MCH. NDACHA APEWA KIBARUA NA USTADHI SHAFII KUHUSU SABATO, AKUBALIANA NA BISHOP NGONYANI NA HANANJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • TUMEFANYA MAJADILIANO NA USTADHI SHAFII AZUNGUMZE KUHUSU SABATO NA JINSI INAVYOFANYIKA JUU YA MAPOKEO YA WATU NA HAYO YANAYOENDELEA

КОМЕНТАРІ • 66

  • @allyway999
    @allyway999 2 місяці тому +6

    Naam ustadh wangu Allah akujaalie

  • @SwahibuAthuman-yv2mn
    @SwahibuAthuman-yv2mn 2 місяці тому +1

    Ndugu zangu tumuwezeshe sheikhee wetu aweze kufika mpaka vijijini insha llah

  • @barakamtavangu5790
    @barakamtavangu5790 2 місяці тому +1

    Kuna tofauti katika maneno haya KUTENDA na KUFANYA kazi shafii ni mjanja sana

    • @fakifaki6263
      @fakifaki6263 2 місяці тому +1

      Munasomewa mmandiko ya bibilia yenu 😂 ila pia munabisha .....

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 2 місяці тому

    Mashallah cheikh wangu Mungu Akulipe.

  • @yusuphlondon6432
    @yusuphlondon6432 2 місяці тому

    Nakupenda kwa uwezo wa mungu ❤❤❤

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 2 місяці тому +1

    mashallah sheikh shafi wape irimu yabure wataerewa ishallah

  • @salimbahatisha3003
    @salimbahatisha3003 2 місяці тому +2

    Masha Allah. Umetoa darasa kubwa sana ustadh kiasi ata mbumbumbu anaelewa

    • @BadruHisha
      @BadruHisha 2 місяці тому

      @@salimbahatisha3003 wafundishe bab

  • @AyubuIkaku
    @AyubuIkaku 2 місяці тому +1

    Shukran sana sheikh Shafii. Naomba mawasiliano yako

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 2 місяці тому +2

    Wasabato wamepotea sana...wanaabudu siku badala ya Mungu mwenyewe.

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 2 місяці тому +2

    Safi sana Ustadh.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 місяці тому +1

    Hiyo ya samaki ipo kwenye kitabu gani?

    • @newforcejv9721
      @newforcejv9721 2 місяці тому

      @@daudimichael7338 Bora umeuliza ngoja ninyamaze

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 2 місяці тому

    MashaAllah

  • @AshamMussa
    @AshamMussa 2 місяці тому +1

    Hosmasissa msikilize tena shafi hukuzi gatia mafundisho na ndio tatizo lenu kuu nyinyi wakristo hamuzingatii mnachokisoma au m achokisikiliza poleni sana

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 16 днів тому

    YESU ATOKANI NA UZAO WA MWANAUME. HANA UZAO WA MWANAUME HAPA DUNIANI. YEYE NI MWANA WA ADAM hasa kihasiri

  • @HemedHamisi
    @HemedHamisi 2 місяці тому

    ustadh shafi Allah akuweke hadi milele ikiwezekana, akili nyingi kelele hamna.

  • @joseaugust2805
    @joseaugust2805 2 місяці тому

    Yesu kuna mda kasujudu na kuna mda alikesha akasali mlimani ,
    Luka 6:12-16,
    Yohana 4:19-24, inawaelezea kuabuni ni katika Roho na kweli,
    Mathayo 14:23
    Ishu ya ufunuo 15:3-4 na Marko 14:35 kusujudu kifudi fudi ni pale Yesu aliswitch alipokuwa mbele ya kiti cha enzi ,mbinguni,
    So sisi wakristo katika kufanya ibada , tuna option nyingi tofauti na ninyi waislam

  • @joseaugust2805
    @joseaugust2805 2 місяці тому

    Hesabu 15:32-36,wanafunzi wa MUSA na wanafunzi wa Yesu Mathayo 12:1-21 ,
    Na paulo kwa mataifa , wagalatia 2:1-21,
    Haya maandiko yatakufungua sana kama mkristo , kujua waisrael na wanafunzi wa Yesu, na watu wa mataifa kupewa injili

  • @Moteswa
    @Moteswa 2 місяці тому +1

    Mpelekee hii clip Bwana Ndacha. Mimi ni mkristo lakini Shafi kaongea ukweli 100%. Tufuate mafundisho ya Yesu.

    • @johnawinda2165
      @johnawinda2165 2 місяці тому

      Pia anasema YESU c mwna wa MUNGU umekubali? Hatari sana

  • @abuhassan9552
    @abuhassan9552 2 місяці тому +1

    Wailimisheni maskini hao hao wenzetu hawajui kitu nikufata wazungu tu kama Kondo

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 місяці тому

    Yesu hakushika Sabato, aliponya wagonjwa siku ya Sabato akagombana na Wasabato. Mojawapo ya tuhuma walizotumia kumuua Yesu ni madai ya kuvunja Sabato.

  • @solomonmugao4733
    @solomonmugao4733 2 місяці тому +1

    Tena soma mandishi ya Allah katika Quora 6:158 na uelewe

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 місяці тому

    Shafi bhana, utasema hiyo siku fulani ni Ijumaa, tunakusubiri uiseme tunyooshe rula

  • @johnawinda2165
    @johnawinda2165 2 місяці тому

    Bwana YESU asifiwe

  • @solomonmugao4733
    @solomonmugao4733 2 місяці тому +1

    Waislamu na wakristo hawataweza kupatana sababu hizi ni Imani mbili tofauti. Hivyo hata ustadh akisimulia haipatanishi ila uweze kuelewa. Biblia na quaran pamoja

    • @BadruHisha
      @BadruHisha 2 місяці тому

      Waele wa wataelewa ndug ais

  • @EliaMrangi-n1i
    @EliaMrangi-n1i 2 місяці тому

    Sabato ilianzia endeni sio kwa wanawaisraeli pia ni Moja ya amri kumi za MUNGU kwa hiyo amri ya MUNGU aibadilishwi milele

  • @johnawinda2165
    @johnawinda2165 2 місяці тому

    Mbona hapo kwa kumita MUNGU babake hunachenga?

  • @cosmassisa5256
    @cosmassisa5256 2 місяці тому +2

    😂😂😂 dah! Yaan kama hauijui Biblia, unaingia mkenge moja kwa moja. Vitabu vyote vitatu alivyosoma Isaya, Hosea na Waebrania, amesoma fungu moja ili kupotosha zaidi. Biblia usisome fungu moja ukaruka nayo, utapotea vibaya mno nakuhurumia. Tukuanza na Isaya, soma kuanzia Isaya 1:2 na kuendelea ndipo utagundua kwamba nabii Isaya alkuwa anatoa onyo kwa kabila la Yuda juu ya uovu wao. Halafu Mungu alikataa kila kitu chao sababu ya uovu wao. Alikataa matoleo yao sababu yalikuwa batili, Sabato na mikusanyiko yao yote aliikata. Sasa namna ulivyosoma hilo fungu, umeligeuza geuza. Linasomeka hivi, 'Msilete tena matoleo ya ubatili; uvumba ni chukizo Kwangu; mwezi mpya na sabato, kuita makutano; siyawezi maovu hayo na makutano ya ibaada.' Sasa hapo kwanini haujasema kwamba Mungu aliondoa matoleo unapambana na sabato. Hilo fungu limeonesha ya kwamba ibaada zote za Yuda, Matoleo vyote alikataa sababu ya uovu wa kabila la Yuda. Ukija kitabu cha Hosea 2:11, hauhasoma hilo fungu baada ya kugundua anachotaka kukuelezea hakihusiani na hilo fungu. Ukianza kusoma Hosea 2:2_23, ndipo utagundua kwamba nabii Hosea alikuwa akizungumzia juu ya uzinzi wa Israel kama taifa na ndipo akatamka adhabu yake katika Hosea 2:11, baadae akatamka juu ya ukombozi wa Israel. Kitabu cha Waebrania 4:4 wewe umesoma fungu moja, anza kusoma fungu la kwanza mpaka fungu la 13 ndipo utagundua umuhimu wa sabato. Tuanzia fungu la 4 mpaka la 10.Waebrania 4:4
    [4]Kwa maana ameinena siku ya saba mahali fulani hivi, Mungu alistarehe siku ya saba, akaziacha kazi zake zote;
    [5]na hapa napo, Hawataingia rahani mwangu.
    [6]Basi, kwa kuwa neno hili limebaki kwamba wako watu watakaoingia humo, na wale waliohubiriwa habari ile zamani walikosa kuingia kwa sababu ya kuasi kwao,
    [7]aweka tena siku fulani, akisema katika Daudi baada ya muda mwingi namna hii, Leo; kama ilivyonenwa tangu zamani,
    Leo, kama mtaisikia sauti yake,
    Msifanye migumu mioyo yenu.
    [8]Maana kama Yoshua angaliwapa raha, asingaliinena siku nyingine baadaye.
    [9]Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu.
    [10]Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake.
    [11]Basi, na tufanye bidii kuingia katika raha ile, ili kwamba mtu ye yote asije akaanguka kwa mfano uo huo wa kuasi.
    Waebrania 4:12
    [12]Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.'
    Kitabu cha Waebrania kimemaliza kazi kabisa. Katika Waebrania 4:6, fungu linaonesha kabisa ambao hawako katika Sabato, wameasi. Na tena fungu la 7 na 8 ameonya kabisa juu ya kufanya Mioyo yenu kuwa migumu na kwamba Mungu asingalisema siku nyingine. Fungu la 9 anasema imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu. Kwa hiyo basi, kama Waislamu mliikana sabato kwa maelezo ya Mwl wenu huyu, ndio ninyi mbaongelewa katika Waebrania 4:6,7 mlisome hapo juu mtaelewa. Kwamba ninyi ndio mliofanta mioyo yenu kuwa migumu na kuasi. Kama sabato ilkuwa juu ya Wanaisrael, basi na amri nyungine znawahusu wana wa Israel tu. Kama ni hvyo, Yesu aliwafia Waisrael na si wengine.

    • @SIMULIZIZONE
      @SIMULIZIZONE  2 місяці тому

      @@cosmassisa5256 Kwanini unasema Isaya amewaandikia kabila la Yuda peke yake, halafu unataka Musa iwe kwa watu wote na sio waisrael peke yao.

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 місяці тому

      @@SIMULIZIZONE Sahihi kabisa, Musa nae ilikuwa kwa wana wa Israel. Halafu kama ukoo wa Yuda ndio umekataliwa kufanya sabato, kumbe sabato inabagua watu wengine hivyo sio kwa ajili ya ulimwengu mzima kutokana na hiyo hoja yake aliyotoa.

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 2 місяці тому +1

      ushamaliza kazi😂,umenukuu gazeti na ukasema sabato wameandikiwa Wayahudi😂umejifunga own goal..haya kipi kilichokufanya ukashika sabato wakati ww sio myahudi? unataka watu wote washike sabato? yani mi Mkenya na naelewa kiswahili kukuliko ww Mtanzania

  • @danielkamau2987
    @danielkamau2987 2 місяці тому

    Leo Shafii nime kutolea kofia kwa kuku mbali Mdahalo na Pst Ndacha..

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 місяці тому +1

    Masha'allah sheikh s.s.p

  • @AdamPaulo-x2k
    @AdamPaulo-x2k 2 місяці тому

    Uongo huo unalijuwa kaburi la Mussa

  • @facebkmulatya2674
    @facebkmulatya2674 2 місяці тому

    Mtu anieleze kuwa jumamosi ni siku ya saba. Juma-Mosi - pili- tatu- nne- tano- alhamisi, Ijumaa.

  • @paulobondi3081
    @paulobondi3081 2 місяці тому

    Ata sisi wasabato siku ni saakumi na mbili

  • @patiencesamba9467
    @patiencesamba9467 2 місяці тому

    shafi umefafanua vizuri ila hapo kwa ibada umechemsha kwasababu hata miti tunambiwa inasujudu je inafanya kama mnavyofanya msikitini ??????????????

    • @KudraRashid
      @KudraRashid Місяць тому

      Kasome kwenye kamusi kusujudu maana yake nini shida tu hamtaki kusoma

  • @AbdulhamiduKanula-hq4lx
    @AbdulhamiduKanula-hq4lx 2 місяці тому

    Huyu muandishi ni mkweri sana.anauliza maswali mazur pia.anakua anauliza kwa lengo la mafunzo si kubishana.

  • @jjtm164
    @jjtm164 2 місяці тому

    Utaulizaje kafiri mambo ya kikristo?

  • @lupakisyomwasibata7062
    @lupakisyomwasibata7062 2 місяці тому

    Hahaaa sawa!

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 2 місяці тому

    Ndacha ni mjinga na inavyo onekana kafeli sana shuleni na anatia haibu Ndacha mapumbu yako.

  • @realramjen3270
    @realramjen3270 2 місяці тому

    Mathayo 6:9-13
    9 Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje,
    10 Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.
    11 Utupe leo riziki yetu.
    12 Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu.
    13 Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]

  • @ericlondonmuwazijimmy1221
    @ericlondonmuwazijimmy1221 2 місяці тому

    Hizi masomo Ali zip ata toka mchungaji mwankemwA

  • @MihayoMjomba
    @MihayoMjomba 2 місяці тому

    Koh uislam dingi pia ilikuwa ya uarabu

  • @jjtm164
    @jjtm164 2 місяці тому

    Unasoma maamdiko nusunusu

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 2 місяці тому +1

    Nakwambia kila wakati Mungu wetu wakristo ni tofauti na Mungu wenu sis wakristo alivyo tuelekeza ndivyotufanyavyo YESU alituambia tusali Kwa Baba hapo tu kunatofauti na huyo allah kwaiyo ibada zetu wakristo lazima zitofautiane na nyie sisi tunamsifu na kucheza ibadani kama Zaburi 150 ilivyoelekeza na tunashiliki meza ya Bwana tunamega mkate na kunywa huko kwenu shafi havipo hayo yanatufanya tusiwe na Mungu wenu kitu kingine ulichokisema mungu WA quruan aliwageuza wanaisrael kuwa manguruwe na manyani wakati kwenye biblia hakuna kitu kama hicho kwasababu ya sabato kwaiyo Allah waq quruan Sio Mungu WA biblia

    • @KudraRashid
      @KudraRashid Місяць тому

      Ndio mungu wa bibilia anwambia muende na miniscat kanisani ama mungu wa bibilia kawambia muende kanisani mwajitungia tu wala hamsemi ya bibilia

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 Місяць тому

      @@KudraRashid Nyie waislamu kaeni na huyo allah wenu hasiye na upendo Kwa watu wote Mungu WA biblia ni Baba WA kweli Allah ni mungu WA majini mapepo wachafu ndiomaana upendo Kwake ni zero 0

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 2 місяці тому

    Ukweli unajitenga na uongo shaff ni muongo sana

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 місяці тому

      @@msemakweli243 Tupe uthibitisho

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 2 місяці тому

      @@AyubuIkaku upi unautaka soma vitabu mwenyewe kwa sabato hiyo soma quran kama inazungumuzia sabato kama alivyoelezea huyo shafi

    • @AMINGULAMRASUL
      @AMINGULAMRASUL 2 місяці тому

      MUONGO VIPI WAKATI ANATOWA MANDIKO NDANI YA BIBLIA WEWE ACHA USHABIKI KAMA SIMBA NA YANGA. SOMA MAANDIKO VIZURI AU MSIKLIZE VIZURI SHAFII KAMA NA TAKA KUJUA VIZURI MAANDIKO

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 2 місяці тому

      @AMINGULAMRASUL wewe ndo ujui na nikwasababu ujasoma hiyo bibilia na hata mimi nikikutolea aya ndani ya Quran utabisha sheria ya mungu wewe ukiinajisi mungu anaiondoa?

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 місяці тому

      @msemakweli243 Tupe hiyo aya kwenye Qur'ani inayosema sabato ni amri kwa walimwengu/ watu wote.

  • @sosdododo5653
    @sosdododo5653 2 місяці тому +1

    Sasa huyu bwana dakiki 40 alikua akisoma kitabu gani ,,, na alikua sio peke yake alikua akisoma na mwenzake hapo nadhani maneno karibu yote yalitoka kwa biblia,,na kwa sasa hakuna mkristo anafwata maandiko yani munapinga biblia waziwazi mnapinga hio biblia ,,huwezi mfananisha ustadh shafi na ndacha,,ndacha hana elimu kumfikia ustadh shafi kabisa

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 2 місяці тому

      @@sosdododo5653 Kwani Ndacha na maandiko ni nani wa kufuata? Hivi hamna mjadala wowote wa Ndacha na Sheikh Ramadhani wa Kenya( wa Straight Daawh channel) kuhusu Sabato?.