa hisia 😭mm n kijana ninayependaa kupitilizaa weng wanasema n tatzo akin hapana thats is true love ndo ninavoamin akin ni kweli kitu ukikipendaa kweli n hard kukiachaa 😭😭😭thanks jamal go be blessed always we love you brother
Oops😢
Sorry my dear😳😘
Pole😭😭
Naelewa vile unajihisi ,, maana pia nimepitia hayo ,, nilikuwa na wakati mgumu Sana ,,nilichukua takribani miezi mitatu kumsahau ,nilililia ,usingiz sipati,yaani nashinda chumb ani ata kuoga nikaichukia🤣🤣🤣 mpaka sasa Nina vidonda vya tumbo vikivyosababishwa na mawazo ,, mpaka nilijua kufanya maombi ili Mungu anasahaulishe huyo mtu ,ukweli Mungu alisikia kilio changu ndani ya miezi mitatu nilikuwa nimeshasahau ,, mwili ukarud vizuri,,
Utakufa siku si zako wacha upumbavu, jifunze kumuacha aende
Poleeeee my
We mtu ni shida tulikua tunakosa vingi nakuombea maisha marefu ili uzidi kutuelimisha Ahsante LE PROFESSOR
kwa nilivyoelewa ulichomaanisha apo mwisho, upendo wa kweli ni "kupenda" na sio kupendwa, kwan kupendwa ni malipo ya kupenda. tanx jamal
Ni nzuri Saana,i like it,its so beautiful👫👫👍👍🍎🍎💟💟
Sikiliza wimbo safi unaitwa yesu nakupenda. Ingia UA-cam kwa jina Evarest SIWINGWA , ni wimbo mpya na mzuri sana
Ww kweli ni professor. What is LOVE IT'S ...
Kama na wewe umeguswa juu ya Mada hii ya leo acha like hapa
Hi
Góod
Dh humetukamata vijana wote sio kwa ukweli huo
Pamoja
Uko sawa
Prof u a my class of everyday in my life once I grow up i wanna be like you
Nina mpenzi wangu ambaye mpaka sasa tuna miaka 6 lakini ananipenda sana na mpaka huwa najiuliza maswali mengi sana ni jambo gani haswa linalomfanya anipende mno mwishowe nikaja kugundua kwamba nilikuwa namuchia awe huru kudeka kwangu na pia nimekuja kugundua kuwa anaponiona huwa anajisikia furaha sana, apo ndipo nilipoamini kuwa mapenzi sio pesa tuu wala uchawi
mwambie akuoe sasa sio mnafanya zinaa
Pend sn wewe umeongea ukweli pig up
@@abdarahamaniabubakari4036 MWAMBIE HUYO
Poles sana 😑😑😑
@@faridaxx5471 pole ya nn
Thanks prof. Nilijua nilipo ila nilishindwa kujithibitisha lakini alhamdullah umenisaidia kupata uthibitisho, jazakallah al heyra
This Jamal Guy is well versed with facts! And the presentation is top-notch. Blessings from 254
Unapendeza Jamaal in red suit 😍😍♥️
Hujaa furaha moyn kila mitambon unapokuwepo profesa.. We unaupekee usiochosha kusikilza
I'm in love with this guy 🥰🥰🥰❤❤but tazizo hajuwi kama tuko kwenye mahusiono😥😥😥😥 like kwa nihaba ya Jamal🥰🥰❤
Pole
@@viktamade nisha poa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Professor
Tuliorudia kuskiliza hii simulizi zaid ya mara moja tujuane hapa chini
Mimi hii cjui Mara ngapii naangalia
MaProfessor wenzangu like apa San kusuport professor mwenzet Jamal
I found wat i needed
Used by many but understood by a few
Understand this word
Big up bro Jamal Mustafa unafanya kazi nzuri xana tunaipenda
UPENDO Ni ujasiri unaokupa moyo wa kuweza kuwa nae bila kujali nini kipo kwa umpendae
Hahaha eti love is a word used by many but understood by a few
Uongo au
Yeah its true💯💯💯💯
Ibrahim Khalid uongo wa hali ya juu
Nimechek
hakuna mbongo anaejua maana ya love
Eb kama umeguswa na ujumbe huu gonga like hapa twende sawa💪
Uko vizuri prof.. Mefurahi sana kujua saikolojia hii 😍😍
Thx brother 🔥🇧🇮
Kama unachukia wanaoomba like utadhani wanakula acha like hapa😁
Kwani mbegu Bora duniani niupendo mbegu hiyo kuipata nishida sana
Dume linogaragara kwa kumlilia Hamida hhhhhhh,nan kaskia hii like twende swa
Simply amazing! A very powerful message blessed up brother
Ghai.....siamini mapenzi yana uzito kwli.....salute u broh kw kazi yko
😭😭😭Yani moyo wngu unaumia kias hiki kumbe kwa nn nimependa mwanaume asie kuwa na hisia na mm
Pole
Pole mpenzi kupitia hiyo story nazani ushakua na ushajifunza sasa chukua atuma my wangu
U are the best Professor...Allah akutangulie always
angalia channel yetu kwa simulizi zaidi. ua-cam.com/video/aK8PRn7O44s/v-deo.html
Professor Jamal upo juu. Hongera yako.
Uko vizuri sana professor
Big up bro les congolais fait un j'aime🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Le kenya aussi
Nzuri san mwanangu nakubali sana harakati Jamal fanya bc 2wewote umo ndan kweny harakat napenda San hasa zile zakutishaaa
WCB you bring a big art revolution in tanzanian media,thanks mr prof jamal
Kama unapendaaa wasafi na jamal like hpa nitajua wangap wanaipendaa wasaf
Ni ngumu mno kupata upendo wakweli anaekupenda mheshimu sana.
❤❤❤i think its cool i love every bit of this
Guys have your notice that this man he some how look like Alikiba🤔🤔🤔
Exactly
True
True
Nononononono nooooooo like mbosoo
I thought I was the only one who noticed
Thank you prof jamal mungu akuongezee maarifa ili nasi tuzidi kupata kile ambacho mungu amekujuza ahsante 👍👍👍
More than Prof. Thanks brother from another mother
Jamali April🔥🔥🔥🔥 nami naitwaa Idris June 🔥🔥🔥
Mapenzi yanazungumzwa na wengi Sana ila utekelezaji ni mgumu Sana hii iko na maana kubwa Sana kwetu juu ya upendo wa kwel kwa wenza wetu kile kilichoongelewa na pro humu ni ukwel kwa asilimia 100% asanteh Sana kwa kutufungua bongo zetu jamar🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Jamali uko vzr umpk Tumemsahau, Mtiga Abdall
Plus que cool mon professeur, vraiment tu nous a beaucoup aidé continue ainsi mon professeur que Dieu vous bénisse Mr Jamal Moustapha🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 🇹🇿🇹🇿
He is always the best
Jamal hiki ni kipindi bora kutokea tanzania 🙌🙌🙌
Mimi mkenya but the story book hainipiti,inaelimismisha sana.Keep it up bro.
Kazi nzuri jamal tunapenda unacho kifanya
Love is blind as they said
That's why it gets contradicting while trying to understand everything about it
Love is illusional if not imaginary (mapenzi ni kitu cha kufikirika tu)
I am love ❤️💕
Love is the word used by many people but understood by few🙏😪🤒🤔🚶🏻
Nmekua wa kwnza Leo, naomb like zenu z kotosha
Sw
We mjinga nn like zinakusaidia nn kuma
Hivi shilole na uchebe wanafwatilia au hawana bando🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wangapi tumechelewa kumfahamu Jamal kupitia The story book...but toka tumfahamu tumekuwa adicted na tumekuwa twafatilia story book pia tunangalia hadi post za zamani...!!!!??
ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html
True
Kweli kabisa ni Professor huyu
Dah kipindii hiki kimenifurahisha na kimenibariki I’m praying that nipate mtu nitakayempenda sio atakenipenda kwa matamanio lakini kwa penzi la kweli Amina sio moyo kuchezea bakora dah leo umejua kunifundisha hormones za kumbato kweli kama anatafuna vibaya lol yani unavyohadithia kwa kituo raha Kaka Jamal siri ya upendo ipo kwa kutoa sio kupokea asante sana
Tupooooo
Jamaal upo right bro about love.....perfect
love , love ,love ❣︎