KWAHIYO WANAOJIITA MASHEKH WOTE NI WALIO SILIMU NA WASIO JUA KUSOMA QUR'AN NA KUTOJUA CHUKUA UDHU NI ALIYE SILIMU SHEKH UMETELEZA KABLA YA KUONGEA FIKIRI KWANZA AISEE
Mchapeni yule mtu asieneze uongo anaharibia uislamu jina. Sababu anadanganya wale sio jua elimu na ndio anao watumia kwa kuwadanganya. Lakini haezi fanyia msomi wa dini hayo mambo yake
Shukran kwa kazi unayo ifanya Allah akulipe kilalaheri
Samahan shehe wangu! Hakuna vi Aya! Hakika umeteleza uliposema mtu kahifiz viaya vyake 3,4! Usidogoshe Aya!
Kaka uko vizur ubarikiw sana elimu kubwa sana allah akulipe kilalaheri
Said Mwaipopo Mhuni
Wewe unachuki na mwaipopo, kwaiyo mnataka msiambiwe pale mnapoharibu uislamu?
Shekh anadharau et viaya duh
Shehe mada yote hajamzungumzia huyo shalifu fake ana ugomvi na Mwaipopo
Mbona wapo mashekh wakubwa wamesilimu kina bilal Phillips wewe sema unachuki binafsi
Atakua ni mwaipopo 😂😂
Sasa naona kama unachuki Fulani.
Ustadhi kidogoo😂 ana fyatua tu😂
Unachuki Fulani Kwa Mwaipopo, hata wewe Una upungufu wako.
KWAHIYO WANAOJIITA MASHEKH WOTE NI WALIO SILIMU NA WASIO JUA KUSOMA QUR'AN NA KUTOJUA CHUKUA UDHU NI ALIYE SILIMU SHEKH UMETELEZA KABLA YA KUONGEA FIKIRI KWANZA AISEE
Ust. Kadogoo bwana Kuna fatwaah na kufyatuka😅😅
Sharifu feki hata akipewe microphone akiongea hasomi hata aya wala hadithi
Mchapeni yule mtu asieneze uongo anaharibia uislamu jina. Sababu anadanganya wale sio jua elimu na ndio anao watumia kwa kuwadanganya. Lakini haezi fanyia msomi wa dini hayo mambo yake
Kwani mwaipopo amedanganya?
alivyo unasema aysfanyiki?
Wewe uliyoyasema ndo mazuri kwa kishki?
Na nyinyi ndiyo vihelelezo kwa waisilam mnaupambambania uhisilam
Ila m ayiyafanya mnawapa makadiri hija😂
Simulizi zone mtafute mwaipopo
Kwenye intro hapo kabla hajamtaja mtu nishamjua anaemzungumzia😂😂😂 mwaipopo anamatatizo na kusoma hataki
Said Mwaipopo😂😂😂😂
Said Nestory Mwaipopo ....kilaza wa Elim dunia mpk Elim Akhera.
We mtangazaji haitamkwi erimu , sema elimu
@@HuseynDaudi ahsante
Walid au alhad?
alhad