Huruma nawaonea watekaji mana kutubia huwa ni ngumu saana na Mungu huwachukua ktk mazingira bado wako kazini, kizazi chao huwa kinalaana hadi wajukuu wanabeba dhambi ila kama wanao tekwa wanahatarisha usalama hilo suala lingine Kuongoza Nchi kunataka utulivu sio makelele na miruzi
Mama Samia hafanyi kazi nzuri cos hateui watendakazi wazuri .. IGP anasikia watu wamepotea na yupo ...sijui kama ingekuwa ni mumewe au mkewe au mtoto wake
Asante Mbunge wetu... mto nyakasanga ni shida.... tulikuwa tunavuka na miguu... sasa ni hatari.... wachimba mchanga wanatumalizia ardhi kwa kuutanua kina cha mto. Yaani watu wale hawaekewi sasa mjini kweli ni mahali pa kuchimba mchanga?
Inalilah wainailaih hakika Dunia tunapita2 Gwajima uko kwenye usawa wa wengi tunavyo tegemea jamani ss tusionjua hata ok Tunategemea watu kama huyu wa kuigwa🙏🏼
Pole sana Askofu kwa hayo maafa jimboni kwako.Kuhusu wataalamu wa mazingira kwa kifupi hawapo,bali tuna watu ambao wamekariri theory na pia kutoielewa vizuri na ndiyo maana wanashindwa kuchangamsha bongo kwenye issues kama hizi. Na hao wahandisi wahusika sijui hata kama wana ufahamu kuhusu hesabu zinazohusisha flood and soil erosion. Dawa ni kuwawajibisha wahusika wote kwa kufidia hizo damages kwa sababu wanapokea mshahara bila kuufanyia kihalali.
@@AyubuSimpasa-e9q Huo wivu wako makonda wanapiga kazi toka akiwa mkuu wa wilaya akateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa dar alifanya kazi vizur sana akiwa na hayati Magufuli
Kaongea vizuri kuhusu mito, ila kusema makonda anachokifanya eti ni kibaya , hapo gwajima umekosea. Kwani hao wanaoeleza Kwa makonda si ukweli na kwamba serikali Ione na ifanyie kazi. Kwani anweza kuzani kuwa mambo Yako sawa kumbe hayako sawa. Muache makonda apige kazi CCM OYEEE
Makonda huko vizuri yeye aendelee kuwa funua kwasasa wako uchi aendelee kuwafunua kwa Sasa wako uchi siwalimusaliti JPM aendelee kuwafunua Hadi wajitambue
Jamani mvua sio kwetu dunia nzima kwa sasa miundumbinu kwa baadhi nyngine ndio sababu shida moja sísi watanzania huu tupenda kulaumu kwa mbangilio nadhani kujitolea sio dhambi na kutenda basi watu wenye hela wanatakiwa wawe wanakarabati sio mbaka serikali mbona inawekana
Yaani tokea mwenezi ameingia madarakani idadi ya kuteka na watu kuuawa na kupotea imeongezeka kwa kasi kubwa sana , pengine Rais amemrudisha mwenezi ili kazi ya utekaji na utesaji iendelee
Wanadaresalaam wamekufa, wamekosa makazi na kupoteza kila kitu na hawakupokea msaad wo wote. Chalamila alisema serikali hatafanya cho chote. Watu wajisaidue wenewe
Unataka anyamanze huo ndio uhalisia wa Tanzania amewafunua mko uchi kuvaa hamuwezi hoja siyo hiyo hoja yamusingi wanachukuliwa hatua hao wanaofanya hayo mmemusaliti JPM acha awafunue
Watu kutokujua sababu watu niwasahaulifu swali makonda wakati ni mkuu wa mkoa wa dar watu wlipotea walitekwa waliuwawa walitupwa baharini je alitoa kauli gani?watu watoe majibu alafu tulinganishe na majibu anayotoa Kila kukicha
Mimi inashagaa kabisa viongozi ccm ananyamasa na wao anajua kuogoza icnhi na magufuli amefugua watanzania macho na amekubali kufa juu wetu Sasa nyie viongozi unatusaliti na sisi tunaagalia nyie
Mshenzi mkubwa wewe unayemsema Rais wetu na mdogo wetu makonda kwenda huko mshenzi mkubwa wewe tunampenda samia na makonda namajaliwa na kwajima pigeni kazi mungu atawabariki
Huruma nawaonea watekaji mana kutubia huwa ni ngumu saana na Mungu huwachukua ktk mazingira bado wako kazini, kizazi chao huwa kinalaana hadi wajukuu wanabeba dhambi ila kama wanao tekwa wanahatarisha usalama hilo suala lingine Kuongoza Nchi kunataka utulivu sio makelele na miruzi
Mama Samia hafanyi kazi nzuri cos hateui watendakazi wazuri .. IGP anasikia watu wamepotea na yupo ...sijui kama ingekuwa ni mumewe au mkewe au mtoto wake
Safi sana mheshimiwa gwajima
Asante Mbunge wetu... mto nyakasanga ni shida.... tulikuwa tunavuka na miguu... sasa ni hatari.... wachimba mchanga wanatumalizia ardhi kwa kuutanua kina cha mto. Yaani watu wale hawaekewi sasa mjini kweli ni mahali pa kuchimba mchanga?
Gwajima❤️❤️❤️💪💪
Inalilah wainailaih hakika Dunia tunapita2 Gwajima uko kwenye usawa wa wengi tunavyo tegemea jamani ss tusionjua hata ok
Tunategemea watu kama huyu wa kuigwa🙏🏼
Pole sana Askofu kwa hayo maafa jimboni kwako.Kuhusu wataalamu wa mazingira kwa kifupi hawapo,bali tuna watu ambao wamekariri theory na pia kutoielewa vizuri na ndiyo maana wanashindwa kuchangamsha bongo kwenye issues kama hizi.
Na hao wahandisi wahusika sijui hata kama wana ufahamu kuhusu hesabu zinazohusisha flood and soil erosion.
Dawa ni kuwawajibisha wahusika wote kwa kufidia hizo damages kwa sababu wanapokea mshahara bila kuufanyia kihalali.
Makonda oyeeeeee 🎉🎉🎉🎉🎉
Makonda ni Zaid ya wabunge kanifanya nijue kumbe chama ni kikubwa kuliko viongozi Napo sijui walikuwa hawajui
Fikra za kimaskin
@@Werema3760 Mtaumia sana lkn makonda anawatoa jasho. Makonda atabaki kuwa makonda tu
😂😂😂😂 mngemjua makonda nyie ngoja uchaguzi upite mtaonana ccm huyo atacho wafanyia ndo Tena hoo tumeumia kwa mwaka mmoja mnasahau miaka mi nne mmh
@@AyubuSimpasa-e9q Huo wivu wako makonda wanapiga kazi toka akiwa mkuu wa wilaya akateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa dar alifanya kazi vizur sana akiwa na hayati Magufuli
Hapo umefafanua vizur askofu gwajima tumekuelewa sana
Niliwahi kusema Gwajima ni kiongozi wa kuigwa, Naomba wapatikane watu kama Hawa 10 Tanzania
Kwa kweli kwa mambo yote haya,Gwajima ni mbunge wa kuigwa kweli kweli.
Ndie Rais ajae huyo,tusubiri muda tu
Gwajima ni Mbunge wa kuigwa
Makondo ni mkweli sana
Mbunge huyu anaogea nondo Kali tu Kila kukicha anafaa sana kuwa na uongozi zaidi ya ubunge
Utamwelewa ni nani mbele
Kaongea vizuri kuhusu mito, ila kusema makonda anachokifanya eti ni kibaya , hapo gwajima umekosea. Kwani hao wanaoeleza Kwa makonda si ukweli na kwamba serikali Ione na ifanyie kazi.
Kwani anweza kuzani kuwa mambo Yako sawa kumbe hayako sawa.
Muache makonda apige kazi CCM OYEEE
Makonda huko vizuri yeye aendelee kuwa funua kwasasa wako uchi aendelee kuwafunua kwa Sasa wako uchi siwalimusaliti JPM aendelee kuwafunua Hadi wajitambue
Sikiliza vizuri Wala hajasema kuwa Makonda kafanya kitu kibaya
Wewe ni chachacha kweli😣😣😣
Leo.bashite.unamwita.mueshimiwa.ccm.acheni.usanii
Makonda anaonyesha uhalisia went siyokutatua
Mwandishi NYOKO KABISAA
❤
Wabunge wenyewe wamechaguliwa kwa Isani ya rais uñategemea kuwa wanaweza kuwajali wananchi.
Safii ngwajima wewe ni mtazania usioo na ubaguzii
Jamani mvua sio kwetu dunia nzima kwa sasa miundumbinu kwa baadhi nyngine ndio sababu shida moja sísi watanzania huu tupenda kulaumu kwa mbangilio nadhani kujitolea sio dhambi na kutenda basi watu wenye hela wanatakiwa wawe wanakarabati sio mbaka serikali mbona inawekana
Makonda hajaichafua serikali anasikiliza mallalamiko na anatatua matatizo ya wananchi
Gwajima acha uongo wajumbe wamitaa wanakudanganyaa
Huyu mbunge yuko na akili sana ila shida ipo chama anacho kiwakilisha
Yaani tokea mwenezi ameingia madarakani idadi ya kuteka na watu kuuawa na kupotea imeongezeka kwa kasi kubwa sana , pengine Rais amemrudisha mwenezi ili kazi ya utekaji na utesaji iendelee
Elew kinacho ongelew k ya mbwa wewe Makonda anasaidia kuyajua Madudu afu unacoment umbwea
nemc badala ya kukagua njia za maji ili ziwe wazi badala yake wanawaonea wenye viwanda kwa kuwasumbua na kutonza faini
Dog square
Hivi wewe Gwajima askofu wanamna gani una roho kama ya shetani unamchukia mwanadamu mwenzio hivyo?Halafu unajidai unafufua wafu, shame on you.
Wanadaresalaam wamekufa, wamekosa makazi na kupoteza kila kitu na hawakupokea msaad wo wote. Chalamila alisema serikali hatafanya cho chote. Watu wajisaidue wenewe
Kama wanainchi wanajielewa hao wabunge si wakurudi tena bungeni kabisa
Mwandishi,anashida kwani makonda kafanya nn mbwa ww mwandishi
Unataka anyamanze huo ndio uhalisia wa Tanzania amewafunua mko uchi kuvaa hamuwezi hoja siyo hiyo hoja yamusingi wanachukuliwa hatua hao wanaofanya hayo mmemusaliti JPM acha awafunue
Askofu gwajima hao wabunge wote kama kutakutakuwa na uchaguzi wa haki basi hawarudi bungeni....😂
Bashite lol
Watu kutokujua sababu watu niwasahaulifu swali makonda wakati ni mkuu wa mkoa wa dar watu wlipotea walitekwa waliuwawa walitupwa baharini je alitoa kauli gani?watu watoe majibu alafu tulinganishe na majibu anayotoa Kila kukicha
Umeme hoyeee siku tatu haupo kidumu chama Cha mapindizi
Wabunge nyinyi umeme mbona umuuweki uwo uzalula au sio swala la wananchi
Huyu gwajima atakuwa anatatizo
Mimi inashagaa kabisa viongozi ccm ananyamasa na wao anajua kuogoza icnhi na magufuli amefugua watanzania macho na amekubali kufa juu wetu Sasa nyie viongozi unatusaliti na sisi tunaagalia nyie
L
Mshenzi mkubwa wewe unayemsema Rais wetu na mdogo wetu makonda kwenda huko mshenzi mkubwa wewe tunampenda samia na makonda namajaliwa na kwajima pigeni kazi mungu atawabariki