KUMBUKIZI Rais Magufuli alipofanya Ziara ya Kushtukiza Bandarini DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 сер 2023
  • #Magufuli #Tanzania #Magulificationoftanzania #short #shprts #shortvideo #shortsvideo #shorts
    KUMBUKIZI: RAIS MAGUFULI ALIPOTEMBELEA GHAFLA BANDARI YA DAR ES SALAAM
    JPM Afanya Ziara ya Kushtukiza Bandarini DSM SEPTEMBA 26,2016
    Rais Dkt John Magufuli lei Mei 15, 2018 amefanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam na kukagua matanki ya mafuta ambayo yana utata mkubwa unaosababisha bidhaa hiyo kuadimika na kupanda bei.
    Baada ya kufanya ukaguzi huo, Rais Magufuli amekuta madudu na udanganyifu mkubwa ambapo amefanya maamuzi ya kuwapiga faini waliokutwa na udanganyifu huo na kutoa agizo la mafuta yaliyokutwa ni Cruddle na Semi-refund yatolewe leo na yaanze kutumika kwa wananchi.
    Licensed under a Creative commons AttribushareAlike 4.0 International License. Based on a work at https

КОМЕНТАРІ • 67

  • @richardzakaria8669
    @richardzakaria8669 Рік тому +12

    Watanzania tunae kazi ngumu sana endapo tunaendelea kuwa shamba la bibi kwa maelezo kama rais mtangulizi Mh, John Pombe Magufuli ambaye mwenzi Mungu alimpenda zaidi

  • @MariaMakoye-ct5wx
    @MariaMakoye-ct5wx 11 місяців тому +5

    Mungu akupe Heri Mbinguni JPM wetu

  • @boniphacemayila5518
    @boniphacemayila5518 11 місяців тому +4

    Huyu ndo alitufaa kuongoza tanzania

  • @JustusMwania
    @JustusMwania 11 місяців тому +1

    If African head's of state worked like him Africa Will be developed continent

  • @pastorgodsonjohn8562
    @pastorgodsonjohn8562 11 місяців тому +3

    Jpm mwamba uliolala😢😢dahhh

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 11 місяців тому +2

    Na ndio maana mama anafuata nyayo za magufuli Bora ibinafsishwe hao wanaopiga kelele ndio wanufaika na hao wezi mianya Sasa inazibwa ndio wanalia Liawakishirikiana na chadema. Binafsisha mama hujakosea

  • @user-eg2wk4xx3h
    @user-eg2wk4xx3h 11 місяців тому +3

    Tumeiua Bandari SS wenyewe hata hatumuogopi Mungu

  • @erobert693
    @erobert693 11 місяців тому

    You do what you was supposed do then you sleep 🫢😭😭😭 Rais Magufuli Ana niwuma from minebwe munyamulenge DRC

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 11 місяців тому +1

    Asante baba

  • @mohdali2408
    @mohdali2408 11 місяців тому +1

    Wazee wakanisa wanajambo Lao kwenye hili

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 11 місяців тому +1

    Baba ingewezekana kurudi ningeomba urudi Ili watu wazikimbie ofisi kunawatu Wakati wako walisema wamezeeka ila Kwa mama ni vijana na nahis ukirudi wewe watakua vikongwe wa kutembelea mkongojo Mungu aweke roho ya Magufuli Kwa kiongozi ajae ila sio ccm

  • @toptopress4909
    @toptopress4909 11 місяців тому +3

    Aisee ndo maana mama anataka bandari ibinafsishwe. Haya madudu ya bandarini kuyaondoa ni kubinafsisha tu

    • @mdqweqwe251
      @mdqweqwe251 11 місяців тому

      Mwambie uyo mama ako auze kuma yake na mkundu wake bandari sio mali yake

    • @abdallahselemani6423
      @abdallahselemani6423 11 місяців тому

      Wewe tukana tu !! Lakini jua ukweli ndio huo Kwa wanao jielewa Kwa mpumbavu kama wewe huezi juaa kaa na umaskini wako wa akili

  • @salaita2829
    @salaita2829 11 місяців тому +1

    Huyu mzee alikuwa anataka kuipeleka peponi hii tanzania

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 11 місяців тому +1

    RIP MH JPM naamini huko uliko unawaona wanafiki wako live

  • @habibushekulamba5071
    @habibushekulamba5071 11 місяців тому +3

    Kupata kiongozi Kama huyu Tz kwakweli panahitaji maombi na kufunga laa sivyo uuuuuiiiiiii.....! Mambo yatarudi yaleyale

    • @gooddeeds162
      @gooddeeds162 11 місяців тому

      Yatarudi vipi ndugu yangu wakati tayari yapo mtaani? Maana yangu ni yamesharudi.

  • @SwahibuAthuman-yv2mn
    @SwahibuAthuman-yv2mn 11 місяців тому +3

    Mungu tupe magufuli mwingine

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 11 місяців тому

      Ili naye mmuue kama wa kwanza ,kaani na wezi hao mliowataka.kafa Nyerere,Mkapa,na Pombe,why?

  • @nyucletkikonamaluhe2274
    @nyucletkikonamaluhe2274 11 місяців тому +2

    RIP

  • @kenedynyamohanga9898
    @kenedynyamohanga9898 11 місяців тому +1

    The slept rock

  • @edwinelyone3100
    @edwinelyone3100 11 місяців тому +1

    Nilimpenda sana huyu

  • @Gracemima
    @Gracemima 11 місяців тому +1

    Tanzania ilikuwa na Rais. Mwenyezi Mungu alituchukulia Rais ambaye angetufikisha mbali. Kwa sasa tumebaki na mafisadi. Hayati Magufuli lazima angekufa mapema. Sasa Samia anataka kuwapa waarabu kwa kuwa kashindwa kazi ya kupigana na cartels. Miaka kumi ya Kikwete hasara tupu. Watanzania tutapata wapi Rais Kama Magufuli eh Mungu tuhurumie.

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 11 місяців тому

    Mzee bado unakumbukwa hakika unaishi. Kwenye mioyo ya watanzania😭😭😭

  • @abdulrahmanmwadini5925
    @abdulrahmanmwadini5925 11 місяців тому +6

    Mama ziba Masikio walete DPW tuone Faida ya Bandali yetu,wanaopiga kelele ni Mawakala wa wapigaji wanaona wakija DP watakosa ulaji

  • @stevegeee298
    @stevegeee298 11 місяців тому

    Kenya reality.KRA,KPA

  • @malingaezekia3657
    @malingaezekia3657 11 місяців тому +1

    ukweli una uma sana

  • @Gracemima
    @Gracemima 11 місяців тому

    Huyu ndiye aliyekuwa Rais mzalendo wa Tanzania.

  • @salaita2829
    @salaita2829 11 місяців тому

    Duuh kila mkataba unapowekwa ni lazima kuwe na kipengele cha kuuvunja,win win situation,dah yametukuta wallah

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 11 місяців тому

    Hii ndio Tanzania,hii ndio Bandari Dar -es -salaam....🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 11 місяців тому

    Eti Leo wanadai kukataa Morden investment

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 11 місяців тому +1

    HII HUTUBA NI USHAHIDI TOSHA WA KUJUA KWANINI WATU WANAMPINGA MAMA, NA WANAPINGA UWEKEZAJI WA DP WORLD!! KWA USHAHIDI HUU WA JPM NI DHAHIRI WAPINGAJI WANAJUA WAKIJA DP WORLD NDIYO UTAKUWA MWISHO WAO WA UPIGAJI BANDARINI.

  • @thomastarimo
    @thomastarimo 11 місяців тому +3

    Kaka jipm tuna kukumbuka sana

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u 11 місяців тому +2

    Mama toa kwa DP world njia nzuri hata magu kaona

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 11 місяців тому +1

      magu hakutaka mali ziwepe wageni fungua akili yako vizuri mnasoma kujaza ujinga kichwani au kuongeza upeo wa akili hapo ndio inafanya nione kumbe elim za shule ni ujinga tu kama haya maneno anayoyasema magu umeyatafriri kihivo basi elim ya shule haina faida kabsa magu kamaanisha viongozi wasimamie vizuri rasili mali za inchi wasiwe wazembe kukaa hoficin tu bila kufatilia vitengo vinatendaje kazi za ummah ?

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 11 місяців тому

      @@aishaalbalushaishabalush8291 kwahiyo unataka iendelee kuwa shamba la bibi

  • @kudraahmad5670
    @kudraahmad5670 11 місяців тому

    Yaan kwa haya aliyoyaona magu mama Samia usisikie maneno tunaomba ubinafsishe tu

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 11 місяців тому

    Why not DP world?

  • @Worldunite
    @Worldunite 11 місяців тому

    Muhimu kubinafsisha bandari km kuna ubadhirifu bandarini, ni kuwalipa mishahara tu, bora kubinafsisha bali kurekebisha tu baadhi ya vipengele ktk makubaluano, RIP JPM

  • @kulthumhaji6928
    @kulthumhaji6928 11 місяців тому

    Inajulikanao vile wanaiba.

  • @GeraldBaruti-jh3cr
    @GeraldBaruti-jh3cr 11 місяців тому

    Mkuu saruti San hakik chema hakidum hiv ulijua hay ipo siku yatatokea

  • @abeliantony7085
    @abeliantony7085 11 місяців тому +1

    Baba ubalikiwe popote uliko kwa ukweli wako, lakini umetuachia hayo madudu sasahizi yanatunyonya tu

  • @Gracemima
    @Gracemima 11 місяців тому

    Kiongozi gani wa Tanzania anaweza kuwa Kama Magufuli?

  • @ritchiemuta1092
    @ritchiemuta1092 11 місяців тому

    Hivi kwa nini serikali isiunde kikosi kazi kuchunguza ubadhilifu pamoja na wataalamu wa ufisadi kutoka Scotland Yard au Israel ilikujua ni nani yuko nyima ya ufisadi
    Lkn naamini watu wa ccm na serikali yake hawako tatari kujua ukweli

  • @user-qg5bq4sj9c
    @user-qg5bq4sj9c 11 місяців тому

    Chumaaaa

  • @user-qg5bq4sj9c
    @user-qg5bq4sj9c 11 місяців тому

    Mama anuza

  • @kalafunja
    @kalafunja 11 місяців тому

    Aibu nchi ya walanghai waongo wezi na hawaridhiki

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 11 місяців тому

    Wapewe jwtz

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 11 місяців тому

    Hiii hutuba wanaopiga kelele na kushirikiana na mawakala wao wa vyama vya siasa hawaikumbuki!!!!????

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 11 місяців тому

    CCM ni janga

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 11 місяців тому

      Unajuaje hao wezi hapo kama si chadema?

  • @user-eg2wk4xx3h
    @user-eg2wk4xx3h 11 місяців тому +2

    SS tumepewa Bandari hii na Mwenye Enzi Mungu tunawapa waarabu

    • @sports007tv4
      @sports007tv4 11 місяців тому

      Kwaiyo tubak nayo ili tuendelee kuibiwa

  • @Gracemima
    @Gracemima 11 місяців тому

    Kusema ukweli watanzania sisi wengi ni vilaza. Viongozi wetu wanajuwa wanaongoza wajinga wanaweza kufanya chochote kazi yetu ni kupiga makofi

  • @abeliantony7085
    @abeliantony7085 11 місяців тому +1

    Haki watanzania tuko waovyo sana, kabla yakuskitika mabaya yanayosema eti watu wanacheka nakushangilia

  • @tomsticky3124
    @tomsticky3124 11 місяців тому

    🇹🇿🤬

  • @kanunimc4318
    @kanunimc4318 11 місяців тому

    NDO MAANA MAMA HII BANDARI ANAMPA DP WORLD KUMBE APO PANA ULAJIIIIII BASI APEWE DP WORLD

    • @toptopress4909
      @toptopress4909 11 місяців тому

      Yaan hata mimi nimegundua ndo maana mama anataka kuwapa DP World

    • @kanunimc4318
      @kanunimc4318 11 місяців тому

      @@toptopress4909 kuna watu wanafaidika sn na hii bandari ila mama anapewa lawama tu kwa sababu anapoteza ugali wa watu kweli vita vya uchumi ni ngumu

    • @sports007tv4
      @sports007tv4 11 місяців тому

      Eeeeh mama anaona itakua ngumu kuyaondoa madudu ndiomana anataka awape waarabu

  • @richardzakaria8669
    @richardzakaria8669 Рік тому +1

    Watanzania tunae kazi ngumu sana endapo tunaendelea kuwa shamba la bibi kwa maelezo kama rais mtangulizi Mh, John Pombe Magufuli ambaye mwenzi Mungu alimpenda zaidi